WATU WATATU ARUSHA WAHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA MTOTO, BABA AONGEA

  Рет қаралды 144,713

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 394
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
dah kama unamtoto utajua machungu anayo yapitia huyu mzee dah Nimeumia sana pole baba mwenyezi mungu akutie nguvu
@IsayaNgoiva
@IsayaNgoiva Ай бұрын
Kweli
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 ай бұрын
Pole sana,mzee wangu! Mungu Akutie nguvu zaidi. Nakuombea!
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 2 ай бұрын
Pole sana baba mungu hakutie nguvu mungu hatakupate watoto
@GodsonZefania
@GodsonZefania Ай бұрын
Mungu akutie nguvu Mzee wangu pia tunashukuru maana umewaokoa watoto wengine Kwa taifa la kesho 🙏❣️
@Msafirimakini
@Msafirimakini 2 ай бұрын
Nilishasema kwangu sitaishi na wapamgaji,nilishasema utajiri wa kafara bora nife masikini,duniani hapa ukiwa na familia jitaidi kuirinda sana La mwisho mungu akipanga basi msalti anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu .tumpe mungu nafasi kubwa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Tatizo sio mpangaji, hata ndugu, siku za leo usimwamini mtu yeyote, hukusikia baba alimuuza mtoto?hukusikia mjombamtu kumbaka mtoto wa dada yake wa miezi kadhaa? Hii dunia hii ni Mungu tuu atusaidie... Zaidi ya ushirikina kuna roho ya zinaa na mauti inaizunguka hii nchi
@MaxMungure
@MaxMungure Ай бұрын
Pole sana mzee!
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 17 күн бұрын
Kwan Jilan awez kukufanyia unyama.
@obednyagani506
@obednyagani506 2 ай бұрын
Mzee unajua kujiekeza big. Up🎉 hakimu
@GhardesGh
@GhardesGh 2 ай бұрын
Hakimu apate kiywaji bill juu yangu,hukumu safi sana
@Namtumbo
@Namtumbo 2 ай бұрын
Kabisaaaa
@pendomushi6351
@pendomushi6351 2 ай бұрын
Tena ya baridi hii kesi naikumbuka maskinnn😢😢
@faithpius6401
@faithpius6401 Ай бұрын
Mshahara wa dhambi ni mauti..pumzikeni kwa amani....mwiba wa kujichoma hauna kilio...poleni sana familia...na marafiki...mungu ailaze roho yake pema .
@ZaitunKilalamasaga
@ZaitunKilalamasaga 5 күн бұрын
Pole sana kaka mungu akutie nquvumshahala wa zambi maiti Mwemyezi mungu kawazalilisha hazalani
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
Pole sana vitu vingine vinaumiza sana yani bila ya nguvu ya Mungu hawa wachawi huwezi wajua
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Mpangaj Adui SubhanaAllah
@aronmtui597
@aronmtui597 14 күн бұрын
Kwa kujieleza big up sana hakika usione mtu ana hela zake ukazitamani mambo ni mengi
@mwanas2
@mwanas2 2 ай бұрын
Hivi hawa waganga hawana watoto wao jamani siwawatoe watoto wao khaaaa! Ushirikina kitu kibaya sana jamani na uyu Amin mwanamke alafu mshenzi sana uchungu tu huna roho mbaya shenzi kabisa wanyongwe tukiwaona hadharani wapumbavu hawa.
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 2 ай бұрын
Awawezi kuwa yoga wanatulidhisha tu Mungu mwenyewe atatulipia😭
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 2 ай бұрын
Pesaaa pesaa waaafrica sasaiv tumetumbukia kwny wimb la kutafuta pesa za kishirikina kw sbab ya umasikin na kukosa elimu ya kitambua n waz kbs wazungu watutawale
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 ай бұрын
Wanawake sisi ndio wabaya zaidi😢Mungu atusaidie sana
@pendomushi6351
@pendomushi6351 2 ай бұрын
Na sahivi Mungu mwenyewe kawachoka anawaummbua kweupee ubwa hawa
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 2 ай бұрын
Pole sana mzazi dunia kweli imefika mwisho lakini damu ya MTU haiendi bure
@mage5371
@mage5371 15 күн бұрын
pole sana sana baba! Mungu awachome mikuki ya moyo watuhumiwa wote
@SatwantHoogan
@SatwantHoogan 2 ай бұрын
Arusha! Inaongoza kwa matokeo ya kikatili...Dah!😢 safi sanaa,nimefurahi kwa iyo hukumu!👍🏻
@Kutaila99
@Kutaila99 2 ай бұрын
Watanyongwa na nani sasa
@AllyD-g4y
@AllyD-g4y 2 ай бұрын
I don't know why jmn😢
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ Ай бұрын
​@@Kutaila99wanachomwa sindano za sumu nasiku yakuchomwa hiyo sindano ikikalibia wanapewa simu wawapigie ndugu zao nakuwaambia kua kaongoe na mkuu wa mageleza atamsaidia kutoka siku Fulani hivyo wasiwe na wasiwasi ataludi nyumbani. Kila mmoja atadanganywa aseme hivyo baada ya hapo watatolewaa kwenda sehemu mbalimbali kutembea wakishawaludisha basi week hiyohiyo ndio watauwawa Kwa sumu ndugu watakaa wakusubili ndugu Yao aludi kama alivyowaahidi wataona kimya wakienda gelezani kumuangalia wataambiwa hayupo kahamishwa geleza ya mbali wakienda huko wataambiwa hajaletwa huko wadanganywa hivyo ila mwisho wasiku watapewa nguo zao nakubiwa washakufa nahiyo yote nikwasabu asaivi ile hukumu ya kunyonga Kwa kamba imefutwa
@jimlinekimani2326
@jimlinekimani2326 17 күн бұрын
Pia Simba wenyu kaletea taifa aibu kwote duniani 😭💔 tunajiuliza mbona Simba kakubali kalalwa naye inhali yeye ni mwanaume? Ati ndio awe tajiri number one? Hivyo hivyo ndio ataup grade atoke Kwa kulalwa aingie Kwa kutoa kafara.. ukatili wa p Diddy huu sasa na futa yake
@Mghaza-m16
@Mghaza-m16 2 ай бұрын
Pole sanaa babake.ALLAH AKUPE SUBRA. HUKMU YA UHAKIKA!!!!
@Ashrey82
@Ashrey82 2 ай бұрын
Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
SEMA KINACHOKOSEKANA HAPO KWENYE HUKUMU NI FIDIA . INABIDIN WAZAZI WATOTO PIA WANGEPEWA FIDIA KWA HANGAIKA NAPIA KWA GHARAMA ZA MATUNZO YA MTOTO KIPINDI CHOTE WALIPOMLEA. HAOHAO WATUHUMIWA INABIDI WALIPE HIYO FIDIA. HATA IKIBIDI KUUZIWA NYUMBA ZAO ILI FIDIA IPATIKANE. Kabla ya kjnyongwa. Asanteni sana wanasheria.
@hosea7919
@hosea7919 2 ай бұрын
Point
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 2 ай бұрын
ht mi pia sio mwana sheria ila umeongea ktu kzuri sana
@frankpatrik-fd9gh
@frankpatrik-fd9gh 2 ай бұрын
😭😭😭zile zinabak kuwa mali za watoto wao kama wapo mana wao wanaenda kunyongwa na watoto wao wata bak bila msaada
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 2 ай бұрын
​@@frankpatrik-fd9ghmsaada watapewa na Mungu.
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 2 ай бұрын
Ni sahihi kabisa
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 2 ай бұрын
Subhannallah subhannallah subhannallah subhannallah
@OmarGuni
@OmarGuni 28 күн бұрын
Amina amerubuniwa na ahadi hewa ya pesa akajikuta ametenda kosa pasinakutegemea haya bhanaa mbele yake Amina.........!!""
@FghgRyy
@FghgRyy Ай бұрын
Subhana Allah pole sana mzee wangu pole sana kwa kumpoteza mwanao 😢
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j 2 ай бұрын
Hao waganga wafungiwe vibali wasifanye kazi za uganga wapigwe marufuku sasa kapata faida gani anaozea jela kaacha watoto mwenyez mungu atawaonyesha
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Pole sana baba
@epema632
@epema632 2 ай бұрын
Me naona wangechomwa moto wakiwa hai..kunyongwa haitoshi..pole sana baba
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
pole sn mZee ! mungu ametenda haki uwe na aman
@KoleRashidi
@KoleRashidi Ай бұрын
Tumuombe allah atuongoze kwenye njia yake na tufanye toba ya kweli na tumlilie mola wetu atughufirie aamin
@goodluckkamaghe3871
@goodluckkamaghe3871 Ай бұрын
Mungu akutie nguvu baba YANGU mwee.
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t Ай бұрын
Subhananllah 😢
@MOHAMEDSALEH-fl7kb
@MOHAMEDSALEH-fl7kb Ай бұрын
Pole sana Mzee Wangu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Asante Mungu! Yale mashetwani yamehukumiwa.
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Ай бұрын
Alhamdullah Allah anatoa hukmu kwa wakati wake na wanaendelea kufanya haya ipo siku mutadhalilika na kuaibika na mtakufa kama walivokufa hawa washenz kwani Allah pekee ndio mwenye haki ya kutoa rouho za waja wake mnaingilia kazi yake na kuwaumiza watu wasio na hatia
@isaackemanuel3712
@isaackemanuel3712 2 ай бұрын
Ila polisi nao walichangia pakubwa sana maana wangeweza kutrack simu ya Amina kabla ya kuuawa.
@HadijaOMARY-q5m
@HadijaOMARY-q5m 2 ай бұрын
Yaani hata wasingesubir hayo masaa 24 kulikuwa na uwezo wa kumkamata kabla tukio kubwa halijafanyika,inaumiza kwakweli 😢
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 2 ай бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna dada
@hidayignas
@hidayignas 14 күн бұрын
safi sana na wenyew wafe kabs ila selikar tunaomba kesi mue munaimalza mapema maana iy kesi umechelew sna
@AsiaAroun
@AsiaAroun 2 ай бұрын
Pole sana baba Allah akutie nguvu
@MasukaWilson-j3r
@MasukaWilson-j3r 2 ай бұрын
Dahhhh pole Sana ,mungu tuepushe na hii dhambi
@EmanuelMbandi
@EmanuelMbandi 2 ай бұрын
Hao wakafie gerezan
@MariaKananaa
@MariaKananaa 2 ай бұрын
Yarrabi nitangulie na kizazi changu
@janerukobya3637
@janerukobya3637 Ай бұрын
Pole sanaa mzee hakika ulikuwa makini sanaaa na mwanao ila shetani alijiinua
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 ай бұрын
Hii sheria ya polisi akipotea mtu aambiwa angoje masaa 24 hebu iondoshwe sababu wakichelewa kumtafuta ndo wabaya wanafanikiwa kutekeleza mauwaji
@TheresiafaustineMeela
@TheresiafaustineMeela 2 ай бұрын
Kabisa
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Na Mimi nimeichukia sanaaa
@HadijaOMARY-q5m
@HadijaOMARY-q5m 2 ай бұрын
Kabisaaa otolewee
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
Ni nchi zote hata uku Ulaya ni ivo ivo
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 2 ай бұрын
​@@vanessalaizer4363yakurekebisha inaumiza
@EphrahimAlfaxard
@EphrahimAlfaxard 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu huyo
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 2 ай бұрын
Yani uoutajili wa miaka hii tunaumizwa wengi sana ila Mungu yupo ataukumu kwa haki 😭😭😭
@Aiuoex
@Aiuoex Ай бұрын
Africa imelaniwa na Mungu!!! Naumia sana kwa ili tokeo
@jimlinekimani2326
@jimlinekimani2326 16 күн бұрын
Pia hili iliniuma sana
@NajimKasonso
@NajimKasonso 2 ай бұрын
Mi naona serikali ifute vibali vyote vya uganga na ipitishe msako wa kukamata waganga wote na kupiga marufuku kabisa uganga
@AishaAisha-q4t
@AishaAisha-q4t 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@carolmwangi6223
@carolmwangi6223 2 ай бұрын
Kabisa umeongea
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 ай бұрын
Yaan kabisa waganga wa kienyeji wasiwepo kabisa serikali ingeamua hivyo kupiga marufuku
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Kabisa
@hamisisaidi5608
@hamisisaidi5608 2 ай бұрын
hata ikibidi kuwauwa waganga wte
@FaudhaHamisi
@FaudhaHamisi Ай бұрын
Pole san baba
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 2 ай бұрын
Hukumu Safi Sana maadui hawa
@johasaeed391
@johasaeed391 2 ай бұрын
Kama wameuwa tena mtoto hana hatia bora angekuwa mkubwa wangefanya uchunguzi
@khabibahussein7239
@khabibahussein7239 2 ай бұрын
Pole Sana baba binadamu wamekuwa wakatili mnoo,mwenyezi Mungu amlaze mahala pema pepon
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 ай бұрын
Tatizo sasa tz yetu hawanyongi 😢😢😢watakaa jela miaka kadhaa wenye kutoka kwa msamaha wa rais watatoka wenye kufa huko jela watakufa 😢😢
@Ney_kweyamba
@Ney_kweyamba 2 ай бұрын
SubhanAllah
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 2 ай бұрын
Pole Sana Mungu akutie nguvu
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe Ай бұрын
😢😢😢😢😢Pole. Baba 😢😢😢😭😭😭😭😭
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 ай бұрын
Dah pole sana baba
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 ай бұрын
Daah haki kweli imetendeka ila wangetoa na fidia kwa mzazi wake ila tuseme Alhamdulillah
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Ай бұрын
Mirrad Ayo tunaomba Namba za mzee kwa ajil ya pole mpesa tgo pesa wherever
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Sawa sawa ukija na moto tunakuja na moto
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 ай бұрын
hii sheria ya mtu kupotea polisi wanakwambia tusubilie masaa 24 irekebishwe aise maana tunapoteza ndugu wengi kwa kusubilia masaa 24 uwenda tukaokoa uhai watu wengi kwa kuanza kuwatafuta immediately baada ya taarifa.
@VeronicaPaul-l8m
@VeronicaPaul-l8m Ай бұрын
Mzee anauchungu mkuu SEMA anajikaza kiume. Mungu ailaze roho ya katoto mahala pema peponi. Adhabu ya kunyongwa mpaka kufa imewastahili hao mabeduhi
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 ай бұрын
Baba pole sana Mungu akutie nguvu
@kwiligwamashauri5662
@kwiligwamashauri5662 2 ай бұрын
Maamzi mazuri kwa serkali hao watu wanyongwe.
@Nyaboke-123
@Nyaboke-123 Ай бұрын
Wanyongwe kabisa wafe
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 2 ай бұрын
😢😢😢pole san kaka yang
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 ай бұрын
Ooh my God! 16.3.22 hukumu kutolewa leo 10.2024 watoto wanauliwa std 2 sm Sanawari. Hivi kweli wachawi wanaweka wapi roho na mbona hata utajiri ni upi. wasiojulikana wanajulikana wamo tu ndani ya jamii. Poleni wafiwa baba na mama na . 😊
@RahemaJumany
@RahemaJumany 2 ай бұрын
Ayuwaaaaa hii ndy hukumu yakuuwa sasa perfect ili kusiwe na mauaji zaid na xaid
@shamimuabdul7497
@shamimuabdul7497 2 ай бұрын
Pole sana kaka.Inaumiza sana jamani.Siku za mwizi ni arobaini
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 ай бұрын
Dah pole baba. Na yule dada wa Mbezi sijui nae vp watoto wake ya Rabbi waliotekwa na mfanykazi na mumewe yaani inauma mno
@FatumaAbdalah-sj3dz
@FatumaAbdalah-sj3dz 2 ай бұрын
Pole sana hakuwa imetendeka
@raajtz8073
@raajtz8073 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 safi sana
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Makonda kazi unayo mkoa wa arusha mbaya Sana wauwaji wengi wezi wengi matukio yote ya ukafir yapo uko faya kanya kaz wanyooke
@hamisijuma464
@hamisijuma464 Ай бұрын
Wauwawee Hao maumbwa
@MaryNdondole
@MaryNdondole 2 ай бұрын
Hii dunia tumuamini nani Mungu wangu...naumia tusqidie watoto wetu
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 ай бұрын
Dah! 🤦‍♂️ Inatia simanzi sana kwa kweli! Aisee...😭
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu baba yangu, na mimi nataka Mungu anilindie watoto wangu
@neemaisrael688
@neemaisrael688 2 ай бұрын
Pole baba.
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 2 ай бұрын
Wacha na wao wafe auaye kwa panga nae afe kwa panga..✅🙏 MNGU amsamehe mtoto mwema 😢
@GisellaLukas
@GisellaLukas 2 ай бұрын
Duuh Ee mwenyezi Mungu tusaidie na kizazi chetu 😢 tuwaweke wapi watoto wetu😢 mauwaji ya watoto nimengi sana
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 2 ай бұрын
Watu hawajui tu Mganga hana tofauti na mchawi ,watu wanaenda kuroga na hata kuua wenzao huko kwa waganga,, wote ni wachawi tu...
@ClarenceGaudence
@ClarenceGaudence 2 ай бұрын
Polee sana mzee. Mimi imeniuma sana aisee. Apumzike kwa amani mtoto jamani. Karma ipo
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 2 ай бұрын
Arusha ,arusha ,Arusha,Arusha,Arusha, nimewaita mara ngapi hivi Nyie Arusha mna nn jamani 😢😢 Why nyie kila kitu😢😢😢
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 2 ай бұрын
Utajili umereta shida
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 2 ай бұрын
@@Judy-dy4zt kwel itakua ni tamaa ya mali kwa nn kila siku wao
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl 2 ай бұрын
Why
@Lee-ng5wh
@Lee-ng5wh 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@olivernyange2349
@olivernyange2349 2 ай бұрын
Tuombee
@aishamkinini
@aishamkinini Ай бұрын
So painful Pole baba najua machungu unayo pitia tumuachie mungu ahukum
@JoelSono-wu5wb
@JoelSono-wu5wb 2 ай бұрын
Inauma
@ms-kyle
@ms-kyle 2 ай бұрын
Subhanallah, kuna watu katili sana jmn
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 22 күн бұрын
Wanyongwe2 mbwa hao
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 2 ай бұрын
Inalilah wainnailaih rajiun pore Sana Baba binadamu jamn unachinja kama kuku
@FauziaAthumani
@FauziaAthumani Ай бұрын
Pole.baba.mung.atawaukumu
@davidkobero6977
@davidkobero6977 2 ай бұрын
Daaa..Mungu atunusuru
@latifaayubu-i6m
@latifaayubu-i6m 2 ай бұрын
eee mungu baba tutunzie vizazi vetu
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 2 ай бұрын
na wao wanyongwe tu!!!
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 2 ай бұрын
Mungu akupe nguvu faza🙏
@obadiahnkwale124
@obadiahnkwale124 2 ай бұрын
Mwili wangu umepata ganzi😢 pole sana mzee wangu
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 ай бұрын
10days aftr mtoto kutekwa nikajifungua my second born eeeh binadamu mbona hamna huruma unauwa jambe utaishi milele😢
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 2 ай бұрын
Dah binadamu tumekuwa na roho mbaya sanaa , ni kumuomba mungu mwisho mwema maana Dah binadamu tumekuwa wanyama hadi inatisha 😭🙌
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 2 ай бұрын
Jamani huyo mama ana roho ngumu sana,sasa Amina unaachiwa mtt na unamuuwa jamani,hata roho haijakuuma
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 2 ай бұрын
Wajua nini. Nilivyosikiliza hakuambiwa kuwa watamuua alienda babati alijua atatolewa nyota hiyo kisha atarejea nae .ila walipomuwekea kisu kifuani akaona bora mtoto afe. Daaah inauma aisee
@MwajabuAbed
@MwajabuAbed 2 ай бұрын
Pole sana dah😢😢😢
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 ай бұрын
pole sana
@GoodluckYusuph-q5c
@GoodluckYusuph-q5c 2 ай бұрын
Kiama kinakaribia jamani tumrudie mungu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Duh Yesu tusaidie
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Wanyongwe TU,
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Pole sana 😭😭
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 2 ай бұрын
Wàtu hawana Imani wallah mtoto Yani Hana ata hatiya mnamkata daa huzuni kwa
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 2 ай бұрын
Jamani mwenyezi Mungu tusaidie na uzao wetu
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 2 ай бұрын
Duuuuh,mungu tusamehe sisi tumepotea
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 25 күн бұрын
Nakuomba usiseme tena alichinjiwa wapi. Inatuumiza sana. Mzazi naumia kuskia hivyo.
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 2 ай бұрын
Mpaka mwili umesisimka uwiiiiiiiii mtt amepata mateso makali sana jamani
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 ай бұрын
Sana roho inaniuma sana 😭😭
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 2 ай бұрын
We acha tu jamani😭
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 731 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
Рет қаралды 293
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
Euronews по-русски
Рет қаралды 155 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН