Dear Lord, please listen to cry of my heart and save me from the financial strains am going through. You are my only hope my Heavenly Father 🙏
@allexisaya6590 Жыл бұрын
Kwa wale tunaoangalia wimbo huu mwaka 2023 gonga like apo tujuane
@maryjulius1014 жыл бұрын
Ee Mungu nimekuuita kwa maana utaitiika uteege sikio laako ulisikie neno langu Ee Bwana uniliinde kama vile mboni ya jicho unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako naiita naiita naiita niitikie Mungu wangu naliia naliia naliia unisikie leoooooo Haki yangu naije kutoka kwako kwani wewe wajua lililo haki Onesha fadhili zako fadhili za ajabu uwaokoe na adui zao wale wanaokimbiliaa kwako. Ubarikiwe mtunzi
@malongokadama66446 жыл бұрын
Narudia mara nying mno ,napata tafakar na ujumbe mzito wa imani.....mungu ibarika Tanzania, mungu ibariki Africa, wabariki na viongoz wke wote,bariki kanisa katoliki na waamini wake wote.amen
@philvannytz42565 ай бұрын
Wimb wa Bernard mukasa unqnibariki
@urimwizamwami10313 жыл бұрын
Wimbo huu nawupenda sana Kwa kweli Kila siku nawusikiliza Mwenyezi Mungu aibariki familia hii.
@barnabasmakuthi16028 ай бұрын
Am in love with mukasas melodic line❤
@simonukwele85323 жыл бұрын
"Ee Bwana nakuomba unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako" ameen!!
@johnlasway8327 Жыл бұрын
Wimbo mzur sana Mwezi Mungu awalinde na awajalie afya
@francoisbalinda83204 жыл бұрын
Aksanti sana kwa kazi hii nzuri sana. Mungu akubariki na abariki jamaa lako lote. Katika jina la Yesu Kristo. Amen.
@denisnyongesa65024 жыл бұрын
Nyimbo mzuri sana nafurahia ujumbe huu unaomjulisha Mungu na kumrai atege sikio lake. Finally you are my role model
@AgripinaIsingo8 ай бұрын
Hongereni sana Familia ya Mukasa. Mungu amewajalia kipaji cha uimbaji na mnakitendea haki kwa asilimia 100. Hongereni sana kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo.
@raphaelpesambili19393 жыл бұрын
MUNGU nimekuita, naamini utaniitikia. Asante Mukasa na Familia yako.
@simonukwele85323 жыл бұрын
Naupenda Sana huu wimbo kwani una ujumbe mzito Sana kwetu. Ee bwana nakuomba unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako. Ameen!!
@PerepetuaZabron Жыл бұрын
Hakika mungu ni mwenye huruma! Anatusikia wanae
@Pts-m8o6 жыл бұрын
Brother mkasa nyimbo zako zinanifanya nitafakari sana ,Kaka!kaka !kakaa mmmh nakuombea uishi miaka mingi,
@bahatiemmanuela1547 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabaliki .mwimbo mzuli.
@kenyacatholicyouthmedia2 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼a spiritual song...Long live @Bernard Mukasa na wote waloshiriki katika kuunda huu wimbo
@vincentdomel-nk2be Жыл бұрын
Kwakweli unatumia talanta yako vizuri
@bailukamokona33872 жыл бұрын
Bonjour au couple Bernard je suis Claude Bernard chrétien catholique je suis congolais présentement au Gabon pour les études je suis toujours reconfirmer par les chants de votre chorale que Dieu le tout puissant vous bénisse et bénisse vos œuvres
@asteriandulu97964 жыл бұрын
Hakika mungu kakakupa kipaji na ukitumia ipasavyo hiyo nikarama, mungu amekupa endelea kutangaza injili kwakuimba Nazipenda sana nyimbo zakoo mungu akupe maisha marefu
@gustavkunkuta67333 жыл бұрын
Sir Mukasa, I may not be your fan, but sincererly 'hats off' for the church work you have been doing alongside your wife and lovely children. Your music and singing have inspired and brought joy to many souls. May God bless you and family.
