VITUKO VYA BABALEVO WASAFI VILLAGE/NAMRUDISHA UCHEBE KWA SHILOLE/CALYPSO AMZINGUA MTUIMARA

  Рет қаралды 402,257

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

#wasafi #refresh

Пікірлер: 788
@emmaculathaseif8887
@emmaculathaseif8887 4 жыл бұрын
Wanaoangalia hii sababu ya kumsikia baba levo like mia
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 4 жыл бұрын
Baba levo wewe haki ya mungu nimecheka mpaka tumbo linauma like kwa baba levo
@achottomazonge8639
@achottomazonge8639 4 жыл бұрын
Mm Naomba no ya baba levo jamani😂😂 yani kila siku lzm Nimtizame baba Levo unatumaliza mbavi 😂😂😂
@maadamray9282
@maadamray9282 3 жыл бұрын
Sio ww tu yani mm hapa nimecheka hali tumbo linauma wacho yamekua mekundu
@amissipello2735
@amissipello2735 4 жыл бұрын
Wow kweli baba levo ni msheke shaji mzuri familia ya wasafi mzuri sana muhendelee kupenda kweli na mimi na wapenda sana
@eliaelia9928
@eliaelia9928 4 жыл бұрын
Noma Sana baba levo tupo kigoma kasulu town tunakucheki" Kama naww uko kigoma gonga #like
@kobabavaluekobabavalu7588
@kobabavaluekobabavalu7588 3 жыл бұрын
Noma Sana uyu home boy
@simoncords1173
@simoncords1173 4 жыл бұрын
Nilichogundua kwa baba level ni mtu sahihi sana wasafi! Hakuna mtu kama yeye! Ni talented! Kwanza mic zote kwake! Fikilia kama angekuwa hayupo hapo!
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 жыл бұрын
Big dady anajuwa dans👌🏾👌🏾 ame ongea vizuriii sanaaa
@chidistar1944
@chidistar1944 4 жыл бұрын
Daaaa babalevoo ata akiwa anaropoka wamuachee wamsamehe mana anachekesha sanaaa 🤣🤣🤣🤣
@ifrahali8707
@ifrahali8707 4 жыл бұрын
Interview hatariiiii babalevo kiboko lao.wasafi 4 life.always watching wasafi media from Johannesburg. Full of love kwa wote
@masongaofficial
@masongaofficial 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 жыл бұрын
Wasafi mmepata wasaa wa kuwa pamoja na adhabu kwenu imefunguwa njia na kuna viongozi hawakubaliani na ukweli kuwa hata viongozi wanakosea mimi nakupongezeni kwa kujuwa kuwa katika kazi zenu bila ya shaka kuna watu hawapeni kiwango mlichokifikia wasafi mko vizuri leo mko kambini lakini na wengi wenu ni washauri ambao ni hazina kwa Taifa. Kila mwenye kutafakari hataacha kuujuwa ukweli na kuujuwa wasafi kuwa kambini ni jumla ya kuweka nguvu yenu pamoja. Wasafi ni kituo bora zaidi Tanzania ya leo.
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂🙌Yan ww mtu anaekuchukia ni mchaw kwakweli, lov you baba levo
@dativakileo1840
@dativakileo1840 4 жыл бұрын
Mambo
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
@@dativakileo1840 good
@aby21111
@aby21111 4 жыл бұрын
Here in the USA I have some stress due to covid19 but, Thank you Baba levo for making my day every day 😂😂😂😂👍
@annacostantine1974
@annacostantine1974 4 жыл бұрын
I like a good comment of anko D.. nampenda Baba levo ananichekesga mno
@medicaltz169
@medicaltz169 4 жыл бұрын
Wasafi village iwe endelevu iwe kama tamthiria ivi ila mazingira yawe kijijini itapendeza nakipindi kitapendwa sana tafteni vijana waweke kambi
@hawasaid6024
@hawasaid6024 4 жыл бұрын
Tumekusamee mh d one tupo pamoja fund manyumba umesamehewa
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 4 жыл бұрын
Jamani nakupenda baba leva bure
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Me more 😘
@yassersahin6639
@yassersahin6639 4 жыл бұрын
Baba Levo fundi majumbaa mzee wa kujiligazagaza
@amosikubyo7889
@amosikubyo7889 4 жыл бұрын
Fundi majumba nakubali Sana Kaka na wananchi tumekusamehee bureeeee
@hamidajuma3909
@hamidajuma3909 4 жыл бұрын
Diamond umefanya vizuri sana kumsajili baba levo.
@edwardgalus6465
@edwardgalus6465 4 жыл бұрын
Big dad(David lwekiza lunyagilq) your genius.... Umeeongea kibusara sana.... 💪
@aginesibraisoni8184
@aginesibraisoni8184 4 жыл бұрын
Daah.nimecheka kwa sauti baba levo jaman daah!
@semenitheclassic
@semenitheclassic 4 жыл бұрын
Level baba Hatari sana! Sisi wote tuna fanyaga mystics! No one Perfect!!
@barakawilliam9872
@barakawilliam9872 4 жыл бұрын
Baba Levoo 2ache kidogo kwn inaubaya gan .......?
@barakawilliam9872
@barakawilliam9872 4 жыл бұрын
Nmaaa
@ichbin_nicole2318
@ichbin_nicole2318 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@fidelslick2086
@fidelslick2086 4 жыл бұрын
Baba Levo is the Man....Greetings from Vancouver B.c
@CookingwithIvy124
@CookingwithIvy124 4 жыл бұрын
I love this guy 🤣😂 all & all
@mohamedmzee2267
@mohamedmzee2267 4 жыл бұрын
I like the fact that, u all happy and learn through mistakes. U matured enough. Diamond is really understanding Muko juu tu sana.
@elishanyembela6597
@elishanyembela6597 Жыл бұрын
6
@safariadrien5348
@safariadrien5348 4 жыл бұрын
Big daddy kaongea fact, I like that
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 4 жыл бұрын
Nani anagojea Uchebe na shishi warudiane 😂😂😂😂😂👏👏 baba levo kasema Ayaa tusubiri tusikie but kwangu mimi Uchebe na shilole watarudiana ✌️✌️✌️🤝🤝💃💃
@danijoely3485
@danijoely3485 4 жыл бұрын
DAAAAAAA jamn ukweli mtu aongee wasafi no1
@saidyakuti6171
@saidyakuti6171 4 жыл бұрын
D one d moko baba levo respect wako
@jacobelias9100
@jacobelias9100 4 жыл бұрын
Sijutii kuwa mwana family wa wasafi media 🎈🎈💯
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
Jacob Elias utaanza aje 🥰🥰🥰
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Together
@abdulaman7150
@abdulaman7150 4 жыл бұрын
Daaah mi furaha sana
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 4 жыл бұрын
Big dady broo salute sana daaa umeongea kitu konk mnooooo daaaa nimeona ukubwa wako kaka
@aneelmtoro7477
@aneelmtoro7477 4 жыл бұрын
Baba levo ujue hapo kuna maneno mawili yashakuwa brand 1.Olu in Olu 2.Kwani Kuna ubaya gan 😀😀😀😀
@dativakileo1840
@dativakileo1840 4 жыл бұрын
Mambo
@dativakileo1840
@dativakileo1840 4 жыл бұрын
Vip
@dativakileo1840
@dativakileo1840 4 жыл бұрын
Mambo
@samiyafredy7409
@samiyafredy7409 4 жыл бұрын
Baba Levo upo vizur, Nimependa huu usemi! Kwani inaubaya gani
@saidoo_6975
@saidoo_6975 4 жыл бұрын
Kama umesikia fyaaa...fyeee...fyooooo....!!! Gonga like 🤣🤣🤣
@ibrahimally5789
@ibrahimally5789 4 жыл бұрын
Daah,baba level huyu n mtu wa sayar ya mbali sana asee,jamaa ana IQ kubwa mno katika uongeaji..like kwaniaba ya B level mtaalam fundi manyumba.
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 4 жыл бұрын
Mnafurahisha kwa kweli,mungekuwa mnaishi hv cku zote daah tungeinjoy mashabiki wa WCB
@quenbertmtavangu3483
@quenbertmtavangu3483 4 жыл бұрын
Ila nimegundua huyo mtangazaji anaye wahoji anaonekana anaroho mbaya angekuwa boss babalevo Hana kazi baba levo namkubali sana
@Bullah_tz
@Bullah_tz 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana aseee baba levo kanifulahisha sana
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 жыл бұрын
Baba anavituko huyoo
@suzanmukuhi2961
@suzanmukuhi2961 4 жыл бұрын
😂😂😂Baba levo wewe😂😂😂 kweli wewe ni chawa aky... nakupenda bure hushidiki
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 жыл бұрын
Sasa et inaubaya gani🤣🤣🤣🤣ngonga like Kama unamkubar ba revo
@saidymsola6898
@saidymsola6898 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saidymsola6898
@saidymsola6898 3 жыл бұрын
Kwani sasa kuna ubaya gani? All in all ameuwaaaa😂🤣🤣🤣
@marchymaziku6234
@marchymaziku6234 4 жыл бұрын
Huyo demu mtangazaji sijamkubali kabisa,hana umoja ni mbinafsi sasa ya nini kumfanya mwenzio ajihisi mkosaji wakati yameisha
@christerangelous2586
@christerangelous2586 4 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu ila presenter huy alliyah anajifany anamkazia sana babalevo kama yendomkamilifu
@loveme6056
@loveme6056 4 жыл бұрын
Huyo Aaliyah mashauziiii,,,,vizuri ba Levo sio mtu wa kujali!!!!
@huskaabu6196
@huskaabu6196 4 жыл бұрын
Baba levo manshaallah bro
@awadhiismail3154
@awadhiismail3154 4 жыл бұрын
Alie msikia baba levo akosema kwani Kuna ubaya gani zaidi ya Mara 20 agonge like hapa
@josephelius8196
@josephelius8196 4 жыл бұрын
mtu imalaaa jaman kumbe upo nakubali sana bro angu kitambo sanaaa👍👍👍👍 nawapenda sana wasafi #WCB4LIFE
@dorismeshack88
@dorismeshack88 4 жыл бұрын
Ila leo uyu dada kazingua sana afu inaonesha wazi kama umekasilishwa na kufungiwa et anamwambie asiwe na nguvu ya kuongea kwani we nani kama bosi wako tu bado anamsamin
@sadamamir5000
@sadamamir5000 4 жыл бұрын
Tena kapaniki kabisa.
@kawangajumaa7741
@kawangajumaa7741 4 жыл бұрын
Aliya anazingua bhana
@marechojohn4289
@marechojohn4289 4 жыл бұрын
Kazungumza kimasihala tyu bhna acheni kumjudge vibaya...hapo kasema tyu as a joke
@petroprenge8716
@petroprenge8716 4 жыл бұрын
Kuna ukweli kwenye neno 'natania'
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 жыл бұрын
Yan huyo tangu apewe crown anajiona yeye ndio Bora kuliko woote
@jembenijembelive7329
@jembenijembelive7329 4 жыл бұрын
Daaah hii n kali mnooo
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 4 жыл бұрын
Huyu jamaaaa ni talented sanaaa namkubali sana na anastahili kuwa hapo
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 4 жыл бұрын
Matatizo kwetu flusa asante wasafi ila tujipe pole kwakupooza mtaani kwetu
@nzokirajeff4732
@nzokirajeff4732 4 жыл бұрын
The babajol one and Baba levo nice bro
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 4 жыл бұрын
Chama la wanaaa lipo gud sanaaa huchoki kuwafuatliaa respect
@myclejiday4882
@myclejiday4882 3 жыл бұрын
Hua nafurahishwa Sana na baba levo nakukubali sana
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 4 жыл бұрын
Baba levo wasafi musimuache anatupa raha sana niko Zambia lakini nafwatilia sana wasaf kiukwer na enjoy
@horizoncompany2192
@horizoncompany2192 4 жыл бұрын
😂😂jamaa yuko gud full confidence
@rahimhemedi5453
@rahimhemedi5453 4 жыл бұрын
Ni yeye BABA LEVO
@johndavidwemabmjv.4259
@johndavidwemabmjv.4259 4 жыл бұрын
Msameheni Baba L kwa kosa alilotenda nashukuru kuwaona mko pamoja.
@umma6654
@umma6654 2 жыл бұрын
Kwani alifanya kosa gani wasafi?
