Maisha ya Zanzibar ni maisha wanayo ishi kwa maadili ya Uislamu
Пікірлер: 24
@Muhamed_mo8 ай бұрын
Hao 2 si wazanzibar halisi, ni wazanzibaraaaaaa,hilo ulijueeer
@muhammadkipangatv26748 ай бұрын
Maashaallah
@batulialmass89148 ай бұрын
Masha Allah
@Naw898 ай бұрын
Subhaanallah
@QuranFirst6108 ай бұрын
Nice but very short video
@halimathabit83618 ай бұрын
😂😂😂 maashallah, mama ajitahidi sasa na yeye
@adamaliali22067 ай бұрын
Wapo wa Zanzibar wasio juwa Quran Ila hao ulio wauliza sio wazanzibar
@salyali78078 ай бұрын
Wamejazana mijitu ya bara
@SalamaKhamis-un8vn8 ай бұрын
Vibaya ivo tumia maneno mazuri wengine niwastaarabu kushinda wahapa
@batulialmass89148 ай бұрын
Acha roho mbaya hiyo ni ardhi 2 utaicha na hutojua nani atkuja kukaa hapo kuwa na kauli nzuri😊
@ismailmsangule13808 ай бұрын
Wewe Mzanzibari sawa je unahamasisha Uislamu usimame huko
@zenasalum22318 ай бұрын
Mijitu ya bara ni mambwa au umeyafanisha na nini acha kashfa huko nzn Nako wapo hata Quran hawaijui njoo bara pande za tbr kigoma ukutane na wasona Qur an
@Muslim-gs6rn8 ай бұрын
@@SalamaKhamis-un8vnMasha Allah ❤ mwenye khouf ya Allah hujibu vizur ❤❤❤
@Nuru_ya_sunnah.official8 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂❤❤
@user-gz5qu5qy1y8 ай бұрын
Sidhani kama hao wamwisho ni wazanzibari
@user-hd3pi3bc9v8 ай бұрын
Ni wazanzibari halisi
@masturaabdul10077 ай бұрын
Hawa wazanzibar wamenitia aibu. Watu gani Hawa wasojuwa kusoma. Hawa si wazanzibar wanatoka Kongo. Hawa wakongo.
@mbeguofficial66468 ай бұрын
HII NI ELMU YA KWAMBA TUACHE DHARAU!!!
@rahmaabdallah45147 ай бұрын
Labda maadhura😂
@shamsahaji62027 ай бұрын
@@rahmaabdallah4514hahaha basi alikua aseme tu 😂 asijibu ovyo