Historia nzuri sana, wengi wamefahamu kupitia Mzee wetu Jaji Warioba.
@jeremialyati609221 сағат бұрын
Mzee huyu ni zawadi kwa Mwenyezi Mungu
@DuuSaid21 сағат бұрын
Mmm Sasa kweli yameanza kuonekana😎
@StevenLugenge23 сағат бұрын
Upo sahihi mzee kwa history hii inayotufundisha vijana wa leo
@priscargodwel833320 сағат бұрын
Mwamba wa sheria
@DuuSaid21 сағат бұрын
Hapo inatakikana takukuru wafanye zi yao kwa vyovyote vile .inakuaje wasimamizi wafikie kufanya hivo kuangua wagombea .mi maoni yangu ni hayo😎
@TumsifuSilaa18 сағат бұрын
Tanzania ikiwa na wazee kumi wenyewe uthubutu kama jaji hapa nchi itanyooka.
@Salum-q6pКүн бұрын
Ni kweli rushwa bado IPO Hadi Leo Ila vikao vya uteuzi ngazi ya wilaya wanajitahidi Sana kufanya tathmini ya mgombea amepiteje na na ni anaekubalika hiyo IPO Hadi leo
@WinfridaCreitus-bf3znКүн бұрын
Mzee Anaongea madini sana, shida watu wameshakua machawa wanapitiliza.
@MaximillianNgoiyaКүн бұрын
Huyu mzee alinaswa vibao na kijana aliyempiga akapewa ukuu wa wilaya.
@vibetz9991Күн бұрын
Utaskia hatunaye tena
@rodgerushindi8523 сағат бұрын
Habri hizi Sio ngeni Kwa Wenyejii ..
@rodgerushindi8523 сағат бұрын
Hana cha Kupoteza kabisa Huyuu mzee
@MeshackMayengaКүн бұрын
Mimi sijakuelewa mzee, maana uchaguzi nanamna yakuwapata wagombea ni mchakato wa kisheria na kanuni.Sasa kama mgombea kakosea kujaza fomu hata jina la chama chake tu hajui,kakoseahata kujaza jinalake nalo halijui,kakosea hata anagombea kitongoji gani nk.sasa mzee ukisema tu waupinzani ndiyo wameondolewa zaidi naona unakosea.Maana ku.buka wago.bea wengi wa upinzani asilimia kubwa hawakuwa na msaada kutoka kwenye vyama vyao.Lakini ccm ilielimisha vyakutosha wagombea wao.Mimi naona vigezo na masharti vizingatiwe.
@marrypius576Күн бұрын
Wengi walioenguliwa yalijuw makosa madogo madogo sana hayo yako umetunga wew nenda rudia ule uchaguzi kwa milady ayo ndo utaelewa na kitu walikuwa wanafanya wanasubiria zimebaki siku mbili au moja ndo unaitwa wakati form ilijazwa muda mrefu why wasiwaambie muda huo huo waliopokea form waje waseme baad ya siku mbili haya na hiyo yakukamatwa na kuwekwa polisi siku yauchaguzi na mtu ajafanya fujo yoyote usitulete ufala yan tuseme tu uchaguzi wa mwaka huu sisiemu wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa wapinzani wao na wamejua kabisa walishapoteza uaminifu kwa wananchi wao ndomaan wakafanya kwa vitendo bao la mkono
@godfrey_89Күн бұрын
Hii nchi inaongozwa na vichaa..
@priscargodwel833320 сағат бұрын
Ko chama tawala wenyewe wote wanaakili ila wapinzan hawana akili? Ndo maana wapinzani walikosea?
@hamzakimaro3764Күн бұрын
Nenda kampumzike acha kuwashwawashwa na yasiyo kuhusu!!au nitakuitia MAKONDA!!
@levidavid1156Күн бұрын
Ww ni mpumbavu huna akili
@godfrey_89Күн бұрын
Hakuna ambae siasa haimuhusu .... Unatombwa nini
@girikimdaila6026Күн бұрын
Aliyekuzaa ww amelaaniwa na ukoo wake wote
@emanuelmkama1325Күн бұрын
Mungu naomba akuchukue Hun faid wew Hamza
@samsonfulgence555323 сағат бұрын
Yanamuhusu yeye ni Mtz na haya yanatokea Tz
@Mkopi-TZКүн бұрын
Huu ushauri anaotoa kuna mtu amaomba ushauri wake? Very condescending
@abassjuma624819 сағат бұрын
Huyu anazeeka vibaya
@HamisWawila22 сағат бұрын
Ww mzee umezeeka kaka na wajukuu zako mjadala auwezi