Рет қаралды 101,002
Karibu kutazama wimbo huu Kutoka Kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam ndaki ya Afya na Sayansi shirikishi Mbeya (UDSM-MCHAS)
⏩ Wimbo: WATU IMBENI
⏩ Mtunzi: Bernard Mukasa
⏩ Waimbaji: St Francisco of Asis Choir (SFAC)
⏩ Production: Holy Trinity studios
⏩ Kinanda: Baraka Thomas Mashibe
Tafadhali Mpendwa, Subscribe, Like, Comment &Share.