DIDA ACHAFUKWA, AMJIBU MR. NANA "NATAKA AJE AONGEE MBELE YANGU, SINA MUDA WA KUONGELEA MAPENZI"

  Рет қаралды 181,107

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 372
@BbasuleBasule
@BbasuleBasule 2 ай бұрын
Mungu Ailaze Roho Ya Dida Alikua M2 Mwema Sanaa ❤❤❤❤
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
Dida kapanik kwann Mr Nana katoa siri ukweli ndy huo ushakua utulie uache kutembea na watoto rudi kwa Muheshimiwa hueshimike km wenzio kina Salma Dakota
@ShaymaaMlanza
@ShaymaaMlanza 10 ай бұрын
Atafute saizi yake co umshauri arudi kwa muheshimiwa unajua kilichowatenganisha mambo mengine cri tuwachie wenyewe
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
@@ShaymaaMlanza Miaka 7 uhawara ndoa miezi 3 kavumilia kuzini imshinde ndoa kuvumilia huyu hamuwezi mtu kwenye ndoa we binadamu gani kila mwanaume mbaya tu yy mapungufu yake wanayavumilia vp yy ashindwe kuwavumilia wenzie mtoto wa ki8slam hasifiwi kuolewa na kuachwa ht wazazi wetu walivumilia mengi hd wanazikana miaka 50 40 30 ndani ya ndoa ina maana walikuwa wanaishi vizuri bila mikwaruzano ndani
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Hakika maana kuna watu wanajua maisha ya watu zaid ya namba za cm za watu 😂😂​@@ShaymaaMlanza
@RithaRitha-cj3ph
@RithaRitha-cj3ph 2 ай бұрын
Mmmh makubwa
@gracewairimu800
@gracewairimu800 10 ай бұрын
Sina uzuri wa sura ila nina uzuri wangu mwenyewe ndo mana wana ni ng'ang'ania😂nipe hi kama unakubaliana na hii
@BarakaTheprince
@BarakaTheprince 9 ай бұрын
😅O
@fatumakhalfan9372
@fatumakhalfan9372 2 ай бұрын
Sina uzur wa sura kweli
@MariaCassian787
@MariaCassian787 10 ай бұрын
Dida unaushamba flani hivi chunguza maneno yako kuanzia ugomvi wako na Jack mpaka hapa kwa Mr Nana ndio utajua huo ushamba wako na ulimbukeni wako
@mankamushi1374
@mankamushi1374 10 ай бұрын
Dida nakupenda Sana dadangu usijali maneno ya watu wapo ili weseme
@JudythAsiko
@JudythAsiko 10 ай бұрын
Love this woman ❤❤❤❤go girl 🥰
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 10 ай бұрын
Me too
@yusuphmruma1771
@yusuphmruma1771 2 ай бұрын
RIP😢 DUU leo ni usiku wa 3 yuko kwny kaburi lake yarabi tupe mwsh mwm
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 2 ай бұрын
Anatembelea Kiki uyo
@alexleo4863
@alexleo4863 2 ай бұрын
R.I.P Legend (Oct 4, 2024 ulilala)
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 10 ай бұрын
Knyoko, Nanuuu, hakuna mchaga fala , Asante dadaangu Didaa.
@JoshuaAizack
@JoshuaAizack 2 ай бұрын
Mtapakwa mafuta mwishowe muoze kama mnapenda hela sana
@alsam4881
@alsam4881 10 ай бұрын
Dida analazimisha kuonekana kuwa msichana lakini ameshaanza kuzeeka hadi ngozi zimekunjika, kwahiyo sasa atubu kwa Mola wake na aache zinaa na avae nguo za stara zinazoendana na umri wake, Na kama anataka kuolewa tena basi atafute mzee mwenzake na aachane na vibenteni.
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
Kumbukeni mafuta hufanyangozi kukunjika
@vickydan2869
@vickydan2869 10 ай бұрын
​@@rerisambamafuta yapi ya mgando au hizi crem zao
@vickydan2869
@vickydan2869 10 ай бұрын
​@@rerisambaau hizi roshen zakawaida
@UnicornAlw
@UnicornAlw 10 ай бұрын
Wewe tayari ushatubu😂😂😂😂😂 kutubu haitaki umri
@sawackoswald9322
@sawackoswald9322 10 ай бұрын
Uchi hauzeeki nakuna wengine sura za kitoto ila huko chini niwazeee ivyouzee sio kitu kitu madini kichwani
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 10 ай бұрын
Mbona kama kapanic vile 😢😢 mapenz pia Yana nafasi yake, 🙏
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 4 ай бұрын
Dida i love you ❤ my role model 💕
@TundaJr
@TundaJr 2 ай бұрын
Rest in peace dida 😢😢😢😢
@chany9950
@chany9950 10 ай бұрын
Didaaaa Love you😘😘😘
@MwanaidiAthumani-y9k
@MwanaidiAthumani-y9k 10 ай бұрын
Duuuh umezeheka sura m aya
@augustinenjagi6255
@augustinenjagi6255 10 ай бұрын
Huyu Dida is very wise
@Shadya-ju2el
@Shadya-ju2el 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 aisee kifo ndo jeuri ya binadamu jmn Allah naomba mwisho mwema mm na family angu inshallah xx mbn uyo nana alikuwa analia na kuimba kumbe walikuwa washa achan
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 10 ай бұрын
Hahaha Didah kamchamba uyu mwandishi sema mwandishi kapotezea maumivu na aibu😂😂😂
@vero57
@vero57 10 ай бұрын
Semaa didaaaa!!!!!
@meryamreally2768
@meryamreally2768 10 ай бұрын
Nakubali dada sawa ❤️❤️❤️👏👏👏👍
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 10 ай бұрын
Huzungumzii mapenzi mbona unawabana wenzio studio wazungumzie mambo yao ya ndani 😊
@eggysulle7988
@eggysulle7988 10 ай бұрын
Ndo utofaurltshe ,akifnya ivo anatafta ugal yaan pesa kama anavxema
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 10 ай бұрын
So kama dokta anatibu nyeti za wagonjwa hospitali inamanisha nae aongelee nyeti zake???? Em jiulize then ujijibu mwenyewe
@RebecaRaphael-s5k
@RebecaRaphael-s5k 10 ай бұрын
Kwel sura dada 😢
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 10 ай бұрын
Bora umejijua huna sura nzuri 🙏 hapo nakusifia
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@nuruosward8161
@nuruosward8161 10 ай бұрын
Wajaaaa😂😂😂😂😂
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 10 ай бұрын
Maana nilikuwa nataka kusema kanitangulia mwenyewe 😂😂😂😂😅
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 10 ай бұрын
Wewe yako nzuri? Mashavu ka paka wa hoteli za Nungwi
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@vanessalaizer4363
@YunisJerald
@YunisJerald 10 ай бұрын
😂😂😂😂dida unajiamini😂😂
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 10 ай бұрын
Mtangazaji bwana ety hoo mara dida ana kingast mwengine😅😅😅😅
@MsAggie5
@MsAggie5 10 ай бұрын
Huyu mwanamke mzima akue sasa
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 10 ай бұрын
Mmmmh dida nana anakupenda
@JennyJma
@JennyJma 10 ай бұрын
Jamani coment nyingi mnasema dida kazeeka sasa kwani siku zinarudi nyuma??? Ikiwa Anty ezekel kafanya birthday mwaka jana katimiza miaka 40 tena dida kaanza kuoneka kwenye maigizo na kina kanumba nakumbuka kaole group mwaka 2000 sasa kama mnabisha hebu kamwangalie johari kwenye tamthilia yake ya siri kwenye sinema zetu akiwa sura imeshakomaa sasa kwanini dida? Mimi nimeanza kuwaona dida docta chen johar nora rey nikiwa na miaka 12 ITV saivi nina miaka 34 sasa kwanini wasizeeke mtizameni docta cheni alivozeeka na ndio mwanaume kwanini hawa wanawake wasizeeke? Kamwangalieni monalisa vizuri sura imeshaanza kuzeeka na ndio hajawahi kujichubua na mikorogo
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 10 ай бұрын
Na Angekua mzuri huyu! Domo Sasa,, Arafu Zee frani hivi
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 10 ай бұрын
Eeeeeh 😂😂😂acha bhasi
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 ай бұрын
😂😂😂
@ubongosahihi
@ubongosahihi 10 ай бұрын
Kwa hiyo tusizeeke so tusipo zeeka bibi mtampata wapi mbona hamuelewi Dunia jamani loooo et poleni mnao comment ambazo hazina busara wala hekima come onnnnnnnnn😒😒
@khadjamhozya
@khadjamhozya 10 ай бұрын
Acha ishamba kwani yeye kasema mzuri
@DayramGibson-x5b
@DayramGibson-x5b 10 ай бұрын
Akii kumbe dida ni mrembo ivyo❤
@modestsharia7127
@modestsharia7127 10 ай бұрын
😂😂 Lia lia fc!
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 4 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Akbar ❤
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 2 ай бұрын
😢😢😢amekufa dida😢😢😢
@RayChausa
@RayChausa 2 ай бұрын
😢😢😢😢kifo ni mlango na kila mmoja ataupita😢😢😢
@FonteniKamela
@FonteniKamela 10 ай бұрын
Mama Zima chefuuuu
@khadija5761
@khadija5761 10 ай бұрын
Umezeekaaa dada😢
@karimjuma4019
@karimjuma4019 10 ай бұрын
Dada anaongea sana kuishi nae huyu ni ngum sana
@SaudaRashid-xt8jf
@SaudaRashid-xt8jf 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@karimjuma4019
@karimjuma4019 10 ай бұрын
@@SaudaRashid-xt8jf wanaume hatupend ngenga nyiiiiiiiingip
@chemstry409
@chemstry409 10 ай бұрын
Sura duuuuuuhhhh mtihani....😂😂😂
@FatimaVorogwe
@FatimaVorogwe 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@LovenessPeterMaka
@LovenessPeterMaka 2 ай бұрын
Rip dida
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 10 ай бұрын
Dida Dida uko sawa
@munamuna4621
@munamuna4621 10 ай бұрын
Dida kazeeka
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 10 ай бұрын
Na wewe umeona ?
@emmajuma896
@emmajuma896 10 ай бұрын
Kazeeka na anajigamba kwamba anatongozwa na wengi. Achukue kioo atazame
@SaidChilaza
@SaidChilaza 10 ай бұрын
​@@emmajuma896wew uyo mzuri unaweza kumumba na wew weka sura lako jeusi tulione
@munamuna4621
@munamuna4621 10 ай бұрын
@@emmajuma896 😄 🤣 😂 watu washukuru mek up
@Charlesray-sv2lm
@Charlesray-sv2lm 10 ай бұрын
Mm naona nikuwa dida na huyo mr nana hiyi ni kk ili jamaa afahamike nasio kitu kingine this life now days too much kiki
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 10 ай бұрын
Hili janajike Lina sura mbaya kwa mkorogo limekwisha margea juwa Lina zama Tena tubia Tena najua utanuna ila ujembe ushakufika
@NoelMussa-k7o
@NoelMussa-k7o 2 ай бұрын
Wivuuuuuuuuu jamani wivuuuuuuu😂😂😂
@Bless-b.DL-babyofficial8769
@Bless-b.DL-babyofficial8769 10 ай бұрын
Aisee dida amesha zeheka
@buildinghope3817
@buildinghope3817 7 ай бұрын
Dida nakupenda sana unaniosha loho
@mwantumjaff1602
@mwantumjaff1602 10 ай бұрын
Mtihani dunia hii wallah😢E' Mungu tupe mwsho mwema
@AnnaLinus-x3r
@AnnaLinus-x3r 10 ай бұрын
Sura nzuri unayo sema tuy Umezeeka sister!
@Wazir-y5k
@Wazir-y5k 2 ай бұрын
Uliyemtukana leo katangulia kabulin je unajisikiaje?
@RachelMakalanga-du2oj
@RachelMakalanga-du2oj 2 ай бұрын
​@@Wazir-y5kimagine nyie maisha ni mafupi.
@Wazir-y5k
@Wazir-y5k 2 ай бұрын
@@RachelMakalanga-du2oj noma sn!!
@MiliamNgozi
@MiliamNgozi 2 ай бұрын
We hutazeeka
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 2 ай бұрын
Kwani kazeeka Nini mdada wa nini
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 10 ай бұрын
Ukweli unauma
@chemstry409
@chemstry409 10 ай бұрын
Ahhhhhhhhh....kumbe ndio maana huwa anavaa kofia leo ndio nimegundua....😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 10 ай бұрын
Sura
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 10 ай бұрын
Huyo ndiyo Dida
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 ай бұрын
Pumzika kwa amani Dida
@DoreenShuma
@DoreenShuma 2 ай бұрын
R .i.p kipenzi cha wengi siamini naona kama bado upo dada najikuta naiogopa duni...kweli tumuogope mungu dunia mapito
@righitkileo
@righitkileo 10 ай бұрын
❤❤❤Nipe tano Dida ,mchaqa orq,❤❤anashindania maqar mazur,nyumba nzur,s wanaume❤❤❤❤chaqqa hilo❤❤❤❤❤❤❤
@zenasalum2231
@zenasalum2231 2 ай бұрын
Kumbe alkua mchaga?
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 2 ай бұрын
😢😢rip dida
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 10 ай бұрын
Nakupenda Dida
@antonyjuliz9348
@antonyjuliz9348 10 ай бұрын
Kazeeka ety
@chemstry409
@chemstry409 10 ай бұрын
😁😁
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 ай бұрын
😂😂😂ila watu jmn
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@hanifamziray277
@hanifamziray277 10 ай бұрын
Ww tena umesahau ulivyokuwa unamsifia mpk ndoa pole
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 10 ай бұрын
mbona wewe unaongeleaga mapenzi ya watu😂😂😂😂umepaniki dada
@KhadijaAmour-b9y
@KhadijaAmour-b9y 10 ай бұрын
Mwambireeee 😅😅😅
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo 3 ай бұрын
Woyooooooo wapeee dida wangu
@Marjeby
@Marjeby 10 ай бұрын
Huyo Didaa mwenyewe kazeeka hatari na uso ulivyomzito aiseee
@chemstry409
@chemstry409 10 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Vip ww una ck 1 tangu ulipozaliwa?
@hamzaqaacm1869
@hamzaqaacm1869 10 ай бұрын
Kazeeeka bwanaaa 😂😂😂​@@ruqaiamohammed345
@NoelMussa-k7o
@NoelMussa-k7o 2 ай бұрын
Yakwako umeiona 😂😂😂 au kusema yawenzenu yakwenu hamuyaoniiiiiii😂😂
@loulumony8519
@loulumony8519 10 ай бұрын
Mwambie dida nakubali kbx🤛🤛😍😍
@BethaMartini
@BethaMartini 10 ай бұрын
Bdo haujathemaa mpka utheme😜🤣🤣🤣🤭ifike time mjijue kuwa tiyari ninyi n watu wazima utabadilisha wanaume km nguo mpka lini
@mapachaproducts2475
@mapachaproducts2475 10 ай бұрын
Yaani huyo nana sijui nani aache basi ushamba hivi why umepewa airtime then unaexpose mambo ya ndani
@Mumewangu
@Mumewangu 10 ай бұрын
Sasa amefumania itakuaje DIDA amezeeka
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 10 ай бұрын
Mbona hajaongea mabaya kaka wa watu jmn
@Magie-c7w
@Magie-c7w 2 ай бұрын
Waandishi nao akili hamna
@teedullah5708
@teedullah5708 10 ай бұрын
😂😂😂😂 Aki dida nakupendeya hapo tufunze didaa
@Jowelia
@Jowelia 10 ай бұрын
Sina uzuri wa sura kwani unajijua kama hauko mzuri😢😅😅
@floridahbaltazary2502
@floridahbaltazary2502 2 ай бұрын
rest in peace didia nanumuu didia aliwahi kusema kama utakuwa na mahusiano na mtuu basi ukiondok usimalize maneno haya Mr nana bakisha maneno
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 10 ай бұрын
Kikubwa mwana ameshapiga😂wewe ndio umeloose hapo.
@saidissa4741
@saidissa4741 10 ай бұрын
Hahaha hahaha
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 10 ай бұрын
Ameloose nini? Kwani kaondoka na k yake
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 10 ай бұрын
@@rose_Winchester86 Umeshawai kusikia wapi mwanaume malaya dadangu?Ila mwanamke ndio anakua malaya hapo tayari wanaume wengine wanamdiscredit watapiga wanaondoka heshima lazima ishuke ila mwanaume heshima lazima iongezeke😄
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 10 ай бұрын
Sura bozuu
@chemstry409
@chemstry409 10 ай бұрын
😀😀
@aishaarusha894
@aishaarusha894 10 ай бұрын
Kayako
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 10 ай бұрын
Mpaka unachapia kwa roho mbaya yako nzuri umejenga ghorofa
@brownjulius8514
@brownjulius8514 2 ай бұрын
Muombee bro nimarehemu Sasa hiv huyo dada wawatu😢😢
@godymastermind9534
@godymastermind9534 10 ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu. Dida kuongelea wengine kwenye mashamsham anaonaga raha sana, leo kuhojiwa anapanic kama vita vile. Atulie kuimba kupokezana😅😅😅
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 10 ай бұрын
Namshangaa anavyolalama
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 10 ай бұрын
Una nuksi tu bi dada ,eti huna muda wa kuongelea mapenzi!!? Ila una muda wa kuongelea mapenzi ya wenzako maana hadi mishipa huwa inakutoka 😂😂😂
@elizabethnguma3379
@elizabethnguma3379 10 ай бұрын
Aliongea vizuri sanaa,niliona interview 😂
@AliHaji-w1x
@AliHaji-w1x 9 ай бұрын
Dida kizeee duh hafanani na uyo kaka
@tobosha3236
@tobosha3236 10 ай бұрын
Mungu naomba usimjalie binti yngu ukiniruzuku awe n sura yngu baba mtu
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 10 ай бұрын
😅😅😅
@ommylax7231
@ommylax7231 10 ай бұрын
Ana miaka 50_2😢
@NoelMussa-k7o
@NoelMussa-k7o 2 ай бұрын
Acha uongoo nyoooooooooko😂😂😂
@bettybetty8717
@bettybetty8717 10 ай бұрын
Dida ushakua bibi tulia achana na vijana wadogo
@asiminasimin653
@asiminasimin653 10 ай бұрын
Kunani jamani 😂😂 huku
@spreadlove5300
@spreadlove5300 10 ай бұрын
Mchaga og habari umepata 😂😂😂 kaa kwa kutulia
@mesukanku6016
@mesukanku6016 10 ай бұрын
DIDA EST UNE FEMME INDÉPENDANTE LIBRE ELLE FAIT CE QU'ELLE VEUT DE SA VIE
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 10 ай бұрын
True
@TheoMukenga
@TheoMukenga 10 ай бұрын
Aza ndumba ba femme tanzanien bazalaka na respect epa mobali te.ata soki oza tati wata bako cheet yo kaka
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 10 ай бұрын
Hili ni gume gume wachaga weka pesa mezani tumalizane
@FelistersMejumaa-fp6cc
@FelistersMejumaa-fp6cc 10 ай бұрын
Umezeeka kweli mamaa,, na hapo kwa sura ulivyo sema huna ni kweli umelitambua hilo
@StumaiIssa-nh8bo
@StumaiIssa-nh8bo 10 ай бұрын
Hahahahaha utaniuwa Kweli sura hana alafu ndo nina muona vizur
@wardawarda6535
@wardawarda6535 10 ай бұрын
Dida mitano tena shoga yangu ❤😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A 10 ай бұрын
Pamoja na weye😅😅
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Warda 🙋🏽‍♀️🌹❤️😂😂😂
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 10 ай бұрын
Uyu mzee anazeeka vibaya sasa mana kila siku kuachika tu mpaka waheshimiwa wamemshindwa,mpaka vibenteni navyo vimemkimbia akitulize sasa
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kwakwel
@khadija5761
@khadija5761 10 ай бұрын
😂😂😂 wanaume nao wanazeesha voo kila mwanaume amchokore tuu
@jaquilinekivunge331
@jaquilinekivunge331 10 ай бұрын
Hahaaa
@righitkileo
@righitkileo 2 ай бұрын
Maskini dida alikuwa anajiami sana na Alikuwa mpambanaji sana R,i,p kwani mkiachana sikuzote hakuna qa ukweli uzushi tu
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 10 ай бұрын
Dida Tulia Sasa khaaaa umeupiga mwing hela. Anatafuta hela. Mmmm mbona unapendankila. Siku 😅😅Mr Nana Kawa Mr limao😂😂
@KhadijaAmour-b9y
@KhadijaAmour-b9y 10 ай бұрын
Hivi anajitangazia ana hela hajui wanaume wa Dar wana njaaa 😂😂😂
@LydiaStephano
@LydiaStephano 10 ай бұрын
Kungwi kuachika kila cku jamani😂😂😂
@mozaothman7530
@mozaothman7530 Ай бұрын
Jamani haifai kumsema keshafika mbele ya haki
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 10 ай бұрын
Lialia FC😅😅😅
@pendo8082
@pendo8082 10 ай бұрын
Huyu didah hatari 😂😂😂didah sio maskini wa wanaume 😂😂😂
@brownjulius8514
@brownjulius8514 2 ай бұрын
R.i.p dida😢😢
@Hapygideon
@Hapygideon 10 ай бұрын
Watu wanajiaibisha jamani tulia mama yetu utapata saiz yako hivi visharo viachage tuu vinipitishe,ila kama alikua anakamia shoo unazeeka😂😂😂😂😂
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 10 ай бұрын
Mmh kumbe yupo iv lisura lake 😂😂😂daaa mbovu kinoma mamaeee
@NoelMussa-k7o
@NoelMussa-k7o 2 ай бұрын
Lakwako likojeeee 😂😂😂😂
@Ummukuruthum-m1m
@Ummukuruthum-m1m 10 ай бұрын
Hcho kipens 😂😂😂😂😂😂😂
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@Ummukuruthum-m1m
@Ummukuruthum-m1m 10 ай бұрын
@@Sarah-tq2vc 😂😂
@singidaone5628
@singidaone5628 10 ай бұрын
Dida ni mhuni kama wahuni wengine
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 10 ай бұрын
weeutumbo tu kama utumbo mwingine tuu😂😂sura lake sasa😂😂dida ukue jaman
@fakihassan9021
@fakihassan9021 2 ай бұрын
Nakaburini unatafutahela mama ulitamba sana mama mungu akupunguziye azabu ya kaburi
@Mamkubwa
@Mamkubwa 2 ай бұрын
Wewee..... unasutana hadi na maiti. Astaghfirullah. 😢
@NoelMussa-k7o
@NoelMussa-k7o 2 ай бұрын
Yani wewe hakiri huna mtu ameshakufa bado unatoa maneno kumbuka na wewe ipo siku utalala kama yeye mungu akusamehe hujui ulisemaloooo pumbavu wewe😢😢😢😢😢
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 10 ай бұрын
Ushazeeka
@SaidChilaza
@SaidChilaza 10 ай бұрын
Keshazeheka bibi yakoo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Vp ww una ck 1 ya kuzaliwa mpk leo?
@SaidChilaza
@SaidChilaza 10 ай бұрын
@@ruqaiamohammed345 sijakufahamu
@jenipherjackson3826
@jenipherjackson3826 10 ай бұрын
kwani ivo vipele vya dida avitokagi t ck zote na huo umaarufu wote😂😂😂
@Barakatabudul
@Barakatabudul 10 ай бұрын
Shangazii Ajikuta Under 12 na Umbrii" ushasonga mpaka Sura' yavuka😂😂😂😂😂 Wasafii akutongozee nanii na Ushachoka, hivi watu wamuache Ammy girl" wakutongoze wewee😂😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 10 ай бұрын
Uyu age goo ni Bibi mashangazi kina ant kajal na wengine
@faidhacute
@faidhacute 10 ай бұрын
Dida bhana tatz unajikubali sana ndio maana huchelew kweny mahusiano😮
MAZITO HAYA! DIDA AMJIBU EX WAKE ''SINA NDOA NAISHI MAISHA YANGU''
17:07
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
DIDA DR KUMBUKA SIO MSHIKAJI WANGU MIMI NA YEYE ATUFANANI
7:43
Cook with Wema Sepetu - S05E05 Didah Shaibu
8:07
Wema Sepetu
Рет қаралды 177 М.
MBOSSO AMLETEA NOMA JUMA LOKOLE NDANI YA MASHAMSHAM WASAFI
8:05
BONGO EAST
Рет қаралды 4,2 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН