Maashallah huyu kijana mungu akulinde unajua siyasa 👌👌👌
@hamisimuhunzi79164 сағат бұрын
Charles William come on usione haya kusema kuwa CCM ina chakujifunza somo lkubwa kuhusu demokrasia kutoka kwa chadema. CCM wamekutana ddm watu wazima 1975 wanateuliwa mgombea na mtu mmoja kwy pochi yake wao wana rubber stamp tu..shame
@DavidKagulu7 сағат бұрын
Charles nakukubali sana
@chachamwita99875 сағат бұрын
Huyu Ndiyo mtangazji na mchambuzi wa siasa Hongera kijana Tanzania oyeee
@husseinpatel29564 сағат бұрын
✋️✋️✋️👍👍
@husseinmkanga77944 сағат бұрын
Ameongea vizuri lakini kuhusu kuungwa mkono na baadhi viongozi ni jambo la kawaida kwenye siasa za vyama na baada ya uchaguzi wote wana muunga mkono mshindi. Ila kwa Africa au Tanzania labda itakuwa tatizo kwa sababu tuliona yaliyotokea CCM baada ya uchaguzi 2015. Kina membe walibaki na kinyongo kushinda kwa JPM. Ila tuwape pongezi chadema kwa kuruhusu wanachama kuchagua kiongozi wanaye mtaka na sio kupewa kiongozi na kamati kuu kama tulivyo fanya ccm. Tunajua makamu mwenyekiti bara hatukumpigia kura.