Yaani unamshukuru mungu kwa kuzini mda mrefu.Subhanallah allah akusamehe.
@AminaMkumba-u3zАй бұрын
Huyu baba sio mbaya ila kwenye Dini hapo Sasa kazi ipo. Kijana mwenye Heshima yake anaonesha. Kila la Eri zewena.❤❤❤
@annageorge129Ай бұрын
Duuh wananake tuheshimu nyuchi zetu jamani kila mtu anakujua dada
@antybabybintrashid2333Ай бұрын
Emagn alaf ana watoto wa kike
@ahmedyissa4777Ай бұрын
Acha kiliweeeee
@AzaAzamhmodАй бұрын
Shemeji leo anaumwaga ngeri😂😂😂
@NeemaMushi-wj1znАй бұрын
Kweli uyu mzur ufunge ndoa mapema
@Thadeus97Ай бұрын
Aaah mastaa wa bongo, makahaba tu Body count zao ni hatar
@kanankirannko6174Ай бұрын
Yaani huyu Dada angejua huyu ni mwanaume sahihi kwake kabisaa kama hajaja kumpeleleza manake alivyonyoa mmmm na anavyoongea serious hana utani kabisaa ukicheza shauri yako ni ushauri tuu
@joycekasimbazi9817Ай бұрын
Napenda majibu yake waandishi mjipange
@ashuraathumani8129Ай бұрын
Unaustaa gan wa kuongea ivyo
@AndrewNdamboАй бұрын
usimwache mnaendana sana
@frugensifaustine3889Ай бұрын
Mastaa wa bongo asilimia kubwa ni malaya tu ila siyo wote
@AmaniManase-x1iАй бұрын
Oooh kumbe Sasa kuachwa kwa ommy 3d ndo sababu ya uyu rich kupewa nafasi na inaonekana shishi alianza kumkubali jombaa ndomaana akaamua amtimue omy 3d watu wazima tumeshaelewa