MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!

  Рет қаралды 298,039

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 456
@noahorkilidi2359
@noahorkilidi2359 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana mbunge wa ngorongoro wanakutisha lakini usiogope Mungu yupo
@neemamaurice171
@neemamaurice171 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana mheshimiwa unajua kilichokupeleka bungeni kuwasemea wananchi wako viva aluta continua
@nahashuaka4979
@nahashuaka4979 2 жыл бұрын
Haswaaa Aluta Continuaaa
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 2 жыл бұрын
👌yupo vzr
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Waacheni wamasai wakae kwao
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Inatia uchungu sana kwani mienda selikar kutafuta sehem nyingine
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Yani nyie serikar sio vizur mnavyofanya walah angekuwepo magu huu ujinga using fanyika
@williamyouze4396
@williamyouze4396 2 жыл бұрын
dah huyu jamaa anauchungu sana na raia wake na anaakili sana asee Big up mbunge wa loliondo
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Basi huyu watamuumiza huyu Mungu akulinde mbunge wetu wameaza kuchukua vitu kidogo kidogo shaulizao
@elijahnkoidela4262
@elijahnkoidela4262 2 жыл бұрын
Wapi kienyeji ingine ilikuwa inaongea hadi inataka kuongea kisukuma, ajibiwe Leo,,,, Ole Mpapa, tanyuaa amu kin'dimie, Enkai,, your are the real hero!!!! 💪💪💪💪
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 2 жыл бұрын
Daa bunge la taarifa taarifa mbunge wa loliondo yuko sahihi sana
@sulymaniabdallah7843
@sulymaniabdallah7843 2 жыл бұрын
Huyu mbunge nimependa Sana anajali wananchi wake kuliko cheo chake,na huyu aliotoa taarifa na mzungumzaji akapokea huyu mzee nae kichwa Sana nampenda sana
@rajeshndola
@rajeshndola Жыл бұрын
Safi sana Mbunge wa Loliondo unajitambua sana wananchi wanakusikiliza.huyo anayetoa taarifa mpuuzeni tu!huyo aliyovaa tay hana jipya,huyo pia kweli hajui ni mnafiki tu hakuna anayehama kwa hiyali.Shangai upo vzr bravo mh.
@JosephMsanga-vl3ug
@JosephMsanga-vl3ug Жыл бұрын
Shetani Anasura Nzuri sana Ni Mrembo Ni Kisura!! Hata Ninyi Wenzangu Mnayo Macho Mnayo Masikio!! Mjapo jua kua Huyu Ni Shetani Mmekwisha!! Poleni sana Watanzania Wenzangu wa Ngorongoro!! Msikate Tamaa Endeleeni kumlilia Rais Wenu na MUNGU PIA NDIYE MWISHO WA MSAADA KWENU.
@elishapalaletlaizer3714
@elishapalaletlaizer3714 2 жыл бұрын
Hongera sana Msalendo wetu Uzichoke kupambania Wananchi wako kwani haki haiombwi bali Inadaiwa
@Noellaizerkadoko
@Noellaizerkadoko 10 ай бұрын
Asantesana Kiboko Olesendeka kwa kumpashangai taarifa safi hatasisi tunapokea.
@EnezaMramba
@EnezaMramba 5 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa kwa kuwatetea wananchi wako hiyo ndo maana ya kiongozi mbunge wa loliondo safi sana mheshimiwa
@justuskirongosi6859
@justuskirongosi6859 2 жыл бұрын
Heko mtetezi wa haki, kila mtu apewe haki yake, wakristo na waisilamu wote tukatae dhuluma.
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
tupate wapi wabunge kama huyu? well done ,Mungu akulinde
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Mbunge anatetea wananchi wake yupo sahihii mungu ambariki kwa kutetea wanyonge
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mbunge wakuigwa anatetea maslah yawatuwake bila kuogopa kupoteza ugali wake... I salute 💯💪💪
@jumangaumba500
@jumangaumba500 2 жыл бұрын
Ndio kazi ta mbunge mzee kutetea maslahi ya watu wake jimbon kwake kana wengine wanavyofanya na kuisaidia serikali kupata taarifa juu ya mapungufu yaliyopo jimbon kwao ili itekeleze mapungufu hayo. Isitoshe mbunge asipowatetea watu wake uchaguzi ujao wapi atapata kura na kula mzee? Anatafuta ugali wake hapo, usije mwagika uchaguz ujao
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Mungu atalinda nakila Shari yaarab
@zuhuraamra7354
@zuhuraamra7354 2 жыл бұрын
G. Nn .
@emmanueldushimimana123
@emmanueldushimimana123 2 жыл бұрын
Ingekuwa heri wabunge wetu wa inchi ya DRC Congo waende kuiga masomo ya ubunge Kwa huu mheshimiwa wa Bunge ya ngorongoro anateteya wakaaji wake Mungu amuzidishiye siku zake za maisha.
@Sahra3718
@Sahra3718 2 жыл бұрын
Yes huyo mzee ako sawa👏🏾👏🏾👏🏾
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 жыл бұрын
Huwezi ukamtoa mmasai Loliondo ukampeleka handeni handeni halafu ukaendelea kumuita mmasai. Moja ya kivutio cha utalii na watalii kutembelea loliondo ni pamoja na wamasai. You just can’t move people from their ancestors land just like that. Hiyo ina maana by so doing unabadilisha hata jinsi wanavyofikiri na kadhalika. Waacheni wamasai Loliondo hapo ndipo kwao, full stop
@stanleytabulu4577
@stanleytabulu4577 2 жыл бұрын
Utalii haunogi Ngorongoro bila wamasai. Waacheni wamasai waishi kwenye eneo lao jamani ila muweke udhibiti mazingira
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Mh : mbunge wa Roliondo nakukubari we jasiri mpambanaji mzalendo Mungu akulinde
@kimanmain3356
@kimanmain3356 2 жыл бұрын
Thank you mhe shangaii hao hawajui wanachoxema bwn
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana muachen jaman aongee Kwa niaba ya watu wake hizo taarifa hawez kupokea anaongea Kwa uchungu mkubwa mno
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 жыл бұрын
Ningekuwa gaidi ningefinance silaha za kivita Kwa wamasai ngorongoro waendelee kupigania Ardhi yao
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 2 жыл бұрын
Kazi nzuri mbunge imara kbsa
@Zanabissa
@Zanabissa 11 ай бұрын
Mungu wa ngorongoro chukua maua yako uko vizur🎉🎉🎉
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 жыл бұрын
Watu wanaangalia tu matumbo yao yaani hawa wabunge hawajui wako bungeni kwa ajili gani wanadhani wako pale kuitetea serikali na matumbo yao wakati wapo bungeni kutetea maslahi ya wananchi waliowachagua It’s a shame kwa jinsi wanavyofanya Tunaomba Mungu akutane nao wajue kuwa sio vizuri kuwanyanyasa watu wanyonge kwa kutumia serikali
@wileshirima8688
@wileshirima8688 Жыл бұрын
Mbunge kataa duluma usikubali ww umetumwa na wananchi.
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Hapa Tunapoelekea Naona Kabsa Tunatengeneza Makundi Na Matabaka Kwenye Nchi Yetu Na Ni Jambo La Hatarii Sana
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
C makundi tu na ukabila
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
@@frankjohn8706 MUNGU atunusuru
@denisnyantori3661
@denisnyantori3661 2 жыл бұрын
Ndio si inasemekana Kuna primitive
@augustinomichael228
@augustinomichael228 2 жыл бұрын
upo sahh kabis kak
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Aisee hata mm nakuunga mkono kabisa 🤔🤨
@StephanoMbwambo
@StephanoMbwambo 5 ай бұрын
safi sana mhe olsendeka.
