TUNATANGAZWA KARNE HII BADO TUNAHANGAIKA NA WAPINZANI| "ZAIDI YA WAFUASI 500 WA CHADEMA WAMEKAMATWA"

  Рет қаралды 9,274

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@wisdomfolks
@wisdomfolks 3 ай бұрын
Leo nimewakubali kazi nzuri endeleeni kulitetea taifa kwa haki
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 3 ай бұрын
Nawakubali sana mnafanya kazi nzuri sana Mungu awatie nguvu na ujasiri zaidi 👏👏🙏🙏
@akramissa3393
@akramissa3393 3 ай бұрын
Safiii hatutolewi kwenye reli
@Peterchipemba
@Peterchipemba 3 ай бұрын
Aisee!! Kumbe mpo vizur kwenye uchambuzi wa siasa,, nimewapenda
@bsmonline8482
@bsmonline8482 3 ай бұрын
Nyie mkiamua kufanya kipindi hamna kipindi chochote kitabamba kama chenu basi tuu mnajitoaga ufahamu Wazee mko vizuri sana
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 3 ай бұрын
Mnawapa tension na mnafanya wapinzani wafuatiliwe zaidi kwa mnayofanya
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 3 ай бұрын
Kabisaaa
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 3 ай бұрын
Kwani ww umepasuka mbele au maana unashombo mpaka hapa kimara naiskia
@JohansenAron
@JohansenAron 3 ай бұрын
Ieleweke chadema watawashtaki wahusika kwa majina Yao binafsi, maana yake hata wakitolewa kwenye nafasi zao mdunko uko pale pale. Roma is burning😂😂
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 3 ай бұрын
#Chadema4life
@RichardMsema-e1c
@RichardMsema-e1c 3 ай бұрын
Hivi wamelipwa sh ngapi ? Tusubiri kupandishwa vyeo
@ElishaOisso
@ElishaOisso 3 ай бұрын
Haya ni matokeo ya hofu ya watawala juu ya upinzani,
@TrustElbashil
@TrustElbashil 3 ай бұрын
Homela masauni rpc mbeya wawajibishwe
@prince.eric_msemwa1994
@prince.eric_msemwa1994 3 ай бұрын
500 😁 duu, kweli mkiwapa upenyo tuu mmeumia
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja 3 ай бұрын
Mko juu 💪💪💪💪💪
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Chadema kapada duniani
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 3 ай бұрын
Siamini kama mh anahusika, ni kumharibia, rais bado tuna imani nawe❤
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 3 ай бұрын
Eti ngoma ya mama..😂
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 3 ай бұрын
Leo mmekuwa wanahabar
@illomowerner7690
@illomowerner7690 3 ай бұрын
Kongole wasafi kwa Leo lakin
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 3 ай бұрын
Yaani kipindi hiki mmekuja kivingine sana hatukuwazoea hivi kabisa lakini tunasema kwa pamoja tupaze sauti yenye haki ili Tanzania iendelee kuwa kwenye mfumo utakao mheshimu kila mmoja
@victorsanga2229
@victorsanga2229 3 ай бұрын
Hili la afande kuagiza ubakaji wa binti, lina leta tafsiri moja tu, jeshi la polisi lina watu wasiyoheshimu viapo vya kazi zao. Kuna haja ya kubadili namna ya kuwapata vijana wanojiunga na jeshi la polisi.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 ай бұрын
SAMIA SULUHU HATUUTAKI NA ARUDI KWAO ZANZIBAR, LAZIMA TUMFANYIE MIZENGWE KWA KUMTOA DOSARI!
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂......❤.....mnajielewa nyinyi watu nyie ....😂😂😂😂😂😂😂!
@BillingsXaveryNshullo
@BillingsXaveryNshullo 3 ай бұрын
Mpewe ulinzi
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 3 ай бұрын
Aibu
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 3 ай бұрын
Binafs nawapenda sana wazalendowang
@LitoDossani
@LitoDossani 3 ай бұрын
Rais anajua kilakitu
@nikutusyamsokwa3476
@nikutusyamsokwa3476 3 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza naona chombo cha habari kinafanya kazi yake ya kusimamia haki nakujenga nchi
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 3 ай бұрын
Mfumo wa serikali yetu ni mbovu sana, seriali inajiangalia yenyewe tu, watu iliyowaajiri na mambo ya serikali iendelee kuwa madarakani, Lakini serikali haina habari wa waiokuwa na ajira nchini yaani imewaacha watajua wenyewe, mfumo huu ni hatari sana, usije ukatupeleka kama Bangladesh na kwengineko, watu wacahche wanaangalia maslahi yao hili ndio tatizo tulokuwa nalo.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Kama mama hatakuwa chura ni hatari
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 3 ай бұрын
Mtatafutiwa sababu
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 ай бұрын
Mkuu wa jesh la polis atoboi huu mwez analiwa kichwa tu akuna namna
@victorsanga2229
@victorsanga2229 3 ай бұрын
Huyu ni spika Tulia.
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 3 ай бұрын
Wanyakyusa Hawana elimu Ndo maana wameshindwa kuelewa 4R za Mama!!!😆
@illomowerner7690
@illomowerner7690 3 ай бұрын
Tulia Ackson Mwansasu, mwanazuoni mbobezi na mkuu wa kitengo Cha Sheria UDSM, no reflection with her cv
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 3 ай бұрын
Nchi hii kuna watu wanamuaribia sana rais samia tena kwa makusudi kwa kujifanya wanataka kumfuraisha alafu baadae wanageuza kuwa walitumwa na serikali kuu kumbe ni uchawa wao tu
@othmanali5362
@othmanali5362 3 ай бұрын
Ohh jamaa wamechemka kazi kwao
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 3 ай бұрын
Kwakweli lais anafanya kazi nzuli sana ila kuna watu wanamwangusha lais
@toney..
@toney.. 3 ай бұрын
Laisii ndio nan ?
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 ай бұрын
Mbona kimya?
@ThomasAlute
@ThomasAlute 3 ай бұрын
Jeshi la polisi la Tanzania linafanya kazi kwa maelekezo ya juu maana yake ni waziri wa mambo ya ndani ya Nchi au mkuu wa mkoa wa mbeya kwa sababu akili hawana hilo jambo lazima liondoke na watu mkuu wa mkoa wa mbeya,Camission wa polisi Awadhi juma Haji hapo lazima mtu atenguliwe cheo chake
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 3 ай бұрын
Aya ni maagzo kutoka juu amin ivo hakuna police anae enda kuvamia seemu bila maagzo hii nchi bado inamambo ya kipuuzi sana
@illomowerner7690
@illomowerner7690 3 ай бұрын
wala hataondoka mtu kwani walipewa maagizo kutoka juu, unadhani juu ni wapi,....jeshini? Ikulu? Je rais hana taarifa tangu sekeseke la kizuia kutoka tar 08? Makarandinga etc
@johnmwanyika
@johnmwanyika 3 ай бұрын
HAHAHAHAHA, NGOMA YA NANI?.
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 3 ай бұрын
Mambo ya ajabu kweli kweli
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 3 ай бұрын
Mnasagia watu kungunguni ni hatari...😂😂😂
@BenjaminSululu-uz6sd
@BenjaminSululu-uz6sd 3 ай бұрын
Studio acheni siasa
@JackKanyigo
@JackKanyigo 3 ай бұрын
Waongelee nini xaxa!!!au Diamond
@goldenmaduhumedia4681
@goldenmaduhumedia4681 3 ай бұрын
Acha ujinga unataka waripoti na kuchambua nini wakati siasa ndo maisha?
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
Waache waendelee na Kazi zao. Na ndio ilowaweka pale.
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 ай бұрын
Hapana wako sahihi mimi ni ccm lakn tujipange kwenye uchaguz huru na haki akuna kugudua aukubaliki kwenye jimbo kula za maoni tunakupiga chini atutaki ujinga
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 23 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 34 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 192 МЛН
WAZEE WA MINYAMA WAMSAKA MMILIKI WA JENGO LILILOPOROMOKA
6:55
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
WASAFI MEDIA YATANGAZA OFA YA MATANGAZAO KWA WAFANYABIASHARA
8:21