WASIRA AWAVAA WASIOELEWA SUALA LA SAMIA KUGOMBEA URAIS 2025

  Рет қаралды 2,769

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk Күн бұрын
Ongera sana Mzee, wape dozi watailewa tu CCM.
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa Күн бұрын
Kwanini majina hayajaende 3?mna bakaa katiba babu😢😢😢😢😢😢😢
@FuadKassim-d6w
@FuadKassim-d6w Күн бұрын
Chama kimekosa mvuto kwa vijana
@frbm1729
@frbm1729 Күн бұрын
Mmmm tangu miaka ya 80 wasira Vyeo Vyeo Vyeo oooooolo hv Ccm yooooooote hakuna watu kabisaaaaaaaaaa.vijana tuamkeeeeeeeeee
@AbinerRhuppiah
@AbinerRhuppiah 18 сағат бұрын
Huyo hana akili
@Majebelemathias
@Majebelemathias Күн бұрын
Kichwa cha mwenda wazimu huyu hatofautiani ni king'ora
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Күн бұрын
Kwa hiyo Samia ni rais wa viti maalum maana kama uchaguzi wa ndani ya chama chake mwenyewe kaogopa je akipambana na Kasimu Majaliwa kupitia upinzani atatoboa kweli.!?
@jamesselemani4562
@jamesselemani4562 Күн бұрын
Mzee atafia kwenye majukwaa Hali ya mwaka huu mgumu
@Werema3760
@Werema3760 Күн бұрын
Facts
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Күн бұрын
Kijana,wewe ndiye uliyekosa mvuto..CCM inavijana waelelewa kuliko wewe mjinga
@TumainiMbati
@TumainiMbati Күн бұрын
Mtamuua huyu mzee mgempumzisha tu mkampatua kijana mbona vijana wengi sana
@JaphetAndondile
@JaphetAndondile Күн бұрын
Kizazi kingine mnaleta mtu mwenye mawazo ya enzi za nyerere
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Күн бұрын
Wasira.unaongea.sana.lakini.hueleweki.sasa.ccm.kazi.mmelikoroga.wenyewe
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa Күн бұрын
Babu yangu achakufananisha marekani na 🇹🇿 nyie mnakula mayai ss tunakula mihogo alafu unaongea
@MICHELBKSJAPHET
@MICHELBKSJAPHET Күн бұрын
Upande wangu amani iwepo
@PiusMedard
@PiusMedard Күн бұрын
amuna kitu apo mzee
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 Күн бұрын
Mliwapiga wajumbe na kitu kizito wakashindwa kuhoji
@oMo_12344
@oMo_12344 Күн бұрын
Hinasikitisha CCm akuna Vijana
@PiusMedard
@PiusMedard Күн бұрын
amuna kitu apo
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 Күн бұрын
Hahahahahaha😂😂😂😂😂
@Dr.ForexTz
@Dr.ForexTz Күн бұрын
Mzee mngempumzisha tu huyu
@HurumaAlfred
@HurumaAlfred Күн бұрын
Mmempa mzigo huyu Mzee mbgemwacha akapumzika
@mambosasabill7558
@mambosasabill7558 Күн бұрын
Alietakiwa kupumzika ni MBOWE na walishampumzisha.Sisi tunaamini UZEE DAWA
@SauliBasso
@SauliBasso Күн бұрын
Lisu amesema hili lizee ni debe tupu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Күн бұрын
Ccm sio chama cha wachaga kama kilivyo chadema ccm ni chama cha watanzania wote ndio maana kimeenea nchi nzima tofauti na chadema kipo baadhi ya maeneo nchini sio Tanzania nzima.. Ccm oyeeeee
@AbinerRhuppiah
@AbinerRhuppiah 18 сағат бұрын
Ila nicha wazanaki na wakurya? Nyooooh kaoge.
@Dr.ForexTz
@Dr.ForexTz Күн бұрын
Inaonekana ccm kuna moto unawaka
@Werema3760
@Werema3760 Күн бұрын
Ndivyo ilivyo
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
GOODLUCK GOZBERT-SABABU ZA GARI KUCHOMWA MOTO,FIESTA-PART 2 Exclusive Interview
1:21:14
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI ZAKE MWENYEWE MKUTANO WA NISHATI
17:26
MICHUZI TV
Рет қаралды 37 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН