Madhambi yamezidi sana ukianza na ushoga na uasherati, tumrudie Allah
@MwitaWashintoni9 ай бұрын
Pole sana ndugu zetu huko tegeta mungu awanyoshee mkono wake
@OmariMadebe-jn8jg9 ай бұрын
Pole sana nduzetu was tegeta tufanye ibada kumuomba mungu wetu kila wakati atutie wepesi
@muddymkamba3529 ай бұрын
From now on this is what world will experience,na baadhi ya visiwa vitaanza kupotea kwenye uso wa dunia ,kwasababu ya ongezeko la joto barafu ya bara la antantica itazidi kuyeyuka na maji yataongezeka dunia kwa namna ambayo hatuja wahi experience duniani,hii itasababisha hali ya hewa mbaya kuwahi kutokea
@husna345629 ай бұрын
Hiz mvua zinazoendelea kunyesha ni ghadhabu tuacheni maasi wanawake mumezid kutembea uchi kuzini kumekua fashion hiz mvua na magonjwa ya ajabu ni kwa sababu tumezidisha madhambi turud kwa Allah enye waja mwenyezimungu anasema tembeeni katka ardh muone ulikuaje mwisho wa waliokadhibisha Allah atujalie mwisho mwema maana adhabu azichagui mwema wala muovu😭
@trecygohy78479 ай бұрын
Mbona huongelei upande wa wanaume ( baadhi )ambao pia wanafanya dhambi ya ngono kila wakati kila seconds. Vipi hao pia n watakatifu ?
@ashachitemo78169 ай бұрын
Kunahitajika maombi makubwa Kwa Mungu wetu atunusuru na haya Majanga.Kuna sehemu tumemkosea Mola wetu!!
@estheroscar65209 ай бұрын
Mimi kwa mtazamo wangu mitaro hakuna watu wanajenga hawakumbuki kuacha sehemu ya mitaro maji yanakosa pakupita kila mtu akijenga hd mwisho wa kiwanja pia kutembea uchi wanawake wamezindi mungu wanamuuzi unaona sasa
@ernestjob50679 ай бұрын
Poleni kwa maafa tuendelee kumuomba Mungu atuepushe.
@GiftleonLeon-jo8id9 ай бұрын
Ya labii tunusuru na hili jangaa 😢😢😢😢tusamehee yalee tuliokosea
@princepeter21109 ай бұрын
Mungu aturehemu sisi waja wake.. Sisi sote ni wapitaji makao yetu ni kwa Baba 😢
@RizikiHamad-ic9rw9 ай бұрын
Allah awafanyie wepesi
@juliusdominic-uk4bu9 ай бұрын
Chanzo ni zambi duniani kote amani ya kweli kumekuwa hakuna na kama hatuta chukua hatua ya kuacha zambi hatari kubwa sana ipo mbele yetu
@zaiduothmani57719 ай бұрын
Serekali yetu inayo uwezo wa kutengeneza mifereji mikubwa ya izo sehm bila asar yyt ten kuendelea ila 😢😢😢 wap
@DiwaanOnline9 ай бұрын
miundo mbinu mibovu ndo chanzo cha mafuriko mijini. mifereji mikubwa inapaswa kujengwa kwenye njia zote za maji.
@OmariMadebe-jn8jg9 ай бұрын
Serikali haina uwezo wa kuzuia mipango ya mungu mafuliko haya angali miundo mbinu tumuombeni mungu tu
@CatherineOdede-sp2et9 ай бұрын
Pole sana
@nasrahassan73469 ай бұрын
Poleni sana ndgu zangu wa tegeta
@napendahuruma33209 ай бұрын
Jamani mpaka naogopa Tuacheni zambi tumuite Mungu ndugu zangu🙏
@DiwaanOnline9 ай бұрын
Huu ni mto? kama ni mto mbona nyumba zimejengwa karibu sana na huo mto? poleni sana kwa janga hili
@SimonMaregge9 ай бұрын
Ww kiongozi wao ulitakiwa uongee na serikali wasaidiwe kujenga na kuimarisha mifereji?wahame wahamiee kwako ?wakati unajua hao ni watu maskini wanaitaji msaada
@SatnaMussa-uo9hd9 ай бұрын
Madebe mshmba sana ila co poa kujitia we kibolo dinda auna Cha kujibu Tena maisha Yako ukiyatolea move uta PATA ela xana Kuma la mama ako
@FilbertKalembe-fy4oq9 ай бұрын
Tumeudie mungu haiwezekani mafuriko kwa kiwango hiki kuna sehemu tumeenda kinyume japo ukweli unauma
@SalamaAkilimali-ly3bu9 ай бұрын
Inshallah
@SangaJenga9 ай бұрын
Hii ni Adhabu anatupa ALLAH tufanye toba hali ni mbaya
@OscarKadozo-zs1ik9 ай бұрын
Tuzidi kuombeana kwa kila Hali mwenyez mung atuepuxhe na yote
@HalidMuhammad-gi9qy9 ай бұрын
Mungu ameshasema na maandishi yapo na siasa ndio ibada kuliko mungu tusome vitabu vya dini tutajua kosa lilipo
@MathewBernard-j3p9 ай бұрын
Watanzania tujue kutofautisha uzembe na mipango ya mungu
@JoiceFrancis9 ай бұрын
Malawi pat2
@RahimaMct-ik8mr9 ай бұрын
Subhnallah
@AihmAli-d8x9 ай бұрын
Poleni sana
@happyismail30629 ай бұрын
Mathayo 24 mkiona ayo yote ni dalili za kuludi kwake
@directorkingright9 ай бұрын
poleni wana tegeta
@devotajulius75729 ай бұрын
Bondeni sio kuzuri
@naturelle10979 ай бұрын
Poleni wandugu
@vibetz99919 ай бұрын
Maasi yamezidi, na nyinyi wasafi ndo maAgent wakuu wa kumuasi mungu😂😂
@agnesburton32159 ай бұрын
Polen sana jamqn
@StevenMoshi-r2g9 ай бұрын
Dar
@yohanamuheneye38309 ай бұрын
Duuuuh bc
@frankwarembosaloon53169 ай бұрын
Viongozi WAFRICA kujali MATUMBO kuliko watu uku codi wanazitaka Africa ovyo kabisa
@scratcharico62239 ай бұрын
tarifa ilitoka wahame maeneo atarishi sasa unatak ufanyaje serikl