MTU ANAYEPONYA WATU KWA MAJI YA KISIMA / SIO MCHUNGAJI, SIO SHEHE - MSWAHILI SEHEMU YA KWANZA

  Рет қаралды 22,740

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MTU ANAYEPONYA WATU KWA MAJI YA KISIMA / SIO MCHUNGAJI, SIO SHEHE - MSWAHILI SEHEMU YA KWANZA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 130
@pascalerick3525
@pascalerick3525 Жыл бұрын
Angekuwa mzungu au mwarabu tungemuita nabii ila kwakuwa ni Mtanzania tunamuita mchawi waafrica Mungu anatupenda sana tatizo tumefunzwa kujichukia na dini zetu ngeni
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 Жыл бұрын
Kabisa 🤝
@mbarakaabilahi3400
@mbarakaabilahi3400 Жыл бұрын
Akili kubwa
@kbmsouth
@kbmsouth Жыл бұрын
I'M PROUD TO BE A MUSLIM .. I will stand with my FAITH to ALLAH ☝️
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Hatali. Allah tujaalie mwishomwema maana hi Dunia inaisha vibaya na maajabu na maovu mengi na kukusingizia mengi Sana ya Allah tusamee wajawako utuepushe na moto hakika hakuna tu anaweza kuuvumilia Azabuzako🤲
@ommy551
@ommy551 Жыл бұрын
kuna tofauti baina ya kutibu na kuponya. Kutibu ni kipaji miongoni Mwa vipaji Allah anampa amtakae katika waja wake. Ama kuhusu Kuponya hakuna anaepomya ispokua Allah mwenyewe. Kutibu ni sababu tu ya kuponya Kutoka Kwa mwenyezi.
@haridyhillaryndembo1946
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Sahihi
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Mwanahabari upo sawa Lkn unapokua kazini Sio vizuri ukiwa unakula Huku unafanya mahojiano kinywa wazi
@raygeena8552
@raygeena8552 Жыл бұрын
Aii we wacha bana😂mwenzio as ikule Sasa na kwanini?
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Жыл бұрын
Duuu Zembela kwa kuukata ubwabwa hujambo duuu unanifurahisha sanaaa Ukimwi tenaaa
@levikinyanjui2627
@levikinyanjui2627 Жыл бұрын
I had miss this for long
@mfakishineni4310
@mfakishineni4310 Жыл бұрын
Mungu humpeleka mtu kule alipo kuchagua Kama Kama unaamini sokwe anapokea ujumbe kutoka kwa mungu basi utapona ila subir jahannam inakusubr huyo sokwe hata swala haiju kapatwa na Majin munaamin basi subirin moto
@chanzisultani3885
@chanzisultani3885 Жыл бұрын
Huyosokwe nikweli anasaidia ushahidi Mimi mwenyewe kanisaidia
@user-bi5ph8fu4x
@user-bi5ph8fu4x 2 ай бұрын
We mwamba nakukubali sana
@joshuamasamboka1172
@joshuamasamboka1172 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@hhurbert
@hhurbert Жыл бұрын
Sokwe bhana na dingi yake mdogo wote wawili kavu sana
@piusphilip307
@piusphilip307 Жыл бұрын
Maadui watatu . Bado wanaitafuna Tanzania, hakuna aliyesalama (1) NJAA....Zembwela (2) MALADHI (3) UJINGA
@michaelcheyo4072
@michaelcheyo4072 Жыл бұрын
Kweli kabisa kaka!
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
😃😄😄😄😄
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
TANZANIA 2 NDII INAYOTAFUNWA NCHI ZINGINE HAZITAFUNWI??? WEWE KWELI MJINGA.
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 Жыл бұрын
Sokwe alikula msuba🤣🤣. Jamani jamani dunia imekwisha.
@venancjoseph1498
@venancjoseph1498 Жыл бұрын
Wale mashehe wakubwa wa dar,waliosema waislamu hakuna kuombewa na mkristo hapo sasa
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Uyo siyo Mkristo. Na wala haombei nazan
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KUOMBEWA KITU KINGINE KUTIBIWA KITU KINGINE.
@softsoftbby8013
@softsoftbby8013 Жыл бұрын
Hahahaha Zembwela napenda sana unavyo kuwa ukiuliza maswali,,,,dunia hii tutaona mengi sana ila ukweli utabaki pale pale,zaama zamani kutakua mambo mengi ya uzushi
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Mashetani yanakuchezeeni ndugu zangu. Uletelewe maoni na Mungu wewe ni nani kwa mfano? Unaletewa maono na Mashetani . Msiba huu kwetu sisi binadamu.
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Ilo liko Wazi kabisa kaka. Ila ni wachache tu wanao fahamu hilo
@rommelmauma5199
@rommelmauma5199 Жыл бұрын
*Mswahili* ni kipindi bora kwa umma.
@shabanmnahi4648
@shabanmnahi4648 Жыл бұрын
Watu wengi sana wanaumwa jaman duuh!!
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Huyo sokwe ni shiidah,unakuta umati hapo kam kariakoo 🤣🤣
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ukiwa Na Pesa Au Kitu Cha Kujenga Hata Ndugu Wakiulizwa Watajitambulisha Kwa Eshima Kubwa Sana Ngoja Uwe Kabwela Utajua Ujui Usishangae Ndugu Kusema Awakujui Kama Sehemu Ya Ndugu Yao
@aishaabdullah4172
@aishaabdullah4172 Жыл бұрын
Jamani maono ya Mungu akupe huku awe anakuadhiriaha kweli 🤣🤣😂🤣 Yaani mtu unapiga makelele unalia 🤣😂🤣😂🤣😂 hayo mashaytwan tu jamani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NENDA KAYATOWE.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Huwo ushilikina anafanya maonogani hayo aingie ndani mizimu I mwambie na misweitwani Nami jini ndiyo inamfundisha ushilikina Naiyazubillah
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 Жыл бұрын
Eheeee kunywa maaaaji uyu sokwe kama avuti bangi mniite mbwa nipo kibaha tanita
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WEWE MBWA.
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 Жыл бұрын
Wewe mbwa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Yani We Jamaa Japo Unafanya Vema Lakini Utambue Wanaokutazama Wanatumia MB Sasa MB Zao Zinaishia Kwenye Ujinga Wako Wanakosa Kile Wanachotaka Kukiona Kile Wanachokitaka Kukiona MB Ni Pesa Wewe Ubwabwa Mjini Uko
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Katma Ukwimwi hiyo cinema Bana
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Kkkkkk kwa sokwe ni kitonga alafu unaamsha
@alkasusjaasus7015
@alkasusjaasus7015 Жыл бұрын
Zembwela bana eti ..vilema? swali kali sana 🤣🤣🤣. Mponaji Mungu hao wengine wazugaji tu
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Mponyaji Mungu.... Mletaji maradhi pia ni Mungu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@BigZhumbe LAKINI WANAOTIBU BINADAMU WENZAKO MPONAJI NI MUNGU HUJAKOSEA
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
AKIWA MUONGO UTAMWITA MZUGAJI
@abdallakhatib3898
@abdallakhatib3898 Жыл бұрын
Hahaha Zimbwela unaulizwa ushaona eeeh na hujibu unakazia tu
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Ni sehemu gani hapo jamani?
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Mkuranga iyo Kaka
@wadidazone5759
@wadidazone5759 Жыл бұрын
heeee kunywa maji duuh hatarii
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 Жыл бұрын
njaa kali tanzania hamn tiba hapo
@tobosha3236
@tobosha3236 Жыл бұрын
Zembwela bora mliweke pembeni kweli hilo la ukimwi wasituchanganye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWANI UKIMWI SIO MARADHI??