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 жыл бұрын
Aki nakupenda sana babalevo
@latifahilal6032
@latifahilal6032 4 жыл бұрын
ndugu mwandishi mavazi gani hayo ,tena mbele za watt wa kiume.muone aibuuuu
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 4 жыл бұрын
Uyu mdada simuelewaga kabisa anamavazi machafu sana yani Sijuwi anawatoto uyo buashara matangazo anajiuza 😏😏😏
@magereloan7076
@magereloan7076 4 жыл бұрын
WW BINTI UNAJIONA MTANGAZAJI MZURI KWAKUPEWA GARI ACHA KUMDHARAU BABA REVO ACHA UJINGA
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Muna enjoy juu ya Baba levo 😂😂 Allah ahendeleye kumurinda Boss wenu
@kelvintajiri8982
@kelvintajiri8982 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭🙏💓....Babalevo aongezwe mshahara mbavu zangu zauma jmn🤣🤣🤣
@davidbenjamin9646
@davidbenjamin9646 4 жыл бұрын
B levo yuko vizur
@tazamamaajabuyaulimwengu2786
@tazamamaajabuyaulimwengu2786 4 жыл бұрын
Kwalipi nzuri hapo
@khadijawaridi7455
@khadijawaridi7455 4 жыл бұрын
Baba levo nakupenda bure 😍😍❤❤❤
@salumalley2470
@salumalley2470 3 жыл бұрын
Nakukubali sana baba levocatus
@godfreybaitani602
@godfreybaitani602 4 жыл бұрын
"David Rwenyagira" huyu jamaa anajua sana na ndo alikuwa ananifanya nisikilize East Africa redio kwenye ndinga mpya town
@kelvintajiri8982
@kelvintajiri8982 4 жыл бұрын
Wasafi na babalevo ☑️👍😍🇰🇪
@mwanzalulukiburwa8170
@mwanzalulukiburwa8170 4 жыл бұрын
Wao! David Rwenyagira from Bmlo, long time, upo vizuri saana
@oyay2821
@oyay2821 4 жыл бұрын
Hii ni matusi kwa TCRA, watu wame fungiwa ndio wana enjoy zaidi yakuwa kazini
@rahmatgateka6461
@rahmatgateka6461 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ibrabofubofu8763
@ibrabofubofu8763 4 жыл бұрын
All in All Yamekwisha B levo twakupenda wasafi Nguvu moja
@waheedahtanzania5884
@waheedahtanzania5884 4 жыл бұрын
Wallahi BABA Levo huwa sipendi kabisa kumkosa vichekesho vyake huwa sipendi kabisa kumkosa maana stress zote huwa zinafutika ghafla wallahi 😂😂.hahaha huwezi kuwa tajiri kwa million 40😂
@fahmiyally1206
@fahmiyally1206 4 жыл бұрын
Wasafi juuu
@samweliibrahim4541
@samweliibrahim4541 4 жыл бұрын
wcb for life
@Kingnelbo
@Kingnelbo 4 жыл бұрын
Uyu jamaa hatari Sanaa 😁😁
@josephelius8196
@josephelius8196 4 жыл бұрын
siwashi radio yangu upande wa fm mpaka mludi hewani nasubili kwani zimebaki siku 3 tutasonga mbele zaidi hakuna kama nyiye wasafi chama kubwa.#WCB FOR LIFE
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
" asa hiyo ina umbaya gani? " I just don't know why it sounds different and funny today 😂😂😂😂
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
Not umbaya it's ubaya
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
@@selector728 Utachoka ukianza kushughulika na spelling za watu mitandaoni.. Bro, nobody owes nobody no good grammar social media
@selemanmayala7436
@selemanmayala7436 4 жыл бұрын
Wasafi raha Sana kama hamjafungiwa tu kila kitu tunakipata kwa ubora zaidi 💥💥💥💥 baba levo anazidi kujizolea umaarufu tu
@damarisjosiah8273
@damarisjosiah8273 4 жыл бұрын
Huyo dada mbna kujifanya yeye ndio kaumizwa sana,anarudiarudia point moja,sema kamkuta babalevo hajali
@jofreybartazal9207
@jofreybartazal9207 4 жыл бұрын
Sasa ilo sur likidondoka vip happy baba levo
@jacksonemanuely6982
@jacksonemanuely6982 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaa dah baba levo jaman nimtu katika watu yani habowi kabisa
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 4 жыл бұрын
Popote palipo na Babalevo hua hapaboeki Big up Babalevo Unachangamsha for real
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 4 жыл бұрын
Uncle D positive mind kinoma. Umeongea vizuri mno.
@steintvtz
@steintvtz 4 жыл бұрын
Big daddy, respect wise words 🙏🙏🙏
@raphaelkebelo2745
@raphaelkebelo2745 4 жыл бұрын
D111 D1 baba levooo nomaa xana aa sehem ulipo ni sehem xahihi waxafiii chama
@rahimhemedi5453
@rahimhemedi5453 4 жыл бұрын
Sas kwan inaubaya gn
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 4 жыл бұрын
Big up, Big Daddy umeongea maneno ya kiakili sana
@malikiapaul4016
@malikiapaul4016 4 жыл бұрын
Nampenda sana baba levo🤣🤣🤣🤣
@muthegreat3667
@muthegreat3667 4 жыл бұрын
Dah!! aisee .
@giftblessed3459
@giftblessed3459 4 жыл бұрын
Wasafi Muko juu sana
@muthegreat3667
@muthegreat3667 4 жыл бұрын
Raha sana natamani nami ningekuwa mmoja wenu .
@Peaceman-S
@Peaceman-S 4 жыл бұрын
Yaani mavazi yakimbwaaa kwelii huyu dada....ikifungwa na hii tv yenu ndo mtajifunza..mnahalibu brand tunawapenda ila kuna vitu mnahalibu
@nyotamapenzi9854
@nyotamapenzi9854 4 жыл бұрын
Msijali wazee yote ya wezekana wasafi
@marleenbby9841
@marleenbby9841 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@emmanuelmashauri8949
@emmanuelmashauri8949 4 жыл бұрын
#SasaHiyoInaUbayaGani !
@halimambwego3520
@halimambwego3520 4 жыл бұрын
Nice uncle D
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 жыл бұрын
B Levo baaah yani nimecheeeka sa hiyo inaubaya gani? 😂😂😂 harafu et me ninadumu langu kule😂😆wallah kaaaa
@ancyrom6929
@ancyrom6929 4 жыл бұрын
Babalevo meeeeeeeen
@nassoorg8832
@nassoorg8832 4 жыл бұрын
Babu idy mie nakupenda tu😘😘😘😘😘😘😘mamu from 🇲🇬omn
@swillah9753
@swillah9753 4 жыл бұрын
all in all 😂😂
@masongaofficial
@masongaofficial 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@opqsweetbert9598
@opqsweetbert9598 4 жыл бұрын
Sawa kwani kuna ubaya gan😂😂😂😂😂
@konsolatatutu423
@konsolatatutu423 4 жыл бұрын
Presenter mbona umepaniki? Swali simple tu lakishikaji ndo uanze kusema kosa alofanya? Huoni mnaweza kumhadhiri kisaikology 😒😒
@kbdk3065
@kbdk3065 4 жыл бұрын
Umesema sawa ndugu hao jamaa laba awapendi kufanya kazi na baba levo 🤭🤭🤭
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
Ht kufa umbwa yyt yle shishi haezrd kwa hlo jisenge lakumpiga piga alikuwa a taka kumuua jchb nujiuwaji akafie hko kwao
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
@@ayeshal4395 mbona povu tena, kajifunze kuandika kwanza alafu urudi kukomenti.
@konsolatatutu423
@konsolatatutu423 4 жыл бұрын
@@ayeshal4395 🤮🤮🤮🤮🤮
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 жыл бұрын
@@kbdk3065 roho mbaya tuu kwakwel
@basmahalshammmari641
@basmahalshammmari641 4 жыл бұрын
Baba levo ananiuwaga nikimskiliza lazimanicheke
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 117 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05
Zanzibar lifestyle
Рет қаралды 88 М.
BABA LEVO afichua siri NILIWAONA NANDY na BILLNASS WAKIZAGAMUANA
8:36
MKE WA KUOA ANATOKA MKOA GANI?😂
8:29
Chard Talent
Рет қаралды 19 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН