"Watanzania mtashindwaje kutusaidia?!" Nyerere alipolazimika kuisaidia Msumbiji baada ya Uhuru wake

  Рет қаралды 3,746

AfricanLiberation TV

AfricanLiberation TV

Күн бұрын

Tangu kupata uhuru hadi miaka ya 1990, Tanzania ilikuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi wa nchi za Afrika hususan zile za Kusini mwa Afrika
kutoka katika utawala wa kikoloni sanjari na kupinga ubaguzi dhidi ya mwafrika. Katika kipindi hicho, Tanzania ilichangia rasilimali fedha, askari pamoja na ardhi yake kusaidia wapigania uhuru kutoka nchi nyingine za Afrika ikiwemo Angola, Namibia, Zimbabwe, Afrika Kusini na Msumbiji.
Imani ya waasisi wa nchi yetu wakati huo ilikuwa ni kwamba uhuru wa Tanzania hautakuwa kamili endapo nchi zinazotuzunguka zitakuwa hazijapata uhuru wa kujitawala zenyewe.

Пікірлер: 2
@bigshipsounds
@bigshipsounds 5 ай бұрын
Title of the background 🎶 music
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 29 күн бұрын
1975 shilingi 1 sawa na dola 7! tazama 2024?
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 101 МЛН
"Msumbiji Wana Damu ya Watanzania" Mwl. Nyerere
4:34
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 5 М.
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
Sehemu ya nne ya hotuba ya Mwl. Nyerere 1964 "Wakoloni hawajui ubinadamu"
2:37
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 3,8 М.
Nyerere alivyoikosoa vikali Uingereza kuhusu Uhuru wa Zimbabwe.
2:21
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 687
"Mtu Mwenye Akili Haulizi Kwanini Tuliungana"- Mwl. JK Nyerere.
4:03
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 1,1 М.
KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
5:53
SIMU. Tv
Рет қаралды 976 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН