Mkuu tunakuombea sana, kwakweli unafanya kazi nzuri na unamsaidia Mh Rais vizuri. Mungu awape maisha marefu
@elizalutiga62872 жыл бұрын
Kwa kweli
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
Anawasadia wananchi rais wako Hana muda yeye kashaota mabawa muda wowote ni kupaa2
@simonandrew14892 жыл бұрын
Kabisa
@robertedward1992 Жыл бұрын
Huyu ndie rais wa baadae,baada ya mama Samia,piga kz mh.
@immaculatacornel2783 Жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa, Majaliwa, Nchi imeoza ni upigaji mtupu! Pumzika kwa amani Magufuli, baba tunakukumbuka sana!
@francismlembwa27332 жыл бұрын
Kwa kweli Ni kazi kubwa Sana mnayo viongozi weledi, asilimia kubwa viongozi Ni wapiga dili tu, hongera mh waziri kwa kazi kubwaunayoifanya
@kombedavis40562 жыл бұрын
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI....Majaliwa Kasim ni kama ana nafc yako ndani yake anastahili kuwa rais wa Taifa hili. ni mzalendo mkwel na muwaz pia!
@phillephillip60912 жыл бұрын
Mkuu, Allah Akuhifadhi, piga kazi, kazi iendelee... Heshima itachukua mkondo wake🙏
@zalfahashimu9393 Жыл бұрын
Tunakuombea baba chapa kazi ,hapo nimekuja 💯 pacernt
@alphadreammedia2 жыл бұрын
Huyu ndugu yetu majaliwa tumuombeee sana tena sana maana hii vita ni ngumu.
@ramadhanhassan52852 жыл бұрын
Huyu mzee majaliwa nampongeza sana jinsi anavyopambana anastahili kuwa kiongozi bora mana kiongozi bora lazima awajue watu wake wanaishije na wanaendeleaje mungu akuzidishie. allahuma amiin
@massjmalulu38622 жыл бұрын
Anakuribia wewe tu kwakazi nzuri unayo fanya lakini kuna wengine wanaona tu poa mungu akupe maisha mema uwe raisi majaliwa
@rahimaaaaa86992 жыл бұрын
Pole.sana Mh. Hali.ni. mbaya sana nchi nzima. Samia kaamia kushika tama
@martinemasaga72552 жыл бұрын
Polesana PM
@mengiiblahim42152 жыл бұрын
Majariwa mungu akuzidishie maisha marefu
@mwanakhatib58252 жыл бұрын
Mh angalia Kaka Tanzania mchi ndo go lakini uchawi ni mwigi sana hawapendagi kukosorewaga hao
@mwanakhatib58252 жыл бұрын
Huyo was mwisho Ana tumbo Kama njipu bivu
@rosiemary77882 жыл бұрын
pole sana waziri mkuu hii nchi ni pasua kichwa
@saudahassan66672 жыл бұрын
Rais wetu wa badae chukua kura yangu baba 🙌🙏
@deusdebitkowa96572 жыл бұрын
Mungu akulinde Mh. Kasimu. Mungu akujalie maisha marefu,Taifa letu linakuhitaji sana.