@MrHuvix
@MrHuvix Жыл бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji (shirki)
@ngunitv
@ngunitv Жыл бұрын
Ngunitv
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Dah mitihan hii wallah kaz kupotosha watu 2
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Kabisa Dada. Uti ametumwa na Majini anaongpa Anapata Maono kutoka kwa Mungu. Shame
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
@@juniorbachelor8296 ndo ivo hyo maono apewe yey 2 ftina 2 alaf usikie maisha magum wanamchezea mungu kwa mikono yao
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@juniorbachelor8296 UMEJUWAJE KAMA NI MAJINI??? KWANI MUNGU HAWEZI KUMUONYESHA??? JINI NDIO ANAEWEZA????
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@aminaalabri4170 KWANI ULIENDA NA HUJAPONA??? NA KAMA HUJENDA WALA HUJAJARIBU UTASEMAJE WANAMCHEZEA MUNGU???
@frankthegreat2004
@frankthegreat2004 Жыл бұрын
Walianza kina Babu wa loliondo tukawa zoom tu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Za kuambiwa changanya na zako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UKISHAZICHANGANYA NAMBIE BABU WA LIONDO MIA 5 HUYU BURE.
@ngunitv
@ngunitv Жыл бұрын
Mtu anaepanya watu kwa maji/ngunitv
@ngunitv
@ngunitv Жыл бұрын
Watching mponyaji ajahza kuponya walemavu anasema/ngunitv
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 Жыл бұрын
Nimekuwa nikitumia huduma zake za kunywa maji kwasasa niko tofauti
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@jumaabdurahmani2733 AL HAMDULILLAH 🤲🤲🤲🤲
@salmasuleiman5069
@salmasuleiman5069 Жыл бұрын
Uyo anae mshika miguu babu apo ndio sokwe atali uyo kaka mung amuweke
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 Жыл бұрын
Ukitokea kongowe unashuka maeneo gani nikafanye nae interview
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Watu wanaona maajabu na ujinga kuwa jamaa anaponya kwa maji ikiwa Uislamu wanasomea maji na kuyatemea mate mgonjwa anakunywa sotojo la mate....... waliolewa na dini hawaoni ujinga kunywa mate ya watu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
ULIONA WAPI MAJI KAYATEMEA MATE??? WACHA UWONGO.
@amrympiti847
@amrympiti847 Жыл бұрын
Huyo dada 😔😔😔🕺🏽🕺🏽😍😍
@shuhaiyasuleiman6450
@shuhaiyasuleiman6450 Жыл бұрын
Kafanyaje
@mudiomari3007
@mudiomari3007 Жыл бұрын
Naona tartiiibu unakata tonge apo
@actionscene4753
@actionscene4753 Жыл бұрын
Eti hata kama una ukimwi unapona 😂😂😂😂
@salmasuleiman5069
@salmasuleiman5069 Жыл бұрын
Yani uyo kaka ni hatali mi nimesha fika uko usibishe
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Жыл бұрын
Ahahaha haha kunywaa majiii innnaliillahi
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 Жыл бұрын
Usilo lijua ni usiku wa giza
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
naomba mnirudishie chenji yangu.hii kali sana.wajinga ndio waliwao.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
ALIE KWAMBIA KAMA WANALIPA NI NANI????
@dismamush8015
@dismamush8015 Жыл бұрын
Zembwela angefaa xana Kama angeigixa komed
@zikenims6167
@zikenims6167 Жыл бұрын
Adi ukimwi nitakuja
@salmasuleiman5069
@salmasuleiman5069 Жыл бұрын
Mi nimesha fika uko nikweli co poa anasaidiia sana
@habasportstv9205
@habasportstv9205 Жыл бұрын
Acha kupotosha dunia kuna allah alafu ni muislamu
@shuhaiyasuleiman6450
@shuhaiyasuleiman6450 Жыл бұрын
Waambie mungu anaweza
@tojotv6414
@tojotv6414 Жыл бұрын
Ao ni majini wa kawaida ndio maana tunaambiwa mashetani wa Trick nyingi sana
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Yes kaka huo Ndio ukweli. Hakuna cha Maono wala kutoka kwa Mungu hapo.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWA HIYO MUNGU HAWEZI JINI NDIO ANAEWEZA 🤣🤣🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@juniorbachelor8296 WEWE UMEJUWAJE HUO UKWELI????
@stevewanga957
@stevewanga957 Жыл бұрын
Tanzania bado Kuna itikadi za kijinga sana.... Nakumbuka babu wa loliondo
@vedastusmwakalukwa1271
@vedastusmwakalukwa1271 Жыл бұрын
Msuba😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Huyu ni wapili anaeunganisha dini zinazofunza kutengana. Wakwanza ni Nabii Cress II aliyeandika kitabu cha kurasa zaidi ya elfu saba cha kiimani unganishi, kitabu kinarekebisha mafunzo potofu ya Qur-an na Biblia na vitabu vingine vya dini
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Quran ina Mafunzo Potofu Ndugu??
@alphablondking6091
@alphablondking6091 Жыл бұрын
Ungo utupu kumalizia mb zetu tu
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 Жыл бұрын
@@alphablondking6091 ipo siku utaamini tu inshaalah
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@alphablondking6091 KWANI UMEENDA NA HUJAPONA?? AU UNAROPOKA 2
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Allah azidi kutufanyie wepesi tz yetu ma lmani zetu kila kitu ni lman inayokuponyesha ila kkubwa kumuomba mungu akuna linachoshindikana kwake☝Alali wala asinzii
@mussamtupa
@mussamtupa Жыл бұрын
Hayo mambo yanatokea watu wengi Mm kijijini kwetu kulikua na Mtu moja nilisomanae Madrasa alinizidi umri Huyu jamaa alipata Maradhi kaangaika sana Baadae akatoweka nyumbani kwao Kwa muda wa Miezi 6 hajulikani alipo Baadae akaonekana Yaani alikiri mwenyewe Akiwa ktk hari ya kawaida tu Sasa watu walipo kuja kumuona kwa kua alipotea Kazi ya tiba. Ikaanza hapo.........
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Serikali Iko busy inaiba pesa za Kodi za wananchi, this is sad , hawa watu wote wanamatatizo ni wagonjwa fikra potofu, hakuna elimu, umaskini m'baya sana. Hivi serikali Iko wapi kuruhusu watu kama hawa hawana hata vibali vya matibabu upumbavu mtupu
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Zetu walijua mambo mengi na Makubwa, hao watu wa selikali na hao wajomba zako wazungu ndo wamewaua mpaka Leo kuna, kizazi cha watu wajinga kama wewe, wakija wazungu na magonjwa yao mnakimbilia eti kibali kibali ni wizi wa mzungu kutoka kwa shetani, haya nenda kapige chanjo ya corona, kwenye hivyo vibali, pumbavu
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Zetu
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Kubali ndio nini sasa?, Uzungu umewapotosha sana, kuna mitume wengi na manabii, wamepita zama hizo, mababu
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 Жыл бұрын
Tusomen ndugu tusiwe wajinga Twenden mdrassa mana ao wanao amin uwo upuuz awa elim masikin
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
@@swalehbakari2667 Waafrika wametibiana kwa njia kama hizo mamilioni ya miaka na enzi izo hakuna Uislamu wala Ukristo
@jamilahamis2462
@jamilahamis2462 Жыл бұрын
Wateja wanamaji zembwela unakula makuku wee mzee wa mtaani kwetu noma
@zubedalema6634
@zubedalema6634 Жыл бұрын
Masii dajali yupo njiani na huyo sokwe ni mfuasi wa masii dajali
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Kabisa Dada😄
@eliashibundabalinze2217
@eliashibundabalinze2217 Жыл бұрын
Dajali ni nani???
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 Жыл бұрын
Inaelekea umejikatia tamaa kwani masii hatokuja iwapo wewe utakuwa umeelimika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
ULIAMBIWA NA NANI KAMA WATU WAKITIBU KWA MAJI BASI MASIHI DAJALI YUKO NJIANI???
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН