Wapigwe risasi wao jamaa mimi nawachukia sana yani ingekua mimi ni mmoja wakingozi mwenye kauli hakika kauli yangu ingekua moja tu piga risasi wote
@ChoroTesla26 күн бұрын
Matako ww mtuhumiwa apigwi risasi makalio ww
@HajiKlein-so1rk26 күн бұрын
@ChoroTesla we nini acha shobo au nawe ni mwizi we unajua mazara yake au unatukana tu
@HajiKlein-so1rk26 күн бұрын
@ChoroTesla nenda kaibe mtaani uone kama kuna mtu atacheka na wewe mshamba tu
@ChoroTesla26 күн бұрын
@@HajiKlein-so1rk nchi hii inaongozwa kwa sheria haiongozwi kwa hisia au mihemko ndo mana kuna mahakama
@ChoroTesla26 күн бұрын
@@HajiKlein-so1rk nshakwambia nchi inaongozwa kwa sheria na katiba mbona polisi wakija kwenye mob mnakimbia kwann usikae ukasema huyu mwizi tunabid tumuuue?
@edwingideon360626 күн бұрын
Wawa nyonge Kama China wanavyo fanya. Hiyo ni vita ya uchumi
@yusufuosman896626 күн бұрын
Watoe hukumu inayotakiwa iwevfundisho Kwa watu wengine..
@adammj625825 күн бұрын
Inasikitisha sana kiukweli
@veronicalaiser786926 күн бұрын
Inauma sana jamani. Sisi tutaelimika lini?
@zachmaselle663526 күн бұрын
Hapa hakuna kesi bwana, weka ndani na kazi ngumu.
@theohermana522026 күн бұрын
Inauma sana😢
@theohermana522026 күн бұрын
Wawekwe ndani mpaka waozee huko
@user-kr5dp2ip9g26 күн бұрын
Napenda kuishauri serikali kwamba; Serikali iwe ndio yenye mamlaka ya kununua vyuma chakavu tena jukumu hilo wapewe kambi zote za jeshi la jwtz ndio wawe wanunuzi wa vyuma chakavu nchini..ili tukomeshe hili tatizo!
@ChoroTesla26 күн бұрын
Huna akili yani jeshi lilae na uchafu wamataka taka
@user-kr5dp2ip9g26 күн бұрын
@ChoroTesla hiyo ni mali sio takataka kama unavyofikiria kwa akili zako nzuri,ndio maana hao wanashitakiwa kwa kesi ya kuhujumu uchumi wa taifa..kama zingekua ni takataka kama usemavyo basi wangeshitakiwa kwa kuiba takataka..pia ni kusaidie kwa akili zako nzuri.. mambo au matendo yote yanayokwamisha maendeleo na ustawi wa taifa..sheria ina mruhusu rais kama mamlaka zenye dhamana zinashindwa jeshi linaweza kutumika kutokana na uzalendo,uaminifu, uadilifu wao na utii kwa rais na taifa na ndio maana tunalitumiaga jeshi kwa mambo mengi sn mfano.. sasa hv jeshi (jwtz) linatumika kujenga viwanja vya mpira wa miguu kwa ajili ya mashindano ya Chan, pia utambue kwa jeshi chuma chakavu sio takataka wanaweza kuzalisha silaha nyingi na vifaa mbalimbali kupitia vyuma chakavu alafu pia ni usalama kwa raia na taifa kwa ujumla na itasaidia ktk kusaidia sera ya kijeshi ya kuwa na jeshi lenye kujitegemea ktk uzalishaji mali hata kutengeneza vifaa mbalimbali kupitia vyuma chakavu..na mwisho kwa kukusaidia ili uelewe kirahisi tu kutokana na akili zako nzuri,ni hivi hebu nitajie ni mwizi gani atakaeenda kuuza mali ya serikali (chuma chakavu) ktk kambi za jeshi??!!
@omarybakunda255426 күн бұрын
Kwann wasinyongwe?
@AbdallahMatenga-c8x26 күн бұрын
Kwanini serikali wasipige marufuku ununuzi wa vyuma chakavu maana watu wanaharibu sana miundombinu kwa tamaa za fedha, pia wanaokamatwa kwa uharibifu wa miundombinu wapewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo za uharibifu wa miundombinu
@LuckymusyokiMueni26 күн бұрын
Mbn hawakuweka Sheria Kali endapo mtu atakaribia Tu hiyo line ya umeme ya reli
@MohamedRashid-py7ro26 күн бұрын
HAO WAUJUMU UCHUMI WAFUNGWE MIAKA 50 NA KUENDELEA HATA KUNYONGWA WAGENI WANAKUJA KUJUMU UCHUMI WA TANZANIA IWE FUNDISHO KWA DUNIANI
@mbaruksaid577526 күн бұрын
Hawana bahat hawa ndio watajua kua hiyo ndio tanzania
@kambamazig0202426 күн бұрын
Hao wanatakiwa kunyongwa na wala siyo kifungo cha miaka mitatu ama minne, bali kunyongwa tu maana wangeweza kusababisha ajali na kuua watu wengi sana. Huu uwe mfano mkubwa kwa wananchi.
@sabuomar242026 күн бұрын
Wachina wamepiga hatua za kimaendeleo baada ya kutoa hukumu za vifo kwa watuhumiwa wa kama hawa, kwa nini basi Tanzania tusiwaige ?