Allah akupe umri murefu mwalimu wetu uzidi kutulingania kwenye dini ya haki insh'allah 🙏🙏
@yahyatweitin3 жыл бұрын
Ameen
@salmaadil71223 жыл бұрын
Mwenye no ya ustadh jamani nisaidien nnashida nae.
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Ameen
@minabuelysee82 жыл бұрын
Allah akulipe kwa Hilo na mengine Sheikh wetu Amin
@saumuseif91893 жыл бұрын
Shukran sana ustadhi
@saidmotisha10573 жыл бұрын
Jazaka llahu min kulli khair
@mariammuscat43003 жыл бұрын
Mashallllah shekh nakupenda kwajili yalllah yarab
@salamakombo32572 жыл бұрын
Mashallah
@quibibiabdalaabdala88643 жыл бұрын
Machallah
@memynanji61087 ай бұрын
Je yafaa Zakka kumpa mtu wa familia yako sheikh? Yani ukakusanya then ukampa kaka yako ya tumbo moja au yeyote mliyezaliwa pamoja?
@ahmedmbarouk3463 Жыл бұрын
Sasa sheikh kama 5,100,000 unaitolea 127,500 anawezaje mtu kufanya biashara nakutoa zaka na yy na huku umeongelea madeni akienda kulipa madeni anaitowaje hiyo zake hebu tuwekeni sawa wengine wanasema kumpa mmoja sawa na kugawa nisawa hebu hizi ikhtilafu wekeni sawa na nyinyi mna dhima
@sfiaalanazi54799 ай бұрын
Bado tunajiuliza maswali kiukweli waislamu wengi sala zetu hazikubaliwi kwa hili