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 Жыл бұрын
Asantee Mheshimiwa Mbunge
@Zanabissa
@Zanabissa 11 ай бұрын
Ila poleni sana wananchi wa ngorongoro kwa misukosuko simameni na mungu ndo msaidizi went kwa sasa inshaalah mwenyezimungu awape hekma zakupambania haki zeni
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Wamasai wanahaki na haki zinawalinda. Pole sana masai. Watanzania ni ccm hawana upendo na wanainchi wanaowatawala, ila ikifika wanako piga pesa wako tayari kutetea hata kwa damu. Shukuru wewe mwenyewe ni ccm mpaka walikuwa wamekuteka, angekuwa ni mbunge chama kingine wangekuwa wamebandika mambo hata uhaini. Lakini walipokuchukuwa wakakuta ni wale wale ingawa ninyi mnapozwa na ifadhibya wanyama wanataka kuwapa warabu. Wanataka ninyi mtoke ili waweze kuweka warabu. Leo namsikia mama bado anawatafuta wawekezaji wa madini kwa faida gani sisi tunapata? Kwa kweli mpaka awamu hii nina wasi wasi kila sehemu mashamba yote yatakuwa yametaifishwa kuleta migogoro kila sehemu.
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Жыл бұрын
Poleni sana Watanzania. Haya yanayotokea Sasa hivi hayakuanza leo. Genesis ya issue zote hizi inaweza kuwa traced miaka kadhaa iliyopita. Lakini nani wa kumlaumu? Ni Wananchi wenyewe na unafiki wao wa kupigia makofi Kila jambo bila kulitafakari. Haya yanayotokea Sasa yangekemewa kwa nguvu zote yasingekuwa yanajirudia rudia. Ulishaona wapi maisha ya wanyama yakawa na value kuliko maisha ya binadamu. Ni ajabu sana. Watu hawasemi ukweli bali kupiga makofi tu na kusubiri bahati ya kuteuliwa. What a shame!
@andrew29468
@andrew29468 Жыл бұрын
Mwenyekiti amekuwa katikati Nice,ameonyesha ukomavu na uvumilivu
@rithaurassa
@rithaurassa 5 ай бұрын
Mbunge waLoliondo pokea. MAUA YAKO wabunge mnatetea wamasai Mungu awabariki. Awazidishie miaka 1
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Taarifa zimezidi hadi karaha jmn, mheshimu sheria za bunge
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
Yaani zinaniudhi hizo taarifa,.waache mtu aongee 😡
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Huyu kikwete kama baba yake.anakula bure, wananyonya maskini😢😢
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Entitled
@nyanzasusu1968
@nyanzasusu1968 2 жыл бұрын
Asanteeeeeee Shanghai ubarikiwe
@saderasimore5983
@saderasimore5983 2 жыл бұрын
The Tanzania government is not far to The MAA Community living in Tanzania.President Samia should make orders and stop MAA eviction as early as possible
@edwardbussagwe2044
@edwardbussagwe2044 2 жыл бұрын
Acha kujipendekeza boy,
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Andika kwa Kiswahili mpumbavu wewe! Habari iko kwa Kiswahili alafu unatuandikia Kiingereza? Pumbavu sana!
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 жыл бұрын
Kwa swala la loliondo na raisi anausika tena kwa asilimia100, kama aliowatuma wameenda kufanya tofauti na maagizo kwnini asiwachukulie hatua? kanyamaza tu inamaana kapendezwa na ujinga walioufanya watumishi wake kwenda kuwatesa wananchi watakao mpigia kura.
@sarahkelvin4845
@sarahkelvin4845 2 жыл бұрын
Nan ampigh kura
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Haswaaa🙏🙏❤
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 жыл бұрын
@@sarahkelvin4845 kabisa wajinga ndio watampigia kura
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 жыл бұрын
Yaan hii ni ishu yake kabisa maan haiwezekani watu wanateseka hv raisi anashangilia
@christinamonyi5920
@christinamonyi5920 2 жыл бұрын
Kongole mh shangai👍👍👍
@BeathaChambo
@BeathaChambo Жыл бұрын
Safi mbunge nakukubali sana
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Жыл бұрын
Huyu Kikwete mdogo, hawa ndio wezi wa mali za Tanganyika. Hatutaki hata kukusikia.
@josephatnyamageu1046
@josephatnyamageu1046 2 жыл бұрын
Hii ndio faida ya Royal Tour Watanzania naliona Giza katika nchi yetu 🙄
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Giza Ndo tunaiondoa sasa. Hata wakiweka bibi tu. Hawakutegemea wananchi watasimama. They did underestimate wananchi.
@jonathanalais.m1303
@jonathanalais.m1303 2 жыл бұрын
Mweshimiwa Shankai kweli mwakilishi sawa
@noahlaizer-ll2ri
@noahlaizer-ll2ri 3 ай бұрын
Hongera sana oleshangai
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Amina
@sesicasi1364
@sesicasi1364 Жыл бұрын
Eti mipaka! Jamani? Mbona hawa watu hawatoshekiii? Yaani kila kitu wanauza. Sasa unawaua wamasai ili waarabu wachukue? What a country? What a leadership group! Yaani unamtoa mfugaji akachunge kwenye mashamba ya wakulima! Utadhani serikali ina uwezo wa kusolve hata kesi moja kati ya mkulima na mfugaji. Tunatawaliwa na watu wenye tamaa. Watu wasiokuwa na utu na hata huruma na raia wake!
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica Жыл бұрын
Hongera MBUNGE WETU HAWA CCM WANADHANI TANGANYIKA BADO MAZUZU ENDELEENI TUNAWAJUA MNAVYOPOTOSHWA TUTAWANGOA FANYENI MCHEZO
@edwardbulle
@edwardbulle Жыл бұрын
Hongera sana shangai
@VidothNaftalLema-ff5rf
@VidothNaftalLema-ff5rf Жыл бұрын
Tunaelewa ss watu wa kuelewa mbunge hongera
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 5 ай бұрын
Kweli kabisaaaa. Fungukaaa wamasai waendeleee kukaa sehemu yao toka enzi za mababu na mababu.
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 5 ай бұрын
Aibu zenu. Mbunge safi sana
@deusdeditknkunga6047
@deusdeditknkunga6047 2 жыл бұрын
You're right Mbunge! Heko!
@IsayaSanare
@IsayaSanare 4 ай бұрын
uko sawa kabisa
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Mwamba🙏
@edwardbussagwe2044
@edwardbussagwe2044 2 жыл бұрын
Huyu mtoto wa kikwete hajui maisha maana yeye kazaliwa kwenye neema tu Ee Mungu wakumbuke wamaasai katika ardhi yao
@zacharyyesaya
@zacharyyesaya 2 жыл бұрын
Nyerere. Tutawabagua wao tukimaliaza tutabaguana sisi kisha tumekwaisha
@turutozamarisery5179
@turutozamarisery5179 2 жыл бұрын
Mungutusaidie
@StephanoMbwambo
@StephanoMbwambo 5 ай бұрын
ndio uko sawa kabisa mhe mbunge wetu.
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 2 жыл бұрын
Daah!! Pole mtu unaongea point katika eneo lako lijitu linakuja na kusema no sense hadi kachkia.
@furahanaborrulaizer9993
@furahanaborrulaizer9993 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuzaidia baba akupe nguvu ya kushinda hayo yote
@dominicgilisho3605
@dominicgilisho3605 2 жыл бұрын
I feel bad for our Masai's in Tanzania
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Simama kishujaa saidia kwa namna yeyote ile. Mmchango wako ni muhimu
@mnyamanyegere9663
@mnyamanyegere9663 2 жыл бұрын
Inauma sana
@kelvinstephano8
@kelvinstephano8 2 жыл бұрын
Safi kabisa mheshimiwa mbunge
@upendooffice2342
@upendooffice2342 2 жыл бұрын
Mimi sina imani na huyo waziri wa arrdhi mhh hapo patakuwa na michezo unataka kuchezeka
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 2 жыл бұрын
Huyu mbunge yuko vzr sana.swali langu ninalojiuliza hapa, je kibajaji na msukuma wanarejea wapi kupata nukuuu?
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Safi baba taarifa hiyo wanakuonea
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 Жыл бұрын
Yani mnatucha nganya sana wabunge mbona mmenepa sisi wananchi tumekonda kwakunyonywa.mungu anawaona
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Nimeipenda Sana hili jibu unatenga hiyo aridhi kutoka eneo Lanani kwenda lanani
@mimutiengungatimollel3794
@mimutiengungatimollel3794 2 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda sana
@esromkanubo815
@esromkanubo815 Жыл бұрын
So painful 😢😢
@Elishamollel-p9x
@Elishamollel-p9x 5 ай бұрын
Upo vzuri sana m mbunge wa ngorongoro
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Tusipoangalia nchi hiiiiiii.......aisee nenda mahakamani!😂😂😂
@Zanabissa
@Zanabissa 11 ай бұрын
Huyo mungu mnatakiwa mpen supu ya kutosha kwa sababu hamtopata meter kama hawk wawili nawapenda sana wanaloliondo
@safnasachu3515
@safnasachu3515 2 жыл бұрын
Hiii nchi viongozi watashitukia mchezo jua linazama,acha mvua iendeleee kunyesha
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Kabisaaa waaachweeee sehemu zaooooo. Waaacheniiiiii
@StephanoMbwambo
@StephanoMbwambo 5 ай бұрын
safi sana mhe mbunge hebu waelimishe hao waheshimiwa wengine wanaotuchukulia sisi wananchi kirahisi hivyo kama watakavyo wao. lakini wajue sisi wananchi sio wajinga hivyo kama wanavyofikiria wao.
@greysondavid6445
@greysondavid6445 Жыл бұрын
Niaibu kwa Taifa letu lililo huru tangu mwka 61. Bado sharia zetu zinatumia lugha ya kigeni (kiingereza). Tuna hukumu kesi za raia wetu wa Tanzania nakuwanyima watuhumiwa na washitakiwa hakizao kwa lugha ambayo hawana uhuru nayo na wengi wao hawaielewi kabisa.. Bado Taifa hili tunatawaliwa kifikra. Bado wazungu wanaendelea kututawala kifikra. Inauma na kusikitisha sana. Tubadilike ndugu viongozi wetu ambao mnategemewa sana na Taifa zima.
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe Mheshimiwa kwa asilimia zote mia moja. Ni ujinga mkubwa huu.
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Жыл бұрын
@@gosbertrwezahura3645 Tunataka wabunge kama huyu.. Awamu ya 6 iache kunyakua ardhi yao. Jamani wabunge sasa Bandari tena? Enyi wabunge na spika wenu vipi? Sasa hivi Wamasai vijana wameishia ulinzi, kuuza mikanda ukijiuliza kulikoni huko. Yaanii hata familia zao zimesambalatika? Tunaenda wapi? Kuua mila na destuli za wamasai kwa ajili ya kuinua uchumi? Kuwarudisha waarabu ndani ya kiina cha ichumi ngorongoro? Tujali haki za binadamu wenzetu ha wamasai?
@SamLaizar-w5v
@SamLaizar-w5v Жыл бұрын
Uhuru jamani wananchi tunahitaji uhuru jamni 😂😂
@denisnyantori3661
@denisnyantori3661 2 жыл бұрын
Safi sana
@mabejamabeja3358
@mabejamabeja3358 2 жыл бұрын
Ukweli wa mgogoro wa loliondo ni kuwa wananchi wanaondolewa ili kupisha watu wenye hela zao kuwekeza,mtoto wa mfaulme wa omani.
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Waarabu Waarabu tunarudishwa tena Utumwani.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Nchi inaemdeshwa na watu wenye akili ndogo lazma watavurunda tu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Hivi hawa wabunge wanavyovulagiza mbunge ili iweje????
@lamayanisingira1934
@lamayanisingira1934 2 жыл бұрын
Wana ngorongoro mumeona ni kwajinzi gani mbunge wetu Shanghai avyo shambuliwa na wambumbafu wasiyo tutakia mwema
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Upo sahihi Ndugu yangu na Asante kwa maono yako
@fransiskammassy6173
@fransiskammassy6173 2 жыл бұрын
Sawa mheshiwa nmekuelewa,,,,, sawasawa kiongoz
@tariqmasudi4400
@tariqmasudi4400 2 жыл бұрын
Anaongea point lakini wanaona tabu ata kupiga makofi wabunge wote awajuhi wapo kwann
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
Mhe. Samia Suluhu Hassan azuiwe kunyakua shamba la jamii ya wamasai na kulitengea waarab wa Oman. Hilo shamba, kisheria linamilikiwa na wakazi wa Loliondo na si Rais wa Tanzania ambaye ni mdhamini kwa niaba ya wananchi wote wa Jumuiya ya muungano wa Tanzania.
@soboganzabron
@soboganzabron Жыл бұрын
Taarifa kama mvua ,Kwa maslai ya tumbo. Mungu angeniuliza nataka nn muda huu hiiiii...tuache tu.
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Haki huinua taifa ! hawa mafisadi tumewachoka wamejaa tamaa wataivuluga nchi wanatukumbusha enzi za makabulu walivyowanyanyasa wazawa
@piniellaizer5753
@piniellaizer5753 2 жыл бұрын
Tanzania nakupenda nchi yangu forever STPO MAA EVICTION IN NGORONGORO
@leajangmwaana8027
@leajangmwaana8027 2 жыл бұрын
Hongera sana mh. Mbunge wa ngorongoro kusimama na wananchi wako hongera sana
@deusdeditknkunga6047
@deusdeditknkunga6047 2 жыл бұрын
Msikilizeni kwa makini Mbunge wa Loliondo, please.
@arolamuganyizi5972
@arolamuganyizi5972 2 жыл бұрын
Na alijua tu kuwa wamemuuzia muarabu ndo maana amegomea kauli yake
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx Жыл бұрын
❤❤❤❤
@paulomsipitey7535
@paulomsipitey7535 2 жыл бұрын
Kweli kabsa
@oscarmisiru9725
@oscarmisiru9725 Жыл бұрын
Taarifaaa taarifaaa, ndoo manini
@sangaelly8548
@sangaelly8548 Жыл бұрын
Wabunge wengi elimu ndogo juuya sharia
@petermasala1409
@petermasala1409 2 жыл бұрын
Kichwa kizuri hiki,,,Mtetezi Mwema wa wananchi
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Taarifa miiiingi! Mnamaliza muda wake tu!..🤷🤷🤷🤷
@benjaminmtebe5009
@benjaminmtebe5009 Жыл бұрын
Mungu anajuwa na malaika wanajuwa Wahuni wengine wanajaribu kumpotosha Ukweli
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 5 ай бұрын
Kweli inauma sanaaaa. Mu gu atawaponya.
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 Жыл бұрын
Hahaaaa! Na bado kazi ipo
@Ligness-mw1cl
@Ligness-mw1cl Жыл бұрын
Jamani jamani hivi CCM ni lidude Gani mbona linatutesa sanaa😭😭 nashindwa kuelewa tatizo ni chama au waendesha chama ila kwasasa hali sio nzur wananchi kiukweli hatuelew
@ZuberiMani-u7g
@ZuberiMani-u7g 5 ай бұрын
Uko sahihi
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
Lelaa kake emey naleng 😭 emaaku endoki nabo ilmaa pookin. Aamu ore ena mbaak mejing'ita tiatua eng'eno tukul. Guys it is so painful 😭 let us all maasai unite, Because this issue doesn't click on our mind at all.
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 жыл бұрын
Ekeponu kulo meek amir ingipwan armaasai pookin. Aiteru tengorongoro, manyara, monduli, simanjiro,lake natron na longido. Engai taretu iyook irmaasai
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
@@twahathomas3514 esipata pae! .
@loatamollel7551
@loatamollel7551 2 жыл бұрын
Nyie mpige tuuu makofi wakati watu wetu wamekuwa masikota wengine wamehepa kwenda kutibiwa Kenya wakati nyie wabunge mkoo na familia zetu mungu awaone
🔴#LIVE: GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM - 06/02/2025.
1:41:21
Wasafi Media
Рет қаралды 2,8 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
🔴#LIVE:SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM - 06/02/2025.
Wasafi Media
Рет қаралды 1,5 М.
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 62 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН