Huwez kutengenisha historia y mji wa kilwa na ukuaji wa uislam afrika. Historia ya kilwa ilipotezwa ili kuficha historia ya uislam Afrika Mashariki na MCHANGO wa uislam katika maendeleo ya dunia. Ahsante sana Jamal Hashim kwa documentary hii.
@SilaMinanda9 ай бұрын
Ni kweli kaka, historia ya kweli inafichwa ambayo ni kubwa kuliko ata nyerere wanaomuabudu na kumuita baba wa taifa, wakati huo waislam ndio walianza kupgania uhuru maana ata ukoloni ulianzia pwani na sio bara.
@sarastephano34094 ай бұрын
@@SilaMinandaHata uislam pia uliletwa na waarabu ko wenyeji hawakuwa waislam Ila waliletewa hiyo dini na waarabu
@mahamudumbwana3822 жыл бұрын
Maaana halisi ya kwamba hakuna kinachodumu duniani😢😢 kila kitapita tu na kitabaki kua historia ee mwenyezi Mungu tujalie mwisho mwema
@perujumah14222 жыл бұрын
Ameen thuma ameen
@allahisone63862 жыл бұрын
@@perujumah1422 Allahumma Aaaameen
@SamirBSam2 жыл бұрын
Watu tunapita. KILWA YA SASA NI KIJIJI CHA OVIO SANA. IMEBAKI KIJIJI CHA HISTORIA. SEHEMU WANAO PIKISHA KILA CHAKULA KWA MAFUTA YANAZI.
@yohanamhagama89752 жыл бұрын
Nimefurahi Sana prof Jamal kwa kuitangaza nchi yetu wengi wetu hatujui mambo mengi ya nchi kwa kuwa hatuna utaratibu wa kutembelea vivutio vyetu vya kale
@saidibinur97432 жыл бұрын
Kwl kpnd hik kinakuwa siku gan na saa ngap
@neemamwita9733 Жыл бұрын
Kilwa jamani ipo kama unaenda wap
@arapninja_things2 жыл бұрын
Hakika professor Jamal , nimeweza kujua kikamilifu staarabu za kilwa ya kale... Naitazama kutoka nchi Jirani ya Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Asante sana
@abuubilal26462 жыл бұрын
Sababu ya mji wa kilwa kupotea ni kwamba walipokuja wareno kutaka kutawala waliwaamrisha wenyeji. wa kilwa kubatizwa kwa nguvu walipokataa ndipo kwa wivu wao wakaamua kuupiga makombora mji huo na kuuharibu na wakawachukua utumwani wenyeji.Ukitaka kuijua historia ya kilwa kiundani waulize waislamu wanaijua vizuri
@magigesabai86744 ай бұрын
kwani wareno walitawala Tanganyika ?
@FahdiSultan4 ай бұрын
Walitawala Kwa muda mfupi hapo kilwa na Nchi za Kusini mwa Africa @@magigesabai8674
@husnakalumba25782 ай бұрын
Waleno 😂kasome tena historia
@Sautiyamajini2 жыл бұрын
Jamal wewe. Ni kipenzi changu katika utafiti na kutuletea mambo mazuri kama haya you are my favorite documentary artist be blessed
@rinirietransfomaorenge43092 жыл бұрын
Ahsante Sana Prof. Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya sitakosa kufuatilia
@susanbeadskenya70092 жыл бұрын
God not god
@hassansaidhajji0012 жыл бұрын
Professor your are my model especial in knowledge,learning,innovation and other aspect Allah bless you my brother
@hamadfakhi3195Ай бұрын
Udini
@perujumah14222 жыл бұрын
There is no permanent situation,Allah atujalie mwisho mwema😢😢🤲🤲
@MWEGOHA2 жыл бұрын
Nilikuwa nikiisikia historia ya Kilwa ila sikujua kiundani hivi kama ulivyonielimisha leo @Prof Jamal, umenifanya niendelee kutafuta makala mbali mbali kuhusu Kilwa ila zaidi nahitaji kuutembelea nikajionee kwa macho mji huo ambao ni hazina kubwa sana Tz na Africa, Hongera Wasafi Media, Hongera Professor Jamal kwa kazi nzuri, "The Story Book" forever 💥
@idrisadalluc44982 жыл бұрын
Blo nazani allah amekushusha iwe msaada kwetu blo nakubalisana nakuombea kwamungu uwe namalifazaid utufunulie zaidi ishallah
@jumakibe50322 жыл бұрын
Dah...Jiwe la jahaz sio mchezo! Prof Jamal na mm Naenda kilwa kupaona. 🙏
@samwelthomas2392 жыл бұрын
Professor you are the best historian I never had,ila uwe unawasiliza hao sources alafu unasimulia mwenyew ,maana wakiongea wanapunguza ladha ya story book, we need your real voice only✊
@savaynerjuma39342 жыл бұрын
Absolutely yes 👍
@leonardpeter39532 жыл бұрын
Nafatilia sana kaka simulizi zako, big-up sana kwa kutufunulia yaliyokuwa nje ya ufahamu wetu. Naomba pia siku moja utuletee simulizi ya JACK THE RIPPER.
@michaelliungo78112 жыл бұрын
kusini kumesahaulika sana na leo nimeamini kwamba Jamal ndio mtu pekee mzalendo wa nchi hii mwenye kujua thamani ya historia yetu
@adolphchilumba7999 Жыл бұрын
Kabisa😭
@HusseinAllih-Arsenalke2 жыл бұрын
umenielimisha sana kakangu.Serikali za africa zafaa kuikuza zaidi kwa manufaa ya wananchi
our country to be greatly blessed by god congratulations brother for declaring our country 🙏
@susanbeadskenya70092 жыл бұрын
God not god
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Mtangazaji you are doing a wonderful job. I learned alot about Kilwa which i have not leaned anywhere.
@alimzee2 жыл бұрын
Kwa kweli istoria nzuri inatungumbusha tuiwekee maanani sana.ikarabatiwe
@lotilazaro88452 жыл бұрын
Big up xaaana professor Jamal unaendelea kutuonyesha ubora na thamani Yako katika Kazi yako
@bakaryCMD2 жыл бұрын
The great professor of all time
@blasiusrweyemamu50522 жыл бұрын
Respect prof Jamal April.......wewe ni icon ya marifa
@selemannaoda20272 жыл бұрын
Upo vzr Sanaa!! Kilwa Ina historian kubwa Sanaa. Ingawa serikali Ina inaacha historian ya mji uwo inazidi kupotea. Inashindikana nn kutengeneza mjii una unaofanana na historian unayo silmuliaa?! Ili tuweze Linda historia ya mjii wa Kilwa.
@susananyasani65262 жыл бұрын
Asante kwa Historia ya Kilwa Nchni Tansania
@teaminfinity49952 жыл бұрын
Ibn Battuta was a moroccan traveller the great city at the most powerful. writing in 1332 Battuta note that the city of kilwa is among the most beautiful cities and elegantly built
@duncannjuguna26912 жыл бұрын
T
@dieudonnejohnson52002 жыл бұрын
Kazi zako zote huwaga ni nzuri mno!👌 Kusema kweli, hongera sana ndugu yangu, wewe pamoja na team yako nzima. 💪 Ila, nina ka advice kadogo. Nadhani ingekuwa vema unge jitahidi kuweka "english subtitles" ili ku wa accommodate wenzetu wasio sikia lugha yetu hii ya Kiswahili. Maana darsa zako zote huwaga ni kubwa sana, na za kimataifa zaidi. Fikiria hili Bro, na ikikupendeza wewe, pamoja na team yako, basi implement hio strategy. Ila kama nilivo tanguliza kusema hapo hawali, ni wazo langu tuu, na wala si lazima kufanya hivo. Asante sana ndugu zangu, na m'barikiwe!! Congrats guys!💪💪💪 MAY GOD BLESS AFRIKA!!!🙏🙌💪❤
@philipbonhour49872 жыл бұрын
Wajifunze kiswahili
@muxxerju75322 жыл бұрын
my brother me naona ibaki ivyo ivyo tuu hakuna haja ya subtitles wasiojua kiswahili wakajfunze then warud tuelewane kwa kiswahil. mbona wao kwenye makala zao hawatuwekei kwa njia ya kiswahil mpka tunajifunza lugha zao kwaiv na wao acha wakajfunze na ss lugha ytu ikuwe now ishakuwa lugha rasmi mpka kwnye jumuiya ya africa mashariki inatumika
wajifunze kiswahili na sisi lugha zao tunajitahidi kuziiga hadi tunaweza mimi huwa na komenti kwa kiswahili chochote nikiona kinanifurahisha na watu wananiuliza hiyo lugha niyipi nina wajibu vizuri sana
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
@@sadanahimana7193 Hahaha umenifurahisha walai, kwanzia Leo nafwata nyayo zako.....kwani sisi miaka na Mikaka ndio tutakua tunajifunza za wenyewe...
@jaypmunyamaofficial34882 жыл бұрын
I really like your storytelling
@brunokalunga45522 жыл бұрын
Kilwa is an avenu in DRC of cause mwami m'siri aliye talawa jimbo la katanga enzi izo alikuwa munya mwezi na aka dumu Katanga adi Leo.... I love my King.
@mchenitv97032 жыл бұрын
Home 🏠 sweet home Asante pr.april Kwa kuheshimusha kilwa
@robinmuganda76902 жыл бұрын
You make Swahili sound elegant. Kazi safi Prof. Much love from 254.
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Hakuna lugha tamu kuliko kiswahili, kote duniani....
@masupildula Жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 kila lugha Ina uzuriwake na ubayawake kwa watu mbalimbali Mzanzibari anayosoma UChinani, na ndiyo najua kuzungumza kichina, usalama ukupate.
Waziri wa Mali Asili na Utalii , akae na wataalam wake wa utalii wafanye kitu hapa Kilwa ..hiki ni kivutio kikubwa cha utalii na kinaweza kusaidia sana sana Tz
@bonita3292 жыл бұрын
yaani sijui ujumbe wanaupataje hii sehemu Watanzania pamoja na Viongozi wanaichukulia powa lakini ni sehemu muhimu sana kuliko hata zanzibar... hapa maarifa yanaitajika hapa dah 🤦🏽♀️
@richardlucas22752 жыл бұрын
Si ndioviongoz wakianza kupambana kuitangaza nchi tunaanza kubeza mambo ya royal tour
@ismailel-mazrui69832 жыл бұрын
Kabisa ndugu shm km hz ndo katalunya ya madrid
@awadhbuya96492 жыл бұрын
U always inspire me prof.
@oscarboniface96902 жыл бұрын
Asante Jamal...this is among the best video you have produced
@zalendo2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Professor. Utafika mbali sana kwenye upande wa kuandaa Documentary hapa Tanzania.
@veronicaromwald83112 жыл бұрын
Kama Peter wa Royal Tour 🇹🇿
@asaadboy11 ай бұрын
Kwanza kabisa napenda kukupongeza sana kwa maelezo yako mazuri yanayoeleweka kirasi. Nchi hii yetu ina mengi yaliyofichika kwasababu mbalimbali. Nakuomba tukiwa hukohuko wilayani Kilwa tupo historia ya miji kama kilwa kivinje na songa mnara na kwingine. Kwa mara nyingine nakupongeza sana.
@littletv31772 жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikia simulizi hii sababu inatuhusu Moja Kwa Moja wa Tanzania nimejifunza mambo mengi ila kikubwa ni kwamba hakuna Cha kudumu Duniani Kila kitu kitapita.
@nelsonbisi64992 жыл бұрын
Fantastic Professor J.April keep it up 💪🇹🇿
@filbertivo19882 жыл бұрын
Upo vizuri broo na kwaa picha iliyojijeenga kwetu ww n kama kioo lakini vp hzooo tattoo mkononi yan zinanisumbua japo kua n maisha yako binafsi
@jamesmzaki6041 Жыл бұрын
Dah! Bonge moja la mji wa kihistoria ila nashangaa promo kubwa inapigwa Bagamoyo
@hassanpande99152 жыл бұрын
Wa KILWA 🛶🌴 Kam mim, kilwa masoko tujuane 👍
@RobbyDejan12342 жыл бұрын
Tupo pamoja bro.
@adamliyoka73452 жыл бұрын
Nipo apa
@muryd69992 жыл бұрын
Pamoja kaka
@abdallahmbwana41352 жыл бұрын
Sofala ni mji uliopo Msumbiji na Monamutapa ndio Zimbabwe. Tukumbuke tulikotoka. Kazi nzuri.
@PresenterSilah2 жыл бұрын
This is the best educational channel walahi
@aliisaid854 Жыл бұрын
Nyerere ameua mambo yote
@jumakibula48512 жыл бұрын
Jamaa yetu jamali ni Professor Aisee, Big Up bro
@haslyhasly79452 жыл бұрын
Nice story big up prof. Jamali April
@ismailkizito56922 жыл бұрын
Professor uandae na story inayokuhusu ww maake naww ni miongon mwa watu wakipekee sana kweny sanaa
@luckysonmiani5532 жыл бұрын
Kwel KABC
@happynelson11802 жыл бұрын
Historia ya vasko da gamma nimesoma shule yaani viongozi wameshindwa kabisa kujenga upya kisiwa cha historia cha kilwa ambacho ni muhimu sana wale wageni waliojenga magorofa kilwa wasingefukuzwa leo hii kilwa ingekuwa juu sana wageni walifukuzwa na kilwa ikafa moja kwa moja
@zamzamabdi52792 жыл бұрын
Kweli kabisa.mchaganyiko ya watu ni maendeleo kubwa.wageni hawana hasara
@shabaniramadhani7142 жыл бұрын
Nimefurahi sana na nimejifunza mengi kuhusu mji wa kulwa
@Homeofrhumba2 жыл бұрын
Kilwa ya Tz na Fort Jesus ya Kenya zote ni almost the same, Long live east africa.
@eliasaismail46572 жыл бұрын
Not the same
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Kuna mji mwingine kule lamu, wa kitambo kuliko hata fort Jesus ...nimesahau jina lake....
@lucasmhagama81662 жыл бұрын
Ndio ni kweli
@eshyndibalema15292 жыл бұрын
Serikali iendeleze huu mji wa kilwa kisiwani iwe sehemu ya utalii inavutia sana vinginevyo history itapotea
@ahmadsaid48782 жыл бұрын
Hakika Tanzania tuna history kubwa sana Big up sna Bro kwa kuona mbali
@irenewile2 жыл бұрын
Hapo ndio maneno ya Kiswahili yapogundulika mwaka 17....
@ahmadsaid48782 жыл бұрын
@@irenewile 👩🏿💻Jambo zuri kuijua Tanzania yetu
@Gerrad_Gm_official_channel Жыл бұрын
This is what we need you did it proceed with new great things
@jacquelinefrank62572 жыл бұрын
Jamaal your so intelligent blessed
@niikosomali0nly2 жыл бұрын
Much Love from 🇰🇪 Kenya💖
@mishekimbuba82602 жыл бұрын
Asante sanaaa umetuelemishaaa
@rinirietransfomaorenge43092 жыл бұрын
Nafurahi ninapoona nko na dakika 44.nasikia the story book 😋😋😋😋
@ramadhanjaphet29762 жыл бұрын
Asante Sana Proffer J . Kwa simulizi ya kilwa. Nimefurahi sn! Mimi naomba uje utuelezee kwanini mji wa kilwa ulikufa? WHY KILWA ISLAND FALL? BY R . JAPHET
@sdeshnjwetr67072 жыл бұрын
Historia inatafakarisha sana hasa sisi wa AFRIKA.
@bakaribakari97922 жыл бұрын
Ni vyema mamlaka husika sikaendeleza haya majengo kwa kukarabati ikiwa pamoja na kuezeka na kirejesha muonekano wa asili, hongera Sana kazi nzuri
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Yani yanjengwe majengo makubwa wallah
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Kutapendeza wallah
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Tufanyani ibada tukainjoi uku kwa mola wetu
@nasramuhammad24042 жыл бұрын
Prof Allah aibariki kazi yako kwa sasa yafaa uwekee subtitles in english ipate kutembea duniani
@African2TheWorld Жыл бұрын
Uongozi bora ndio chanzo cha maendeleo, kwa kifupi Wa Africa kwa ujumla hatujali yaliyopita wala yajayo. Ndio maana hatuendelei sana kama wenzetu.
@crispuskasanga84872 жыл бұрын
UTAMU WA HISTORIA.KONGOLE MWANAHISTORIA MSHUPAVU.FROM +254
@farajkibinda61512 жыл бұрын
Love it kikwa boy
@josephatmarko61552 жыл бұрын
Nimejaribu kutembelea majengo ya zamani barani ulaya hasa katika nchi ya uswiss na Italy, kuna utofauti mkubwa sana majengo yao pamoja na kwamba yameishi miaka zaidi ya elfu bado yapo vizuri japo si kwa mwonekano ule wa awali lakn wanajitahidi sana kuyatunza.Nchi yetu imeyatelekeza hayo majengo wangeweza kuyafanyia ukarabati kama wanavyofanya wenzetu ili angalau majengo yetu yaweze kuendelea kuonekana kama majengo kwa watalii na vizazi vijavyo.
@leith87seif552 жыл бұрын
Ile ni miji ta kiislamu na historia ni yabkiislamu hawawezi kufanya hivo katikabseheku ambayo serikali wamekusahau kwa Tanzania ni upande wa kusini mwa Tanzania kila kitu kibovu wewe angalia barabara ya kule tu utajua
@bintrobert49522 жыл бұрын
Shukran kwa historia ya kilwa
@julianakafuruki24952 жыл бұрын
Amazing work and adventure...for this to go international wise and adding more viewers please add English subtitles on the video clips........#wcb4life
@lewinmukui702 жыл бұрын
Let the English speaking people sort themselves. It's our Swahili Prof And our history. Did they put Swahili subtitles in their story?
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
@@lewinmukui70 napenda waafrica kama wewe, upo vizuri kabisa....and that's what I'm always telling our kenyan utubers, waache kupigania lugha na maslahi za wengine....
@shamilamuhamedi79042 жыл бұрын
Mashaallah. Kilwa yetu. Iyoo lindi moja iyoo
@khatibaliy47382 жыл бұрын
Big up nakubali sana the story book
@hamzakimaro37645 ай бұрын
Inaonekana WAARABU hakupora ardhi za wenyeji ila walilipa dhamani na maridhiano,tofauti na MAJAMBAZI waliotoka ULAYA!!
@emmanuelshija70322 жыл бұрын
Kaka huwa nakuelewa sana simlizi zako ila leo umenikosha mungu akulinde jamaali mustafa
@muddytupa66882 жыл бұрын
Unatisha sana my Brother
@yusufumwasha5482 жыл бұрын
Wareno ni washenzi sana waliuharibu huo mji kwa maksudi
@saidkaim7682 жыл бұрын
"tulivyofukuza walowezi tukawacha waende na maarifa yao " it so pain brother
@ahmedzahor29752 жыл бұрын
Muongo pashia si warabu ni Wairani na Wairani hata kiarabu hawajui
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
@@ahmedzahor2975 Dah, hilo sio hoja.... mbona tunatilia maanani yasio muhimu
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Aiii, huwa najiuliza, kwani sisi waafrica tulilaaniwa au nini...mbona tunafaili kwa kila jambo ...
@saidkaim7682 жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 mpango tu
@shaujimpota72022 жыл бұрын
@@ahmedzahor2975 pashia ndo nini? Halafu pia toa tafsiri yako ya waarabu tuiskie. Na mwisho kabisa, hilo neno waarabu linatumika na wengi na inakubalika kuziita jamii zilizo nyingi za mashariki ya kati ikiwemo Oman, Saudi Arabia, Yemen, Iraq, Iran, n.k
@elrainswilson48202 жыл бұрын
Amazing Thanks for this video
@salhandembo24802 жыл бұрын
Mashallah wangewacha warabu jaman
@wa-mbeyaTv47252 жыл бұрын
Uje na huku mbeya uielezee kaporogwe, daraja la Mungu, ziwa ngosi n.k maana tunavivutio Ving Sana Ila havtambuliki
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Yeah!!! The Story Book ni noma sana🔥🔥🔥🔥
@limbega252 жыл бұрын
Wenye Kilwa yetu tumefarijika sana kwa simulizi hii
@AgostinhoCosmeNambanga-t1g4 ай бұрын
Asante sana akika wewe n professor
@zainabmaulidi98462 жыл бұрын
Tanzania zindabadi 🇹🇿 🥰👌👌
@barekesteve86792 жыл бұрын
Kwamakala hii unstable kuponfezwaa na mama samia umetisha sana duh gonga. Like kam unakubalia na mim yakwambaa jama. Kaamzima Ananias edigr mtiga Abdallah yeye pekee ndiye ame baki aakiskika kwasimulizi tofauti tofauti
@farajajoseph29712 жыл бұрын
Asante sana professor
@michaelmsofe92462 жыл бұрын
Hii uko sawa kabisa, tunaitaji vitu kama hivi kwa ajiali ya kutupatia istoria
@frankmsigwa1532 жыл бұрын
Good upo vizuri Mkuu umenipa raha sana
@richbird.1232 жыл бұрын
Kwetu wasini pia Kuna Historia YA jahazi lililo jeuka kuwa jiwe Na watu kujeuka kuwa njiwa wenye lemba
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Wapi uko dear hadi raha wallah
@hamadfakhi3195Ай бұрын
Kwahiyo watu wa kilwa na wazanzibari ni ndugu ❤❤
@hassanhamis77302 жыл бұрын
We babaa wee hiv umesoma course gan mbon genius san
@alikarisa2 жыл бұрын
Professor you are my favourite.
@adriansabudema48982 жыл бұрын
Endelea kutupa historia hizi na ikiwezekana wafunsihe watu wengi wawe Kama wewe maana katika vitu tunavyokosea Ni kutoacha wafanani
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Hicho kichemba ndani ya mskiti wa watu malindi kinaitwa 'kibla' na sio mimbar....Mimbar ni kama jukwaa analotengezewa mhatibu ili apande juu yake aweze kuhutubia waumini kwa mfano kama kutoa hotuba siku ya ijumaa...ila 'imaam' au kiongozi anaposwalisha au kuongoza ibada ya swala anaongiza akiwa ndni ya hicho kichba kitaitwa kibla
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Very nice...
@chuserkibavu2 жыл бұрын
Hakika✊
@siasia54692 жыл бұрын
Ndio kunavyoitwa atakua amechapia Jamal
@mudarrisumuhangia75762 жыл бұрын
ubarikiwe ndugu kwakazi unayoifanya
@DisBes8 ай бұрын
Asante kwa historia ya kilwa
@kairatiswahilli70242 жыл бұрын
Kumefanana na pemba🥺🥰
@kilogreekachananawatuwasio40542 жыл бұрын
ivi vitu kama tunavifanyia adivatazimet tena duniani tutapata turist wangi kupita Africa yoyote tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@henrypambisa54832 жыл бұрын
Uko vizuri sana Greja ni kireno na kiswahili ni kanisa
@evansnchimbi79922 жыл бұрын
Professor Nina request unaweza kuandaa storybook ya safari ya Jerusalem kuanzia egypt Kwa farao ukapitia israel na miji mikubwa ya kihistoria ya biblia tukaona ilivyo kama vile hekalu la MWENYEZI MUNGU alilolijenga mfalme Solomon n.k
@gh7naa2 жыл бұрын
Ni msiiti wa na bee seleman uko mpka leo na mitume wote walisali na mtume muhammda saw ) walisali kwa pamoja woote wote mtume alipo toka miraj mbinguni