WANYABI CYPHER | Chapter 1

  Рет қаралды 212,090

Wanyabi

Wanyabi

Күн бұрын

WANYABI a group from East Africa (Tanzania)
We do this for love of Hip Hop WANYABI CYPHER
Created by - Oka Martin
Assistant - Mwalimu Carpoza
Producing & Mixing
Cat P
Follow us on INSTAGRAM
/ oka_martin
/ officialcarpoza
/ iamcatp
/ tsigwa
#WanyabiCypher #OkaMartin

Пікірлер: 465
@wanyabi
@wanyabi 4 жыл бұрын
Nyie watu tunawapenda sana, wacha tuu niseme WANYABI tunawashukuru sana kwa uwepo wenu. Na Komedi hatuachi 😁
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
Wooooozah tunawaelewa pia wajuba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@frankoctavian7410
@frankoctavian7410 4 жыл бұрын
Mmetisha, wakuu
@chugaboy5779
@chugaboy5779 4 жыл бұрын
Pyeee
@djvilletz
@djvilletz 4 жыл бұрын
Kweli broo pamoja sana tu
@mohamedrashid4403
@mohamedrashid4403 4 жыл бұрын
Kk umeua oka
@chilohimself5431
@chilohimself5431 4 жыл бұрын
wapi like za T SIGWA
@pound_tz7248
@pound_tz7248 4 жыл бұрын
mnajuaaa
@salmad9469
@salmad9469 4 жыл бұрын
Moja
@shebynizedaudi336
@shebynizedaudi336 4 жыл бұрын
Wanyabi nakubali goma kali sana
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 4 жыл бұрын
Nimezoea kusoma comments huku naangali,, lakini hii nimeirudia kama ✖️ 10 bila kuingia kwenye comments ili nisipitwe na neo 🎶🎶🎶 ninafunguo ya geto unafunguo ya nyumbam 🎶🎶 unataka mtoto unaogopa mimbamu 🎶🎶navaa sa special we vaa za mtumba 🎶🎶kinacho nishangaza hata ukinywa maji we unayumba 🎶🎶🎶 makofi kwa wanyabi tafadhali
@johnthobias6483
@johnthobias6483 3 жыл бұрын
Motooo sana carpoza
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 4 жыл бұрын
*wanyaaabiiiiii kosa lenu kumruhusu OKA MARTIN mwishoni, jamaa kawauwa vibaayaaa*
@malchioryedson4263
@malchioryedson4263 4 жыл бұрын
Wa kwanza kuview
@uzuriwandoa9546
@uzuriwandoa9546 4 жыл бұрын
Ebana e mmetisha kinoma sana, Dunia haiwawezi
@amosilipembe1573
@amosilipembe1573 4 жыл бұрын
Mbona mnaweza sana nyie jamaa daaaaa!!! Yaani kama kuchekesha mnachelewa vile ebu fanyeni mchane basi daaaaaa!!! Mpo vizuri ila imesound goooooooooooooooood
@samirukazinja2804
@samirukazinja2804 4 жыл бұрын
KIPAJI BILA KUPAYUKA SAFI #WANYABI
@kijijihoodmusic4245
@kijijihoodmusic4245 4 жыл бұрын
Unyamaa mwingi T SIGWAA
@noelfanuel9496
@noelfanuel9496 4 жыл бұрын
Watu talented
@Miatv_tz
@Miatv_tz 3 жыл бұрын
Unafunguo ya geto nina funguo ya nyumba,unapenda mtoto unaogopa mimba.na unachonishangaza ata ukinywamaji unayumba...oka we mbayaa
@eliyaleshao939
@eliyaleshao939 4 жыл бұрын
Good song kazaneni wanangu tutafika oyoooooooo
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Sawa na wew msanii kunifuraia shabiki ninapokwambia mwamba unajua
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 4 жыл бұрын
Oka martin nilijua unaanzaa wewe eti carpoza 😀😀😀😀
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Mjomba bonge umetisha sanaaa
@irenebernard1331
@irenebernard1331 4 жыл бұрын
Woooooowooooow Nakubali duuuuh sio poa
@vedastusdeotesha7407
@vedastusdeotesha7407 4 жыл бұрын
Oka umewapoteza wenzio htr sanaaaaa
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Wanyabi mumetishaa muko vizuri mbna wajipange
@rashidnuru8172
@rashidnuru8172 4 жыл бұрын
Siooo poaaa mpo vzuriii sanaaa hilaaa huyooo martin kaua zaidiii
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 жыл бұрын
Wanyabi siyo watu wazuri kumbe ni fire kifaya.
@cushitestizooo4538
@cushitestizooo4538 4 жыл бұрын
Unga robo usicheze mbali mama hana repeat 😃😃😃😃😃😂😂😂
@annamanon1890
@annamanon1890 4 жыл бұрын
Wanyab kama wanyab nyie ni nomaaa sana
@muftiomaroster6099
@muftiomaroster6099 4 жыл бұрын
Iko byeee sana wana mnatufurahisha sana.
@zakariamdeta6968
@zakariamdeta6968 4 жыл бұрын
Kizazi sana wanyabi the cypher
@athumansimon6996
@athumansimon6996 4 жыл бұрын
Hamjawaii niangushaa
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Noumaaaa wanyabiiii
@boniphaceamon5642
@boniphaceamon5642 4 жыл бұрын
Sana sana mdogo angu keep it
@jadeideus6389
@jadeideus6389 4 жыл бұрын
Kunita baby hauponyeshi kidonda life linakwenda fasta haya maisha ya ista hapo mwanzo mlisema tunajarbu na hii ndo ya pili unafunguo ya geto me nnafunguo ya nyumbah😃😃💥
@peterkijanga5052
@peterkijanga5052 3 жыл бұрын
Huyu T-Sigwa ni mtu mbad sanaa, kuna wasanii wakubwa anawakalisha
@nablynataly7108
@nablynataly7108 4 жыл бұрын
Nyie mnajua sana kumamamakeeeee
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 4 жыл бұрын
aiseee mnabalaaa moja na nusu
@jay-bshujaboyofficie3201
@jay-bshujaboyofficie3201 2 жыл бұрын
Salute brothers👑👑👑👑🇨🇩🇨🇩✍🎤💣
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 жыл бұрын
Safiiiii Oka umeua
@likerboytz6125
@likerboytz6125 4 жыл бұрын
Mbilii likii nyingiii apaa
@naufalyally2534
@naufalyally2534 4 жыл бұрын
Nomaa Sanaa hawajamaa
@frankmnganya8590
@frankmnganya8590 4 жыл бұрын
Wanyabiii wenzanguu nakubalii
@katanabdul3122
@katanabdul3122 4 жыл бұрын
Dah mamae mnajua wazeee
@jaxondumah4213
@jaxondumah4213 4 жыл бұрын
Kazi kazi wazee wa kazi
@ramabilal9607
@ramabilal9607 4 жыл бұрын
Sanaaaa Mambo yako hukuu jaman
@bosskubwa2727
@bosskubwa2727 4 жыл бұрын
Wanangu since day one nawamanya Sana 💯💯💯🔥🔥🔥🔥
@rahmasaid762
@rahmasaid762 4 жыл бұрын
😁😁😁😁🤗
@heri_bway2478
@heri_bway2478 4 жыл бұрын
Mko vizuri watu flani hv mko na creativity mna akil mingi
@lilianfesto1295
@lilianfesto1295 3 жыл бұрын
Oka unajua Sana mungu akubariki by Dash combo
@kamandakibutv4752
@kamandakibutv4752 4 жыл бұрын
Daaaaah ili SA balaaa jingine
@bombaman925
@bombaman925 4 жыл бұрын
Oka amewamurder wanyabi wenzie
@mkojanicomedy8292
@mkojanicomedy8292 4 жыл бұрын
Oka katishaaaa ☑️☑️☑️
@moseshaule2390
@moseshaule2390 4 жыл бұрын
Ebwana .... Noma
@alutakingmukashy6806
@alutakingmukashy6806 3 жыл бұрын
Nawakubali sana tena sana
@jamesteflon6099
@jamesteflon6099 4 жыл бұрын
kizazi sana...Eee bhana
@aronnyboy_tz7785
@aronnyboy_tz7785 4 жыл бұрын
Nakubali
@kellyshedrackmatemba1733
@kellyshedrackmatemba1733 4 жыл бұрын
Unafunguo ya getto ninafunguo ya nyumba
@mangman3897
@mangman3897 4 жыл бұрын
Carpoza umeua vbaya mno👊💓
@taifamoja9081
@taifamoja9081 4 жыл бұрын
Bonge moja la song big up sana
@rodriguenduwimana3959
@rodriguenduwimana3959 3 жыл бұрын
Ivi vipaji Duuuh vimelazwa mtaani.mnaweza bro
@lucilalaway567
@lucilalaway567 4 жыл бұрын
Noma
@comradehamimu2763
@comradehamimu2763 4 жыл бұрын
wanyabi mmetisha sana kwenye hii kitu
@brazaniamani3388
@brazaniamani3388 4 жыл бұрын
Okay umeua Sana huku ndichi mnyabi
@muksinmakiwa2964
@muksinmakiwa2964 4 жыл бұрын
Mnajuaaa wauniii
@nadirshaqsiy3565
@nadirshaqsiy3565 4 жыл бұрын
Show love wanyabi pande za zanzibar apa mkunazini
@hatibuathuman1178
@hatibuathuman1178 4 жыл бұрын
Daaah basi bwana
@edisonalex1213
@edisonalex1213 4 жыл бұрын
Wanyabi mmeua balaaa
@leonardvicenty483
@leonardvicenty483 4 жыл бұрын
Oya nakubali sio POWs
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 4 жыл бұрын
