Umeua TX dullah 1:27 sabuni. Wewe NI wakwetu waelewa😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ 1:59
@NicksonMkakilwa21 күн бұрын
Umetisha Brother 💯
@babapriscar635817 күн бұрын
Dullah kwenya stand up sio kbssss huyu kwenye clip ndo balaaa
@godfreymakoye144519 күн бұрын
Dulla mzur kwenye crip ila uku anajitafta sana vituo ving inaonekana amekalili hajiamin ni tofaut na kwenye crip zake kule anaua sana km anataka afanye vizr uku bs afanye km aza boi alivo fanya kwenye sini ya gengeni afanye na muokoz wake madilisha atatisha zaid ila akilanda yeye km yey hana maajabu ajitafakari kidgo
@Mayeyetz20 күн бұрын
Kwenye show hii ya wana edition aliyeuwa zaidii ni haza boy mpumbavu yule😅😅😅
@othmantv265421 күн бұрын
Ila kuchekesha watu ni kazi jaman😂😂😂
@nunilivingstone452121 күн бұрын
sio poa mzee
@NatashaChebukati21 күн бұрын
Mc pili pili aliongea ukweli shida wa bongo kila mtu amekuwa mkosowaji atakama elimu ya comedy auna
@bullychandy650918 күн бұрын
CHAP CHAP
@Bills_dy19 күн бұрын
Mbon Kam watu walipoteza pesa zao kwenda kwenye hii show,sa ndo nn an hamn comedy apo 😂 watu wooote hakuna walichofanya
@officialbwoywalandlord189620 күн бұрын
Chap chap dula ww
@moridijuma887620 күн бұрын
Unachangamke huna hela
@HubertVitalis-ou9sz21 күн бұрын
😂😂😂😂
@ImmanuelSima21 күн бұрын
Dula hapa sio sehem yako achana nayo kbs
@xfamefatetv21 күн бұрын
Confidence yake imepigwa na MC PILIPILI. Hii si nzuri 3:33 . So atawapruv wrong😅😅😅😅😅 subirini nyie vimeme