“Watu hawaamini kama nimetengeneza gari kwa mikono yangu"

  Рет қаралды 4,755

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
huyu adanganya watu kakopi kwenye google tu.
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
Kakopi na wewe
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 ай бұрын
Na wewe ktafute google hata mavi huwezi kutengeneza😂😂😂
@jonathanlema7782
@jonathanlema7782 Ай бұрын
Na wewe muongo.. hata mtoto mchanga anatengeneza hayo mavi​@@GibsonNtamamilo
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
Hongera sana Masoud Kipanya, Nape atakufikiria
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 2 жыл бұрын
Safii Sanaa kakaa kipanya
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Safi Sana kaka
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 жыл бұрын
Hongera sana mbunifu wetu wa gari ya kwanza inayotumia umeme kutoka tz.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
huyu hajabuni kakopi google tu kila kitu.dunia ya sasa ni global village
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 acha wivu ,hata kufikiri kukuopi ni hatua
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
@@hildantandu5909 dah wewe bado akili yako haijakomaa.msema kweli mpenzi wa mungu.unadanganya watu umevumbua gari wakati lipo muda mrefu.google ukitaka chochote unapata.andika namna ya kutengeneza gari la umeme kwenye google utapata jibu hapo hapo
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 wewe mwenye akili iliyokomaa umetengeneza nini?
@samwelipaul2946
@samwelipaul2946 2 жыл бұрын
Umetisha kipanya
@adelakimario7945
@adelakimario7945 2 жыл бұрын
Hongera Sana .
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
Hui ndio ubunifu sasa tena wa kiwanqo cha kimataifa. Sio wale wanotenqeneza kw mabat ya maseredani mabovu. Biq up sana Massoud 🐀
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
ubunifu gani kukopi kwenye google tu
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 Kopy na wewe bas mjomba kama ni rahis. Jeylous tu
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
@@mussakiziyzi408 kumbe majuha mko mko wengi.nimesema ingia google andika namna ya kutengeneza gari la umeme utapata jibu hapo hapo.nyie ndio mtakaokuja kuruhusu ndoa ya jinsia moja kwa ufinyu wa kufikiri
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 we matako km huna chakuonqea kaaa kimya. Na akili yako mbovu.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
@@mussakiziyzi408 wewe jingalawa bora nyamaza tu.Ni taahira na hujielewi.karne ya sayansi na teknolojia bado unadanganyika. Narudia kwa mara ya mwisho na sitaki kubishana na watoto wadogo na wapumbavu kama wewe.Nimesema ingia google na utapata maelezo yoyote na chochote hapa duniani.magari ya umeme yalikuwepo tangia miaka ya 50 sema yalikuwa hayatumiki kwa sababu gharama zake zilikuwa kubwa kwa wakati huo.
@anithakiwia992
@anithakiwia992 2 жыл бұрын
Big up KP
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 жыл бұрын
Wameunga mavitu mpka kametokea kama kagari.
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
daaa we jamaaaa ni mchekeshaji
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Huyu Ndio KP mbishi Kwel Kwel Na Mwana Kuthubutu
@bobrudala3784
@bobrudala3784 2 жыл бұрын
Kamanda nakukubali japo:NABII HAHESHIMIKI na KUTHAMINIWA NYUMBANI KWAKE
@hacker9mtata131
@hacker9mtata131 2 жыл бұрын
Utashangaa katekwa
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 2 жыл бұрын
Inauzwa shingapi?
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
itakua laki3 au laki4 na nusu
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 2 жыл бұрын
@@salumumakombo9136 aaaah subutuuuu, hata mi nanunua
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 07/11/2024
28:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Mzaliwa wa Kenya ashinda kiti cha ubunge Marekani
1:40
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,3 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 130 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 42 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 7 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 06/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 20 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 04/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
Je Electoral College ni nini?
1:30
BBC News Swahili
Рет қаралды 2,2 М.
BBC MITIKASI LEO 06.04.2022
13:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
"Jinsia isiwe kikwazo  kufundisha wanaume"
3:30
BBC News Swahili
Рет қаралды 309
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 05/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 15 М.
Hoteli ya nyuki 'wasio na wenza'
1:54
BBC News Swahili
Рет қаралды 355
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 130 МЛН