Mnajua sana mazeee 😀😀😀
@leahdaudi9104
@leahdaudi9104 4 жыл бұрын
Hongera sana kazi nzuri.... Mzidi kufanikiwa katika kuboresha vipaji mlivyopewa na mwenyezi Mungu
@catp2733
@catp2733 4 жыл бұрын
Amen
@stephenmathias2750
@stephenmathias2750 3 жыл бұрын
Niko Rwanda Nyie jamaa nawaelewa sana
@innocentkileo1068
@innocentkileo1068 4 жыл бұрын
Imekaa kizazi wanyabi
@ibraahog2475
@ibraahog2475 4 жыл бұрын
Nakubaliii wanyabiiiii pa1 kaz kaz
@michaelassenga3999
@michaelassenga3999 4 жыл бұрын
Nawakubali sana wanyabi%
@christophermwashiga7109
@christophermwashiga7109 4 жыл бұрын
Nakubali wahuni wangu
@leonciasultan3545
@leonciasultan3545 4 жыл бұрын
Jamani jamani I love you guys
@jefwa
@jefwa 4 жыл бұрын
Hatarii sana kuliko ronaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@mwombekikatabalo9046
@mwombekikatabalo9046 4 жыл бұрын
So much talented
@musary1285
@musary1285 4 жыл бұрын
Mnaweza brothers from kenya apa🇰🇪
@bongotricks-tz
@bongotricks-tz 4 жыл бұрын
cat p namba namba moja 💥💥💥💥
@ireenerevocatus1709
@ireenerevocatus1709 4 жыл бұрын
Noum sanaaa huyo dogo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 жыл бұрын
Kazi kazi wajomba
@tauhidahija9783
@tauhidahija9783 4 жыл бұрын
Aaahhh mi si mtu wa kupost comments but this u kill it ...... imepita kunako.....
@zhangnzolingo3632
@zhangnzolingo3632 4 жыл бұрын
Wanyabi pa1 xanaaa
@emanuelmassawe2830
@emanuelmassawe2830 4 жыл бұрын
Nouma sana piga kelele kwa wanyabi
@kennymsanii6073
@kennymsanii6073 4 жыл бұрын
Wote mnajuwaaa
@jayzigo6101
@jayzigo6101 4 жыл бұрын
Wajomba kali Sana
@chrisnazary9183
@chrisnazary9183 4 жыл бұрын
Mpo vyemaaaa
@numvireground7801
@numvireground7801 4 жыл бұрын
Usicheze mbali unga robo mama anaga repeat.. Kama kuna makuzi ujapitia uwezi kuelewa T sigwa 💥💥💥💥💥💥💥
@jacklinempale6031
@jacklinempale6031 4 жыл бұрын
wanajua sana
@dicksonmadembwemadembwe6753
@dicksonmadembwemadembwe6753 4 жыл бұрын
Rapa mwenye Kipara anajua
@aizaqmohd4537
@aizaqmohd4537 4 жыл бұрын
Kazi kazi maancol...
@BadBoy-vp8go
@BadBoy-vp8go 4 жыл бұрын
Safi sana wanyabi mm shabiki kindakindaki big up
@salehfarid1003
@salehfarid1003 4 жыл бұрын
All the way 🇨🇳 CHINA MKO VIZURI SAANA 🔥🔥🔥👌✅💯💯💯 keep it hapo mmefit saana
@charlesmaiga7356
@charlesmaiga7356 4 жыл бұрын
Nakubal wazee
@rashidkekova9745
@rashidkekova9745 4 жыл бұрын
Oya hii ngoma kali
@isackboniphace516
@isackboniphace516 4 жыл бұрын
Okaaaaaa......
@ibrahimmohamed1767
@ibrahimmohamed1767 4 жыл бұрын
Kichwani fofofo😀
@abdallahkiyeyeu6510
@abdallahkiyeyeu6510 4 жыл бұрын
Oka martni🙌🙌🙌
@ishamafie7307
@ishamafie7307 4 жыл бұрын
Carpoza umetisha boya wew kudadeq
@johnmwimbwa922
@johnmwimbwa922 4 жыл бұрын
Oka umetisha mzee baba
@richmontanna7934
@richmontanna7934 4 жыл бұрын
Hahaha mko vizuri masela👊👊👊👊👊
@faithpanga3591
@faithpanga3591 4 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@NassTwin
@NassTwin 4 жыл бұрын
Daaah asee Carpoza kumbe unauwezo mkubwa kinoma hvyo bro.. Uko vzur kinoma Mnyabiiiiiiiiii
WANYABI CYPHER | Chapter 2
3:43
Wanyabi
Рет қаралды 222 М.
WANYABI CYPHER | New Year Chapter
4:06
Wanyabi
Рет қаралды 353 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
Nani LANDLORD 😁 | By Wanyabi
6:14
Wanyabi
Рет қаралды 42 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
Ulikua unasema LAKI SI PESA | Oka & Carpoza
4:10
Wanyabi
Рет қаралды 158 М.
SANAA KWA MANUFAA- MWANZA CYPHER
9:41
SANAA KWA MANUFAA
Рет қаралды 6 М.
You need BEEF | Wanyabi
3:21
Wanyabi
Рет қаралды 87 М.