Mboyoyo ni comedian mzuri sana sema kinachomfanya asifike mbali ni aina yake ya kuchekesha ambayo inatumia akili sana na inahitaji mtu mwenye akili kumwelewa. Like 1 tu kwa mboyoyo inatosha
@msasenathpotiphar17322 жыл бұрын
😁😂🤣😜
@tijomrisho493 жыл бұрын
Sema kwa Sasa Tz no one like huyu bwana outside nakuwa na mnguli like joti but mboyoyo ni mtu mmja anafikilia more ,sema bahati tu ila one day yes , .....DC documentary control
@karamanazareno15563 жыл бұрын
kabisa yaani sijui kwanini hapati endorsement kubwa kama wakina joti kwasababu yupo vizuri sana
@tijomrisho493 жыл бұрын
Sema one day me naamn akiendelea kujibrand nothing kinachoweza msimamisha aisee
@suhaymerhummu47933 жыл бұрын
Tanzania bila kiki uwez kufanikiwa na yy mambo hayo hana
@theabulatinoh3 жыл бұрын
Huyu jamaaa muongo sana🤣🤣 Mke wake ajipange sana😂😂😂😂
@Makavelithedon20863 жыл бұрын
*Tuseme ukweli mboyoyo anakipaji ila najua wengi watapinga*