@ejulaizerjulaizer1282 жыл бұрын
Watanzania huyu baba tumuombee sana nafikiri kila mmoja anaona nyendo zake ana uongozi uliotukuka
@mzalendowaasili17272 жыл бұрын
MAJAALIWA MBELE KWA MBELE , RIP MAGUFULI
@prettymasha24302 жыл бұрын
Hawatomwacha salama
@charlesnjau50392 жыл бұрын
Udanganyifu ni mwingi kuliko kweli Chapa kazi mkuu
@elizabetmbilinyi23872 жыл бұрын
Baba upo vizuli sana mungu akuweketu wasije kufanyia kama mjomba magufuli duuuuu mh hiiii nimeipenda sana Leo ndonaiona baba duuuuuuuu mh
@mauricempinga9352 жыл бұрын
Unatukumbusha mbali sana 😢🙏
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Toka mwaka 2021 daaaaah it so sad jamn😭😭😭😭😭usiongee nalo litimue tuuu mana halina faida
@geofreybukwali96112 жыл бұрын
Waziri mkuu Mungu akusaidie
@samejaataratibu5164 Жыл бұрын
Daaaaaa Inasikitisha Sana
@eliudijustinyindi59392 жыл бұрын
Hakyamungu nchi hiii kwanini asichukue kijiti majaliwa jamani🇹🇿😳😳😳🤭😢
@ndayishimiyeelias96922 жыл бұрын
Rais hawez kuhangaikia nchi Kisha aje kufwatilia miradi, ndo maana kunawasaidizi wake, hata Majaliwa akiwa Rais huwezi kumwona kila mahali
@adamhashim3352 Жыл бұрын
@@ndayishimiyeelias9692 angalau atatumbua kama magu
@remidusmwanandenje-yy5gs Жыл бұрын
Tumbua awo matako😂😂😂😂😂
@jumaamartin79292 жыл бұрын
MWENYEZ MUNGU JALIA WEPESI KWANAMNA UNAYO IJUWA ALLAH HUYU MJA WAKO MHS MAJALIWA AWE RAIS WA JAHURI YA TANZANIA
@eladiurassa1232 жыл бұрын
Mheshimiwa upo vizuri.
@rahmahersi65842 жыл бұрын
PM..pole sana..kwa kazi Ngumu...mbona watakufanya Update mvi haraka. Pole ndugu yangu. Mungu Akupe afya..umri..na imani.. Inshaallah!!
@abdullyamiry1602 жыл бұрын
Pole Sana waziri pole Sana 😭😭😭😭😭😭😭
@rahimaaaaa86992 жыл бұрын
Pole.sana
@josephmurimi52442 жыл бұрын
Wish you're Kenyan sir
@sophiamvungi14252 жыл бұрын
Waziri mkuu mungu akulinde na mahasidi maana kazi unaifanya mh
@texasfakii32212 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@josegambi71492 жыл бұрын
Majaliwa piga kazi mzee watanzania tunaimani na mwenyezi mungu akujalie afya njema
@marymuna58102 жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi sana
@mwajumabakari37302 жыл бұрын
Mama yupo kimya tuu anawaona watumishi wake kalipia hao tena kukuza kabisa asante waziri mkuu
@nassorkhalfani14672 жыл бұрын
Kama kila kitu afanye raisi hao mawaziri waliochaguliwa wafanye kazi gani au wabunge wafanye kazi gani
@ericksamwel48142 жыл бұрын
Yaaan hapo haki za binadamu wako kimya lakin hatua zikichukuliwa dhidi yao wanaibuka eti haki za binadamu Kwa ujinga huu kweli ni nan ataweza kuvumilia.
@erastokihwili49152 жыл бұрын
Baba waziri mkuu Hali ndio hiyoo hakuna Tena kujali Mali za umma watu wanawaza kupiga tuu basi kwanza heshima ya watumishi imepotea Tena sio kama kipindi Cha JPM watu walikuwa watiifu Sanaa saizi mmmh Mungu atusaidie
@stevenmichael92642 жыл бұрын
Duuh ila huyo mpambe nae mmbeya hiko kiti si angeachana nacho2🤣🤣🤣🤣🤣 ,et wameficha ili tusione🤣😂😂😂
@hajially45272 жыл бұрын
Sukuma ndani
@lama63102 жыл бұрын
Sikuiz Naona Millard ayo na Wasafi news wameanza Kuweka Clip Nyingi ZA Mheshimiwa Majaliwa😌 au Usikute CCM wanamuandaa Kuingia Urais Mama Akimaliza Awamu Hii ya Magufuli😌 .Na Upande Mwingine Chadema Wanamuweka Sana John Heche.😂😂😂.
@festogeorgekwakala41462 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃 hii nchi inavituko kwakweli
@vickystephano224 Жыл бұрын
Me Namwombea majaliwa miaka migi Sanaa Anasaidia sana ni kama magufulu
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Fanya kazi Mzee,,,,wapo wengi
@flova70222 жыл бұрын
Waziri kullllaaaaaaaa gwalaaaaaaa
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Tanzaniya tumerogwa?
@rosechuma98732 жыл бұрын
ASILIMIA 91🙌
@nasrafadhili74082 жыл бұрын
Nakuona mbali baba pambana
@edithajoseph76752 жыл бұрын
Nacho sikitika na hao wahalifu kuendelea na kazi kama kawaida. Mungu aingilie kati.
@innocentkagashe36572 жыл бұрын
Mungu tuhurumie, yaani izo tiles box 1 ni 22000
@alphadreammedia2 жыл бұрын
16,000 bana
@yasinisagogo57872 жыл бұрын
Huyu Mzee ndo mris wamagu jaman
@emilianchibinda822 жыл бұрын
Jamani tuwe wakweli tuu:Kuongoza watu na taasisi kama hizi kuna hitaji uzoefu jamani ': Ili kuondoa maswali ambayo wahusika wanashindwa kutoa majibu ya waziri mkuu hapa teueni wenye uzoefu waokoe taifahili na muda ndio huu:Si kwamba wanadharau wanayoelekezwa;'hawa hawaelewi:Vinginevyo wana agenda zao zenye lengo kukwamisha juhudi za serikali: Kamahuko ni hivi jee kule kijijini!!
@philiplenardsylvester60632 жыл бұрын
Kazi iendelee ,🤣🤣🤣 RIP magufuli daima tutakukumbuka
@bwagizoselemani84342 жыл бұрын
Daah jmn kweli hii nnchi itafikia lengo jaman
@StephanoCharles-nq8tf10 ай бұрын
Hyu mzee ankosa nguvu kulingana mfumo wa serkli😢😢
@mohddelo4112 жыл бұрын
Safi
@roselugendo69432 жыл бұрын
Dah
@mudnhogengester2 жыл бұрын
Baba tunakuomba uwe Rais wetu
@Ombenikishombo Жыл бұрын
Ubarikiwe saana Kwa kuyakemea hayo madudu
@mwembambamatelephone33942 жыл бұрын
Atalii snaa
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Mlichekelea Baba Magufuli kufariki lkn Mungu anatupenda wa tz, najivunia waziri wangu mkuu.
@johnnjenga59692 жыл бұрын
Next president
@mayungaagnes56602 жыл бұрын
Wapi hiyo jmn.hospitali gani hii.maana inasikitisha sana duuu.Majaliwa ondoka na mkurugenzi akajibu kwa nni hajamaliza ujenzi
@mweyoms55482 жыл бұрын
Bila shaka PM wetu huwa anameza Hedex kabla ya kulala maana kwa hali hii kichwa lazima kiume.Kila anapokwenda anakuta WIZI,UTENDAJI DUNI na UZEMBE.Nchi hii inaumizwa na hayo mambo matatu.
@sonnyr18992 жыл бұрын
Naogopa Majaliwa asije kufukuzwa kazi kwa kutowa siri zao 😢😢 maana huyu mtandao wa majizi ni mkubwa sana na una nguvu hatare.
@prettymasha24302 жыл бұрын
Kumuua kabisa 😢
@messiasulleydidy25852 жыл бұрын
Huyu yuko pamoja na Mama
@sonnyr18992 жыл бұрын
@@messiasulleydidy2585 Mama sijawahi kumuona akifanya izi action ao labda sababu ni mzazi ndio maana anawahurumiya.
@messiasulleydidy25852 жыл бұрын
@@sonnyr1899 mi nakuambia wako wote kabs
@kurumwagodfrey70522 жыл бұрын
Magufuri alikua anaakili hakukosea kukuteua unajuaaaaa mkuu next presdent
@mwlpierre2 жыл бұрын
Hapo tatizo atatembelea hospitali ngapi Nchi kubwa hii, sasa hivi hakuna wasaidizi wakuaminiwa miaka yote
@zafarmohamedy30132 жыл бұрын
Wabongo bado tunababaisha sana 😄😄
@ezekielmsembe2 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mzee
@waziriomar14142 жыл бұрын
Kimsingi huyu mzee mi namuelewa Sana utendaji wake
@jumannekamota48702 жыл бұрын
Yani tembelea hospital zote watu wanaoana Bora akatibiwe hospital binafsi kwa gharama kubwa kuliko za selikakari duuh safi sana
@christophermwandemange7962 жыл бұрын
Nchi hii haaa shida sana, Kila mtu akipata kaz anawaza kuiibia serikali yan R.I.P Magufuli
@manmgomi30422 жыл бұрын
MAJALIWA naomba nafasi ya kunyonga wazembe wazembe kama ao Yani dar roho inaniuma sana
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
Na hapo tu Waziri umeingia bahati mbaya je ungeamua utembehee nchi nzima siungelia machozi na ungejiuzulu kufanya kazi na WA uhujumu Kodi za wananchi
@mathewmathayo2122 жыл бұрын
Yaani kuna hospitali zingine unaenda kutibiwa malaria na unarudi na uti tena
@baltasartemu21532 жыл бұрын
Kwa kweli huu ni uhaini....seriously sio sawa.....hivi akiwachapa makofi mtasema je?
@rosemarynkwera86952 жыл бұрын
Nakupenda bureau we baba
@pacomezouzoua91752 жыл бұрын
Wapi mwamba magufuli😫 mzee wangu mungu akulaze mahali Pema peponi I miss Ur presence dady over 1 billion kweli🤔 Na kuna mtu yuko marekani saizi anapiga picha ili apewe mkopo mwingine yani naumia sana lakini anyway ilo jasho la wanyonge litawalilia siku moja nyie kazaneni tu
@hamadsaburi35692 жыл бұрын
Tanzania imeoza rushwa
@blandinamwarabu50252 жыл бұрын
Sijaelwa hivi mpaka Waziri mkuu agundue madudu Mkuu wa Wilaya hayupo, Mkuu Mkoa hayupo Waziri mwenye mdhamana yuko wapi??? Shida mfumo haufanyi kazi inabakia mtu mmoja anahangaika peke yake.
@sanoureyaliwadoakaroyo16962 жыл бұрын
Mfumo Wa Ccm Ndio Unaofanya ivyoo Maana Mafisadi Ni wale wale Tu Yani Visadi Alikuwa Mkuu wa wilaya Kesho Anatolea Kwenye Ukuu wa Wilaya. Kesho Anapandishwaa Kuwa Mkuu wa Mkoa Ssa Unafikiri Kuna Mabadiliko gani hapo
@peterkihongosipeterkihongo11542 жыл бұрын
Majaliwa nimiongoni mawaziri wakuu bora afrika
@sonnyr18992 жыл бұрын
Hizi ndio kazi tulitegemeya Chadema kukosowa serekali kwa wizi unaofanywa na baadhi Ya wafanyakazi ila akaaaaa Wapo bize na mambo yao. Ongera Majaliwa unafanya kazi Nzuri
@kingdomnjimbi67252 жыл бұрын
Unaelewe ulichokiandika? Wewe unaweza kwenda ofisi yoyote ya umma au taasisi ukahoji ishu kama hizi na matumizi ya fedha za serikali? Hii ni kazi ya watendaji wa serikali wakiongozwa na waziri mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa serikali. Ni vile watendaji wa ngazi za chini wanamuangusha kwa kukosa uwajibikaji na kushia kujilimbikizia malundo huku utekelezaji wa ya serikali ukiwa na hali duni. Waziri mkuu pekee hawezi zungukia nchi nzima kuvumbua madudu kama haya, haya ni machche kati ya mengi ambayo hayajafahamika. Mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kupambana na haya.
