Nawafutilia sana toka nje ya tanzania. Naomba sana wizara husika yaani iwachulie hatua kali sana liwe ni fundisho kwa wengine wenye tabia hizo .ambazo zinarudisha sana tu nyuma maendeleo ya nchi yetu.yaani Tanzania tunajivunia sana tu kwa maendeleo ambayo yanafanywa na serikali yetu.watanzania tujivunie nchi yetu kwa kuwa na reli kama iyo ,kuna baazi ya nchi nyingi tu africa hawajafikia hatua hizo kama zilizopo huko nyumbani tanzania. Nalipongeza sana jeshi letu la polisi kwa kazi kubwa mnayofanya .
@Gasto1-r7kАй бұрын
Wanyongwe kabisa
@komuhsengo9796Ай бұрын
Hao watu ni wabaya Sana Kwa namna yoyote Ile haikubaliki
@hemedjackson2261Ай бұрын
Wafungwe maisha tu. Sheria iwe hiy moja tu
@OS-pf6opАй бұрын
Acheni kuwapa vibali vya kuja nchini wachina koko! Kwa SGR na miradi mingine mikubwa, watumikie gerezani maisha.
@ElyrehemaMartinАй бұрын
Wafungeni maisha
@diltondilunga9915Ай бұрын
Ipitishwe Sheria Kali kulinda miradi mkakati ya Taifa,
@BoniventureJoachimАй бұрын
Hao wafungeni maisha vichwa vyao box mradi wa juzi tu wanaharibu msiwape hata zamana wanatia hasira.
@malugukushaha6764Ай бұрын
Hongera Police, nyongeni hao wote maana ni wapinzani wa maendeleo ya taifa letu.
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Kwa hili jeshi la police tonawapa hongera
@nicodemashaggite8429Ай бұрын
Hiyo kampuni ifungwe mara moja😢 Hawana Nia njema na Taifa LETU
@manstiko5890Ай бұрын
Nyongeni Kama tunavyonyongwa kwako tukihujumu ichi yao 😡😡😡
@anthonygikuriАй бұрын
Dah!!!! 😢😢😢😢😢
@charlesthomas9587Ай бұрын
Huwa napima uzalendo wa Watanzania kupitia soka! Nadhani nimeeleweka.
@nyambegamatoro6817Ай бұрын
HAO pelekeni kizuizini, kamata na store keeper wa sehemu vilipotoka vilivyo ibiwa.Msicheke na nyani miradi itaporomoka.Hivyo havijaanza kuibiwa leo fuatilia na vinakoishia ni wapi.Hata kama wamo wakubwa kamata wote nchi ipone.
@azizaj776Ай бұрын
Naomba , WEZI Walanguzi Madalali Venye viwanda ( mlaji ) WOTE wakikamatwa na wizi wa miundombinu ya Reli yake SGR adhabu ni KUKATWA VIGANGA VYA MKONO VYOTE VIMILI WATIBIWE WAKIPONA WAACHEWE HURU THUBUTU KAMA WATAFIKA 15 wengine WATAKOMA MILELE na waliokuwa nazo watazitupa barabara 💯% kwa 💯% lakini tukiwachekea wataharibu kweli SGR ITAKUFA
@MohammedAwadh-gq9siАй бұрын
Hawa wanatakiwa wafungwe maisha ! Hakuna jinsi
@salehmussa9371Ай бұрын
Tunahitaji kujua mwisho wakesizao. Mana wamekamatwa navielelezo vyaushihidi vipo.
@ElyrehemaMartinАй бұрын
Hakuna haja ya kufanya uchunguzi wafungeni maisha hao
@AmbweneАй бұрын
Funga mbwa hao
@YusufDuale-eq4klАй бұрын
Apo ni wachina na wakenya.huruma yetu inatuponza ssa.
@simongwandu7392Ай бұрын
Serikali ipige marufu ya biashara ya chuma chakavu
@damianmstambi848Ай бұрын
Yani nimejikuta natetemeka hawa washenzi si pigeni risasi
@AllySule-t9gАй бұрын
Wallah hawa watu wakufinywa mpka waseme wajinga hawa
@jumashaha3467Ай бұрын
Hawa adhabu yao wanyongwe tu sio binaadamu hao na hao wanao nunua jela maisha na wafilisiwe mali zao
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
WAPEWE KIFUNGO CHA MAISHA VIWANDA V8NAVYONUNUA NA VIFUNG8WE KABISA LESENI ZAO
@mwijagenelsoni357Ай бұрын
Ila kweli watu tuna akili ndogo maendeleo kwetu yatabaki ni ndoto mi nadhani hao watu wpewe adhabu yenye fundisho kama shaban Robert kwenye mashair yake alitufunza kuheshimu na kulinda miundo mbinu leo miaka kadhaa kizazi hiki bado tunaaribu vya kwetu kweli
@mzeke-r9hАй бұрын
Serikali iweke long distance camera kuzuia damu za walipa kodi ,pamoja na hatua kali za kisheria ziwafikie wahalifu,ila wasisahau kwa wenzetu linaanza kupita kupita behewa la kuangalia reli kama ipo sawa halafu linakuja behewa la abiria au la mizigo ya wafanya biashara...ni hayo wasisahau uokozi wa damu za raia pamoja na mali za raia......
@jackmabirangacharles9398Ай бұрын
Na Kutungu Sheria Wana kamatwa na wizi wa vifaa vya Reli na Umeme Kufungwa Maisha au kunyongwa
@mainenmoshi5327Ай бұрын
Hawa ni maadui wakubwa wa taifa letu. Hatua kali zichukuliwe dhidi yao
@ElyrehemaMartinАй бұрын
Hao watakuwa wanatumwa na magaidi wetu
@edwardmgaya3951Ай бұрын
serikali ipige marufuku biashara hii sioni tija yake sanasana inainufaisha nchi moja jirani ,hebu fikiria alama nyingi za barabarani vyuma vya madaraja tanesco na sasa sgr ,ifike mahali tufanye maamuzi magumu
@magorymara5515Ай бұрын
Haya yasingekuwepo kama mngeanza kuwa wakali pale watu wa kawaida wanavyosogelea na kukatiza kwenye reli bila kufuata utaratibu malum kwenye maeneo ya mapitio
@MarymAbd-y2oАй бұрын
Mi ata cja elew Kwan sgr inatumia coper na kama shaba kilo 7 c kawaida2 kwa fund umem
@hamidasamji5445Ай бұрын
WEKA JELA MAISHA
@hassnsalim5156Ай бұрын
MKIWAACHA BILA YA KUWANYONGA ITAKUWA HAIPENDIZI KWANI HAO SIO WAHALIFU BALI NI MAGAIDI WANYONGWE HADI WAFE WOTE WEZI NA HAO WANUNUZI
@SelemaniMlachaАй бұрын
Wale miaka yakushiba kwa kuhujumu nchi aliyeiba pia aliyemtuma asiachwe kabsaa
@jolitabukabengwe3070Ай бұрын
Hawa watu potezeni kabisa.... Wachina siyo wqjinga. Watu kama Hawa Huwa hawapewi nafasi ya kuishi.. Wote Piga chuma kabisa. Na hao wanaozinunua hizo waya wote angamiza tuu. Nchi isonge mbele kuliko kuendelea kulea Majizi haya yanatuludisha nyuma . Toen mfano muone kama Kuna wengine wataendelea kuiba wataendelea kuiba
@yasiniSwedi-qg5ocАй бұрын
Kwahyo mtawapeleka mahakamani? Wnashindakesi hao ila dawa ya kuuzuiya wzihuo alikuanayo hyti jpm yeye alidli c hao wanaokutwa nanyala pekee yeye aliifuatilia cheni yote nahaijalishi chenihyo inavgogo kiasigani laknininyi mnakamatadagaa
@faridahalwaily85Ай бұрын
Shetwani Anawatiyaaa kwenyee maovuuu epukaanaaaa nayeeee si kuibaaa tuu ilovunjwa lolotee mufanyalooo mwishoo kuuawaa Au ndani…shukuruniii mnacho kipataa boraa oombeeeni kulikooo kuibaaa na mumuombe mwenyezimngu Awapeni cha halali japooo kidogoo na mupooo kwenyee Amanii
@MahamuduAbasi-o1nАй бұрын
Mbona abatowa talifa anatetemeka mdomo?au nikwaszbabu waliyokanatwa niwachina.Kumbe nawachina huku wanaiba.Nilikuwa nawaamini kuwa wanaletwa kufanya kazi kumbe hamna
@fatmasherallysherally537Ай бұрын
Siwapendi kabissa wachina. Wezi na waharibifu wakubwa