Hongereni Wawata kwa kazi yenu njema Mungu azidi kuwabariki kwa majitoleo yenu.
@salomeshongola1697Ай бұрын
Hongereni sana viongozi wa ngazi zote Kuanzia,jumuiya,kanda,dekania,mpaka jimbo.Mwenyezi mungu awabariki sana,kwa malezi ya vijana wetu.Mapadri wetu wa kesho.🎉🎉❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@mungholomakalanga89582 ай бұрын
Hongereni sana Wawata jimbo kuu la Dar mkiwa na jemedali Stella Kahwa Katibu mkuu WAWATA Taifa❤