🔴LIVE: MANARA ANAFUNGUKA KUHUSU KUTOLEWA USEMAJI YANGA LIVE KUPITIA SPORTS ARENA 23/8/2024

  Рет қаралды 71,600

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 2 ай бұрын
Hongera manara Kwa uungwana
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 2 ай бұрын
hongereni sana wasaf mf kutujuza mengii🎉
@jacksonmwandia4452
@jacksonmwandia4452 2 ай бұрын
@Ayubuchonya
@Ayubuchonya 2 ай бұрын
Apambane manala Ila mm siamini kama manala anaipenda yanga
@nassertemba5869
@nassertemba5869 2 ай бұрын
Kwa usemaji na propaganda za mpira hapa nchini hakuna kama haji
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 ай бұрын
Arudi Simba yanga tuna vijana na timu nzri
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 ай бұрын
Ninyi wachambuzi hamna uelewa au hamja ifanyia utafiti idara ya habari na mawasiliano inatakiwa iweje. Inawezekana kukawa na 1. Mkurugenzi wa mawasiliano 2. Msemaji wa club 3. Mkuu wa protocol na matukio 4. Mkuu wa ubunifu na sanaa N.K Ko hapo watu kwenye idara wanahitajika wengi ila bajeti za idara na vilabu ndio kikwazo
@antonykomba6631
@antonykomba6631 2 ай бұрын
Kwenye maisha kumbuka chochote ambacho unakifanya yupo mwingine ambaye Mungu atamuinua na kuifanya pia
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Aache uropokaj ndio maana katolewa nafas hyo
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 ай бұрын
Mimi manara hastahili kuwa yanga mana yupo kwa masirahi ya ghalibu sio yanga huyu ni mwehu kama alitutukana Kila tusi siwezi kukunjuwa asepe kitengo Cha habari kinahitaji vijana kama kamwe sio Hawa wazee miaka 50
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y Ай бұрын
Ajiiii anapewaaa cheooo kikubwaa sibiriniii mtaonaaaa zandaniii rakiniii
@kelvinfabo1314
@kelvinfabo1314 2 ай бұрын
Jitahidini mmboreshee io mic 🎤 moja mbovu inadondoka ovyooo😅
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 2 ай бұрын
Nyie watangazaji ni wambea tena wambea maswali yote hayo ya nini anaweza akafanya kazi yoyote acheni umbea
@AhmedMohamed-zj8hi
@AhmedMohamed-zj8hi 2 ай бұрын
Majukumu yake itakuwa ni mbwembwe kutembelea mgongo nk...😅😅😅
@GueritoBilnass
@GueritoBilnass 2 ай бұрын
ukweli rais WA yanga bwana hersi hakutenda haki kuongelea jambo hapo amemkosea Haji kwanza jambo hilo lingeongelewa hivo sio vizuri hata hivo asisau ipo siku itamfika sababu timu sio yake
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 ай бұрын
Yule ni raisi wa yanga lazima aseme wazi na ana haki kutowa tahatuku hivi haji alivyo waita mazuzi wajinga Kila matusi aliwatukana yanga alikuwa anawatukana chumbani sikia yanga hawana hitajio la haji huyo hji ni mfanya kazi wa gsm
@MwenyekitKitongojiDullahmgogoz
@MwenyekitKitongojiDullahmgogoz 2 ай бұрын
Manara tulia wwee ni simba bwana
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 2 ай бұрын
Maulid acha umbea
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 lakini ulikua Simba
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 2 ай бұрын
Siku alofanya manara press mi nilijua tu kakurupuka maana viongozi wote walikuwa sauz ye akakusanya wazee akawalisha akaita waandishi akajitangaza tafrani
@salimobeid1470
@salimobeid1470 2 ай бұрын
Ninasema hivi manara anamchango mkubwa sana kwa timu yanga hio basi apewe hishima yake kwa club na hasa kwa nyakati hizi yanga wanavyojisogelea mafanikio makubwa bafani Africa kumpoteza haji italeta mashaka makubwa kwa jicho la Tatu nasema hivi tuangalieni nafasi kutokana na hadhi yake alokua nayo na si makelele ya watu wasiojua uongozi na mafanikio ya club
@djumakonki1964
@djumakonki1964 2 ай бұрын
Sababu ya kufungiwa Haji Manara sasa iko wazi. Haji Manara anatisha kutokana na historia yake binafsi na historia ya wazazi wake ambao walikuwa wachezaji Maarufu kwenye klabu ya yanga. ukweli ni kwamba kikulacho kiko nguoni mwako.
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 ай бұрын
Sio kweli Hana lamaana yanga ni yanga na haji ni Simba hakuna kikulacho sisi sio mazuzu heris yupo sahihi GSM ampeleke akatangaze vitanda sio yanga katutusi Kila aina ya matusi akwendeee
@KhalfanShaban-ne5vg
@KhalfanShaban-ne5vg 2 ай бұрын
KUMBE NYINYI NI WANAFQI KWA MIAKA MIWILI ALIOFUNGIWA HAJI NDIO IONYESHE KITU ALICHONACHO HAJI ANAZIDIWA NA KAMWE?
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 ай бұрын
Haji mbona una nongwa 😂
@bakarimkumbo5077
@bakarimkumbo5077 2 ай бұрын
Umri unachangia pia Kwa sababu Kuna code za maneno Huwezi kuzitumia kadiri unavyozidi kukua
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 2 ай бұрын
Hawa coastal union taarifa wanatoa kwa wazee au kwa viongozi maana sielewi msemaji anaposema wazee yaani kuna taarifa inapelekwa kwa wazee na viongozi that’s shame and error katika industry ya football in Tanzania
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 2 ай бұрын
Who is wazeeee
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 ай бұрын
Mbona yeye haachi umeneja wa wachezaji?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 ай бұрын
Ukweli ni kwamba Manara kashushwa 🤣🤣🤣🤣
@Zack_lamar
@Zack_lamar 2 ай бұрын
Watu woote wako na Ali kamwe hakuna mtu atataka kamwe atoke hapo meaning of professionalism ni Ali Shaban Kamwe
@yasinnyange6233
@yasinnyange6233 2 ай бұрын
Acheni yenu, Mropokaji mnampamba mpambapamba tu Kwanza huyo sio Yanga Aende kwenye timu yake
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 2 ай бұрын
Fua jezi basi utakubali
@rashidhamad8697
@rashidhamad8697 2 ай бұрын
Haji hatumtaki
🔴LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM - 28-10-2024
36:09
Wasafi Media
Рет қаралды 1,7 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 82 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 3 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
Diamond wire stone cutting process | How to saw stone using diamond wire
17:54
Village Real Life by Manu
Рет қаралды 335 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН