WATUHUMIWA 15 WADAKWA KATIKA SAKATA LA UUZWAJI WA "MAJAFAFA"/ WAZIRI BASHE "WANA SIASA WAKAE MBALI"

  Рет қаралды 5,628

Tbr24 Media

Tbr24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@samwelshija5230
@samwelshija5230 2 күн бұрын
Kiongozi hapo nimefurahi sana binafsi mungu akusimamie hayo maamzi yako piga kazi bashe wangu safi sna
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 күн бұрын
Bashe Allah akutangulie. Cha msingi kama wahusika ni viongozi wa AMCOS au vyama vya ushirika kabla ya kupelekwa mahakamani kwanza wafukuzwe kazi.
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 2 күн бұрын
Ukiwafukuza tutawapata wapi tena? Wadakiwe humo humo na kifungo.
@mwanamutemi
@mwanamutemi 2 күн бұрын
Huseni Mungu akulinde. Vile unafanya unajenga Imani kwamba Dhulma ni Mbaya mbele ya Mungu. UNAVYOFANYA MALIPO YAKO UTAYAPATA KWA MUNGU. WAKULIMA WA TUMBAKU MUOMBEENI HUYU KIJANA MUNGU POPOTE PALE MUNAABUDU WAISLAMU HATA MUKIMFANYIA QUNUT KATIKA SWALA YA ALFAJIRI, ALLAH ATAIPOKEA DUA ZENU.
@HuseinhamduniJumanne
@HuseinhamduniJumanne Күн бұрын
Somo kwajambo hili Allah akulinde na kithilisha dua sana
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 2 күн бұрын
Ubarikiwe sana waziri. Na sisi songwe tuna kilio hatujalipwa pesa zetu tangu mwezi wa tisa hadi sasa.tunataka utusaidie.hata mwaka huu nimeshindwa kulima juu ya kukosa pesa tunaambiwa jumatatu kila siku tunapowaulizia hadi sasa. Tutakuja huko Dodoma utusaidie hatuna msaada mwingine.
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 күн бұрын
Wizi ndani ya wizi utaishaje mkakati
@chamijanuary6071
@chamijanuary6071 2 күн бұрын
Mh. Waziri, chapakazi Wakulima tuokoke. Huku Moshi Wafanyabiashara wenyemashine za Kukoboa Mpunga wanatuhujumu Wakulima wa Mpunga kwa kushirikiana na Wafanyabiashara kupunguza bei ya Mpunga
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 2 күн бұрын
Kule kwenye korosho nako fuatilia mtu umefikisha korosho ghalani unapimiwa na mizani ya rula wakati kuna mizani ya digital .ukiwauliza wanakwambia sio nzuri hiyo. Wanapima wanamwaga chini usiku wanapima kutumia ya digital. Hapo haitishi umefikisha mzigo mnada wa pili unasogezwa hadi mnada wa tano.mnada wa pili unasomwa unajua bei ni 3750 mwisho unakuja kuwekewa pesa 2420 huna wa kumuuliza.
@gauchoabalmajazba5515
@gauchoabalmajazba5515 2 күн бұрын
Wakulima Oyeee
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 7 сағат бұрын
Mmepiga mabilion ya sukari wenzenu haifiki hata ml20 za jafafa mnakuja juu kun wizi kuliko ule wa vibali vya sukari??
@SeifuKingwele
@SeifuKingwele 2 күн бұрын
Mh: Tafadhali geukia na ktk Ufuta wakulima mkowa wa Pwani uliagiza tulipwe Kwa bei ya mnada haikuwa ivyo wamekaidi maagizo yako
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 2 күн бұрын
Nenda tunduma na songwe inavuka kwenda zambia na malawi.
@japhetmwamlima
@japhetmwamlima 2 күн бұрын
Mkubwa, hili lifanyike pia kwa wakulima wa kahawa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
Viongozi wanatakiwa hivo
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 7 сағат бұрын
Bashe mwenyewe ni mpigaji hatari
@ahmedazan1279
@ahmedazan1279 2 күн бұрын
muheshimiwa nakuomba njoo tanga kwa sababu wazawa wa tanga hatufaidiki na zao la katani pesa zinaenda wapi?????!!!!!
@MashakajumanneSuddy
@MashakajumanneSuddy 2 күн бұрын
Sasa bosi luzuku ya chama haiji.
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 күн бұрын
Sasa munafeli wap mbn hamuchukui maamuz maneno meng huo ni ujinga mswahili ili aende sawa anataka umfanyie maamuz ya kikatil
@timboxlee919
@timboxlee919 2 күн бұрын
Mbona mbolea na sukari bei juu, mbona mpina hukumjibu?
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 26 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
BMG TV: Taarifa mpya daraja la JP Magufuli (Kigongo- Busisi) Mwanza
12:40