No video

The Story Book: Binaadamu wa Kwanza Kwenda Mwezini, Marekani walitudanganya ??

  Рет қаралды 504,379

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

The Story Book: Binaadamu wa Kwanza Kwenda Mwezini, Marekani walitudanganya ??
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 479
@BacktoPhiladelphiaministry
@BacktoPhiladelphiaministry 2 жыл бұрын
From Kenya wapi like za professor,..,.♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zuchu3647
@zuchu3647 2 жыл бұрын
Huyu Ndio Alinifanya Nifikirie Zaidi Kila Niandikapo Nyimbo Zangu..!!!! Mustapher Umetisha..!!!!
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 2 жыл бұрын
Mboss 💞💞💞💞💞🇹🇿🇹🇿✔️🇹🇿✔️🇹🇿
@superherotv1750
@superherotv1750 2 жыл бұрын
Mbosso wa michongo😂
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 2 жыл бұрын
@@shadrackdamiani1418 Acha kudanganywa sio Mboso huyo
@innocentmandari570
@innocentmandari570 2 жыл бұрын
We nae huna mada.. kwahiyo story book ndio imekufany uandik kwa kufikiri au kisa umskia story ya azana 😛
@rajcancomedy2646
@rajcancomedy2646 Жыл бұрын
duuuuu sana tu nakukubal
@user-dr2cs2zw4p
@user-dr2cs2zw4p 6 ай бұрын
I Appreciate you jamil. Like hapo mnaomkubalii
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Duh!!! Ww unatakiwa uwe Mwalimu wa Geography, History na n.K kwenye vyio vikuu kokote Duniani,kiufupi ww ni fireeee #ProfJamal
@mahamudumbwana382
@mahamudumbwana382 2 жыл бұрын
Leo nimekua wa kwanza asee.Kaka jamal be blessed asee
@johntheneat3228
@johntheneat3228 2 жыл бұрын
Hongera bro
@starjunior9215
@starjunior9215 2 жыл бұрын
Daaaa
@elizabethchesire74
@elizabethchesire74 2 жыл бұрын
🍻
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 2 жыл бұрын
Hongera sana
@officialtygarboy5246
@officialtygarboy5246 2 жыл бұрын
Og.
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 2 жыл бұрын
Ninekua mtu wa 9 kukomenti na nime kua mtu wa 15 ku like plz Ni like bc wadau
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 2 жыл бұрын
Kuna wachawi jamani mbona hata hamlike 🙏💞 Mimi mdai wenu jamani
@sbzirchoice786
@sbzirchoice786 2 жыл бұрын
Pitia channel yang
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 4 ай бұрын
Belitu🎉
@ivanoniko6830
@ivanoniko6830 Жыл бұрын
Watching from Kenya muranga county Government headquarters 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@joanwangui5135
@joanwangui5135 2 жыл бұрын
Watching from Kenya I can't believe I studied this lie in history😮😔😔
@memphisdepay6010
@memphisdepay6010 7 ай бұрын
Exactly wasted of time😮😮
@johnalichard1721
@johnalichard1721 2 жыл бұрын
oya ya leo ni kali nimekubali sanaaaaaaaaa
@hancylaucymayunga3463
@hancylaucymayunga3463 2 жыл бұрын
Bonge moja la ep
@sumaiyakhalid9092
@sumaiyakhalid9092 2 жыл бұрын
Thanks for uploading the story book regularly
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 2 жыл бұрын
Asante sana na huu mtiririko wa story
@Movic5806
@Movic5806 2 жыл бұрын
Tunaomba Story Book ya TITAN MOON OF SATURN Ni mwezi wenye Maajabu Mengi Mnoo,
@troubleMan234
@troubleMan234 2 жыл бұрын
Titan hauna maajab yoyote. Kaka
@chidiberbatov3613
@chidiberbatov3613 2 жыл бұрын
Wa 1 likes zangu ambao tulikua tunasbiria hii ep
@allymwihuva7473
@allymwihuva7473 2 жыл бұрын
Professor umetueka na kiu Sana but it worth it tunakupenda na ahsante ❤️
@hollymore4904
@hollymore4904 2 жыл бұрын
Tuliosubiri hii Leo kabla ya kulala..nipeni likes.
@zuzuutv8782
@zuzuutv8782 2 жыл бұрын
Like kwajili ya Wamerekani wametuweza
@yahyamohamed1831
@yahyamohamed1831 2 жыл бұрын
First from +254 🇰🇪
@physicx6077
@physicx6077 2 жыл бұрын
Natamani kuona siku Tanzania tunarusha rocket. I have started. And we move further to the future. In Physics. Thanks The story book.
@yahyaibrahim6546
@yahyaibrahim6546 2 жыл бұрын
Mpaka ita isha dunia
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 жыл бұрын
marekani WAONGO ime pita miaka 70 hadi leo hakuna alie tumwa kwenda tena mwezini uongo maana saahv ingekua rahisi sabab teknolojia iko juu
@justinjames577
@justinjames577 2 жыл бұрын
valentine tesha mwaka 1972 walienda tena saivi zinafanywa plans za kuunda space base kule mwezini
@nyokaroadtv5828
@nyokaroadtv5828 2 жыл бұрын
Kwel kabisa kiongoz
@befamgaya4633
@befamgaya4633 2 жыл бұрын
@@justinjames577 Hivi huu uongo nmauamini vp aisee?
@mwinjahidahmed
@mwinjahidahmed 4 ай бұрын
Kwanza camera man alitangulia mwezin?
@siamejerry1456
@siamejerry1456 2 жыл бұрын
This is the excellent research indeed
@allydavy6919
@allydavy6919 Жыл бұрын
Plz Jamal tuandalie story book ya Mtume Muhammad saw
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
👍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 2 жыл бұрын
Nobody leaves the earth alive, only Jesus Christ did.
@ichepatrick324
@ichepatrick324 Жыл бұрын
Great work professor, we need to talk alot🙏🙏🙏hapa +256 respect!!
@tupasesamuel2109
@tupasesamuel2109 2 жыл бұрын
Great work and I enjoy listening to story book from Louisville, Kentucky USA 🇺🇸 🇺🇸
@rihanakomba3064
@rihanakomba3064 Жыл бұрын
I lyk ur works🤭💞
@johnsonmunisi6667
@johnsonmunisi6667 Жыл бұрын
Nn
@godfreymdamu3797
@godfreymdamu3797 2 жыл бұрын
Ahsante bro..hii ndo simuliz niliokua kua naisubilia kwa hamu Sana...nikijiuliza kwann unachelewa kuisimulia
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 2 жыл бұрын
Nilitamani sana kusoma science ila ndo hivyo akili zangu nazijuwa mwenyewe 🤣🤣🤣🤣niko Egypt nachumba chima🙆🙆🙆
@mkristomedia
@mkristomedia 2 жыл бұрын
😂😂😂
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah naomba nami nije nichumbe china🤣🤣🤣🤣🤣
@FanesKalumbwa
@FanesKalumbwa 2 жыл бұрын
bado mda unao wakuisomea
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
@NYEGERE ONLINE Sijakuelewa mrembo
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Kwahyo unachumba chima huko
@Alislamre
@Alislamre Жыл бұрын
The truth of this Allah knows everything
@Official_Evara
@Official_Evara 2 жыл бұрын
Great work!...tunaomba the true story about Versace's story na his connection to Medusa. Thanks!
@zulphatarimo4152
@zulphatarimo4152 2 жыл бұрын
@SEXTONE TV 2.3k subscribers L
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
Nakubaliana na simulizi hili ..✨️✨️
@mansourjogi6909
@mansourjogi6909 2 жыл бұрын
Story zako ni za kusisimua kweli na ni nzuri na ukweli my alone
@wazirmasokola5951
@wazirmasokola5951 2 жыл бұрын
Unajuwa kaka
@muwezaseifu9029
@muwezaseifu9029 2 жыл бұрын
Much respect mr Jamal April
@samsonoundo651
@samsonoundo651 4 ай бұрын
Professor ❤
@khamisybulebo4341
@khamisybulebo4341 2 жыл бұрын
Science haipingwi kwa theory wafanye practice na wao watuoneshe kuwa haiwezekan
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 2 жыл бұрын
Uongo, walitengeneza tu studioni Mungu hajaruhusu mtu kwenda mwezini
@ismailkidaya4962
@ismailkidaya4962 2 жыл бұрын
Sawaa sawaaaa wanaomkubali like hapaa tafadhali
@kingsleympole109
@kingsleympole109 2 жыл бұрын
may you live long i really enjoy your stories
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 9 ай бұрын
Inawezekana ni kweli huyo jama kuskia saut ya azama kwa sababu waislamu mungu wao wanaomwabudu ni mungu mwezi na ndo mana kuna alama ya mwezi kweny misikiti na wakati rumi wao (mungu jua) na ndo mana kweny picha zao nyingi wanamchora yesu ama maria juu yake kuna jua, kwahiyo rumi, na uislamu ni kama mapacha wote wana utamaduni mmoja na asili moja ya kuabudu.
@bakaryCMD
@bakaryCMD 2 жыл бұрын
The great professor of all time/
@user-kk2dx3bk1o
@user-kk2dx3bk1o 6 ай бұрын
respect jamal
@danielsanga8459
@danielsanga8459 2 жыл бұрын
Hiki kiumbe diamond ukipata nadhana anafanikisha Mambo yako mengi Sana..... Nakuona bali Sana Jamal ww ni wa kipekee 🙌🙌🙌
@user-sz4uu7su4i
@user-sz4uu7su4i 6 ай бұрын
Proffeser Jamar April Noma sana very brighter
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Jamal hongera....
@amourmbago8005
@amourmbago8005 2 жыл бұрын
professor 👨‍🏫 profession
@nassircalale1860
@nassircalale1860 2 жыл бұрын
Allah akubariki Jamal April
@sekeladavid1433
@sekeladavid1433 2 жыл бұрын
Thanks our professor jamal
@OBONDOJAAOMOSH-km4bj
@OBONDOJAAOMOSH-km4bj 5 ай бұрын
Thus is a palpable truth and no any sound minded person can challenge it!
@michaelalphonce6857
@michaelalphonce6857 2 жыл бұрын
super b professor Jamal🤝🇹🇿
@fredrickphilomena5291
@fredrickphilomena5291 2 жыл бұрын
Naipenda sana sayansi na ndo maana naisoma ili siku moja nije kwenda Mars
@joelrutta3658
@joelrutta3658 2 жыл бұрын
Ni kwl NASA walifika mwezini sawa, na kweli Dr.Neil Armstrong alisikia adhana. Ila kwa maelezo yote hayo cjpata kusikia mahali waandishi wa habari wakienda kumuhoji Dr. Neil juu ya hyo safari na kuthibitisha au wale wenzake wawili, but in surprise way Neil anajitokeza kwnye media na kusema wakati akiwa safarini na alipofika mwezini alikuwa anasikia adhana, hapo naona bado NASA waliukuwa wanaweka michezo ya CCM kuhamisha upepo. big up Prof. Jamali we miss this a lot!!!!
@edwardhoja
@edwardhoja 2 жыл бұрын
Neil amewahi kuhojiwa mara nyingi sana kuhusu safari ya mwezini lakini hakuwahi kuonyesha kufurahishwa nayo. Hata hiyo nadharia ya kwamba alisikia adhana wala si ya kweli bali ilivumishwa maksudi ili watu waone kama alisikia adhana ina maana kumbe kweli walienda mwezini.
@mohamedfadhilisadick3912
@mohamedfadhilisadick3912 2 жыл бұрын
Hakusikia adhana
@edwardhoja
@edwardhoja 2 жыл бұрын
@@mohamedfadhilisadick3912 Wahuni sana wale mkuu
@user-pm6tb4yz9i
@user-pm6tb4yz9i 7 ай бұрын
Tanzania full talented
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 2 жыл бұрын
Yuri Gagarin akiwa kiongozi
@binaramplatnumz9723
@binaramplatnumz9723 2 жыл бұрын
PROFESSOR
@allyhassani2813
@allyhassani2813 2 жыл бұрын
Nakubal bingwa wangu
@msofeclassic7777
@msofeclassic7777 2 жыл бұрын
Hawa jamaa wamarekani walituokota mbn mpk leo hakuna wanasayansi wa nchi yoyote kwenda huko mwezini na kuthibitisha ukweli kwamba wamarekani waliwahi kufika hukoo
@leahmakuru4458
@leahmakuru4458 2 жыл бұрын
Lzm ujue unajifunza kuelewa au unajifunza sience hii ili kupima.anyways nimependa ujumbe wako. But kunakitu nimejifunz juu wanasayans japo sina elimu hii. Ila nikweli wanasience wa nasa walifanikiwa kufika mwezini . Japo wakwanza kufika katikati ya dunia na mwezi ni warussia (space) ambao wameamerica wahawakuweza .ivyo historia hii ya watu wakwanza kufika mwezin ikaandikwa Nasa. This is my knowledge .ila sijasema uniamin mimi
@ramlahamad5483
@ramlahamad5483 2 жыл бұрын
God bless you břóó
@kaazykazunguabdool3266
@kaazykazunguabdool3266 2 жыл бұрын
Professor unajua tena na tena
@MichelSimba
@MichelSimba 2 ай бұрын
Jamal ingekili kuwa vizuri ukuwe natu andikiya miaka na esabu kwa namba tuwe tuna elewa vizuri,kwanini Sisi Congo atu elewe uki ya tamuka tu
@allenkatunzi7899
@allenkatunzi7899 2 жыл бұрын
Mimi wa2
@godfreymdanya1214
@godfreymdanya1214 2 жыл бұрын
greaty work from kenya plz jamal nngeomba story ya binadam tajiri dunian elon musk ama jeff bezoes?
@yummysundfer2372
@yummysundfer2372 2 жыл бұрын
More appreciation my big broh!!! woow Leo u giv me what the brain what ...mor thanks my big bra
@leahmakuru4458
@leahmakuru4458 2 жыл бұрын
russia is first to be in space, the layer btn earth and moon.mean while america have been the first to touch the moon .so this make the americans the first people to be in moon.
@simonhatari6232
@simonhatari6232 Жыл бұрын
Asante kwa story nzuri. Maranyingi hadithi zako zinaishia kua mahubiri ya uislamu
@lilotz-we7xq
@lilotz-we7xq 4 ай бұрын
Sio zote bwana ❤
@akimjuma2026
@akimjuma2026 2 жыл бұрын
Jamal professor 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@hollymind757
@hollymind757 2 жыл бұрын
Tafadhali leta part 2
@fahadmussa8879
@fahadmussa8879 Жыл бұрын
Kaka nakuona miaka5 utakua mbali sana hili nidarasa broo kama una kubaliana namm mpe like huyu jamaa
@ramadhanboi6485
@ramadhanboi6485 2 жыл бұрын
Umesahau kua alama ya bootprint ilopigwa picha na nasa ni tofauti na boot lenyewe lilopigwa picha baada ya kufika
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Jamal nakukubali adi kuzunguzungu em tupe ya Rambo tupe
@rukingamaboar802
@rukingamaboar802 2 жыл бұрын
Man Shaa Allah Big up Bro Jamali
@user-xc3yl1dk8k
@user-xc3yl1dk8k Жыл бұрын
Kisayansi azana ahiwezi ku sikika kabisa mwezini nawala akusilimu ila ni mawazo ya watu tu ila nakukubali sana🎉🎉
@y5tv232
@y5tv232 2 жыл бұрын
Kaka Jamali. Unajua Sana asee
@rivaldomwananjela8805
@rivaldomwananjela8805 2 жыл бұрын
Thank you Jamal for good story
@musaeliasi
@musaeliasi 2 ай бұрын
Appreciate you Jamaal
@MarwaMarwa-kd1dm
@MarwaMarwa-kd1dm 2 жыл бұрын
Be blessd bro
@mohammedmajaliwa4722
@mohammedmajaliwa4722 2 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu Kaka, barikiwa sana
@africafunnymemes75
@africafunnymemes75 2 жыл бұрын
Nimesubiri video mpya saana
@rukwaonlinetv
@rukwaonlinetv 2 жыл бұрын
Nakubali Sana Prof Jamal
@maesryclassic456
@maesryclassic456 2 жыл бұрын
Kwa ninavyojua mimi hao hawakua wa kwanza kuingia mwezinii!! Wamarekanii na warusii walishawah kuwarusha wanyama haswa mbwa ndo waliokua wa kwanzaa kufika mwezinii miaka hyo ya 1950s kabl ya hao wakina Neil kufika uko!! Nimezungumzia wa kwanza sio binadamu wa kwanza 🙌😅 Much love Jamal 👍
@charackally8846
@charackally8846 2 жыл бұрын
Kwani mbwa binadamu?
@miriumplatnumz1848
@miriumplatnumz1848 2 жыл бұрын
America they got talent,much respect kwao nawakubal sana ❤❤❤
@EmmanuelMutie-rz2qy
@EmmanuelMutie-rz2qy 4 ай бұрын
Waaw, very intelligent, big up
@kassimsharia3688
@kassimsharia3688 2 жыл бұрын
Daaaa aaaaa umerudii, mjomba umepoteya muda, mrefu
@geniusslayer6782
@geniusslayer6782 2 жыл бұрын
Professor 🔥🔥🙌
@JokerMdoli-db8se
@JokerMdoli-db8se Ай бұрын
SaLutE sanaa jamali❤🎉🙏🩸
@barickchawe2544
@barickchawe2544 2 жыл бұрын
Napenda sana mambo aya
@officialkamdudu
@officialkamdudu 2 жыл бұрын
mwaka 1969 ni zamani sana kama kweli wangefika huko zamani hizo basi kwa sasa teknolojia ilivofika mbali pangekuwa kama safari ya Dar to Moro simple tu kweli waliokuwepo kipindi hicho walipigwa na kitu kizito kichwani ...
@alhajisalum5590
@alhajisalum5590 Жыл бұрын
Kaka Jamal naweza kukuita mtaalam, nakuona mbali sana,,,
@najalinanyambo3971
@najalinanyambo3971 2 жыл бұрын
Thank you Jamal
@normangathogo6290
@normangathogo6290 Жыл бұрын
Kwanza Mimi sijawahi amini dunia ni round, tafathari professor tuchunguzie na utueleze Kwa kina
@Lu_keng
@Lu_keng 5 ай бұрын
Ish hahahaa😂😂😂😂❤❤
@Craytos_Baraka
@Craytos_Baraka 2 жыл бұрын
Hatuna cha kusema💖💖
@ismailchidako7595
@ismailchidako7595 2 жыл бұрын
Professor hakuna km wew 🔥🔥🔥
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 Жыл бұрын
It's true story America go to the space,,,, Respect to the America
@Frankmlelwa-bp7nb
@Frankmlelwa-bp7nb 5 ай бұрын
Profesor
@guvamalik9253
@guvamalik9253 2 жыл бұрын
Mr.Professor
@shijaolomi6800
@shijaolomi6800 2 жыл бұрын
Jumanne big up tunaomba story za meli za kigiriki kuusu wazamiaj
@tracemsolla7604
@tracemsolla7604 2 жыл бұрын
Professor 🙌💯
@TIKTOKVIDEOS-wk2vu
@TIKTOKVIDEOS-wk2vu 2 жыл бұрын
Nomaaaaa
@mariamhussein-if3oh
@mariamhussein-if3oh Жыл бұрын
Sina uhakika ila naamini kua watu wa kwanza kufkia mwezini walikua warusi Meja YULL GAGARIN
@bwxmedia5465
@bwxmedia5465 2 жыл бұрын
Jamal April the professor
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 20 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 6 МЛН
P1000032
16:45
휴지필름
Рет қаралды 3
The Story Book: Mambo 20 ya Ajabu Zaidi Ya Viumbe Na Wanyama Pori
37:48
THE STORY BOOK: UBABE WA KIM JOUNG UN | KIDUME ANAYE TIKISA ULIMWENGU
37:36
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 20 МЛН