WENJE ALIVYOBANWA KWA MASWALI, SAKATA LA LEMA KUMPINDUA MBOWE, FEDHA ZIMEENDA WAPI?

  Рет қаралды 9,154

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 192
@ackshuba8679
@ackshuba8679 33 минут бұрын
Huu mpiga maswali wa jambo TV mungu ampe afya na nguvu za kutosha katika maisha yake...
@ALEXMAGHELE
@ALEXMAGHELE 2 сағат бұрын
Taperi hufai kuaminika hata kwa familia yako. Hakuna ulichojibu zaid ya kujihami. Dude jinga sana hili. Asante wandishi endeleeni kuyabananisha manyangau wote.
@sittandaki2135
@sittandaki2135 14 минут бұрын
Hawa jamaa ni majizi tu hakuna viongozi hapa Hiki CHAMA ni kinamatapeli tuuu kumbe CCM kinaona mbali sana harafu Mimi najiuliza kama tu uchaguzi mdogo namba hiii umewachanganya hivi je, wakipewa nchi kuiongoza si watauana kabsaaa😂😂😂😂 haya matapeli
@SylvesterEmmanuel-n8q
@SylvesterEmmanuel-n8q 3 сағат бұрын
Wenje kweli hukupaswa kuwa mwanachama wa chadema mpaka mda huu, Broo huna logic yoyote kwenye kujibu maswali 😂
@MalabaKamatta
@MalabaKamatta 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂wandishi noma Sana huyu jamaa ni vema angekaa kimya maana anajibu Kama mtoto
@JaphetAndondile
@JaphetAndondile 2 сағат бұрын
Kumbu huyu ndo wenje da mbona hamna kitu aliye mpendekeza huyu jamaa kuwa pamoja na mbowe hamutakii mema mbowe maana hafai
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 3 сағат бұрын
Mungu uwa ajalibiwi ameamua kutuonyeshe mla asali
@sewandomkuchu9267
@sewandomkuchu9267 2 сағат бұрын
Sijapata kuona mtu muhuni kama jamaa..😂😂😂
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 сағат бұрын
Ukiondoa kuchabganya kingereza na kiswahil nina wasiwasi na kiwango chake cha elimu
@victormajenge1396
@victormajenge1396 2 сағат бұрын
Jamani mbona badala yakujibu anaongeza maswali?? Hata kama kujibu maswali ndio uku basi watanzania tumekwisha.
@DanstanMassawe
@DanstanMassawe 2 сағат бұрын
[1/16, 1:30 PM] danstanmassawe9: “Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za Bwana. ” - Mithali 16:33 (Biblia Takatifu) [1/16, 1:31 PM] danstanmassawe9: “Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu. ” - Mithali 18:18 (Biblia Takatifu)
@mgawetv434
@mgawetv434 2 сағат бұрын
Mbona Wenje sijamuelewa katika kujibu maswali yote
@herrymardaimallya2966
@herrymardaimallya2966 2 сағат бұрын
Huyu Bwana nikwelii lema ameongea ukwelii wote,hapaswi kuwa mwanachadema Pia watanzania lazima waelewe chadema nimpango kamili wa Mungu kwatanzania,hivyo hakuna wakukivunja hicho chama,watavunjika wao tuu
@kwisa4899
@kwisa4899 3 сағат бұрын
Huyu hayupo sawa kiakili
@moriskadungula9353
@moriskadungula9353 2 сағат бұрын
Mwamba mwenye upara anakuwaga na maswali?
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 Сағат бұрын
Huyu jamaa kampigia kampeni Lisu bila kujijua kwa ujinga alio nao
@JosephChrisant
@JosephChrisant 36 минут бұрын
Wenje ni mzee wa miamala aache kuvuruga wenzie.
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 3 сағат бұрын
ni bora we jamaa unyamaze unaharibu sifa ya Mkoa wa mara bwana..
@ZakayoReuben-ow9tz
@ZakayoReuben-ow9tz 2 сағат бұрын
Wajaluo awana msimamo si kama wakurya
@bisekothedon4743
@bisekothedon4743 26 минут бұрын
Ili ni la mwanza nyamagana mara hatuna shida hii😅😅
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 3 сағат бұрын
Yuda wa chadema ndiyo huyooo😂😂😂😂
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 2 сағат бұрын
Wenje Waandishi wa Habari wote hapo wanakuzidi Elimu😀😀😀😀😀
@eliudinjoka8698
@eliudinjoka8698 50 минут бұрын
Huyu wenje hafai kuwa kiongozi na hawezi kushida uchaguzi
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali 2 сағат бұрын
Kweli Mbowe hakurupuki.. alikurupuka tuu kuanza MAANDAMANO NA mtoto wake😅😅😅
@godsson5954
@godsson5954 44 минут бұрын
anajiaibisha aise hahahhahah huyu ni zaid ya dalali huyu ni muhun na mpigaji alipswa ahojiwe na vyombo vya usalama na sio wahandish wa habar😅😅😂
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Unaenda kushoto, kulia , kushoto, kulia unazunguka mbuyu
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Сағат бұрын
🤣🤣🤣kushoto kulia amekuwa Harmonize
@Valerianshad
@Valerianshad 3 сағат бұрын
Wenje unaendelea kuharibu niheri ungekaa kimyaa kimyaa tuu😊😊😊😊
@PoliteJustine-s9z
@PoliteJustine-s9z 2 сағат бұрын
Kiongozi gani anaye sema, "HATA MEREKANI" 😂😂
@AyubuFufulu
@AyubuFufulu 3 сағат бұрын
Mungu nimwema kweli wala rushwa wanajitokeza wenyewe et wanajibu wanajimbua wenyewe
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c Сағат бұрын
Daaah Wenje
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 50 минут бұрын
Wenje hawezi kujibu hayo maswali maana ni muongo
@eliudinjoka8698
@eliudinjoka8698 37 минут бұрын
Hajajibu maswsli
@ibrahimmaxmillan1430
@ibrahimmaxmillan1430 3 сағат бұрын
Muandishi kanyooka😂😂😂
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 2 сағат бұрын
Uwezo huna unashindwa hata kujibu maswali ya waandishi wa habari hufai uenyekiti waachie wenye uwezo
@amanchao
@amanchao 2 сағат бұрын
Mzee kayakanyaga anajikuta anajua ulimwengu zaidi kuliko Chadema😂😂😂
@seleerenest3650
@seleerenest3650 2 сағат бұрын
Jamani wenje ni kabila gani? Anawaaibisha nduguze huyo.
@robertphilip385
@robertphilip385 Сағат бұрын
Ma omera
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 55 минут бұрын
Ni lijaruo la Rorya
@steveanthon5523
@steveanthon5523 32 минут бұрын
Huyu atakuwa mkimbizi kutoka kenya aliyevuka mpaka wa sirari kaja kujibanza Rorya, mtanzania hawezi kujibu upuuzi wa aina hii.
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Сағат бұрын
Ili umuelewe vizuri Lema, msikilize Lema afu njoo usikikize Huyu YUDA ISKARIOTE. Mimi ni CCM lakini nachukia viongozi matapeli kama wewe Wenje
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 2 сағат бұрын
Yaani wenje ndiye anataka Kuwa Makamu Mwenyekiti huyu😀😀😀 Nilikupa Kura yangu mwaka 2010 Nyamagana na tukampiga Laulence Masha lakini hakuna Kitu ulifanya na ukapotea Kabisa. Sasa unakula Viazi uanshiba eti unataka kuwa Katibu Mkuu😀😀😀😙
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 2 сағат бұрын
Jamaa huku mwishoni mbona kakimbia maswali wazeeee😅
@MichaelMatiku-v7o
@MichaelMatiku-v7o 2 сағат бұрын
Kama ningekuwa na nyazifa ndani ya chama wewe wenje ningekuwa nimeshakufukuza ili ukaungane na abduli kutafuna mabilion ya walipa Kodi masikini wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ACLESSJABRINE
@ACLESSJABRINE 57 минут бұрын
Kibaraka huyu asiposhugulikiwa ataua chama
@jessemhally5385
@jessemhally5385 2 сағат бұрын
Wenje upo shallow Sana...unamdhalilisha Mbowe.
@BarakaBashiru-nf3sb
@BarakaBashiru-nf3sb 2 сағат бұрын
Mbona anajibu Kwa porojo tu uyu mhongo tu mwizi mwizi tu
@StellaSeif
@StellaSeif Сағат бұрын
Huyu ndiye bogus kweli!!
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 3 сағат бұрын
Alisha potenza mwelekeo uyu wenje . Ana Ongea kama dali kweli
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 3 сағат бұрын
Uyuu ni nyang'aaaauuuu atauwaaa hii chamaa uyuu mbwaaaa mtimuweniii pumbavuuu sanaaa timueni iyo takataka
@boneventuremweya3673
@boneventuremweya3673 Сағат бұрын
Wenje ni boya kichwani anawadharirisha wajaruo wote
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 2 сағат бұрын
Huyu Pimbi ni bora angekaa kimya tu.
@evancemwaitubi6382
@evancemwaitubi6382 2 сағат бұрын
Haya maswali aliyeulizwa hana uwezo wa kuyajibu ipasavyo ,waandishi pimeni uelewa wa watu kabla hamjawauliza maswali.
@robertphilip385
@robertphilip385 Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 asee kweli hawezi kuyajibu
@barakamwasala228
@barakamwasala228 2 сағат бұрын
Tapelii uyuuu
@Marjeby
@Marjeby 2 сағат бұрын
Wenje mbona kama hajasoma aiseeee hata sijamuelewa kaongea nini maskini!
@AgnessMalile
@AgnessMalile 2 сағат бұрын
Ktk mtu wa Tanzania 🇹🇿 tunatakiwa kumkataa ni pamoja na huyu tena hawatufai ktk Chama chetu na km wakituletea hawa basi ktk uchaguzi mkuu hatutawapa hata kula moja hawa vibwengo wawili huyu ni dalali km wa nyumba tu
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l Сағат бұрын
Kijamaa kijiiiiziii hiki mimi aliniunganishiaga kigogo wa serikali asante wenje😂
@damianlyimo1011
@damianlyimo1011 18 минут бұрын
Sarah I need to talk to u.
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 2 сағат бұрын
Hongera Wenje umefafanua kimantiki (logically), siyo kimhemko. Ila "akili ya kuambiwa usichanganye na yako, bali linganisha na yako"!
@Sayed-t3u
@Sayed-t3u 2 сағат бұрын
Hakuna kiongoz hapo hili libabaishaji tu na ujinga unamsumbua pesa ya abul baada ya kukataliwa na lisu ikapangwa achukue fomu ili asiwe anamtaja mama yake na jilo wenje ndio kibaraka
@AbihudiMbaya
@AbihudiMbaya 18 минут бұрын
Hamna kiongozi hapo hakuna jibu hata Moja la maswali alioulizwa
@dalalimjinga.144
@dalalimjinga.144 28 минут бұрын
Hahahaha dogo kumbe ukibanwa unakua hauna majibu mtambuka😂
@happymushi4493
@happymushi4493 2 сағат бұрын
Yaani kweli mliikuwa mnaungana mumuangushe Mwamba FAM😊
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 3 сағат бұрын
Huyu jamaa ni muongo Sana
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l Сағат бұрын
Yaani unaharibu kabisa watu wanakuchora siasa zimebadilika Tanzania kwa kipindi hiki kifupi wenje go home my friend
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka Сағат бұрын
Wenje umeumbukaaaa
@Jumasaidikapuya0
@Jumasaidikapuya0 2 сағат бұрын
Daa kweli huyu ndoo anategemewa kuwa makamo mwenyekitu hapa hakuna kitu mmepigwa
