Huyu mwamba 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Anajua sana mwana haishiwi maneno
@eddovanny25532 жыл бұрын
Afadhali Hichi kichwa kimerud Tena cheka Tuuu 🙌🙌🙌
@eliabeliud4902 жыл бұрын
Yaaan cheka tu yoooooooooooote hakuna MTU anamgusa huyu jamaaa Zaid ya coy tu fwatilia uone mzee wa KAUSHA NARIMU NOMA SANAAAA❣️
@elianjiwa12602 жыл бұрын
merci beaucoup ndaro!!
@bulugubujashi63782 жыл бұрын
Huyu jamaa ndio mchekeshaji hatari sana
@mueni2482 жыл бұрын
I like Tanzanians comedy much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇷
@siloomar76992 жыл бұрын
Huyu jmaa anajua kweli
@Nelsonmlay2 жыл бұрын
Igweeeeeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Meshackmwakiworldwide72 жыл бұрын
Hahahaha ety Konde kuwa Bamkwe wa Rayvany.... More love from Kenya
@geofreyemanuel35932 жыл бұрын
Huyu jamaa kama wale comedian wa kenya 😂😂😂
@vicentmlumba5912 жыл бұрын
Nalimi ulikuwa wapi siku zote daaaaah ety msaada kwa mwinyi Apo🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 you're so talented big up brooo 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yaaan adi nimeshindwa kunywa chai apa dash😅😅😅
@تاتوجمعه2 жыл бұрын
Tulimumic sana marimi
@kakawane88222 жыл бұрын
Balimi noma sana dahh 😀😁😀😁😁🔥
@doctormbegu62582 жыл бұрын
Tisha sana mzee baba chafu yangu
@Kavuluku2 жыл бұрын
Very intelligent jokes. This guy will go far - I liken him with Dr. King'ori in Kenya.
@Zpauljr9947 ай бұрын
Huyu kwel Ni real comedian anajua Sana🙌🙌🙌🙌
@mymbaralitv29682 жыл бұрын
Message of the day #KILA KITU UNACHOFANYA HATA KAMA NI KWA UDOGO KIASI GANI KUNAMTU ANAPENDA💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅💅
@songweairport76022 жыл бұрын
YAP, HII KITU JAMAA KAONGEA KONK SANA
@mymbaralitv29682 жыл бұрын
@@songweairport7602 ipo vizuri
@elenzianjk55432 жыл бұрын
hatimaye akapenda kipaji chake cha upigaji picha😁
@damajojo2 жыл бұрын
Daaah new talent in town . Hongera San kaka
@zubairiyasir41892 жыл бұрын
I really appreciate your work
@geofreysanga19632 жыл бұрын
BigUp sema kuna punchline baadhi umerudia👊
@karimchindema98232 жыл бұрын
Siwezi kusema Samson alikuwa anavuta bangi lakin nguvu ya kupigana na simba anapata wap
@009biafra82 жыл бұрын
Bravo jamaa anajua Mnoo
@athumanmtengo70612 жыл бұрын
😃🔥🙌🙌🙌Nalimi Joseph mwamba anajua sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@Chui_lama_chui2 жыл бұрын
😂😂😂😂 uyu fala sana 😂😂💪🏿 nanivhekesha kuonekana bwege 😂😂😂😂😂 nakupenda brother
@christophajaphet22912 жыл бұрын
nalime is a best storywriter
@mussamussa81812 жыл бұрын
Nimependa atumii nguvu sana
@OMYUUN2 жыл бұрын
Now this is my favorite comedian
@davidsonstevenson26532 жыл бұрын
Bora mmemrudisha nalimi jamaa yuko vizur
@christinekahale62927 ай бұрын
Congrats sana Big up
@vanemmy60432 жыл бұрын
💥💥Nakubali bro 😂😂😂😂
@evansfwoti43212 жыл бұрын
Wooooote nawapenda sana barikiwa maadui wapende
@youngdad55362 жыл бұрын
Noumaaaaa sanaaaa
@officialtaslima54092 жыл бұрын
Kwamba nakukubali sana🔥🔥
@praygodmatemba34902 жыл бұрын
Unajuwa mbaya aaaaa
@badmanno.16502 жыл бұрын
Huyu jamaa ni real comedian.. he can have a special...
@charlessospeter64782 жыл бұрын
Nimekukubali kaka noma ww
@herbethchogga99022 жыл бұрын
The best comedian in Tanzania
@williamloserian59992 жыл бұрын
$##Nice broo tallenty tupu...##
@mpcentricky66972 жыл бұрын
Natoka Kenya naomba siku moja kwenye Cheka tu muite jamaa anaitwa MCA Tricky kutoka Kenya anaweza vunja watu bafu uko
@PharmBenson2 жыл бұрын
Yeah he is my favourite 😍
@sugukenya254 Жыл бұрын
Hakuna asiyemjua mca tricky...😂mkubwa wake huyo
@paticotz25132 жыл бұрын
Uyu mwamba anajua sana
@patelmpene36502 жыл бұрын
So talented Mr Nalimi
@abdullyelias66322 жыл бұрын
Umetisha Sana brother
@mtaalamwamambo20992 жыл бұрын
Noma na nusuu 😂😂😂😂
@ManaseNtui Жыл бұрын
It's so awesome ❤
@Michael-e5u4w6 ай бұрын
Huyo mwamba anajua
@yusuphdeogratius10362 жыл бұрын
Umetisha kk
@mkibandulo12312 жыл бұрын
Huyu nikomediani kweli hatakama hakuna vaibu la kucheka ila a aweza nimbunifu
@ommyfitness2 жыл бұрын
The Guy can perform About 2 hrs alone
@maryamconstantine22322 жыл бұрын
Very talented bro 🥰
@justinmganiwa27902 жыл бұрын
Amazing
@theophilwhiteheart19972 жыл бұрын
Huyu jamaa anajuwa mnoo yanii🤣🤣🤣🤣🤣
@de2ri2ck2 жыл бұрын
Dave Chapelle of our generation !!!!
@goodlucktemu31492 жыл бұрын
This man talented
@PaulLadislaus-z4o Жыл бұрын
Tisha sanaaaaa
@godwinsimba1772 жыл бұрын
Upo real and sharp minded, you flow naturally as comedian
@nuruyusuf32372 жыл бұрын
Dogo anajua sanaa
@emmanueljuma78232 жыл бұрын
umeua san 😂😂🙌🏾
@mkushiandikayakoachananaya79442 жыл бұрын
Hatari sana hii! Huyu mwamba anajua kweli!
@paulomaona97142 жыл бұрын
Hana mpinzani huyu jamaa
@hmanyinja2 жыл бұрын
Nimevuka kuitazama hii video mara 5 ila nilipoiangalia kesho nitarudi kusikiliza
@janeongala66842 жыл бұрын
Your very good
@elenzianjk55432 жыл бұрын
you’re Genius brother!! Naangalia muwala na connectivity ya masimulizi yako nabaki hoi aise!!😁 Your jokes are technically sophisticated, end determines the start, unatisha mzee!!
@ipyanamwaisekwa82092 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@meshack32662 жыл бұрын
semaa baazi ya joks umeziludia
@hagaikulanga35462 жыл бұрын
NALIMI ANAWEZA SANA!!!!!! FLOW KALI AFU ANACONTENT
@jacquesmulalirya1704 Жыл бұрын
Mkali sana
@jameswikesi3122 жыл бұрын
Bro upo vzur
@priscamedadi11082 жыл бұрын
Gd job. Bowoo
@samsonmwankosole3752 жыл бұрын
Kaua sana
@kpetres28722 жыл бұрын
Wameanza kurudi🤔
@JOHNJOHN-pu7wb2 жыл бұрын
Jamaa ana content nyingi
@shedrackmbilinyi23612 жыл бұрын
Sana asee 🙌
@vsurprisekevin2 жыл бұрын
Tanzania kot your the best comedia I crown you
@frankdaniel28572 жыл бұрын
The best
@muumuu27742 жыл бұрын
Nalimi the king
@salmaalimusa68092 жыл бұрын
Hahahs umelala yoo
@boysondeniclousTv2 жыл бұрын
Noma🤣😂
@lyovajr.7682 жыл бұрын
Bro yanii unampangilio wa stryy yanii sio poa
@isackboniphace516 Жыл бұрын
😂😂😂 fala sana
@revelianzacharia4362 жыл бұрын
Eti Idriss sio mbwaa🤗🤗🤗🤗
@stevenmsigwa85152 жыл бұрын
Nalim hujaonekana mda mrefu lakin umerud ukiwa bora zaid
@davidpaschal53632 жыл бұрын
Uyu nd o nilie mkubali
@JumaJoely2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@NisaNgasa-b9d3 ай бұрын
Yes
@shayodumwe33682 жыл бұрын
Mi naichukia Sana cheka tu ya wasafi kwasababu kila mtu lazima amtaje diamondi ndio achekeshe
@iamerickemmanuel62682 жыл бұрын
Utaka wamsifie mama yako
@009biafra82 жыл бұрын
Hakuna namna yakumkwepa Diamond 💎 kwenye hii sanaa hata wenyw ila watrend lazima wamtaje Diamond 💎 sembse hawa comedian
Nalimi ulivyokuwa Ifunda tech secondary haukuwahi kunichekesha hata kidogo 🤪
@mussavalonge3632 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 reonadi is best comedian
@innocentmushi15502 жыл бұрын
great content😂😂🔥🔥
@mnyamamedia74392 жыл бұрын
S alkua watubki uyu jamaa
@hassankhasim41142 жыл бұрын
Unyama xana hahahaha
@untouchboymsafi17882 жыл бұрын
Very Talented 💪
@avelinaleonidas63622 жыл бұрын
🤣😆big up
@andreamchome95412 жыл бұрын
Mate mbavu zangu
@danielmwakimi24162 жыл бұрын
Bado sana kumfikia Kipotoshi
@tanzaniayetu12 жыл бұрын
Kabla ya kucoment muombe MUNGU akusaidie akili
@restkalemile52742 жыл бұрын
@@tanzaniayetu1 live.... Unajua wngine wan akil za kuazima, akinyimwa anakuja na za kwake.
@tanzaniayetu12 жыл бұрын
@@restkalemile5274 kabisa yani... Na ubaya kitu anacholinganisha nacho ni kitu kisichomake sense.... Mtu anaetoa material mapya mda wote(nalimi) unaweza mfananisha na mtu anaerudia kitu Kila event... Tena vingine anacopy kutoka Kwa comedian WA Kenya WA kipindi hikooo
@restkalemile52742 жыл бұрын
@@tanzaniayetu1 huyo jamaa hajui comedian wenye ubunifu..... Wamekalili😂😂😂🤣🤣