WAUMINI wa KIISLAM WAFUNGUKA KIFO cha SHEIKH MUHAMMAD IDDI ALIYEFARIKI AKIPATIWA MATIBABU MLOGANZILA

  Рет қаралды 5,877

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

WAUMINI wa KIISLAM WAFUNGUKA KIFO cha SHEIKH MUHAMMAD IDDI ALIYEFARIKI AKIPATIWA MATIBABU MLOGANZILA...
Waombolezaji mbalimbali walifika msikiti wa Kinondoni zilipo ofisi za Makao Makuu ya BAKWATA Dar kwa ajili ya kumswalia aliyekuwa SHEIKH Muhammad wametoa ya moyoni wakati wakimuelezea sheikh huyo walivyomfahamu.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 11
@globaltv_online
@globaltv_online 10 күн бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 10 күн бұрын
Allah ampe kauli thabit ampe mpepo ya daraja ya juu peponi amkutanishe na manabii na alifanye kaburi liwe miongini ya mabustan ya peponi ameen
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 10 күн бұрын
Inna li llahi wainna ilaih raajiuun. Poleni Sana kwa msiba, Mungu ampe qauli thaabit na makazi mema pema peponi, Aameen 🤲🤲
@AishaAisha-q4t
@AishaAisha-q4t 10 күн бұрын
Ndo ujipodoe misibani jamani tubadilike ww mwanne ndo kiongozi
@WahidWahidRamdhan
@WahidWahidRamdhan 8 күн бұрын
Jman munaenda msiban haliyakua mumejipura subhan wahh
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 9 күн бұрын
Umesema kweli sheikh Mohammed bin mussa
@msowamhokole5028
@msowamhokole5028 10 күн бұрын
Ujajisitiri sura yako na mikono
@AminaJuma-t9t
@AminaJuma-t9t 10 күн бұрын
Mwezimungu ambunguzie adhabu yakabuli amsamehe mazambi yy ni mwanadamu
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu 10 күн бұрын
😂😂😂 innalillah wainaillah rajiuni polen sana
@Mwajumaramadha
@Mwajumaramadha 10 күн бұрын
UNACHEKA NINI?
@SalamaMohammade
@SalamaMohammade 10 күн бұрын
سار العلم وزاد الفساد😅😅😅
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
KILICHOENDELEA KWENYE KESI YA WAISLAM WANAOIPINGA BAKWATA MAHAKAMANI
5:17
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 33 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН