Osman Gazi I: Historia ya shujaa, mwana wa Ertugrul, mwanzilishi na sultan wa kwanza wa Ottoman

  Рет қаралды 53,652

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Makala hii inagusia maisha ya mtoto wa Ertugrul, Sultan Osman Gazi I aliyeijenga himaya kubwa na imara ya Ottoman, mwanzo wa nchi ya Uturuki

Пікірлер: 61
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 2 жыл бұрын
Sns Oyee...❤Walitabiliwa na Mtume Muhammed (s.a.w) kuwa watakuja kutawala ulimwenguu. Allahu Akbar
@allykeita704
@allykeita704 2 жыл бұрын
Waliitwa atalaki ndivyo Mtume aliwahita
@abbymaher2172
@abbymaher2172 Жыл бұрын
Allah Akbar
@kimsarahfahyma5604
@kimsarahfahyma5604 2 жыл бұрын
I want to say Sky you are the best 🥰🤗 you teach me more thank you and God bless you ❣️ my God continue to give you amazing voice ✨💜🙏
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
Thank you
@mpombeyecleophace6272
@mpombeyecleophace6272 Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti Sns now days mna fuatiliwa worldwide. Big up for this. Nina wazo la interview juu ya jambo fulani ambalo ni opportunity kwa wa Tanzania abroad. in case possible let's gets connected. Thanks
@narumbahanje9393
@narumbahanje9393 2 жыл бұрын
Sky embu tengeneza kipind cha history maana upo vizuri kuelezea kwakina ...hii nimeipenda na ile ya makanisa na misikiti mikubwa , malikia Elizabeth na zingine ...i like it bro
@ndiiyolazarolemoloo2164
@ndiiyolazarolemoloo2164 2 жыл бұрын
Story ya kufutia sana, Asante sana SNS kama unakubali msimuliaji fedirk bundala sky okay👍👍
@khadijachonanga3998
@khadijachonanga3998 Жыл бұрын
Nakuombea kwa mungu shujaa Osman mungu akulaze Mahal pema peponi💛💚💚💚💚💛💛
@user-ry7yc7oq5c
@user-ry7yc7oq5c 5 ай бұрын
Mashallah
@taraagire6176
@taraagire6176 2 жыл бұрын
This my best turkey serie kuluru osman sky
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 Жыл бұрын
Ujakosea kiukweli OTMANI au Osmani bay ni bonge moja ya muvi imesababisha mimi yani saa4 usiku inikute home kwa kuifatilia tu kiukweli iyo tamthilia ni tamu sana🙏
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Hii ni history ya kweli, sio za kutunga,,,ingawa kwenye acting wataongeza mbwembwe
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 Жыл бұрын
Naipendra saa a haswa vipande vya Bala na Osman
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 2 жыл бұрын
Kabla miaka 23 alikua tayari commander wa vita. Itatufundisha kuaanda vijana wetu mapema. Watukua na experience kubwa kwa umri mdogo. Asante SnS
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
Daaahh We Jamaa, Mungu akueke Insha'ALLAH 🤲, Umenikosha🔥🔥
@carolinaadolf6955
@carolinaadolf6955 2 жыл бұрын
I'm here the first one to comment🙌 Ottoman ni 🔥🔥🔥halafu ertugul ndo usiseme 😁
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 Жыл бұрын
Scay woker nakukubali sana mzee wa amka na majoka
@remybuyenzi1856
@remybuyenzi1856 2 жыл бұрын
safi saaana wana SNS
@juliethajulius6168
@juliethajulius6168 Жыл бұрын
Naipenda sana ottoman
@samirahemedy3526
@samirahemedy3526 2 жыл бұрын
Kama ile ya sultan suleiman
@abdulpires9091
@abdulpires9091 2 жыл бұрын
Nice bro 🇧🇭
@iddiadam857
@iddiadam857 2 жыл бұрын
Huu mto Euphrates ne kiboko. Kwa waislamu mto huu ukianza kukauka ni alama ya vita kubwa duniani na inasemekana kwenye vita hiyo ni uelekeo wa kurudi yesu.
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 2 жыл бұрын
naipendaka ii story. Hehehe. it very nice ❤ 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼❤
@onlinetelevisionofficialtz4600
@onlinetelevisionofficialtz4600 Жыл бұрын
Nakubali sana sky.....
@charlesdaniel6212
@charlesdaniel6212 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@nathanielshayo6306
@nathanielshayo6306 6 ай бұрын
sky uwe na kipindi maalumu cha hiz historia kubwa....
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Respect bro 👌
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 2 жыл бұрын
Asante
@adamgaosinotan1545
@adamgaosinotan1545 Жыл бұрын
Bravo
@josej9888
@josej9888 2 жыл бұрын
Ninavoona Ottoman itakuwa Kali Sana kuliko Etugulu.
@menlandmutashobya8377
@menlandmutashobya8377 2 жыл бұрын
Hapana ,haiwezi
@R.Dickon
@R.Dickon 2 жыл бұрын
@@menlandmutashobya8377 huo ni mtazamo wako lakini uhalisia ndivyo hivi leo kutoka Seljuk Anatolia hadi Ottoman baba aliachia kijiti kwenye kabila miongoni mwa makabila ya kituruki Kayi ila mwana kuunganisha makabila nakuwa empire kubwa na iliyokuwa mashuhuri sana katika karne hizo sio kazi ndogo...pia dramatically Burak ameitendea vyema mno hadi kuwa na wafuasi wengi Sana kuliko aliyeigiza eturgrul
@tabaroemmyyounusu8341
@tabaroemmyyounusu8341 2 жыл бұрын
Nice
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 2 жыл бұрын
💞💞💞
@manmika6999
@manmika6999 Жыл бұрын
Kweli
@amdanihamada4927
@amdanihamada4927 2 жыл бұрын
Sns naomba msaada wa wapi naweza kupata vitabu vyenye historia ya hawa watu
@jeshiichazz9915
@jeshiichazz9915 Жыл бұрын
Kaka lete historia ya makundi ya crips na blood ya Marekani
@muhammedabdullah5931
@muhammedabdullah5931 2 жыл бұрын
Alie muoa mwanzo mi bala hatoon kabla ya malhoon na alipoona bala hawezi kuzaa ndio akamuoa malhoon ili apate mrithi wa uongozi wake na baada ya mlhoon kuzaa ndio na bala nae akashika uja uzito
@luluthomas7459
@luluthomas7459 10 ай бұрын
Kwenye movie wame tafsir ivo lkn kwene story ya kweli mke wake wa kwanza ni malhoon hatun
@sirabahendayussufu3334
@sirabahendayussufu3334 2 жыл бұрын
👑👑👑👑
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 2 жыл бұрын
Othuman gazz
@ALOYCE007
@ALOYCE007 Жыл бұрын
Kaka tuletee historia Vikings
@Eliaaroni
@Eliaaroni 2 жыл бұрын
Nime pokea ki2 mi Ni mwana sns
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@samirahemedy3526
@samirahemedy3526 2 жыл бұрын
Shukurani sns Ata mm nili soma kitabu Alivo kufa sultan suleiman aka lisi mwane salim kutoka kwa salim akaja murad aka Muhammad akaja Ahmed akaja osman akaja murad akaja ibrahim Nika ishia apo siku endelea tena kukisoma🙈
@triplea3463
@triplea3463 2 жыл бұрын
Kitabu gani hicho
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
❤❤❤❤
@Husnati-xg3zs
@Husnati-xg3zs 7 ай бұрын
Acha uongo mtoto wa shehe ni mke wa kwanza wa osman
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 Жыл бұрын
Osman siyo wa kwanza ni wa Tatu...Wa kwanza ni kaka Yake GUNDUZ. wapili hawamtaji sana yeye alijiunga jwenye sayansi ya Darasani..Osman ni watatu baada ya kuzaliwa tu Mama Yake Halima Sultan akafariki.
@candypowz1274
@candypowz1274 Жыл бұрын
Kwel
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
OTTOMAN✊
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 Жыл бұрын
Ila ktk Sean ya Othman gazi anamuua kaka yake pale siyo kweli Gunduz bey hakuuliwa na mdogo wake Othman bali alikufa ktk vita takatifu
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 жыл бұрын
PETE ZA MAJINI ZENYE MVUTO MKUBWA UTAJIRI ttps://m.kzbin.info/www/bejne/raPHm4GIr76Irsk
@BLINDREPORT2023
@BLINDREPORT2023 2 жыл бұрын
KARIBU UTIZAME FILAMU KWA KISWAHILI HAPA GUSA kzbin.info/www/bejne/m3mmlayDo7yWh8U
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Sky, original ilikuwa Islambol, ndio baadae wakachange to Instanbul
@abuwaleed01
@abuwaleed01 2 жыл бұрын
Ilikua constantinople then later ikawa Istanbul
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
@@abuwaleed01 after constantipole,ikaitwa islambol,,means mji wa islam au nembo ya islam.,later on wakaita Istanbul,,kuna vitu vingi hasa wazungu wanaficha mpaka ufanye deep research,,,km ottoman ni Osman or uthman..
@jeshiichazz9915
@jeshiichazz9915 Жыл бұрын
Kaka lete historia ya makundi ya crips na blood ya Marekani
@BLINDREPORT2023
@BLINDREPORT2023 2 жыл бұрын
KARIBU UTIZAME FILAMU KWA KISWAHILI HAPA GUSA kzbin.info/www/bejne/m3mmlayDo7yWh8U
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 жыл бұрын
PETE ZA MAJINI ZENYE MVUTO MKUBWA UTAJIRI ttps://m.kzbin.info/www/bejne/raPHm4GIr76Irsk
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 55 МЛН
HISTORIA YA NABII MUHAMMAD N0 1 SHEIKH OTHMAN MAALIM
58:31
arkas online tv
Рет қаралды 16 М.
القطة الشجاعة 😭😭🐱 #shorts
0:30
7amoda Gaming
Рет қаралды 32 МЛН
si tenge menyamar jadi polisi farel #shorts #viral
0:19
Keluarga Hakiki chanel
Рет қаралды 8 МЛН