Wanaharibu makazi ya samaki kwani samaki hawapati mda kutulia wakiwa na wapenzi wao baridi.
@birianination709718 күн бұрын
Makachu yamesaidia sana kutangaza zanzibar mnoo, serikali iangalie hili maana imetoa ajira kwa vijana wengi
@hmedoggftherljih19918 күн бұрын
Wanajisahau sana … nchi ina katiba zake … 🫡
@awatifalghanim110616 күн бұрын
Zanzibar bila ya hayo makachu inajitangaza wenyewe. Watalii gani????? Zanzibar wameanza kuja Watalii Zamani Sana tuu. Kabda nyiye Watangazaji hamuijuwi Zanzibar. Serikali iwatafutie ajira za manana watizame maisha Yao.
@ogdosho9318 күн бұрын
Washaona wanapiga hela nini
@awatifalghanim110616 күн бұрын
Hapo Forodhani sasa hivi ni uhuni na matusi tuu.
@awatifalghanim110616 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Hela eti
@FelisterMichael-r8t19 күн бұрын
Kwa Nini wasiwekewe utaratibu mzuri Kisha waendelee
@MaryamSimai-b9f18 күн бұрын
Alofanya hayo ni mgeni
@awatifalghanim110616 күн бұрын
Isiwe hapo Forodhani maana imekuwe uhuni fujo na pahala pa matusi. Siyo kama ilivyokuwa mwanzo.