Masha Allah namkumbuka alivyohojiwa na Zembwela huyu ndie aliyesoma dua hapo sober house walikuwa wanawarehemu waliotangulia mbele ya khak tunamshukuru mwenyeezi mungu kwa kufikia hapo mwenyeezi mungu akusimamie kaka yetu katika imani
@zaipazzi94902 жыл бұрын
Kijana mzuri jamani 🤲 Mungu amuongoze asirudi tena kwenye mambo ya ajabu.
@Afsa-z3g20 күн бұрын
Dah.sijui vijana wanakumbwa na Nini mungu asimrudishe Tena huko kijana kasoma dini dah❤️
@heyumi23402 жыл бұрын
MAASHAALLAH MAASHAALLAH KAPENDEZA MWENYEWE 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏SHUKRAN ALLAH
@bryfrancis7879 Жыл бұрын
This Guy is Genius spiritual,everything he mentioned about God is 100% people should hear and take his word"MUNGU UNAYEMTAMBUA WEWE,UNAYEMFAHAMU WEWE MUOMBE SANA"....,These words you may expect to get from Spiritual leaders but God is so good its comes from this Man......Godbless him and all'ya who made this happen🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallahwenyezi mungu azidi kumuongoza tena anajua sini vizuri dada pili ninamuomba mungu azidi kukutuza unaokowa wengi dada
@mozasaid38692 жыл бұрын
Mashaallah! Mpaka machozi yamenitoka! Allah amuongoze, niliona kipindi cha nyuma! Kijana mzuri kabisa,
@jumamalilo7492 жыл бұрын
Allah Mkubwa MashaaAllah
@salimdibundile48722 жыл бұрын
Dah.. Kiberero Alhamdulillah Maashallah.. Daaah nimetoka kuiangalia video ya mwanzo ya mwamba kibe
@yahyasaloummvyongo35369 ай бұрын
My really model wangu ZEMBWELA keep it up the good work amazing beautiful one MSWAHILI mpe salam kibe😂
@saedomari33412 жыл бұрын
Kiberero mungu akuzidishie kaka mkubwa, be blessed
@khadejarajab80072 жыл бұрын
Mashaallah kumbe mzuri hivo rudi katika ibada
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana kakaang, dini imejaa 🙏
@lastbornsaadah76322 жыл бұрын
Alhamdullah mashaallah zembwela 🆚 kibelelo
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Manshallah Alhamdulillah kapendeza
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Mungu nimkubwa manshallah
@hawaamohammed66872 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@fredodongo26642 жыл бұрын
From Kenya Good job Zembwela.
@husseinibnuhassan12722 жыл бұрын
MashaAllah mola akuongoze
@abdulyusuph39482 жыл бұрын
Bless Up Bob mswahili
@catherineswai59002 жыл бұрын
Mungu ni mwema,ukisikiliza Kwa makini ana idadi kubwa ya watu waliokufa kabla yake na sasa yuko hai
@herinunda60182 жыл бұрын
Upataji nafuu (Recovery) unamhitaji mraibu (drug addict) kuishi maisha mapya ambayo yatakuwa rahisi kwa yeye kutorudia tena kutumia (relapse). Kama mraibu ataishi maisha yaleyale atarudi kulekule. Recovery is about change. Nothing changes if nothing changes. The solution is entire abstinence.
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
pole sana
@zumbeshauri81142 жыл бұрын
Mashaallah jamaa anajua wallah
@sikudhanimoshi69672 жыл бұрын
Mm nakupenda sana tangu enzi ya max
@fatumakassimu69042 жыл бұрын
Amekuwa mzuri kweli
@sknapoleonshoo31452 жыл бұрын
God bless Dada Pili 🙏
@kitonekantasha16872 жыл бұрын
Kalipiwa na didafoundishen kutoka UK 😍🙏🙏hongera zake pili ila soba ni kukubali katika nafsi 🙌🙏
@chunanachu25292 жыл бұрын
Ukingalia intevew ya kibelelo huwezi kuamini kama ndio huyu Allah azidi kukuongoza na kuwaongoza wengine
@kidunapoletano31182 жыл бұрын
ALLAH akusimamie bro
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Aamiin
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
Mungu yupo , yan kibe amebadili
@mannabu93332 жыл бұрын
Safi sana mwamba 👍👏👏👏
@saidagalu29142 жыл бұрын
Mashaallah
@omaniomani6432 жыл бұрын
Mm namtaka aniwowe kama yuko vizuri huko chin niko omani tufanye maisha nimempenda
@gypsumdesigndecor79472 жыл бұрын
mmmmmmh kweliii
@zakiaramadhani35192 жыл бұрын
Hongera saana
@switchmuller65032 жыл бұрын
Nataka number huyo jamaaa
@hafidhimuadham99762 жыл бұрын
One is tomen thou never inough (moja nikubwa maelfu hayatoshelezi
@tausiathumani94082 жыл бұрын
Nakupenda zembwela huna majivuno
@binaljabirmshihirzanzibar83692 жыл бұрын
Yeah nkwel kabsa maneno yako sahihi
@lastkinglastking33262 жыл бұрын
Kwa Mungu yote anawezekana
@mwinyisarbok22612 жыл бұрын
Jaman hiki kigoma Cha background kimepatikana wapi