MR. NANA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA DIDA "MANGE ALIMWAMBIA ANIACHE, SIJAWAHI KUWA KING'AST WAKE"

  Рет қаралды 178,716

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 391
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 11 ай бұрын
Huyu jamaa ni very humble. Yule dada kiboko
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 11 ай бұрын
He is very humble. KIJANA anakupenda. Mkorogo wadida wanatumia pamoja😂😂
@arafakiloli749
@arafakiloli749 11 ай бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
@georginapaul5013
@georginapaul5013 11 ай бұрын
Halafu hajafuta picha wala nini mwenyewe mstaarabu sana Dada Dida rudianeni jamani maisha yenyewe ndio hayahaya
@TaarabChannel
@TaarabChannel 11 ай бұрын
Muje na kwangu wapenzi ❤❤❤
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 11 ай бұрын
Dida hajion kama anazeeka naile sura yake ilivyo nzito jmn, asa yale mashavu hayaon yanavyoshuka cjui😢😢bora amrudie tu huyu kaka ni mstarabu sana
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 3 ай бұрын
Aya maneno yatamfikia uko alipo sio vizuri kucomet kitu kibaya pablic watoto ndugu wanasoma kwa miaka ya baadae mh
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 3 ай бұрын
@@AblahmanJuma post ina mwaka sasa ww ndo unaona leo
@HawaMuyombo
@HawaMuyombo 10 ай бұрын
Mmmm hii imeenda
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 11 ай бұрын
Maskin' mr nana anaonekana mkarimu sana na hajiskii'. Ila mchaga dah!!! Mbea sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@sovajulius3870
@sovajulius3870 11 ай бұрын
Hivi huyu Dida hawezi akawa na moyo wa subra kidogo na Hawa viumbe?Mana kaachana na wengi hao wanaojulikana haya hao wa gizani .Mi nakwambia awe na moyo wa uvumilivu Sasa Kama kila mwanaume kwake wa Nini itakuwaje na umri umeenda?na kinaumia kiungo Cha chini
@SUZANSUZAN-fb9bh
@SUZANSUZAN-fb9bh 11 ай бұрын
Mungu akucmamie mrudiane umeongea kwa busara dida msamehe mwenzako
@HafsaShayo-iv5xh
@HafsaShayo-iv5xh 11 ай бұрын
Eti tikiti maji hufai kuliwa wala kutengenezewa juice😂😂😂😂mchaga jumatatu umeisha
@TheSalma1999
@TheSalma1999 11 ай бұрын
Umejitoa muhanga mchanga og utachambwa mi simo
@mariumseif6751
@mariumseif6751 11 ай бұрын
Kaka mstaalabu sana unaongea kwa busara huna maneno machafu kuacha au kuachwa ni jambo la kawaida Mungu atakusimamia utapata mwingine au mtaludiana na mpenzi wako dida maana hujamfua wala hujaongea kibaya Mungu akusimamie una busara sio km hao vijana wengine wangeongea uongo na kumchafua
@maryammagembe5553
@maryammagembe5553 11 ай бұрын
Dida tafuta wazee wenziyo
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 3 ай бұрын
Mh shoga angu Mr Nana kweli ni mpole sana yaani tena sasa hivi naona anaongea sana mwanzo hakuwa hivi ila mh
@TheSalma1999
@TheSalma1999 11 ай бұрын
Jamani mrudiane mlikuwa mnapendezana jamani kama shida ni wivu wivu ni sunna jamani come on
@nicksonink4921
@nicksonink4921 11 ай бұрын
Huyo manka kwenye interview kavaa jordan ngapi..? Hiyo😂😂😂😂😂😂
@abisinamustafa3118
@abisinamustafa3118 11 ай бұрын
Ila huyu kaka ni mkweli
@hildascorner2327
@hildascorner2327 11 ай бұрын
Kweli, hata mimi nimeona he's honest sema inaonesha mkewe anapanic na ameshajiwekea kichwani wanaume ni wabaya
@SalminMkwachu
@SalminMkwachu 11 ай бұрын
umeona wanaume wakiwa wanawaongelea ex wao wanavyo kua. hakuna kupanic, stress kujiliza kusema mambaya ya mwenzake nk, ila sasa upande wapili ukipewa nafasisi sasa
@MWANAIDIRULIMBIYE
@MWANAIDIRULIMBIYE 11 ай бұрын
We acha balaa zito
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
Duh maskn huzuni 😢😢
@maggiesaru376
@maggiesaru376 11 ай бұрын
What a fan interview, I loved it
@mwalimunyerere
@mwalimunyerere 10 ай бұрын
it's "FUN," not "FAN."
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
😂😂😂
@JeniBosco
@JeniBosco 11 ай бұрын
Leo tumejuwa habari za wasafi zinamfikiaje
@zoab2699
@zoab2699 11 ай бұрын
Nimeipenda hiyo mm nimekosea nimeobma msamah na nime achwa. Inshallah utapata mzuri kama ww Itakuja rizki yako mta penda mpaka kuzikana inshallah udikonde utapata wa saizi yako hao wa kuchati ju yakucha kope ju ya kope nywele ju ya nywele allah akuepushe nao inshallah 🤲
@mariumseif6751
@mariumseif6751 11 ай бұрын
Kuombana msamaha ni kawaida Kwa wapenzi.watu wore wanawachana na wanaombana msamaha na wanaludiana Mdogo wangu dida msamehe mwenzio angekua hakupendi asingekuomba hata huo msamaha na angekuchafua SI unakua wanaume walivyo. Ila huyo kaongea ukweri na kama wasingemuita kwenye intaview angeumia moyoni tu .ushauri wangu mludiane tu hatuna wapenzi wasiogombana shida ni Kwa kuwa ny'inyi mamboyenu lazima yawe mtandaoni kaka ana busara sana.kaa utulie sio Kila siku ndoa mpya km Bugat au madebe wewe ni mwanamke uwe na uvumilivu pia punguza wivu Hawa wenzetu hawatosheki na mwanamke mmoja hata awe markia
@sundaysHassan
@sundaysHassan 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kucha juu ya kucha kope juu ya kope 😂😂😂
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 11 ай бұрын
Muhimu aliomba msamaha muhimu alimuheshimu muhim hajaongea baya kinachonishangaza Huyo Patna WA mchaga og huyo Dada sjaelewa alichoshare apo amekaa kucheka tu na kuguna
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 11 ай бұрын
Wasaniii Wasaniìi hawawagi wanadumu hatta Yani Na vile vishindo vya Dida hapana 😂Ma ex njooni huku mskie😂😂😂
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 11 ай бұрын
Pole one day mtarudiana au Mungu atakupa wa kwako.
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 11 ай бұрын
Me nilikuwa sijui kama penzi limekufa haki Leo ndio nimejuwa🤣🤣🤣
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 11 ай бұрын
Mbwembwe zote zire🤣🤣🤣🤣🤣
@NusraAbas
@NusraAbas 11 ай бұрын
Hata mimi😂😂
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 11 ай бұрын
Kwa hiyo majibu yote yapo kwenye new song😂😂😂😂
@sophrinaassey3330
@sophrinaassey3330 3 ай бұрын
I loved the interview... Nana is a good guy... Nimemwona hata baada ya Dida kufariki alikuwa hawezi kuacha mwili wake ... Msikitini amesimama anaangalia huku haamini... I hope walikuwa wamepatana kabla hajafariki😢😢
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 3 ай бұрын
Amerecodiwa akiwa ametoa anamuimbia Marehem Dida analia mpaka anashindwa kuimba ,So sad wallah kufiwa usikie tu 😢
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 3 ай бұрын
Inamana alikua mlinzi
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂nywele juu ya nywele,kucha juu ya kucha😂😂😂
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 11 ай бұрын
Kucha juu ya kucha kope juu ya kope nywele juu ya nywele OGOPAAAA🙌🏼😂😂😂😂
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 11 ай бұрын
😅😅😂
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hinduabushiri4216
@hinduabushiri4216 11 ай бұрын
Kaka amemwagwa mwa😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 11 ай бұрын
Dida tulia ushakuwa bibi hawa vijana watakuua kuna mwenzio umri kama wako alijifanya anajua mapenzi kutembea na vijana wadogo mwisho wa siku akaanza kuumwa uchungu hata mimba hana umri huo ndg yangu na vijana hawa marioo utaweza kweli mfano akuombe style ya popo kanyea mbingu au mama samia kauza bandari utaweza dida heka heka waachie vijana
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 11 ай бұрын
Jamani waja mnamambo 😅
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 11 ай бұрын
Kumbe watu mnasili nyie 🤣 stail ya mama samia kauza bandari nyie mbona Hamsemi🤣
@tajiertaj5956
@tajiertaj5956 11 ай бұрын
😂😂😂popokaneyea mbingu Samia kauza bandari😂😂😂
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
​ WAN MAMBO SN ETI MAM SAMIA KAUZA BANDARI😅😅
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
​ HATAREEE
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 8 ай бұрын
Watu wanatafuta wakukaa nao,kubadilishana nao mawazo,wengine wanawapga take, Mungu huyuuu🏃🏃🏃🏃🏃
@StarMerinyo
@StarMerinyo 11 ай бұрын
Mbona kijana yukonpowa Ila dida Ana matatzo kila mwanaume kwake nikutoka na kuachana 😂😂😂
@azorindege2556
@azorindege2556 11 ай бұрын
Mwana kaongea vzr sana
@AkimuMovie-rt3rp
@AkimuMovie-rt3rp 11 ай бұрын
Sema mwamba Ako na Confidence ya kuongea👏👏👏👏
@mamaabduly
@mamaabduly 11 ай бұрын
SIRI ZA WASAFI... LEO KAPATIKANA KIDEGEPOSTA ANAEPELEKA HABARI APUNI
@veveveve5517
@veveveve5517 11 ай бұрын
Mr nana mungu yiko na wewe haowa dada wa tanzanie wana pepo wana hitaji maombi
@witnesrobson
@witnesrobson 11 ай бұрын
Kaka yangu umeongea point
@triceyanga
@triceyanga 11 ай бұрын
sema kaila usivae tena vinjunga unakua km popo bawa😂
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 11 ай бұрын
😅😅
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 ай бұрын
Bongo mahusiano nayo imekuwa kama mchezo😮😮😮😮😮
@mrishomabrouk1646
@mrishomabrouk1646 11 ай бұрын
Huyu dida nikiwa nae mimi hawezi kuachana na mimi!!
@moureennasrah5327
@moureennasrah5327 10 ай бұрын
Yana yuko so cool jamaa
@DayanaRwekiza
@DayanaRwekiza 11 ай бұрын
Hahahahah mchagaaaaa...... jmn dad yetu Dida mlipendezana wenyew
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 ай бұрын
D alikuchoka bwana Mr Nana maisha ya endelea
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 11 ай бұрын
😂😂😂na nyie mnayobandka wanawake juu ya mwanamke, nyie mnabandka nn? 😅
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 11 ай бұрын
Dida naye hio kitu imepitia malori mengi poo kwanza mzee sasahivi hebu tulia sasa hio ninino siitakua inaimba haleluya jamani😅 puu pwee
@annasumawe
@annasumawe 11 ай бұрын
Malaya huyu Kama nni khoooooo 😂😂😂😂😂😂😂😂au tuseme unavyotongoza ovyo ovyo na kutongoza enyewe unatongoza kizaman maneno kibao 😊😊😊😊😊😊na kipind upo na dida unatongoza madem hatar na kulala nao 😂😂😂😂😂😂
@Lulualshagri
@Lulualshagri 11 ай бұрын
Kaka jikubali tu ww ni handsome achana na mkorogo baadae utakuja kukuharibu
@pauloegbert515
@pauloegbert515 10 ай бұрын
Mnapenda mdondo sana
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 11 ай бұрын
Wee mchga.og ww😂😂😂😂😂utachambwaaaa
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂Mr nana kanichekesha 😂
@KAHINDITV
@KAHINDITV 11 ай бұрын
Hapo kwenye bituni hapo hebu tuweke sawa jina adimu hilo 😂😂😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 11 ай бұрын
Leo ndo nasikilizia mtakavyochambwa😮😅
@nureyna629
@nureyna629 11 ай бұрын
😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 ай бұрын
Huyu jamaa handsome boy jmn
@zulphaadam4671
@zulphaadam4671 11 ай бұрын
Uyuu kak anarafudh nzur❤
@mohammedmahrez2681
@mohammedmahrez2681 11 ай бұрын
Lafudhi*
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 11 ай бұрын
Zanzibar iyo
@JaphethMalaba
@JaphethMalaba 11 ай бұрын
Huyu mwamba sio mzanzibar, Huyu ni mpare aliekulia Tanga
@Ummukuruthum-m1m
@Ummukuruthum-m1m 11 ай бұрын
Jmn akichambwa mnitag 😂😂😂mchaga og utacharazwa bakora
@HussenManengelo
@HussenManengelo 11 ай бұрын
Akutukanaye akuchangulii tusi du noma sana
@vero57
@vero57 11 ай бұрын
Mie naangalia vidole tuu hapo😂😂😂
@hawababy120
@hawababy120 11 ай бұрын
Ila OG bhana😂😂😂😂😂😂
@amelyewiliammgeni2690
@amelyewiliammgeni2690 3 ай бұрын
❤❤
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 11 ай бұрын
Washabwagana hahahaa huyo ndo Dida!
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
Acha ambwage, wanaume mmetuchosha) dida kiboko)
@worldoman4563
@worldoman4563 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Mchaga mbavu zangu😂😂😂
@LucySemenye
@LucySemenye 11 ай бұрын
Waja mna mambo
@janethngowi1058
@janethngowi1058 11 ай бұрын
c kwa sugu hizo jamani!
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 11 ай бұрын
Aibu naona mimi
@claudiajames2003
@claudiajames2003 11 ай бұрын
😂😂mchaga subiri msuto
@Shammy-d1e
@Shammy-d1e 11 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄eti ulaya😂😂😂Ulaya ya Nairobi
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 ай бұрын
Mhh D mambo yaliopita jamani penzi limekufa hivi
@MoshiTindwa
@MoshiTindwa 11 ай бұрын
Dida kwa Ili litakutoa roho kwa majigambo yako subiri chakubimbi Sasa utaama jiji
@Shadia544
@Shadia544 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nimejua kucheka duuh dida atawachamba sana tuu lakini dida hatulie tuu na mapenzi 😂
@zulphatissa
@zulphatissa 11 ай бұрын
Afu mchanga mnafik 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 11 ай бұрын
Mchaga bhana 😂😂😂😂🔥👌
@RajabuSafu
@RajabuSafu 11 ай бұрын
Mmmh makubwa polen Sana
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 11 ай бұрын
Ukilewa usichat #Tx dulla
@KibyStarTz
@KibyStarTz 11 ай бұрын
Mchaga og ni og kweli nakubali
@hamzaqaacm1869
@hamzaqaacm1869 11 ай бұрын
Muhimu umesha jipigia sana😂😂
@sarapy3163
@sarapy3163 11 ай бұрын
😂😂
@Shammy-d1e
@Shammy-d1e 11 ай бұрын
Atakuwa amechoka kumlea jamani maisha magunu jamaniiii uwiiii
@estherwilliam3758
@estherwilliam3758 11 ай бұрын
Mpenzi mtazamaji😅😅😅😅😅😅
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 11 ай бұрын
Kuna wanawake mjini hapa ni viburudisho, unakamata UNAFIRA Kisha unapiga chini, yaani wapo kwa ajili ya KUWAFIRAFIRA tu sio kuoa , ukitaka kuendelea nao lazma utafeli ..!
@judyngowi391
@judyngowi391 11 ай бұрын
Duh! Dunia shikamoo😊
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 11 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 11 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@higra-i5w
@higra-i5w 11 ай бұрын
Mr nana anaoneka anampenda sana dida ila dida mmmh nimtihani
@Malikamtajir
@Malikamtajir 11 ай бұрын
Kumekucha😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Nimecheka hii kauli ya mwanamke kubandika kucha juu ya kucha hashindwi pia kubandika mwanaume juu ya mwanaume
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 11 ай бұрын
Umeonaa
@rosehaule6765
@rosehaule6765 11 ай бұрын
Mmh Mara hii weee aiwezekani si kwa.penzi.lile tamu
@erickmakwena
@erickmakwena 11 ай бұрын
Kumbe kuna style ya popo kanyea mbigu na mama samia kazuia bandar😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Pedeshee01
@Pedeshee01 11 ай бұрын
@@aishaaisha4549njoo tuijaribu
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 11 ай бұрын
Shem umenichekesha sana kufa na kuzikanaeo anakufa peke yake wanazikana peke yao😂😂😂😂😂 kucha juu ya kucha kope juu ya kope😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatarrrrr
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Hivi dida uba matatizo gani kwa nini hudumugi na wanaume au unaaleji yakukaa na wanaume mda mrefu
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 11 ай бұрын
Ana alejiii ya kukaa na wanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimechekaaaa sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kisubikilozo6128
@kisubikilozo6128 11 ай бұрын
That fine dida ukipata coment Yangu please nicheki maswali mengi Kumbe nawe unaitaji maswali mm raa Tanzania games is fun
@OfficialA83640
@OfficialA83640 11 ай бұрын
Dida arudi kwa Kumbilamoto tu maana wameachana lkn hakuwai kumuongelea wala baba Samira lkn hivi ving'ast vitamtia aibu kila leo wapi Ezdon Mkisi watu watakuamini sasa kupitia Mr Nana👌👌👌👌👌
@ashulaAlly-m8h
@ashulaAlly-m8h 11 ай бұрын
❤❤😦😦❤️
@luciafabiannjuu1988
@luciafabiannjuu1988 11 ай бұрын
Ila wanaume wanaojichubua wasiogopwe sio?
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 11 ай бұрын
Shikamoo mapenzi
@cdeleo9336
@cdeleo9336 11 ай бұрын
Mtu kajichubua hivyo alafu mwanaume 🤣🤣
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 11 ай бұрын
Alafu wengi sana wanaume wasanii wanajichubua sijui kwann
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk 11 ай бұрын
Kunacoment mojaimenichekesha kweli sasa uchungu uo wakujifungua au
@loner_wolf
@loner_wolf 10 ай бұрын
Mngese tafuta pesa K wewe huoni aibu kukichungulia kile kibibi ....?
@Kabeya410
@Kabeya410 11 ай бұрын
We mtangazaji wakike hamjielewi upo kazini unavaa kipensi kama upo beach au upo ndani na bwana wako miguu yenyewe kama njiti za fagio paja huna kimbau mbau huoni aibu jisitiri mtoto wa kike upo kazini watu wengi wanaangalia kipindi yaani kijana mwenzio wa kiume kapendeza kajisitiri hivi nyie wanawake mmerogwa na nani
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 11 ай бұрын
Aliyeturoga kafa
@Kabeya410
@Kabeya410 11 ай бұрын
@@julianamaganga4803 😂kweli ila tunaelezana ukweli jitahidini kujissitiri dini zote zinakataza kukaa uchi unamuona mama yake yesu alikua anajisitiri sasa nyie mmepata wapi kuvaa viguo vifupi tena kazini mnatangaza nini
@Shayy97
@Shayy97 11 ай бұрын
Mama yangu kila siku anasemag hvyo wakaka wanajistiri kimbembe sisi wadada
@Yasintakisholi
@Yasintakisholi 11 ай бұрын
Mrudiane bn 😢 haya ni maisha
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed 11 ай бұрын
Nimecheka kifala haki ya Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wardawarda6535
@wardawarda6535 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 11 ай бұрын
Jamaa ni mpole sana na nimuelewa,Dida mrudie mshikaji.
@ZaujatyAbduly
@ZaujatyAbduly 11 ай бұрын
Unapaka mafuta hayatoi sugu😢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
Mmmh jmn shikamoo mapenzi 😢😢
@allymatilda7519
@allymatilda7519 11 ай бұрын
Huyu demu jaman anavaaje jamani aibu naona mimi
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
كيف تنجح العلاقات مع ياسر الحزيمي | بودكاست فنجان
3:03:09
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
INAUMAAAA, TAZAMA VIDEO TANO ZA MWISHO ZA DIDA DAAAH INAUMAAAA
4:54
Шок!🤯 Ерасыл Мұсадан ала алмаған өшін Ақанайдан алды ма?😱 Бір Болайық! 10.10.22
1:38:34
Duy Beni 14. Bölüm
2:22:58
Duy Beni
Рет қаралды 3,6 МЛН
Kardeşlerim 62. Bölüm @atv
2:13:03
KARDEŞLERİM
Рет қаралды 4,6 МЛН
Ангел против Демона кто победит 😱
0:49
Kuruluş Osman 99. Bölüm @atv
2:15:39
Kuruluş Osman
Рет қаралды 6 МЛН
Oh no😱 EPIC Kissy Missy broke her teeth SITUATION by COOL TOOL
0:39