Wakristo tuwalinde watoto wetu kwa maana ni baraka kutoka kwa Mungu na ni Mungu Mwenyewe Anajua hatima yao. Huyo mtoto ni wa Mungu, Mungu Ndiye Alimuumba.
@Eliza7481911 сағат бұрын
Ameeeeeen
@Eliza7481911 сағат бұрын
Halleluya Halleluya 🙏🙏
@JaneWanjiku-v3z7 сағат бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙌🙌
@Eliza7481911 сағат бұрын
Yeeeeeeees
@LucyTumaru10 сағат бұрын
Amen
@sherrienduati20383 сағат бұрын
AMINA. Wakristo tuwalinde watoto wetu kwa maana ni baraka kutoka kwa Mungu na ni Mungu Mwenyewe Anajua hatima yao. Huyo mtoto ni wa Mungu, Mungu Ndiye Alimuumba. Wewe tu ni chombo cha kumbeba mtoto. Biblia inasema Mungu Akipatiana mtoto kwa nyumba ama familia huwa Anajua Atakula, Atasoma na Atavaa.Tumeona wengi wametupwa na Mungu Akawashika mkono Akawainua. Mahali huwa inatupwa sio mahali pale huwa inaanguka. Leo kama kuna mkutano wa dharura ama kikao kimepangwa cha kumaliza maisha yetu Mungu Ataingilia kati na Atabadilisha mipango yao kama vile Alifanya waliopanga kikao cha kumaliza Yeftha watambue kuwa hiyo mbegu ndiyo itainua boma yao na itakuwa msaada wao.
@EthanMunene-v7g12 сағат бұрын
Order Inatoka
@sherrienduati20383 сағат бұрын
AMINA. Wakristo leo maadui watawakiwa na moto mpaka watuambie tuchukue kile tunataka kwa maana hawana nguvu na uwezo. Ule moto utawakia maadui sisi tu tuliotupwa ndio tutaupoesha na kuuzima huo moto kwa maana kuna upako na nguvu mpya ambayo Mungu Ameweka ndani yetu. Leo tutakumbatiwa na watu hawangetupenda na watatuita mmoja wao. Hawatukubali hivyo hivyo bali ni kuona wameanza kuona ile mbegu Mungu Ameweka na Upako wa Mungu ndani yetu. Mahali tulitupwa Mungu Atatupakia Mafuta hapo, Mbegu ya Mungu itaingia tukiwa hapo na Mungu Ataweka mhuri na tutakuwa kiongozi. Kile tutasema dunia yote nzima itatii. Tusidharau mwanzo mdogo. Kile kimetushinda leo kinaenda kuwezekana.
@CelebVibe013 сағат бұрын
Leo kuna mipango na mkutano mkubwa wa pili unapangwa na raundi sio kutumaliza bali ni kuturejesha. "Agenda" ya mkutano wa siku ya leo ni tofauti.
@sherrienduati20383 сағат бұрын
AMINA. Wakristo kuna mipango na mkutano mkubwa wa pili unapangwa na raundi sio kutumaliza bali ni kuturejesha. "Agenda" ya mkutano wa siku ya leo ni tofauti. Sio ya kutumaliza bali ni ya kutuinua. Leo kuna "order" inatoka Juu Mbinguni na wale wanatufukuza watabadilisha nia na mambo itabadilika. Mungu Ameongea Anakuja Kuturejeshea kilichoangamizwa by "Authority." Mahali Yeftha yuko kuna watu wanakuja. Sisi hatujui lakini tumetumaniwa na Mungu na waliotufukuza watatukujia leo. Wale ambao walitufukuza watawakiwa na moto mpaka wakuje watutafute mahali tuko na watuambie tukirudi nao watatufanya kiongozi wao kama vile Yeftha mtu ambaye alikuwa ametupwa alifanywa kiongozi wa watu wao.