#ZaNdaaani

  Рет қаралды 41,288

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@PiusWerema-k2y
@PiusWerema-k2y 3 ай бұрын
Subir mpen mdah mamb mazur hayatak haraka
@stn4873
@stn4873 3 ай бұрын
Kuna mwanngu mzee wa road work kila siku yeye mabio tu, mpira ukimpasia control chumba kizimaaa😂😂😂
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 3 ай бұрын
Still mutale he is a best SEMA tatizo ni ninyie wachambuzi msio na weledi wa mpira mihemuko TU tafuteni vitabu mjifunze; hamuwezi ata kuelewa ata kidogo kwamba alivyotoka mtale timu shabalala alizidiwa sana? Hamuwezi ata kuelewa kuwa wale beki wa ahly walikuwa hawapandi kwa sababu ya mtale? Nyie wachambuzi Hamna issue kabisa
@PriscaMwason
@PriscaMwason 3 ай бұрын
alikua bora kimbinu,ila hakua bora individually, alichoongea ricardo ukiskiliza kishabik huwez elewa, mutale anahitaj kuboresha sana kwemye maamuz yake, simple tu
@samuly3846
@samuly3846 3 ай бұрын
Yan sgr mojaa anakaa n mali mguuni afuu anapoteza kirahisi afuu tooch zake Yan cjui yupoj Yan saido kamzid
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 3 ай бұрын
Huyo jamaa me hata simwelew ana shida gani yaani mutale kama kisinda kazi kukimbia conrol zero au kuna mgogoro maana mutale wetu cyo yule tulomuona simba day na pre season
@titobernard383
@titobernard383 3 ай бұрын
😂😂😂
@feliciankazimoto8888
@feliciankazimoto8888 3 ай бұрын
Yaani bora hata SAIDO kuliko huyo Jamaa.
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 3 ай бұрын
Mbona kicho anamuelewa tumuache kwanza muda uende labda atabadilika
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
ANATAKIWA APATE SOMO LA KUREKEBISHA MAKOSA YA KUUMILIKI MPIRA NA KUTOA PASI ZA UHAKIKA
@linusfrancis9293
@linusfrancis9293 3 ай бұрын
hv bado huyo auha hamjamuona nae chenga2 hmn k2
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 3 ай бұрын
Mutale hamna kitu kawaida sana….ana mpira wa zaman sana wa kukimbia sanaaaaaa no impact
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 3 ай бұрын
Halafu anaporwa mpira kirahisi sana
@rockygappi1018
@rockygappi1018 3 ай бұрын
😂😂...unaonaje wewe simba ukusajili badala ya Mutale ili uweze kuleta impact??
@rockygappi1018
@rockygappi1018 3 ай бұрын
​@@Yangaone-h8j😂😂,, Tunaelewa wewe huwezi kuporwa mpira kirahisi kuliko mutale maana wewe ni kibaka mzoefu 😅😅
@rockygappi1018
@rockygappi1018 3 ай бұрын
😂😂hovyo kabisa...kwa chama ulisema hafai ana mpira wa taratibu...kwa Mutale ana mpira wa kizamani kukimbia sana...basi simba ikusajili wewe mwenye mpira wa kisasa wa kunyata
@janejoel2465
@janejoel2465 3 ай бұрын
Tatizo alijazwa sifa sana anaanza kuw kama inonga
@PendaelFaraja
@PendaelFaraja 3 ай бұрын
Kwanza mutale mroho simwlew kabsa huyo jama Kwan pale hambapo hawez kufunga gol yy anajipgia na wakat alistail kutoa hasist anakera bas tu
@chamyluna8030
@chamyluna8030 3 ай бұрын
Huyu jamaa kwani hamjamuelewa? Mpelelezeni anavyozungumza ishu za yanga zote lazima tu atatafta namna ya kuitetea yanga na ikija ishu ya Simba hata uongo atatunga Ili tu roho yake iridhike Kwa akili ya kawaida tu yanayoendelea Kwa dube na baleke yanafika hata robo ya mutale? Ila humkuti akazungumzia yanga vibaya huyo
@francisdaniel7406
@francisdaniel7406 3 ай бұрын
alafu kweli😂
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy 3 ай бұрын
Alisajiliwa kwasababu alimpindua pindua kapombe msimu uliopita hakuna kingine
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 3 ай бұрын
Makocha ndo wanatakiwa kuona na kurekebisha napungufu ya wachezaj
@AmiriMalenge-kc5jk
@AmiriMalenge-kc5jk 3 ай бұрын
Mutale ni Saidoo aliechangamka
@JosephFortnatus-nv8sn
@JosephFortnatus-nv8sn 3 ай бұрын
Uhakika
@KenedMwansasu-bg9pi
@KenedMwansasu-bg9pi 3 ай бұрын
Hamna mtu apo uyo hana tofauti na kaseke
@kwetukumenogatv1808
@kwetukumenogatv1808 3 ай бұрын
Hamna mchezaji apo
@bakarihusen5156
@bakarihusen5156 3 ай бұрын
Saidoo anakosa goli anacheka msajili akacheze nyumbn kwen
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w 3 ай бұрын
Ana mpira wa zamani sana not professional football
@rashidikawanga2941
@rashidikawanga2941 3 ай бұрын
Ni bora ntbazonkiza angeachwa kias chake Ana faida kuliko huyu, yy mbio tu aangalii mwisho wa mbio zake afanye nn aisee
@ShabainBankintole
@ShabainBankintole 3 ай бұрын
Bora onana kuliko hii sungura
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
MUTALE ASIKOKOTE MPIRA NA KUUWEKA MPIRA MGUUNI ATOE PASI MAPEMA
@francismngumi5125
@francismngumi5125 3 ай бұрын
Sure ..apokee mpira atoe pasi afu Kisha afungue apewe pasi tena ..akicheza ivy atakua safi kabisa
@RamadhaniIjumaa-e5s
@RamadhaniIjumaa-e5s 3 ай бұрын
Kwel
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 3 ай бұрын
Naona tumnoe mwingine wa kusaidiana nae kama back ikitokea amepwaya kama mechi na tripoli mapema tu first half yupo unga
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 ай бұрын
Uyo ni mambio tu kibelenge
@hamisim.likulile5087
@hamisim.likulile5087 3 ай бұрын
New version ya kisinda
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 3 ай бұрын
Bora Kisinda kwenye mbiyo zake alikua anaangalia mbele, huyu jamaa kwenyte mbiyo zake zamwenge anaangalia chini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 3 ай бұрын
Mutable kama Kusinda mbio nyingi
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 3 ай бұрын
Mmetumwa kumtoa mchezoni mtale et? Mtafunga midomo yenu mutale mpira anajua momo na midomo Yako yenye lipshine hauna lolote la ufundi la kumshauri mchezaji
@IsmailAthuman-tr1wr
@IsmailAthuman-tr1wr 3 ай бұрын
ayo siyo wachambuzi bari Salim wa moira wanafiki tu
@GudilaAkaro
@GudilaAkaro 3 ай бұрын
Msikilize vzr utamuelewa​@@IsmailAthuman-tr1wr
@yohanakayinga9279
@yohanakayinga9279 3 ай бұрын
Mbwa ww
@jonyjaksony
@jonyjaksony 3 ай бұрын
Nikwel mutale Habadiliki
@bensonashery2360
@bensonashery2360 3 ай бұрын
Hakuna kuferi mutale hatufai kwa wakati huu maana hana Friday uwanjani huyuu jamaa
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Azam TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН