A very blessing song barikiwa sana hallelujah hallelujah..kukupata Wewe Yesu wangu ni bora kuliko vyote ,kuwa na Wewe ni bora kuliko vyote hallelujah
@chumajoyce9951Ай бұрын
Mungu akubariki Sana wimbo unatubariki mno
@happyipyana1521 Жыл бұрын
Glory to LORD Be blessed man of GOD
@massabanestory1624 Жыл бұрын
Yes … Yesu ni wa Thamani sanaaaa
@lembojunior1920 Жыл бұрын
KABISA
@JanethMkala Жыл бұрын
Mungu atusaidie kuujua uthamani wa Yesu,barikuwa Sana mtumishi...wimbo umenigusa
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeen mtumishi wa BWANA YESU
@massabanestory1624 Жыл бұрын
Sounds very real🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Thank you
@joshuashalla9771 Жыл бұрын
Hakika ni wathamani mungu akuinue sasa kwa wimbo huu unanitafakarisha ukuu wa mungu sioni cha kumfananisha na chochote hakika ni wa thamani
@lembojunior1920 Жыл бұрын
AMEEEEN MTUMISHI ASANTE SANA
@Makeya-y1i7 ай бұрын
❤❤❤ Jesus
@karolshirima8935 Жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa unanibariki sana ingawa ni muda nimekuwa naulizia mtunzi na haujawahi kuwepo kwenye mtandao ila tumekuwa tunauimba makanisani...ubarikiwe kuufanya uzidi kuwabariki wengi
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeeen Asante Sana! MWENYE naupenda mno
@elizabethjimmy8454 Жыл бұрын
Yesu wa Thamani...
@kalobeflix9 ай бұрын
Ahsante brother
@christynandomi3650 Жыл бұрын
unanibariki na huu wimbo, mbingu zinafunguka nikiimba hii nyimbo, barikiwa mtunzi na muimbaji pia
@lembojunior1920 Жыл бұрын
AMEEEEN MTUMISHI ASANTE SANA
@tumsifuraymond8326 Жыл бұрын
Wathamani Yesu
@leokadiadavid7532 Жыл бұрын
Powerful
@OmAn-jw4jt11 ай бұрын
Nikwel kabisa yesu ni wa thamani sana
@gumimosile2389 Жыл бұрын
Ama kweli yesu ni wathamani sana, anafanya jambo kwa ukubwa sana,❤❤❤❤❤