WATAALAMU WA KIVITA WAKUTANA KINSHASA, ADF WA BENI WASAKWE.

  Рет қаралды 5,104

IYAMBA LYETÚ DC TV

IYAMBA LYETÚ DC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@Sylvinsoli
@Sylvinsoli Ай бұрын
Karibusana iyamba lyetu tv katikamatangazo ❤
@NaomiSabuni-d9j
@NaomiSabuni-d9j Ай бұрын
Bravo 👏 tuna juwa walisha shindwa waende reanda
@OscarNSomue
@OscarNSomue Ай бұрын
Bonjour nous sommes tellement heureux, d'avoir Iyamba lyetu tv
@BashengeziByamungu
@BashengeziByamungu Ай бұрын
NYANYWA TOKA FIZI ANASEMA MUNGU AWALINDE HAPA MISISI ASANTE SANA
@NaomiSabuni-d9j
@NaomiSabuni-d9j Ай бұрын
Nibongo kaka monosco niaduwi yetu nibongo
@DAVIDKandundao-l5r
@DAVIDKandundao-l5r Ай бұрын
Karibu sana sikumingi IYAMBA lyetu
@MboboshiTheodore-kx4qd
@MboboshiTheodore-kx4qd Ай бұрын
Monusco hatuna imani Nao tena,kwani ni wao ndio walisababisha hiyo shida ndani ya kongo
@JacquesMasudi-e1g
@JacquesMasudi-e1g Ай бұрын
Mzee wa abari mbichi Ako wapi ? Mbona asikilike ?
@GabrielKasongo-lr7ou
@GabrielKasongo-lr7ou Ай бұрын
Jambo nduku journaliste masiku mingi iyamba yetu tv
@PacifiqueBAHUNE
@PacifiqueBAHUNE Ай бұрын
Jambo TV Yetu mbona hamu sikiliki?
@NaomiSabuni-d9j
@NaomiSabuni-d9j Ай бұрын
Asate kaka kwaabari ya Congo yetu
@mg-lion.2782
@mg-lion.2782 Ай бұрын
ASKARI ANAKUWAKA NDANI YA CAMP MBALI SANA NA RAIA NA AKIONEKANA NDANI YA RAIA ASTAILI KUWA NA BUNDUKI AO KISU NA INABIDI AWE NA AUTHORISATION YA MKUBWA WAKE .
@julienneaboki4105
@julienneaboki4105 Ай бұрын
Karibu tunawamisi sana muko wapi?
@JeanClaudeVusoko-wo3rj
@JeanClaudeVusoko-wo3rj Ай бұрын
Mzee wa Habari mbinchi iko wapi?
@mg-lion.2782
@mg-lion.2782 Ай бұрын
UKIONA KWENYE INCHI ASKARI WANAISHI PAMOJA NA RAIA JUA KWAMBA INCHI IYO INGALI ATARINI JUU YA USALAMA WA RAIA.
@DismasDismasbufole
@DismasDismasbufole Ай бұрын
Janbo mutangazaji tulipokeya monisco hapacongo kwaamaninafura ilakwaleo mpakaivi hakuna kazitulioona walitumikakwaaji yawacongomani hatukubali hioneno
@BashigeValentin
@BashigeValentin Ай бұрын
Mulishaka choka? Diaspora haiwasikiaki tena
@NtahoZuberi
@NtahoZuberi Ай бұрын
Tupo wote timrussia nyanza lac
@christianmubiri3786
@christianmubiri3786 Ай бұрын
Inchi inachezewa ki ovyo. Monusco inakuja fanya tena nini? Kama inchi inaanguka leo ni wale wa monusco. Myaka ngapi wamewekwa Congo? Wamefanya nini kwa kumaliza vita?
@copermakonga7999
@copermakonga7999 Ай бұрын
Mbona mda mrefu wala tusifuate IYAMBA LYETU ?
@isaacmwenebatu
@isaacmwenebatu Ай бұрын
Huyu raisi ameshindwa na Adf na M23. Kwa nini awaamini waganda na ndo wanao sumbuwa nchi yetu? Anashindwaje kutowa silaha kwa wazalendo wamaloze vita hivyo?
@YesuniBwana-sv5zd
@YesuniBwana-sv5zd Ай бұрын
Jambo mutangazaji. Sisi wa congomani tuna kuomba usituambiye abari ya monusco.
@amisiismail9261
@amisiismail9261 Ай бұрын
Ebwana mbone unatupoteya siku mingi,ni ju ya nini?
@christstillsaves
@christstillsaves Ай бұрын
Mulishaka enda wapi tunawaza m23 walishaka wafikaako wakawafungia kazi
Umusirikare wishe arihe? : MILITARY LOVE ( Episode 8 )
14:51
Afrimax TV
Рет қаралды 23 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
FARDC YAREJESHA ESPOIR NJIA ZA KAGAME KABILA KATUMBI ZABANWA/ IYAMBA LYETU
58:06
Ibrahim Traore Shut Down Accra Ghana Down For 2 Hours.
13:39
Inter Vlog
Рет қаралды 8 М.
Waarom Janusz Waluś vir Chris Hani geskiet het
54:32
praag
Рет қаралды 91 М.
A-Z KUKAMATWA KWA MASISI FARDC YAJIBU MAPIGO MOTO HAUZIMI/ IYAMBA LYETU
35:49
Huis kopen in Spanje in 2025? 10 Juridische tips van de advocaat voor een veilige Spaanse aankoop
31:02
Juridische tips huis kopen Spanje 2025
Рет қаралды 67 М.