Kuweka tu story Ya Sellassie tunapiga like kwanza. Halafu tunaanza sikiza, ngoja tuone umetuekea nini juu yake..
@dadyshunaydah94213 жыл бұрын
Tunaomkubali PROFESSOR JAMAL APRIL Tujuane Hapa Kwa LIKES Kwa Historia Ya Mwamba Huyu HAILLE SELASSIE👍🏿
@emmanuelmwangelengele6240 Жыл бұрын
Together as one God bless you
@emmanuelmwangelengele6240 Жыл бұрын
Good my friend
@shadrackdamiani14183 жыл бұрын
Kabla sija ifatilia hii store Mimi naomba hata like 2
@grgthedon99263 жыл бұрын
Sometimes I feel like this programme should run daily...kila siku lazima nirudie video moja kabla nilale. I never gets bored with Jamal's voice💯
@chriswashington77453 жыл бұрын
Me too
@benickoalfonce39532 жыл бұрын
Sauti yako tu Jamal inatufanya tuangalie video zako daily
@123228799 ай бұрын
Kwasababu hatuna utamaduni wa kusoma historia kama hizi ktk vitabu au mtandaoni.Kila mtu anakimbilia kwa Mange Kimambi
@mariamutowi70843 жыл бұрын
Am speechless Jamal but naona kitu ndani yako inshallah ALLAH akupe wepesi kwenye ugumu we love you, your fans ❤️❤️❤️
@stevennchambi32123 жыл бұрын
The king of story tellers in a country. A one professor.
@mohamedsake50932 жыл бұрын
Ofcause let me correct you. He is from Africa. Iam from kenya
@andreaa.nyundo83333 жыл бұрын
Ahimidiwe Jah,Rasta ni imani, Asili na mfumo wa maisha ndio vinaunda ,kuna mengi ya kujifunza kwa imani ya Rasta pamoja na maisha ya Haile Selassie, nitawafahamisha
@sharifukitori3 жыл бұрын
Tunasubiri
@emmalyanga37265 ай бұрын
Endelea kusubiri 2 years now😅@@sharifukitori
@shadrackmwampote46153 жыл бұрын
We like the story book of this kind not of making tours, big up brother we keep on persuing your story,and we like the way you deliver your stories, your the best story teller for real.
@barackawithokiswaga26863 жыл бұрын
Mungu akupe Maarifa na hekima zaidi, ili kuendelea kuandaa mambo mazuri yanayo tusaidia kujua, siri mbalimbali ambazo bila wewe, sidhani kama tungezijua"!! I love brother Jamal
@elimahmaroba982 Жыл бұрын
Nikweli haha mimi nimejua mambo mengi kupitia yeye
@JeremiahKazungu10 ай бұрын
I like HISTORY kweli ningependa sana kuwa kama wew mwanastoria hodari sana
@daudimmary39653 жыл бұрын
Unaweza sana professor, unastahili tuzo inshallah..
@yudasrsakitwe75153 жыл бұрын
Jamal wewe siku ukifa pengo lako hamna mwenye kuliziba, talent yako n ya kipekee Hufananishwi na yeyte Ww n zaid ya professor Unauwezo mkubwa wa kuchimba story na uwezo mkubwa wa kuelelezea story systematically. Keep it up professor
@zabronbaltazary50483 жыл бұрын
Mwamba unajua. huna maneno na watu. Keep it up
@Its__de_leo3 жыл бұрын
Professor always is on top🙌🙌🙌
@alhadjmugisha52163 жыл бұрын
MashaAllah uy kaka anavipaj ving ,Allah amuhifadhi
@loswitaloswita92733 жыл бұрын
Inshaallah
@nenetz45473 жыл бұрын
Very good professor Jamal I appreciate you💯%
@ZebenaSelassieI2 жыл бұрын
Shukran kibao Kaka kwa kujitolea kupasha Dunia kuhusu Mfalme wa Wafalme kwa kiSwahili! Ili kuelewa vikamilifu maisha ya Mfalme na maana yake katika historia ya Wanadamu na Dunia, yahitaji mwongozo wa Roho Mtakatifu. Kama maadui wa uhakika - wale maFascists - walishindwa kumuua Mfalme, basi hakuna yeyote anawezadai kumuua. Yasemekana hata Mengistu, baada ya miaka mingi, alikiri hangeweza kumuua Mfalme. RasTafari atukuzwe zaidi!
@reubenmwengela8015 Жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@edwinelias85543 жыл бұрын
Hiii story inasikitisha Hii inaonyesha jinc gani Waafrica tulivyo hata tukifanyiwa mazuri akina YUDA ISKARIOTI hawakosekani wakipewa na madaraka lazima waaribu tu trusty me guys 🙏 R.I.P HAILLE SELASSIE &MAGUFURI true regards in Africa
@mohamedidd73853 жыл бұрын
Hii ni nyingine kubwa sana Professor👊👊👊
@allyfredy71182 жыл бұрын
No one like you professor hata kama watajaribu kukuiga utabakia kuwa juu respect sana
@mwanjekeyz86713 жыл бұрын
First one to view likes to me guys
@amosmunezero99583 жыл бұрын
The battle of Adawa is really a huge lesson for us Africans, that if we are united and organised not matter how much advanced militarily or economically our enemy is we could overcome and win!!
@pendogervas95372 жыл бұрын
So adama ni adowa
@jizzlemaphyz9716 Жыл бұрын
FOR REAL
@letebrhanambaye2155 Жыл бұрын
Tanks you're good person you're right way you're the one to be a part of this team and I hope to see you
@erickmlawa7123 жыл бұрын
Uko vzuri nilijua nafasi yakuondka kw mtija abdalah bas story book itakwsha tulipata shida kukuzoea ila saiv upo vizuri sanaaa endelea kutufungua na kutufunza Mungu akulinde bro jamal april
@jackrenesanga87283 жыл бұрын
The story book Inafanya akili inakuaactive ♥️♥️♥️
@joycekarume78973 жыл бұрын
I & I forever loving JAH
@evanceking28092 жыл бұрын
Jamal napenda sana kukuskiza... Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@ibrahdimpoz58203 жыл бұрын
Good professor 👏🏾nimetamani sana uongeleye kiundani alivyo tetea wa Africa hadi raia wa Jamaica kumuabudu
@sylvesterken60842 жыл бұрын
blessed be to tha most high his emperial majesty emperor haile selassie the first
@peninahnjambi47083 жыл бұрын
Watching from Dubai I never miss
@jamalimahamudujuma84813 жыл бұрын
Wow! You're the best fan
@hamzamoshi82753 жыл бұрын
Jamaaaaal 🙌🏻🙏🏻
@lewimontaz13733 жыл бұрын
Jamal is the best story teller i wish more life bro
@nchamochaque71983 жыл бұрын
Asante sana fundi Jamal mimi kila siku lazima nisikilize simulizi zako
@kelvinloeku-yh5wh Жыл бұрын
noma 👍👍 nobody like that man in Africa in this current generation
@davidgakunyi70273 жыл бұрын
Raha iliyoje tunapokusikisha..u are power Jamal keep the 🔥 burning
@Deeja_Knife2 жыл бұрын
Haile Selassie,si Mungu Tukifata bible Mungu andio ambaye Jah....linapatikana kwa kitabu cha psalm's. Psalms 68:4 Sing unto God, sing praises to his name: extol him that rideth upon the heavens by his name JAH, and rejoice before him.
@bennybejoh81693 жыл бұрын
JAH RASTAFARRY, much respect to you Jamal April proff
@juliuschege68983 жыл бұрын
Much love from kenya
@kennedydeya-tl7ti Жыл бұрын
Kennedy Deya From Kenya Prof. Jamal Sky Is The Limit Long Life Jamal
@sirdjtexx81543 жыл бұрын
Msimulizi mmoja ngwiji mno. Napenda sana the story book.
@denisrotich23038 ай бұрын
I really like jammal April he is my god everyday I have to check kama Ako na story mpya May you live long the legend
@shabanhajimmbaga90403 жыл бұрын
3 in Tower Sheby Works Technologies 💪
@BrianPrudenceOngera6 ай бұрын
It's wonderful story Book 👍👍
@passionflavour51593 жыл бұрын
Oyoooo
@Okengo_the_chess_master3 жыл бұрын
Most Talented! When I am addicted not only to your stories but also your VOICE. TAPS UP
@vansclassic21313 жыл бұрын
Deus ti abencoe Mr jamal April prk o seu talento é de mais
@allykibabendingo84963 жыл бұрын
The story book ibaki milele...!!!
@renamwacha62643 жыл бұрын
Very good jamal is a favourable story
@KithureCharles10 ай бұрын
From Kenya april Jamal you are light to many
@agreymwansasu85882 жыл бұрын
Bro nakukubali sana uko vizuri Sana mungu atakupa uwezo mkubwa wa kuendelea kutufunza vile ambavyo atuvijui nakuamini
@aminahadi19663 жыл бұрын
Professor Jamal unajua unajua mpka unajua tena
@enemtatuka58633 жыл бұрын
Dah kwer ten me namkubar nom
@denismoses23702 жыл бұрын
Nice story I feel so happy💪💪💪
@michelinebosibori40272 жыл бұрын
The king of story teller, the number one 👍100%
@saidibrahim23753 жыл бұрын
Professor namba moja 1
@Sn_global_data3 жыл бұрын
💪💪Big up professor jamal
@jawadujuma4177 Жыл бұрын
Mungu ampe maisha mema na mwisho uliokuw mwema
@letebrhanambaye2155 Жыл бұрын
Asentu sana
@danstanwanyonyiwasobokha7193 жыл бұрын
Hii ni #Kazi ya #Kifalme #WasafiTv #Hongera #Simba #Africa #Media #IAmTheSonOfAfrica #HaileSelassie #Ethiopia #History #King #Kingship #AU #Youth #Power #PeoplePower #Peace #Love #Unity
@gasparmpangaa83293 жыл бұрын
Mungu atusaidie wa Africa tunashinda Sana
@mkarawizemtasher48973 жыл бұрын
Jamaal nakuomba pleas na Kama hautojali, Ni hivi naomba utuandalie history fupi inayomuhusu rapa wa miaka ya 90s anaitwa Ol' dirty bastard au (ODB) pia nae anamikasa yake aliyopitia kwahiyo tunaomba utuandalie nakala hiyo, na nimekuchaguwa wewe kwasababu unajua kutangazia vizuri na kunishawishi mtu akusikilize, nitashukuru sana bro🙏🏾
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Kwa nini usiitafute wewe mwenyewe?
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Jah Rastafari🇯🇲💛🇰🇪🔥
@nancymwihaki89013 жыл бұрын
Very good professor ❤❤
@jamesjacob4053 жыл бұрын
Nakubal sana Jamal omg👏👣
@njorocomedian85512 жыл бұрын
Great story teller ,great journalism 👏
@saidiomari61393 жыл бұрын
Uko vzur broo
@josephmwangi5689 Жыл бұрын
watching from Nanyuki, Kenya🇰🇪
@seffsamwel56493 жыл бұрын
Kweli kaka yangu ni kaka shule kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️❤️❤️ mungu akubariki
@seiphmohamed4612 Жыл бұрын
Umetisha sana Jamal ila ongeza ubunifu zaidi.
@vincentmutethia-te1dl Жыл бұрын
we like your real stories ,very addictive but never destroys they build our history and that of others.Kudos Jamal.
@elijahhandsometheone12172 жыл бұрын
The flow is lit... keep the good work
@stivenyoungson22883 жыл бұрын
Like mingi kw a jamal
@sylvesterken60842 жыл бұрын
blessed be to the most high,his emperial majesty,king of kings lord of lords ,conquoring lion of the tribe of judah ,the root of david
@rashidisadala94603 жыл бұрын
History professoral
@ClémentKwempa6 ай бұрын
Tu es geni Jamal Pro🇨🇩💪
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
Jah bless Rastafari 🔥🔥🔥
@antonyjayjay35052 жыл бұрын
Professor jamal I'm your fan
@lodomoeisaiahissa15082 жыл бұрын
What I see in you is only wisdom. May God open your road to top level in live
@Fundikichwa2 жыл бұрын
Hivi jamal kwa hizi stor tu vile unazichokonoa ,unae rafiki mzungu kweli?? Mana dah 😇😇😇😇
@isaacblessings27013 жыл бұрын
I like what this guy is doing
@andreaa.nyundo83333 жыл бұрын
Kazi nzuri pia kama utaweza naomba utafute kisha cha Luambo Rwanzo Frankoo pamoja na Tabuley tofauti yao ilikiwa nini hadi tabuley kuimbiwa wimbo wa Mario na kisha kukimbia nchini Zaire.
@fanulibopezzuto3363 жыл бұрын
Mario😂😂😂
@zuriathabdallah94922 жыл бұрын
😂😂😂😂
@akrashaaloisy57223 жыл бұрын
In Zanzibar we have haile salassie secondary school
@gt.mkushimakoba5312 жыл бұрын
ndiye aliyeunganisha visiwa na nyika (bara) na kuzaa muungano wa tanzania.. aliwakutanisha Mwl.j.k.Nyerere na shekh abeid amani karume....
@EliaEzekiel-o7r7 ай бұрын
🎉
@ephraimmwanginjeri90763 жыл бұрын
Wah hadi next Saturday!! Si ifike haraka!!!
@nurddinmahmud50523 жыл бұрын
Only one Professor
@EliaEzekiel-o7r7 ай бұрын
Naipendaaaaaa sanaaaa nchi hiii ya Ethiopia
@najalinanyambo39713 жыл бұрын
Love you
@enemtatuka58633 жыл бұрын
Kweri mam
@williamthiongo15952 жыл бұрын
Vpi
@hamadishemtandulo72732 жыл бұрын
hakika kama kuna tuzo za BEST WORD STORY PROFESSOR ANGEPEWA
@khamisshee51313 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kennedygimanwa1594Ай бұрын
Professor Jamal wew ni mwamba kwel kwel
@tonymiriti5306 Жыл бұрын
Professor challenges me to do more research and enlighten myself.. Kudos prof
@josephogola82072 жыл бұрын
The king of JAH Simba wa Yuda
@shaulykhamisi76973 жыл бұрын
Very good
@abdykonka5413 жыл бұрын
Salute broo 🙌
@abuu_town_tz73413 жыл бұрын
big up jamal✌️💥💥
@mosetv95052 жыл бұрын
Want a collaboration with Abel mutua two of the best narrator's
@abdinassir622 Жыл бұрын
How can you compaire wheelbarrow na professor Jamal?
@King_CuttingChambo5 ай бұрын
Peace and love
@Osca16 Жыл бұрын
I like ur documentaries
@GOLDASHMTAALAM3 жыл бұрын
Haileselassie secondary school Zanzibar niliposoma mimi
@dengemasterdengemaster27543 жыл бұрын
🇪🇹🌍🇪🇹"MBALI NA UFALME WA BWANA HAKUNA TAIFA MOJA LITAKALO SIMAMA JUU YA TAIFA JINGINE"🇪🇹🌍🇪🇹,,,HUU MSTARI UTAISHI MPAKA 🌍DUNIA ITAKAVYOPASUKA🌍(U.N HIYO HAILLE SE LAISSE ALISEMA),,, "ALIKUWA HAISHI KIWASI WASI ALIKUWA ANAISHI KI PEACE SANA HAILLE SE LAISSE",,, 👑KING OF KING LORD OF LORDS QUOQARING 🦁LION🦁 TRIBAL OF JUDAH👑🌍🇪🇹🌍,,,BADO YUPO NA TUPO NAYE SISI 🌍WA AFRICA🌍 NDIO MAANA WATALETA 😤CORONA,,,UKIMWI,,,EBOLA,,,BONDE LA UFA,,,VISASI KUTUGAWA KATIKA DOLA NA VYAMA NA CHUKI MBALI MBALI NA ILA😤 ZOOOOTE ILA HAILLE SE LAISSE BADO ANATUOMBEA HUKO 🌬️🌫️🌪️SAYUNI"🌍🇪🇹🌍🌬️🌫️🌪️,,,...
@innocentfocus92172 жыл бұрын
Umetufungua akili sana professor kuhusiana na neno RasTafar.... keep it up brother 🙌