Mi nashauri mgewawekea mazingira ya studio namaanisha meza kiti na mic kama ya studio badala ya kutangaza wakiwa wamesimama itawapa kujihamini zaidi
@Msuya-w4v Жыл бұрын
Hichi kipind kinauwa carrier ya watangazaji. Anyway wangefanya usiwe public kama wanataumia qualifications
@alexjacobndagile8708 Жыл бұрын
Vijana wanavipaji sana kuliko kwenye midia mbalimbali tunazofuatilia
@nawechi4818 Жыл бұрын
Washenzi sana nyie mnaojifanya majaji mxiuuuuu huyo kaka wa mwisho kayangaza vizuri sanaaaaaa
@alfredirankunda3698 Жыл бұрын
Duuuh majaji mumejifunziya wapi mbona kijana wa mwisho amefanya vizuli zaidi kiukweli hamna lolote
@husnarajabu4343 Жыл бұрын
Sijapenda majaj wabadilishwe
@Mahonda8080 Жыл бұрын
sawa
@fakihassan9021 Жыл бұрын
Jamali Doo mbona Ivo mwamba Kila mtu hajui
@hamadikombo1492 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@dianakweka6947 Жыл бұрын
Majaji wenyewe hamleweki cjaona
@nawechi4818 Жыл бұрын
Huyo jamal mxiuuuu miwani ka Fundi saa
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Sauti km yk lili omy
@ahmedsaidi438 Жыл бұрын
The voice not clear
@stivepeter8054 Жыл бұрын
Mnazingua kila mtu nyie mnamuona hawezi kama mnawatu wenu mmewaandaa acheni kusumbua watu kama huyo muha ye kasomea wapi ujinga tu.
@peteradioyona5919 Жыл бұрын
Kila mtu mnamtoa Tena kwa aibu yatawakuta ya harmo na master j muanze ooh samahani nyie wenyewe hamna vipani ni uchawa tu umewapeleka hapo saiz mnajiona kama radio ni yenu acheni kuwadharirisha watu kama hamna mpango nao. kumuongelesha mtu mbele ya umati alafu unamwambia muwahi shemeji sio busara kabisa
@mgenizubeir8929 Жыл бұрын
Kina onyeshwa mda gani kipindi
@ashuraniwakoelswai8107 Жыл бұрын
Kinaoneshwa lin hiki kipindi na saa ngap
@wizzhieupdates3171 Жыл бұрын
Kaa karibu na wizzhie updates tunakujuza kila kinachoendelea...