@sonnyr18992 жыл бұрын
@@kingdomnjimbi6725 Kaka kwanza nikubaliane na maoni kwa moyo mmoja. Ila platform Za kujieleza zipo nyingi ila upinzani wetu hata kwenye tozo wameshindwa kututetea hio ndio hoja yangu ndugu yangu.
@geofrey44032 жыл бұрын
Waachen chadema wanapunguza miiba waliyowekewa. Mliowapitisha bila kupingwa ndo walaumiwe
@mamboshepea88882 жыл бұрын
@@geofrey4403 Endeleeni kuwatetea...Ikulu wataichora chini kwenye vumbi😃😃
@yusuphrevocatus85552 жыл бұрын
Yetu macho
@edwardkimathi18612 жыл бұрын
Duu kweli watu wanajua kuzipiga pesa hta hawogopi jamani.waziro mkuu anajitahidi lakin ttizo yuko peke yake
Hiindiyo Tanzania yetu daaa watu hawana uchungu na nchiyao kwakwelii mhh
@latwifsued33162 жыл бұрын
Asante sana baba yetu mungu tuko pamoja na wewe, dua tunakuombea, unamsaidia Rais vilivyo na hata hayati magufuli alipo anajivunia maono yake ya kukuteua wewe hakika ni mtu sahihi. Watansania tunapenda kuona serikali mnakuwa wakali juu ya wapuuzi wachache wasiojali mali za umma. Kazi na iendelee kweli kweli.👍
@edwardmagige3187 Жыл бұрын
Kwa kweli kuna mambo mengine ukiyaona unaweza ukampasua huyo mkrugenzi makofi!!
@saadashim61802 жыл бұрын
Sasa Waziri mkuu sasa ndio kazi yako unaifanya barabaraa
@nyasiopascal18672 жыл бұрын
Fanya kazi mkuu hawa jamaa wanawaangusha fukuza wote
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Hapo hakuna usimamizi mzuri wote niwezi
@TALLUBOY2 жыл бұрын
kasim angeli kamata nchi ingelikuwa unyama sanaaaa 😡😡😡😡😡😡 viongozi wa apa chini wanafanya kaz kwa kumzalau mh-rais - na rais mwenye anacheka nao tu hajui wanamtia doa namaisha kuendelea kuwa magum wachek wanazilamba pesa wananchi tunalia na njaa kwani wew rais unashindwa kuwatumbua
@mathahosea67832 жыл бұрын
Bora unapojionea mwenyewe mambo wayafanyayo
@andersonmutta38072 жыл бұрын
Haonei mtu, anaongea Kwa hekima zaidi uku akitekeleza majukumu yake, eeh M/MUNGU mpe afya njema.. PM💪
@safhe-mpungi60752 жыл бұрын
Waziri mkuu yeye mwenyewe hataweza, kila aendako ni SHIDA. WASAIDIZI WAKE AMKENI JAMANI.
@kostamhogofela63352 жыл бұрын
Ukisikia Tz elimu tunayopewa ni kwa ajili ya kufaulu mitihani2 unabisha Kuna haja serikali kuanzisha SoMo la uzalendo wa Nchi Yetu toka awali Mpaka chuo kikuu Wenda kidogo tukaeleweka .
@malcomg10042 жыл бұрын
Majaliwa pekeake ndo amebaki kupambana na hii nchi,tatzo la hili li nchi ni likubwa mnoo,akidhibiti igunga anapigwa nachingwea,akidhibiti nachingwea anapigwa loliondo,akienda loliondo anapigwa tukuyu😂😂.yani ni tafrani