@passion_fleva14742 жыл бұрын
Damu ya music melody zenye hisia kalisana mpakamachozi yanatoka ....Eeeemu tega sikio lako utuokoe wajawako katika magumu tunayo yapitia...AMEEEN
@fatumanaliaka22104 жыл бұрын
Mungu wa Amani awalinde salama na kuwapikania kwa Jina la Yesu Kristo aliye Mwokozi wetu Amen
@NyekocharlesJuma4 жыл бұрын
I am Nyeko Charles from Karamoja in Uganda. Bernard Mukasa has been my mentor to me in this music world. i like all his songs espcially mwanzi uliopondeka But only that kiswahili is a challenge to me but melodies are nice. i thank him and his family for preaching good news to the world through music coz he us catholics so proud.
@sabasmoshy22562 жыл бұрын
Bado inatia hamasa kwani bado shida tunazo ktk maisha. Baraka ziwe nanyi. Amina!
@conchesterchristopher35016 жыл бұрын
Ninapaza sauti yangu, Mungu wangu ninakuita niitikie nakuomba baba nakuita nitikie hima.nakungoja We We. Ndiye mwaga wangu njoo uniangazie. We Mungu wangu.
@christophersimpepo38034 жыл бұрын
Tumuombe anasikia
@magrethamalliya80316 жыл бұрын
Hakika hii ni familia ya kuigwa, naitamani inanivutia. Mungu wa Mbinguni azidi kuwaangazia n.a. kuwabariki.
@AmeliaKivaisi4 ай бұрын
Tumuamini Mungu ataitika Kwa wakati wake.
@LardKE6 жыл бұрын
Bernard Mukasa nyimbo zako zanibariki sana kila siku........mbarikiwe sana, na mungu azidi kuwaonekania
@samuelnjukih40729 күн бұрын
Very touching. God hear our cries and pleading
@francismusyimi72224 жыл бұрын
God bless you for a great job you are doing Amen. Thanks
@papwazda55915 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu Kafka huduma yenu
@alphoncinakomba13605 жыл бұрын
Naipenda sana familiya Bernard mkasa kiukweli mko vizuri sana mungu awabariki hii ni familia takatifu inayompendeza mungu kama ya mama maria,yosef na mtoto yesu,Barikiwa sana watumishi wa mungu
@jonhmasonga51635 жыл бұрын
Amina!
@kamukamasylvia96405 жыл бұрын
May God bless your family. May God hear your cry and grant you all your spiritual, economical, social and physical needs.
@gabrielchelehani51194 жыл бұрын
Yawe yawe makuku hali sasa b.mukasa
@gabrielchelehani51194 жыл бұрын
Yawe yawe na kukubali sana benard mukasa
@adrianiadriani17903 жыл бұрын
@@gabrielchelehani5119 ...
@simonukwele85323 жыл бұрын
Ee bwana nakuomba unilinde Kama mboni ya jicho lako. Ameen!!
@anordemanuelyrafaely58163 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana yan Sana toka udogo wangu nakusikiliza yan nabarikiwa kiukweli👏👏👏
@catherinenthenyambindyo99223 жыл бұрын
God bless you for blessing us with beautiful voice and uplifting song👍👍💕💕
@lualeprimaryschool89855 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi zako nzuri zinazogusa mioyo ya wengi... Unautumia vizuri sana utume wako, amakweli umekuwa kati ya watu muhimu sana katika uinjilishaji kwa njia ya uimbaji kwenye kanisa Katoliki. Zaidi umekuwa mbunifu sana..
@ElizabethSilayo-fr7sw Жыл бұрын
💔 Mungu Akubariki Sanaa Kwa Nyimbo Zako huwa Zinanibariki Mnoooo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@leonidaskalumuna83504 жыл бұрын
Nimejifunza kitu ktk family hii.Kumbe ktk kuchaguwa mwenza inapendeza mkiwa na vpaj vinavyorandana.Mungu awatunze.
@EdsonBitegeko Жыл бұрын
Nakukubari mungu akupe nguvi na nyimbo zaimani nafarijika sana ❤
@dianaluanda4644 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki 🖐️🥰
@FilbetSenge Жыл бұрын
Mkasa mungu akupe maarifa zaid na familia yako by filibert mtinko singida
@laurachepwogen80026 жыл бұрын
ee mungu nmekuita kwa maana unaitika..am really blessed by this song may the name of the lord be glorified
@emmanuelcharles26244 жыл бұрын
Laura Chepwogen Mungu ibariki sana hii Familia
@catherinekatheu58634 жыл бұрын
May the almighty God bless this family akh.... I like u songs Sana akh
@anthonykimanthi25513 жыл бұрын
one of the best
@HelenaLunyalula Жыл бұрын
Mungu akuzidishie imani kwani unanifanya nihisi kubarikiwa through your songs
@luciamakau2436 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuibariki familia hii hasa kwa mfano mwema wanatupa sisi wakristu wenzao. Mfano mzuri wa kanisa ndogo
@nyivananepomuck17684 жыл бұрын
Uko vizuri, nyimbo zako zinagusa maisha yetu 👍
@simonukwele85323 жыл бұрын
Hongera Sana Kaka Mungu aendelee kukupa kipaji zaidi Cha kutunga nyimbo mzuri
@levinanemes94594 жыл бұрын
Jamani siyo kwa uumbaji huu, Mungu aibariki sana familia ya Bernard Mukasa, kaka kwani wewe unasali parokia ya Mt. Kizito Makuburi?
@josephdonald91796 жыл бұрын
nawapenda sana familia ya Mr&Mr's mkasa kwa nyimbo zenu zuri zinaburudisha sana
@kelvinmuthami54076 жыл бұрын
Asante Ben for accepting God to use you to evengerlize His word through singing. From Kenya I feel blessed.
@cheryloridoh49374 жыл бұрын
This is guy is so great,.
@fredykaji72452 жыл бұрын
Mukasa🙏🙏 You have a special seat in heaven
@fortunataleonce80285 жыл бұрын
Onesha fadhili zako za ajabu uwaokoe na adui zao wale wanaokimbilia kwako
@florenceogutu39604 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki uzidi kueneza injili kwa njia ya nyimbo za kutia moyo. Baraka bwana Mukasa
@lynnettemas85134 жыл бұрын
I thank GOD ALMIGHTY for your songs,the prayer mood and the message really inspiring n uplifting. All GLORY TO GOD THE FATHER, JESUS THE SON AND HOLY SPIRIT. BE BLESSED
@florahmapinduzi5884 жыл бұрын
nafarjika xana nais km Niko ktk uwepowa mungu be blessed en avng long lyf
@eliaskupelelwa78935 жыл бұрын
Mungu awabariki sana, kweli maisha yenu yanatamanisha
@marryemmanuel91874 жыл бұрын
Mr mkasa mungu alukujalia kipawa.
@maryn.wawerumagu68503 жыл бұрын
Deep spiritual songs and uplifting, the mastery in composition, Bernard you sing tenor and Bass with ease, I also love how Matilda is able to sing soprano and alto and more so switching from one voice to the other, this is indeed God's gifting, its not easy, you guys be blessed abundantly as you serve God
@VifijoWincheslaus-xe2mb Жыл бұрын
Hakika wewe ni noma mungu akulinde kw kaz nzur unaoifany
@robertmburu55263 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua uzidi kusambaza ujumbe kwa wengi
@francisodhiambomuga55762 жыл бұрын
Ningependa pia mpatiane lyrics za wimbo tafadhalu
@ndonyelucas82693 жыл бұрын
What an inspiration song...keep it up..
@felicianluvanda96726 жыл бұрын
Hapa no comment...... Huyu baba tokea nikiwa la tano mpaka leo namuelewa balaaaaa ......sina mashaka nakazi zake ni mtu smart ......nahata kwaya zote alizopitia zote kaacha mbengu njema....nimtu wa watu Mungu alimtuma kwetu ayafanye haya nayeye ndiye pia atambariki na familia yake sisi ni maombi tu.......Mukasa B.
@balbinamateikilawila32905 жыл бұрын
Kwakweli hii familia niyakuigwa mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha kwa nyimbo nzuri barikiwa sana
@laudrigaagustino68492 жыл бұрын
Kaka tunaomba nyimbo zingine uko vizur
@mwesigacredius98524 жыл бұрын
"Ee Bwana unilinde kama mboni ya Jicho" Asante kwa tunzi hii
@lucyfrancis16144 жыл бұрын
mwenyezi mungu azidi kuwakirimia katika uimbaji wenu
@jamesbenjamin59695 жыл бұрын
Hakika kila niisikiapo hii nyimbo inanitoa machozi, Kaka Bernard na familia yako mubarikiwe sanaaaa
@lucypeter60666 жыл бұрын
Mbarikiwe sana mungu awatie nguvu big up sana kazi nzurii
@PASCHALMICHAEL-vd5dw7 ай бұрын
mumgu akubaliki sana
@vickinesto6346 жыл бұрын
Soyez Bénis Au Nom puissant De Jésus Amen vous et vos enfants nous font montées Au ciel Près Du Trône Du Roi Des Rois ❤👍
@barnabaskabuzya20103 жыл бұрын
Thank you Bernard for helping me to lift my soul.
@janethmrope11215 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Barikiwa sana na Familia yako
@VICENTSIMON-p1n9 ай бұрын
God help you mukasa in your activities amen
@peterwangirawakwabubi62384 жыл бұрын
am proud of this catholic family, i promise to steal some of your beats just to compose a song too, whenever i listen to your song i feel to find out where is priest so that i can go for sacrament of reconciliation. please don't give up but keep the fire burning. your first song that made me to explore more about you was UTAMBI MCHAFU WA MOSHI MZITO i can sing it off head now and even teach people. be blessed Mukasa Benard.
@josephdonald91796 жыл бұрын
mungu awabariki sana we pamoja na familia yako nawatakia kwaresma njema
@bonifacemailu76145 жыл бұрын
Barikiweni Familia hii ya nguvu !.
@irenernest89206 жыл бұрын
Mungu awajalie maisha marefu saaana with your family, amen
@dalsdz3748 Жыл бұрын
The song is encouraging me too much let's God continue blessing this family 🙏🙏
@yasintawaritu30173 жыл бұрын
Mungu amekujalia kipaji naunaitumia kwa upendo amina
@estherkanyuka74394 жыл бұрын
Barikiwa sana nyimbo zako zinanipa tafakari sana
@kakagrace19704 жыл бұрын
Felicitation vraiment pour ce dot
@clementinesimon22434 жыл бұрын
This song really depicts the prayer n reverence mood...'Yahweh mbona ' ...utege sikio lako
@janethgrayson30594 жыл бұрын
Nakuita Mungu unisikie ktk shida zangu nalia ee Mungu unisikie
@martinmbuba51314 жыл бұрын
so touching, this song is really moving n soul-touching
@emanuela96112 жыл бұрын
Hongereni mungu awabarki
@fredymwesiga70717 жыл бұрын
Mwenye Mungu aibariki familia hii, imekuwa mfano mzur wakuigwa ktk maisha yangu, sio kwa vipaji tu bali na ukarimu walio nao.
@BernardMukasa7 жыл бұрын
Fredy Mwesiga Hahaha kyoma waitu mbakasinge
@michaelmaganga95397 жыл бұрын
Asante sana Bernard n the family kwa kazi iliyotukuka.
@mukeshaemmerance33587 жыл бұрын
Fredy Mwesiga +q
@siaammo11046 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa afya njema. kiukweli nyimbo zako Huwa zinani bariki sana. Mwenyenzi Mungu ailinde familia yenu.
@paulwambugu57494 жыл бұрын
@@BernardMukasa wonderful songs, God bless you and your family
@winifridakijeruda40203 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@annampore17825 жыл бұрын
Mungu awabariki for these blessing songs
@deepakjohnrajdeepa72495 жыл бұрын
Kaka Nashindwa cha kuongeza ila tu Baba Mungu na zaidi kukuumiza sana
@kathurimamwongera69046 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu Bernard. Nyimbo zako unigusa na kunihimiza kuutafuta uso wake Kristo kwa undani zaidi.
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
ubarikiwe kaka mko vizuri sn Mungu azidi kuwainua
@densonlyamuya3666 жыл бұрын
tafakari nzuri sana hakika Mungu amekupa kipaji ubarikiwe mnoo
@angelrichard82114 жыл бұрын
Khaki yangu na ije kutoka kwako kwani ww wajua lililo khaki
@paulinejuma72114 жыл бұрын
Thanks to you, I always feel blessed whenever I listen to your song
@raphaelnjuguna39615 жыл бұрын
Munch aibariki zaidi hii familia kwa kazi nzuri wanayotufanyia
@benordcharles64874 жыл бұрын
Mungu awabariki sana mr and mrs benard kwa kipaji chenu
@margaretmukakigeli22404 жыл бұрын
Beautiful voices,Mungu awabariki
@clementinesimon22434 жыл бұрын
Long live the mukasa's!
@avituspatrick42537 жыл бұрын
Hakika Hii familia Takatifu naikubali na naielewa saana. Mayoge waitu Ta Mukasa