Рет қаралды 315
SIMU. Tv
Wasichana elfu kumi na tano mkoani Simiyu wakiwemo wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanatarajiwa kufikiwa na elimu ya jinsi ya kuepuka mimba za utotoni na ukatili wa kijinsia.