No video

UTACHEKA! BABA LEVO AWAIBUKIA WAHUDUMU WA TRENI YA UMEME "TUNATEST TRENI HADI WAHUDUMU"

  Рет қаралды 26,482

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 58
@stevensosipita
@stevensosipita 5 ай бұрын
HONGERA SANA MH DK JOHN POMBE MAGUFULI KWA MAAMUZI MAGUMU ULIYOCHUKUA UMETUACHIA MENGI HAKIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA NA MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI 🙏 🙏 🙏
@SonofNyanda
@SonofNyanda 5 ай бұрын
manamsahau magu kwa kweli serekali msifanye hivyo
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 5 ай бұрын
mh ama kweli wameshasahau kwambs haya yote kayaacha magu nashangaa mnammunya maneno kusnzia ndege had hzo trein
@subirajohn728
@subirajohn728 5 ай бұрын
Kwa kweli Mwenyezimungu akujalie pepo huko ulipo Mzee Magu umeifungulua dunia Tanzania yetu! Hongera Mama Samia hukuwa mbinafsi umeamua kutekeleza kws nguvu zako zote miradi yote mlioipanga na Mzee Magu🙏Mwenyezimungu akutunze🙏
@magomakabanja480
@magomakabanja480 5 ай бұрын
Hakuna Pepo Kwake
@subirajohn728
@subirajohn728 5 ай бұрын
@@magomakabanja480 Pole Pepo ipo kwako weww
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Wewe fala sana, ni magu ndiyo alifanya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Hahaha anajifanya kasahau
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 5 ай бұрын
Hiyo ndio shida ya kupata kwa kazi kwa kujua kubwabwaja tu. Maadili ya kazi na jinsi ya ku interact na watu professionally ni muhimu.
@keshenidaniel770
@keshenidaniel770 5 ай бұрын
Wivu tu subria ikifika yako utapata na ww kupata ni zamu
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 ай бұрын
Juhudi za mwendazake akisaidiwa na mama acheni unafiki bwana.kama kuna kitu sikipendi ni unafiki.lakini najiuliza kwa umeme huu hautoshi raia utatosha tren kweli?
@nageplus3226
@nageplus3226 5 ай бұрын
Serikalini ni muendelezo aliyekamilisha ndiyo anasifiwa hata magu alikuta miradi mingi sana na haikuyekelezwa kwa wakati kayekeleza wakati wa uhai wake kwa nafasi yake na tukawasahau waanzilishi..Ukiwa madarakani ni kawaida alienalizia ndo mwenye mradi
@stevensosipita
@stevensosipita 5 ай бұрын
NENDA SHULE KWANZA
@user-pv2jh5wb1o
@user-pv2jh5wb1o 5 ай бұрын
Mwongo juhud za magu
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 5 ай бұрын
Serikali
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
RIP Magufuli
@Burundian_Traveller
@Burundian_Traveller 5 ай бұрын
❤❤❤Sio shuguru za Magufuri??
@allythabiti8150
@allythabiti8150 5 ай бұрын
Mama samia anapambana, hivi wanajua gharama yake, msione mama anatembea saana huko na kule jmn, Hongera raisi
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 5 ай бұрын
Kwel kabisa
@SilaMinanda
@SilaMinanda 5 ай бұрын
Sasa mzee magufuli walimsema kwamba hatoi ajira, aya sasa ajira hizo zenye akili kutoka kwa marehemu magufuli, Baba levo hapo wasafi angepewa ata kazi ya kudeki vyoo, utangazaji hafiti mnaharibu kazi wagurugenzi
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 5 ай бұрын
Unakereka ukiwa wapi?
@richkaja3317
@richkaja3317 5 ай бұрын
Mshukuru mjomba mangu
@Official83640
@Official83640 5 ай бұрын
Naona Matangazo ya model tu
@allywaziry6419
@allywaziry6419 5 ай бұрын
Kama treni iwe nzuri ni lazima kina baba levo wasifie hahahaha😂😂😂 mm Sina Imani na baba levo sipandi mpaka nimuoe raisi humo.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 5 ай бұрын
Baba levo bwana ety ana mwanya 😂😂
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 5 ай бұрын
Lazima tujenge tabia ya kuenzi waliofikiria kuanza miradi kama hii. Bila maono ya raisi Magufuli hii siku isingefika. Tusipepese macho na fikira. Ukweli usemwe. Tangu atangulie mbele ya haki, hakuna mradi mwingine mkubwa wa kitaifa umeanza. Watu wavuta vitambi tu.
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 5 ай бұрын
Kweli
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 ай бұрын
Sasa mnanongonezana wenyewe ht hatuwasikii
@user-bq2zn1wy1q
@user-bq2zn1wy1q 5 ай бұрын
Wahudumu watatu kila behewa ni utumiaji mbovu wa pesa.
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 5 ай бұрын
Nimesikiliza midia zote waandishi mbalimbali wale ambao wameojiwa sijaona hata mmoja wao kutaja jina la marehemu MAGUFULI mwanzilishi wa huu mradi kweli kweli yaan mmemsahau kiasi hiki daaah
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 5 ай бұрын
Acha tu
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 5 ай бұрын
🇹🇿
@tanstudiotv
@tanstudiotv 5 ай бұрын
R.I.P JPM
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 5 ай бұрын
Hao wahudumu watafutieni uniform nzuri Bana mbona mmewavesha nguo za ajabu t-shirt very cheap hata kola zimekaa hovyo,
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 5 ай бұрын
Kwani hiyo ni hotel mpaka muweke wahudumu mnatutia aibu
@user-gw6zg5yx9e
@user-gw6zg5yx9e 5 ай бұрын
Kuma wewe chawa izo juhudi za magufuli sioza uyo mama tunalia sana watanzania uyo kikwete nauyo mama kumuuwa magu
@nurdinmusa8390
@nurdinmusa8390 5 ай бұрын
Hakuna kitu hapo
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 5 ай бұрын
Chawa
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 ай бұрын
konde boy kakupga roba mdogo sana boya ww ilitakiwa upigwe vaice mpaka uchushe mzigo
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 5 ай бұрын
Juhudi za nagufuli bhn weee
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 5 ай бұрын
Umeme mnao?!.
@jituakilimali15
@jituakilimali15 5 ай бұрын
Hiyo ni kudhalilisha wanawake lazima kuwe na mipaka na heshima utu kwanza ongea na mtu lakini usimguse mwili wake
@jumaseifally6337
@jumaseifally6337 5 ай бұрын
Umegswa wewe
@yiootii
@yiootii 5 ай бұрын
What if the girls themselves are comfortable with it,,wasingekuwa haiwapendezi wangekataa but it seems like they are very comfortable with it, very interested indeed 😂, so don't judge him 😂
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 5 ай бұрын
Zero professionalism. Lakini si kosa lake, kwani elimu ya habari na utangazaji anayo?
@joezeno8
@joezeno8 5 ай бұрын
Diamond atafute watangazaji sio tu kuchukuwa MAKAPI anawapa MAIKI!
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 5 ай бұрын
Watu wamewachoka lete uchawa wako2 mwanangu mnaboa saaaaaana
@abuumkumbalu9123
@abuumkumbalu9123 5 ай бұрын
Tunataka usawa kwa wafakazi wote Waislam kwa wakristo
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 5 ай бұрын
Bongo mwezi tu lishachakaa ka mbwebwe za mwendokasi samaki mizigo abiria na hao watani zetu wa huko mbwinde wataingia na viporo 😂
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
Kanaringa kana ongea saut ya chin
@stevensosipita
@stevensosipita 5 ай бұрын
SASA HUO WIVU TENA DUH
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
Sio wivu tunasema ukweli ss ndo wateja
@stevensosipita
@stevensosipita 5 ай бұрын
@NeysamElias-dp7nl ULITAKA AFANYE NINI NA UNAJUAAJE KAMA NDO ONGEA YAKE?
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
@@stevensosipita aongee watu tusikie sasa anaongea kimapoziii wakat saut anayo nzuri tu muhudumu wa ovyo huyi
@user-vd4ik7yu8y
@user-vd4ik7yu8y 5 ай бұрын
Awa wajinga Sana😂😂😂😂😂
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 5 ай бұрын
Wajinga wajinga ndio wamekuwa waelimishaji wa taifa kwa hata mambo yasiyokuwa na msingi
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 58 МЛН
Balaa : TID azinguana na Baba Levo Studio | Mr Nice aitwa kuamua
27:01