shangazi hya maneno ni ya kufuru... jitahid ukiongea uwe na mipaka na mungu wako..we umeona wapi kifo cha kuigiza huku ni kumkosea mungu... jitahidin kw kwel na istilahi za maneno
Jamani msiwafate wandishi mtagombana kila siku msameheane alafu mnafanana
@ummysalumu48523 ай бұрын
Kwa ukubwa hapana shilole sio umri wako shishi ni mdogo kwako
@emmadora78483 ай бұрын
Acheni ujinga ninyi wanawake ,yaani tuzo tu ziwafanye mgombane mpaka kuapizana ujinga khaaaa , embu kila mmoja atafute riziki yake kwa amani mafuraha ,na ninyi watangazaji acheni kuchonganisha watu
@masalakulwa76013 ай бұрын
eshe tuko nyuma yako..shishi amekuzoea sana
@teedullah57083 ай бұрын
Buheti muisilamu usiseme hivyo🇰🇪 je akifa yeye mbele
@nishaabdula50153 ай бұрын
Msifike uko jmn yaishe jmn hy yakidunia tu
@malikamohammed66413 ай бұрын
Chezea wanawake wa mombasa we utachambwa😅😅
@aishamamy3 ай бұрын
Kumbe wamjua enh
@Zuu6733 ай бұрын
Mswahili sana na roho mbaya
@omanoman20443 ай бұрын
Kabsa mwambie mj8nga yule kuropokwa tuy
@dianajohnson72683 ай бұрын
Esha wivu tu, na wewe ni mkubwa sana kwa shishi
@ZuwenaMgude3 ай бұрын
Mnafika mbali Sasa kisa tunzo
@fatmafatu11283 ай бұрын
Mjinga wewe unadhani unaenda kulala tu ikiwa matendo ziro sahau
@FatumaIbrahim-c6d3 ай бұрын
Muombee kwa Mungu awe mkamilifu Kama wewe
@MomadeMudimoz70-cs2ud3 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏
@gloriadaniel38273 ай бұрын
Huyu Dada mswahili hatari
@osamamahmouds98273 ай бұрын
Hyo ndo ilivyo kwa Watot wa Kiswahili Yaan Ukileta Uswahil Tunakuletea Uswahil mara mbil yke Dadekiiiii Love you Da @EshaBuheti