CCM YAKERWA WANASIASA KUKAMATWA NA POLISI| ALIYEWAKAMATA CHADEMA NI KAMA AMEWAPA TU KIKI.

  Рет қаралды 30,010

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@evelina9621
@evelina9621 27 күн бұрын
Nawapenda.mnavyochambua..magazeti.hongereni
@JumaSanani-ih8is
@JumaSanani-ih8is 22 күн бұрын
Si kweli CCM haisikitiki hii ni kawaida yao kubabaisha wanapoona mambo yameshtukiwa.
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 28 күн бұрын
Polisi wanafanya kazi kwa nguvu na sio akili😂😂😂
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 28 күн бұрын
Sasa we unafikiri hao police wameanza tu...!
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 28 күн бұрын
Wasitudanganye hao polisi wametumwa na hao CCM wenyewe chini ya msimamizi wa mwenyekiti wao kama c hivyo tunataka uwajibikaji kwa wote waliohusika.
@uwembatvonline
@uwembatvonline 28 күн бұрын
Sasa akili wapate wapi 😂😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 27 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅​@@uwembatvonline
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 28 күн бұрын
Jamani huyu mama wa kambo hata watotoze hawajali sembuse sie arudi tu maana tunaamini ukiwa munene akili hushikwa na jigugumizi
@ntegrity277
@ntegrity277 28 күн бұрын
MAKONDA YUKO WAPI?
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 28 күн бұрын
Mh. Nchimbi asante kwa uelewa wako mazuzu wengine walikuwa wanafukiri wakiwakama cdm watapata vyeo kumbe hawajui kesho yao.
@IthamKudrack
@IthamKudrack 27 күн бұрын
Anakuhusu nini
@daudkondo4069
@daudkondo4069 28 күн бұрын
Nchimbi ni muelewa kagundua kawapa mileage Chadema maana wengi hakuna aliyejua Kuna nini
@joshuakobe6619
@joshuakobe6619 22 күн бұрын
Waliwatuma Polisi halafu wajifanya kukerwa ni unafiki mtupu
@rithaurassa
@rithaurassa 20 күн бұрын
Nchimbi Mungu akubariki naakuongezee umri wa kuishi UENDELEE kutetea HAKI za Wat.z.
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 23 күн бұрын
Safi
@luludoita5662
@luludoita5662 28 күн бұрын
Mmhh! Waliosoma Cuba ......
@flova7022
@flova7022 24 күн бұрын
Tunajua ni agizo lao.. wanajifanya hhawakuwatuma sheeeenziii kabsa
@user-if1du1td2x
@user-if1du1td2x 28 күн бұрын
Mupo Sawa wasafi bigap
@Niika870
@Niika870 28 күн бұрын
Mambo ya hovyo sana police wamekurupuka,Mama hataki mambo hayo ya kukatili watu hapendi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 28 күн бұрын
Acha utoto!
@ThabitiKondo
@ThabitiKondo 19 күн бұрын
Unadam ya uchawa
@fabby1181
@fabby1181 28 күн бұрын
Nchimbi muongo wao CCM ndo wameyatengeneza lkn wamejua wamebugi
@evelina9621
@evelina9621 27 күн бұрын
Kweli.polisi.wamekosea
@josephvenus3259
@josephvenus3259 28 күн бұрын
Bongo siami 😂😂😂🇹🇿🇹🇿 NCHI yangu
@sabuniagustino8471
@sabuniagustino8471 27 күн бұрын
Safari hii mmenifurahisha
@user-up8ho6bu8k
@user-up8ho6bu8k 28 күн бұрын
Nyie msitutoe kwenye reli,hapa najua mnazima ishu ya yule Binti aliyebakwa na wajeda na pia mnazima ishu ya Makonda isijadiliwe
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 28 күн бұрын
Mtu Mdogo sana huyu wanabakwa watoto kibao zinapotezewa Sembuse huyo danga.
@AliImamu
@AliImamu 23 күн бұрын
Sugu ana dada hawaelewa ije ikawa dada kaingiza chaka wenziwe
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 28 күн бұрын
Ni kweli walikuwa hawajui, wameshangaa kuona magari ya washa, washa na magari yenye watu wanabunduki.kama kuna vita
@aidankakulu398
@aidankakulu398 27 күн бұрын
Ni spika tulia akson ndio kawaingiza chaka anahofia kitumbua kuingia mchanga
@delasdiego6537
@delasdiego6537 27 күн бұрын
Waliowatuma ndio hao hao wanawashangaa Tanzania hii apana Kwa kwer
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 17 күн бұрын
Iyo ndio tanganyika yani ndio Tanzania ya babayenu nyerere sasaivi ya mamayenu kazi mnayo sio kupigwa tu bado kutekwa na watu wasio julikana kwaiyo muizoee nyinyi bado watumwa tu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 21 күн бұрын
Nchimbi ni mwanasiasa na mdiplomasia ambae kama akiendelea na kasi na speed yake 4R zitaeleweka na kutekelezeka. Wanasiasa vizuri kuwa na siasa za kidiplomasia zenye kuzingatia 4R . Kila chama kikizingatia 4R sisasa zitakuwa za ustaarabu mkubwa. Watanzania sio watu wa vurugu.
@egdldm4981
@egdldm4981 27 күн бұрын
😮Hivi kombe la pombe alalobwia Hando asubuhi yote hii inarihusiwa hapo Clouds?😮
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 20 күн бұрын
Kitenge kumbuka wenzako uliotoka nao ktk tamsilia ya habari ulifahamika sana redio one kipindi cha michezo wakati ule wmeznzako mwegamba marehemu leo alienda bbc na wengi tuu walitoka wakaenda nmnje wewe umebaki hapa au wewe ni chawa mbona ulikua ktk msafara wa dubai kuhusu bandani
@ElishaLaizer-d8s
@ElishaLaizer-d8s 28 күн бұрын
Nimeipenda bure hawa watangazaji
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 28 күн бұрын
Jesh la tanzania niaibu kukamata na kujelui wapinzani wao kubaka na kulawiti wao au ndo sela za mcc?kudhulu winch?
@chilubacalvin1549
@chilubacalvin1549 28 күн бұрын
Aliyetoa tamko Nan? Kwa hivi siasa haipo chadema sio ya kushikia mabunduki
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest 28 күн бұрын
kanunu ipi na seria ipi na katiba ipi kifungo nagni iinachosema jeshi polisi kujihushisha siasa polisi wanatumia chama mapinduzi kuvuruga amani uchanguzi 2025
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 28 күн бұрын
CCM endeleeni na unafiki ila naamini muda utaongeaaa
@Zaikadena
@Zaikadena 28 күн бұрын
Iv ccm mbona inawaona kama Wana nchi kama watoto iv kwani police anaweza kukamata Wana siasa bila kauli ya juu tufike mahala hii nchi tusiiharibu jmn haya
@AndulileMwatonoka
@AndulileMwatonoka 28 күн бұрын
Polisi mchongo
@othmanali5362
@othmanali5362 28 күн бұрын
CCM waache unafiki lao no 1.
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest 28 күн бұрын
inamani bado tanzani kimvuli mataifa yano endelea warabu na waxungu migonfi minginkuna makapuni yao wana safirisha dhhabu almasi wakati wtanzani wanaisha ufukara na maskiniwakati wolao wana chenga kwao tena sisi tuna kopa
@Zenny89
@Zenny89 28 күн бұрын
SWALA LA YULEEE BINTI ALIYEBAKWA NA POLISI LINAZIMWAA TARATIBU🤣
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 28 күн бұрын
Ulijuaje?
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 28 күн бұрын
Una ajili kama mchwa
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 28 күн бұрын
Akili
@aminimushi6945
@aminimushi6945 19 күн бұрын
Halizimiki,na likizimika hapa duniani,kamwe kwa Mungu halitazimika,litaanza kuwaadhibu viongozi wakubwa hadi makapupu wanao shangilia uovu huu.
@washingtonngullo1988
@washingtonngullo1988 28 күн бұрын
Sio kweli kuwa ccm wanasikitishwa hizo propaganda tu
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara 28 күн бұрын
Msgwa vpi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 27 күн бұрын
MUTUNGI AMESHAZEEKA KAMA MUTUNGI, HANA AKILI NA MAPOLISI WAKE!
@user-zk4xg9yr4g
@user-zk4xg9yr4g 28 күн бұрын
Awa porisi awataki kujifunza kwa mwambukusi jinsi alivyosumbuliwa kugombea urahisi ndio alipopatq wafuasi wengi majibu yake sio umeyaona wangewaacha tu awa chadema na yasingekuwa makubwa ivyo kwa wananchi wengi waiojua iyo mikutano yao
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 28 күн бұрын
Kila lenye mwanzo alikosi mwisho
@RoseKipimo
@RoseKipimo 28 күн бұрын
Samia ndio ameruhusu hofu ya urais muuza n chi kwa waharabu pumbavu
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 28 күн бұрын
Simba na ynga ww na mama yk cc tunatk maendeleo hz timu zintk jasho letu hali yakuwa cc wenyewe hatuna kitu jez 46 uwanjani 5000 cc hz hela tunapt wp ndo mana mnafirika kusport timu zisizo Tija miaka 90 hazijabeba club bingwa timu zote za mpira zishabeba cc c watu wa mpira cc tunatumika kuwapa mtjr maisha na wachezaji shtuka
@sadikishemkai
@sadikishemkai 20 күн бұрын
Watangazaji.nyie.hamsomi.mpakamjichetuwe.
@Zaikadena
@Zaikadena 28 күн бұрын
Nchi ya ajabu hii dah
@MagdalenaMagere
@MagdalenaMagere 28 күн бұрын
CCM wanajuana kwa vilemba. Hakuna cha R4
@daudkondo4069
@daudkondo4069 28 күн бұрын
Yaani Police imewanyanyua Chadema ililala watu wanaongelea Simba na Yanga, siasa weshaweka pembeni
@kashinjefranscis608
@kashinjefranscis608 28 күн бұрын
Tanzanian yetu niyamazuzu makonda yupo wapi? Wanapotenza honja
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 28 күн бұрын
Polisi ni ndg zetu ni baba zetu kaka zetu, dd zetu watutendee vyema mambo mazr
@willymgaya7618
@willymgaya7618 28 күн бұрын
police police na CCM mmmmmhhhh!!!!!!
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest 28 күн бұрын
serekari tanzani ikitakwi umoja mataiaf wansema wanavuja amni taifa wakati uku mttaani polisi wanapinga rai na kua mbona awasema wanavuja amani
@veronicmkenda9939
@veronicmkenda9939 28 күн бұрын
Unafki wa kupotezea watu wasio na kazi muda wao.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 28 күн бұрын
Kwani RPC Mbeya ana mamlaka na mikoa mingine ambako misafara ilizuiliwa kuelekea Mbeya! Tafakari kwa kina!
@JackKanyigo
@JackKanyigo 28 күн бұрын
Uwezo wako wakufikiri uko vizuri sana,wanacheza na akir zetu
@veronicmkenda9939
@veronicmkenda9939 28 күн бұрын
Utafikiri sio wasomi mambo ya blaa blaa ya kitoto kwa jamii ni uzalilishaji hata nchi na wananchi wote mnaonekana hamna akili
@Zenny89
@Zenny89 28 күн бұрын
POLISI WA TANZANIA NIWAJINGAA YANATUMIKAGA OVYO OVYO😂😂😂😂
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 28 күн бұрын
MKUU WA ULINZI NA USALAMA MBEYA AJITATHIMINI ANAPOTEZA KAZI,AMETENNGENEZEWA TATIZO,KWANI KIJANA ALIYECHOMA PICHA KAPOEA NA SASA KAZUIA MAANDAMANO NA KUWAKAMATA VIONGOZZI WA CHADEMA ,ANATAKIWA AJIUZURU
@c.e.o_abdiroush
@c.e.o_abdiroush 28 күн бұрын
Polisi wetu wanafanya kazi kwa mhemko! Haikupaswa kuwatreat Wanasiasa wa chadema kias kile
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 28 күн бұрын
Ccm na polisi lao moja hawawez kufanya hivyo bila kutumwa na Rais achane danganya toto wameona dunia imepata taarifa wanaweweseka Kila chenye mwanzo wake up I ipo sku utafka tu mung yupo anawaona hawa mungu watu.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
Point
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂 😂 nimecheka haswaaaaaa!
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest 28 күн бұрын
taifa ihili kama wewe sio ccm wewe sio tanzania wanalazimisha kila tanzanai awe ccm wakati kiseria kikatiba nchi seio swa kila tanzani sawa kuchangu chama anachokipenda kukipingia kurs ccm wanalazimisha kila tanzani kukipingia kura ccm wakati wameshidwa madaraka
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 28 күн бұрын
Hapana mm naungana na police walikua sahihi.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 28 күн бұрын
Kwani una akili ya maana?
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 28 күн бұрын
mjinga wewe na waliowakamata pumbavu
@dickisonimbedule
@dickisonimbedule 28 күн бұрын
Makonda ni ccm na ccm wamenyamaza wana juwa wenyewe hao leo chadema watu achie viongozi wetu bwana
@user-hh5bb1gx6v
@user-hh5bb1gx6v 28 күн бұрын
𝖨𝗆𝖾𝗄𝖾𝗋𝗐𝖺 𝗏𝗂𝗉𝗂.."𝖯𝗂𝗇𝖽𝗂 𝗆𝖺𝖾𝗅𝖾𝗄𝖾𝗓𝗈 𝗒𝖺𝗆𝖾𝗍𝗈𝗄𝖺 𝖭𝖦𝖠𝖹𝖨 𝗓𝖺 𝖩𝖴𝖴????
@user-hh5bb1gx6v
@user-hh5bb1gx6v 28 күн бұрын
𝖬𝖻𝗈𝗇𝖺 𝗆𝗇𝖺𝗍𝗎𝗓𝖾𝗏𝖾𝗇𝗓𝖺 𝗇𝗂𝗇𝗒𝗂 𝗃𝖺𝗆𝖺𝗇𝗂...𝗆𝗇𝖺𝗍𝗎𝗈𝗇𝖺 𝗇𝗂 𝗐𝖺𝗃𝗂𝗇𝗀𝖺 𝗌𝗂𝗒𝗈 𝖾𝖾𝗁𝗁, 𝗄𝖺𝗆𝖺 𝗌𝗂𝖺𝗌𝖺 𝗒𝖺 𝖳𝖺𝗇𝗓𝖺𝗇𝗂𝖺 𝗇𝖽𝗂𝗒𝗈 𝗁𝗂𝗏𝗂 𝗇𝗀𝗈𝗃𝖺 𝗇𝗂𝗄𝖺𝖾 𝗄𝗂𝗆𝗒𝖺 𝗆𝖺𝖺𝗇𝖺 𝗆𝗂𝗆𝗂 𝗇𝗂 𝖱𝖺𝗂𝖺 𝗐𝖺 𝗄𝖺𝗐𝖺𝗂𝖽𝖺 𝗌𝖺𝗇𝖺, 𝖪𝗐𝖺 𝖬𝖺𝖺𝗇𝖺 𝗁𝗂𝗂 𝖩𝖾𝗌𝗁𝗂 𝗅𝖺 𝖯𝗈𝗅𝗂𝖼𝖾 𝗅𝗂𝗆𝖾𝗄𝗎𝗋𝗎𝗉𝗎𝗄𝖺 𝗉𝖺𝗋𝖾𝖽 𝗓𝖺 𝗄𝗎𝗍𝗈𝗌𝗁𝖺 𝖬𝖻𝖾𝗒𝖺, 𝖦𝖺𝗋𝗂 𝗅𝖺 𝗆𝖺𝗃𝗂 𝗒𝖺 𝗐𝖺𝗌𝗁𝖺𝗐𝖺𝗌𝗁𝖺 𝖫𝖺𝗇𝖽 𝖼𝗋𝗎𝗂𝗌𝖾𝗋 𝗄𝗎𝗉𝗂𝗀𝗐𝖺 𝗅𝖾𝗌𝗌 𝗇𝗈𝗅𝗂𝗇𝖽𝖺 𝗓𝖺 𝖺𝖿𝖾 𝗄𝗂𝗉𝗉𝖾𝗋 𝖺𝗎 𝖡𝖾𝗄𝗄 𝖽𝗎𝗁𝗁, 𝗄𝗐𝖾𝗅𝗂 𝖪𝗈𝖽𝗂 𝗒𝖺 𝗆𝗅𝖺𝗅𝖺 𝗁𝗈𝗂 𝗂𝗇𝖺𝖼𝗁𝖾𝗓𝖾𝗐𝖺 𝗌𝖺𝗇𝖺!!
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 64 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 44 МЛН
Chadema NYIMBO  MPYA YA SIKU YA VIJANA DUNIAN
5:21
Ki home home Tv
Рет қаралды 13 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН