MAUAJI MENGINE GEITA! MTOTO AKUTWA AMEKATWA UNYAYO NA SEHEMU ZA SIRI

  Рет қаралды 23,340

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 2 жыл бұрын
Pole sana mama nurse umeongea kwa uchungu sana na unamjua Mungu sana. Mungu akubariki sana kwa upendo wako
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Tunazaa kea uchungu unamlea mtoto wako kwa shida afu kuna mtu anasubiri kumuaa kwa ajiri ya ushetani wake😭😭😭😭😭😭Ee Mungu wetu uko wapi mbona umetuacha baba😭😭😭😭😭😭
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 poleni sana Mungu amlaani kabisa aliye tuuliya mtoto wetu narohoyake itamsumbua huyo aliye muuwa jamani vibaya hivoo huyo mtoto kawafanyeni niniii 😭😭😭😭uchawi utawatesa
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭😭Amina Mungu awaaangamize kabisa
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
😭😭😭inallh wainaillh rajiwuna kwani kwanini jamani munawatesa watoto hivyo 😭😭😭😭😭
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 Sijui niseme nini, Mungu tuhurumie
@rosenoah2190
@rosenoah2190 2 жыл бұрын
Jaman. Jaman. Kwa nn. Lkn. Mungu. Binadam. Aliefanya. Hv. Mungu. Wew. N mungu. Usieshindwa. Fanya jambo kwa huyu. Shetan. MAMA. Uliepoteza. Mtoto. Faraja kubwa n kwa Mungu
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭 imeniuma Sana jamani jamani mbona hatutoondoka na kitu hapa duniani! Nini kinatuhadaa?!
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 жыл бұрын
Pole dada muuguzi ulionyesha kuguswa kabla hamujajua kifo cha mtt
@vivianmaro1336
@vivianmaro1336 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya mtoto pema peponi
@mwanahamisbwanga1184
@mwanahamisbwanga1184 2 жыл бұрын
Jamaniii uwiii😭😭😭nalia tuu mimi
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Maumivu ni makali mno haielezeki Kwa kweli😭😭😭😭😭
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Inauma sanaa mtoto huyu alikua Na kosa gani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@muniraassenga1068
@muniraassenga1068 2 жыл бұрын
Mungu wewe ni mwema sijui sijui nothing to say
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Nimeumia sana
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 2 жыл бұрын
Jamanii jaman mungu tusamehe tumekosa tusamehe
@teodoramgaya3638
@teodoramgaya3638 2 жыл бұрын
Polen inauma sana
@agyjackkalwela6377
@agyjackkalwela6377 2 жыл бұрын
Eee Mungu tulinde na watoto wetu baba, Inauma mnoo poleni saana ndugu jamaa na marafiki
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Polen sn mmaake mzazi kwayalio kufiken imeniuma sn
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 жыл бұрын
Pole sana kwa familia, RIP mtoto Wilson
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 жыл бұрын
Who ever have hand on his death will not see peace in his or her life 😭 Rest well Johnson
@sophialaizer9171
@sophialaizer9171 2 жыл бұрын
Imeniuma jaman😭😭😭😭
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 2 жыл бұрын
Maoni.hii taratibu za polis taarifa itashuhulikiwa baada ya masaa 24.ingerekebishwa.inawezekana ripot ikishuhulikiwa mapema inaweza ikanusuru .Msiba mzito saaana.INAUMA SANA.
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 жыл бұрын
Mungu wangu heeee 😭😭😭😭😭😭
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Eee Mungu tukumbuke😭😭
@anisiamalyagili9723
@anisiamalyagili9723 2 жыл бұрын
Mungu ampokee mtt huyo tutamkumbuka jpm molele
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Kiatu cha uyu mama ni kikubwa😪p0le sn mama
@njuka3515
@njuka3515 2 жыл бұрын
"mtanikumbuka Sana TENA MTANIKUMBUKA Kwa mazuri'"
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
SINA CHAKUSEMA NCHI YENYE MA MILIONI YA WEMA INATESWA NA MAADUI WA CHACHE MUNGU REHEMU NAFSI ZETU
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Aise
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun Subuhanallah binaadam sijuitunarlekeawapi
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@feykimaro4615
@feykimaro4615 2 жыл бұрын
Duuuuuuh sina la kuandikaa
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Hayo mambo ya kishirikina, waganga wote wauliwe, tumechoka
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
@christinachazy8644
@christinachazy8644 2 жыл бұрын
Kwanini lakini pumzika kwa Amani mtoto wetu mzuri
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
We mama nurse umeongea had machoz yamenitoka jaman polen jaman
@upendomwasamboma7967
@upendomwasamboma7967 2 жыл бұрын
Duh
@muzdatsuleiman3186
@muzdatsuleiman3186 2 жыл бұрын
Yaan ni htri hii nchi yet
@aminamavura6834
@aminamavura6834 2 жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu kwa nini watu wamekuwa na roho ngumu kiasi hicho jamani tuombe na kuomboleza tumlikie mungu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Inauma kwakweli zama izi usiogope simba ogopa binaadamu mwenzio
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 жыл бұрын
Alf mnasem inch yetu inaaaman kwel ninaimaan itakuwa inch y yeny ukatil wa siri Rais Rais
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 2 жыл бұрын
Innalilah wainalilah rajuun poleni sana 😭😭😭😭
@teedullah5708
@teedullah5708 Ай бұрын
Jmn bc naona ni huku kwetu Kenya tu kumbe nyinyi wenzetu piya kazi nihiyo tupoweni SOTE duh cjui tufiche watt wetu wapi jmn cjui tuwarudishe matumbo I hata celewi
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Hao wa fanya biashara hao huko kuna migodi ya madini
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Nimeona uchungu sana 😭😭😭😭 waliyo fanya hivyo WANAFURAHIA tu haki ya MUNGU MASHETANI wanafanya tuone MUNGU WAKWAO PEKE YAO OOOH
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Hao watakuwa wa fanya biashara wanadanganywa NA WAGANGA hivyo viungo vinaingiz ahela. Kumbe niuongo ukimwamini mungu tuu inatosha
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا Kama ndo hao watu wa madini kwanin wasiue watoto sasa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 hee mhh yani tena watu wa madini wa naushilikina balaa
@sophialaizer9171
@sophialaizer9171 2 жыл бұрын
Imeniuma jaman😭😭😭😭
@rachelemanuel7691
@rachelemanuel7691 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU AKIAMUA UGOMVI WA WATU WENGINE
10:01
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Liam Payne, member of One Direction, dies at 31
6:02
NBC News
Рет қаралды 568 М.
Top U.S. & World Headlines - October 16, 2024
9:59
Democracy Now!
Рет қаралды 117 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26