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Сағат бұрын
Majibu pumbaaa. Hatuhitaji kiongozi wa kitafuta influence na sio kufata sheria
@maticoWaitare
@maticoWaitare 3 сағат бұрын
Liongoo.sanaa.hilo.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 2 сағат бұрын
Wenje ni dalali, hakuna zaidi ya hapo.Nyingi ni porojoo
@SaidBagoo-g2s
@SaidBagoo-g2s 2 сағат бұрын
Leo nmefrai sana uyu jamaa jnx anavyojbu maswal ata km mtu ambae hana elimu ukwel hastail kuitw kiongoz kweny nyadhifa yyte ile ata kuwa mjumbe hastail uyu😊
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 3 сағат бұрын
YAANI HUYU JAMAA ANAJIONESHA KABISA SIO MUAMINIFU KABISAAAA😂
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 3 сағат бұрын
Huyo ni mfumo wa ccm qmanina zake
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 3 сағат бұрын
Nawaomba muwe pamoja wenje na wenzako baada ya uchaguzi naamini mtakua na nguvu zaidi kisiasa, asiwepo wa kuondoka kuvunja moyo, uchaguzi mwema
@rejobu9723
@rejobu9723 2 сағат бұрын
Huyu jamaa simuamini kabisa
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Сағат бұрын
Ndiyo maana Mbowe alitaka uwe Makamu Mwenyekiti ili akiwa Mwenyekiti liwe bumunda lake.
@chachanyawaya9810
@chachanyawaya9810 2 сағат бұрын
Mjaluooooo, akili cha kuambiwa😂😂😂😂😂😂😂
@uwezotv
@uwezotv 2 сағат бұрын
HUYU MKENYA KACHEMKA MBAYA HAFAI HATA UJUMBE WA NYUMBA 10
@maticoWaitare
@maticoWaitare 3 сағат бұрын
Hata.macho.yako.ni.muoongoo.sanaa
@Paka5026
@Paka5026 Сағат бұрын
Wew ni matako tu kwenye siasi hufai nenda kauze maziwa huko ujaluoni
@onesmohmasuka3720
@onesmohmasuka3720 12 минут бұрын
Ngoja inyeshe
@seleerenest3650
@seleerenest3650 2 сағат бұрын
Kwaiyo wewe ndio ukawe makamu wa mbowe? Duuu!!!!!! Hamna kitu apo
@paulinakatemi7119
@paulinakatemi7119 35 минут бұрын
😭😭😭 Hana uwezo wa kupambana na haya majamaa ni hatareeeee
@SalambaPeter
@SalambaPeter 2 сағат бұрын
Wenje unatupotezea muda tunasubiri wapiga kura wa mkutano mkuu wakosee kukuchagua wewe badala ya heche maana sasa tunakufaham hufai kabisa
@davidngogo4011
@davidngogo4011 2 сағат бұрын
Wenje unarukaruka Kama maharage yanachemka. Umeshindwa mapema.
@emmanuelBon-p6u
@emmanuelBon-p6u 2 сағат бұрын
MI najiulizA? Kajibu nin!!!.ivi Huyu Anais watanzaa ni mapimbi
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 42 минут бұрын
Wenje NI wenge😅😅
@mtangag774
@mtangag774 Сағат бұрын
Hahahhaha😂 haya maswal we oho
@harunimsangi7770
@harunimsangi7770 Сағат бұрын
Alafu unategemea walarushwa kama nyie tuwakabidhi nchi Bora CCM iongoze miaka yote hapa duniani
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 2 сағат бұрын
Wenje mwana kulitafuta, mwana kulipata, na utaluona
@StephanoKissiwa
@StephanoKissiwa Сағат бұрын
Rais na mwanae ni cheo kimoja!!!????
@HamisiMbatyani
@HamisiMbatyani 34 минут бұрын
Swali la malidhiano hauja jibu ipasavyo umetufunika.
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Сағат бұрын
Rais ndio alimfuata Lissu Ubelgiji, Lissu alikuwa Ubelgiji amelazwa
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 3 сағат бұрын
Hakuna hata swali moja ulilojibu kwa weledi...ni uhuni tu
@thomskawinner4692
@thomskawinner4692 Сағат бұрын
Kumbe wew ni mjinga kiasi hiki daah
@Ibrahimkitela
@Ibrahimkitela Сағат бұрын
Tena amevumilia mengi sana mbowe
@BuhembweMbaratani
@BuhembweMbaratani 59 минут бұрын
Hakuna swali alilojibu zaidi anatoa maelezo ambayo hayaeleweki kabisa
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Сағат бұрын
Of course Lissu ana monopoly of truth na ndio maana ana aminika, wewe huna historia ya kuaminika.
@fredyaled
@fredyaled 39 минут бұрын
This guy is mad....hakuna anachokisena yakujib...kwaiyo hawezi kukodi Gali na dereva au...kwani nilazima aje nagali yake!!! Ata yakukodi inakua yakwako Kwa mdaa huo. Huyu ndo msaliti namba moja.
@damianlyimo1011
@damianlyimo1011 13 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gabrielmwashambwa5491
@gabrielmwashambwa5491 Сағат бұрын
Mumemupa maswali mengi mmemuchanganya
@geraldmbengwa6381
@geraldmbengwa6381 59 минут бұрын
Huyu ndio anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA? Kweli Mbowe ni kaishiwa
@ClarenceHilaly
@ClarenceHilaly 3 сағат бұрын
Baba Abdul huyo
@sittandaki2135
@sittandaki2135 18 минут бұрын
Mm nashangaa sana kwanini hawa wagombea wanatumia nguvu nyingi sana kujieleza kwanini mwanzo hawakutoka hadharani kuyasema wanayoyasema kwasasa ? Hiki chama ni kikundi cha Wahuni tu hakuna chama hapo
@NajumoOscar
@NajumoOscar Сағат бұрын
Uongo haufixhiki wenje we ni mnafiki
@tripedSaigarai
@tripedSaigarai 2 сағат бұрын
Sijawahi kuamini kuwa huyu jamaa ana akili ndogo kwa kiwango hiki
@damianlyimo1011
@damianlyimo1011 8 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LabanMauma
@LabanMauma 46 минут бұрын
Nadhani huyu Wenje hajajibu hoja kuhusu masharti ya awali na muafaka unaozungumzwa. Katiba mpya haikuwa ni sehemu ya masharti kwa kuzingatia kilichokuwa reported na Lissu wakati Mhe. Rais alipokwenda kumuona Lissu akiwa bado Ubelgiji kwa matibabu
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Сағат бұрын
Sisi Vijana wa kuanzia miaka ya 1985 mpaka 2016. Tujiandikishe vya kutosha Uchaguzi Mkuu mwaka huu tujichagulie viongozi. Hawa aina ya Wenje hawapaswi kupewa nafasi hata ya Udiwani
@HilaryMushi-m5q
@HilaryMushi-m5q Сағат бұрын
Cjajua itatumika njia gani lkn lkn vijana wa 85'c mpk 005 tunhitajika kufanya jambo kubwa la kijistoria mwaka huu
@sundaybarongo7226
@sundaybarongo7226 2 сағат бұрын
Hivi wenje ni mwehu....eti😢
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Сағат бұрын
Yuko busy anaandk sjui anaandk nn😂😂,akaangalie wenzake akna Heche na Lissu walvyo nondo
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
#LIVE: WENJE AMLIPUA LEMA, LISSU, DK SLAA "NILIKATAA KUWA MUASI"
1:14:45
Mbowe Atikisa Kwa Hotuba Nzito Kwenye Mkutano wa Wanawake CHADEMA
14:12
Президент Байден попрощался с Америкой
1:31
Euronews по-русски
Рет қаралды 17 М.