hongereni wasafi jitahidini msiwe na feki news....yaani mzishinde tv zote...mpaka africa
@RmoShamte Жыл бұрын
Najivunia kua miongoni mwa wazaliwa wa kilwa
@sabihaibrahim33933 жыл бұрын
Mashallah msikiti
@chemstry4093 жыл бұрын
Wape elim mama watu wapate kujua acha janja janja au hujui history ya Kilwa na pesa yao??? Hiyo pesa ilikuwa imeandikwa LAILLAH HAILALLAH MUHAMMAD RASSULALLHAH...waambieni watu wajue Mama....kilwa kwa waungwana hapo, habari zake nzito, lakini history yake wala shule haifundishwi....😫😟😟..Mtihani huo....
@mohamedothman57923 жыл бұрын
Wanaongea walichopangiwa mengine wanaficha
@samwelimoshi56143 жыл бұрын
@@mohamedothman5792 lengo nn hasa kuficha eti
@mohamedothman57923 жыл бұрын
@@samwelimoshi5614 ntajuaje
@yusufhemedyusuf30212 жыл бұрын
@@samwelimoshi5614 lengo ni kkuficha uislam ambao ndio mwongozo wa taifa hilo la Kilwa. wa kulaumiwa ni Nyerere ambae hakupenda kuona kanda ya kusini na hasa uislam ukinawiri.
@salimngaiyai96643 жыл бұрын
Ni mzanzibar ila wazee zetu zaidi ya miaka 150 walitokea kilwa kwenye ukoo wa Khamis wa Bagoni,najivunia kuiona kilwa inahistoria lukuki za kiislamu na watu wake ni waislamu, Mashallah
@mwinyikherikhalfanmzee62963 жыл бұрын
Sisi wote watu wa ukanda wa pwani tuna asili moja kuanzia lamu, mombasa, pemba ,unguja, mafia pamoja na kilwa kisiwani wote sisi ni Washirazi
@MrishoShabani-l5k5 ай бұрын
Japo mm ni mnyamwez lakin kilwa napenda ustarabu wa watu wa kilwa
@mohamedothman57923 жыл бұрын
Sio tu nchi, hii ilikuwa Dola au Kingdom ya Zanzibar au kwa jina lingine Kilwa
@mwinyikherikhalfanmzee62963 жыл бұрын
Na ndio dola kubwa kuwahi kutokea kupita hata dola ya znz ya kipindi cha sultan wa omani
@mohamedothman57923 жыл бұрын
@@mwinyikherikhalfanmzee6296 hii ilikuwa ni sehemu ndogo ya Dola hiyo ya Zanzibar, ni kati ya karne ya 12 hadi 16. Ni Dola kubwa na ya Kwanza kabla ya Dola nyngine yoyote duniani
@shamzone3883 жыл бұрын
Hiyo ilijengwa na waarabu wa oman ndio waliokuwa wakiishi kilwa
@RuzoOwzy3 жыл бұрын
Mbn wamesema shiraz kutoka Iran!!! 6:00
@mwinyikherikhalfanmzee62963 жыл бұрын
Majengo mengi ya ukanda wa pwani ukianzia mombasa, lamu, pemba, unguja, Mafia pamoja na kilwa yote yalijengwa na washirazi. Hao warabu wa oman wanapewa sifa za bure tu
@Gavi_2553 жыл бұрын
Wazungu walichoma na kuvunja kila kitu ili ukweli usifahamike. Haohao wakafundisha vizazi changa kwamba,Kilwa ilijengwa na Waarabu ambayo ilikua plan ya kututawala ki mawazo.
@abdali50353 жыл бұрын
kilwa ilikuwa moja ya miji ya nguvu ya ulimwengu wa kale ikiwa ni sehemu ya mlolongo wa usambazaji wa nishati ya bure ulimwenguni
@vortexmwamba90103 жыл бұрын
San wasifi TV ilove
@hassanmpwepwe38263 жыл бұрын
Kwe2 uko inchelile ngari mwino
@abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын
Ilioundwa haitavunjwa kwa ulimi nathibitisha popote niendapo lakini bado kilwa naiwakilisha
@isayakahemela48813 жыл бұрын
Waarabu ni wakoloni kama walivyo wazungu tu. Msiokoteze historia