Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/1

  Рет қаралды 157,025

Abd Binm

Abd Binm

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@mohammedmbarouk1129
@mohammedmbarouk1129 8 ай бұрын
Mashallah huyu mzee kaongea ukweli mputuuuuu... Natazama mwaka 2024
@yunushamdan6079
@yunushamdan6079 4 жыл бұрын
Allah muhifadh sheikh wtu hakika we n muislam uliejitolea kW ndugu zko w kizenj tunakupenda cn wazanzibar wte
@abdulfirst_pilot
@abdulfirst_pilot 4 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi sheikh ilunga kiukweli unaijuwa sana zanzibar na unaiyelewa vizuri sana zanzibar hakikia mungu akulipe kile unachotakiwa kulipwa ila hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho mungu na ipo siku itafika mwisho
@abbysamtz515
@abbysamtz515 4 жыл бұрын
Waullah nalia sana kila nikiangalia sichoki. Mungu akurehem babaangu
@uwesumsanzya1791
@uwesumsanzya1791 4 жыл бұрын
Allah amuhifadhi sheikh wetu na alifanye kaburi lake ni moja ya viwanja vya peponi
@mwendwamumburya7333
@mwendwamumburya7333 10 ай бұрын
Allah msamehe na umrehemu sheikh Ilunga
@omartamim4712
@omartamim4712 5 жыл бұрын
Allah akurehem alipe nuru kaburi lako sheikh
@khamisjumazume8477
@khamisjumazume8477 4 жыл бұрын
Inna Lilah wainna ilayh raajuun,,Allwh atujaalie khatma njema aamen yaarab.
@jumahamadi6745
@jumahamadi6745 4 жыл бұрын
حفظه الله ورعاه . وأدخله في رحمته مع عباده الصالحين
@omartamim4712
@omartamim4712 5 жыл бұрын
Wallah sheikh ilunga umenitoa machozi
@mwanakombabasi5960
@mwanakombabasi5960 7 жыл бұрын
Allah amrehemu mzee wetu
@toshindugwa1697
@toshindugwa1697 5 жыл бұрын
Amen
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Mungu awape faraji uslaam muhimu
@awadhially
@awadhially Жыл бұрын
Ilunga fikra zinaish kwetu
@mariama1490
@mariama1490 7 жыл бұрын
Ninachowapendea masheikh wabara wanaongea ukweli na kuisifia Zanzibar kiudhati, Ila hujawahi kumsikia padri ktk kanisa kutoa hadithi kama hizi, hkk znz tumedhulumiwa dhulma kubwa Sana na Mungu analipa Kwa haya maisha magumu yanayoendelea
@mussazubery7375
@mussazubery7375 6 жыл бұрын
Malaika 2
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 4 жыл бұрын
masha Allah
@mohdeddy123
@mohdeddy123 5 жыл бұрын
Kwel mm nahisi c karume yote aliyoyasababisha ni nyerere na m/mungu ammiminie mawe ya moto inatuuma wa znz ila fainna maaliyusri yusra inna maghali yusri yusra
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 5 жыл бұрын
Mnayo haki ya kusema yaliyomo moyoni mwenu kwani mu wenyeji wa himayaghafi, na jambo moja li wazi kuwa mnajua msilolijua na mnateta mateto yaliyotetwa na watetaji mahili. Hakuna jipya chini ya mbingu. Heri yao wamfuasaye aliyesamehe yote kuliko aliyeishia kulaani malimwengu. Mbarikiwe.
@allyabeid4188
@allyabeid4188 5 жыл бұрын
Kaishaza Bengesi pumba tupu
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
I am Christian here but I think this guy would help even us to fight against oppression from the man of Chato.
@fahadally7227
@fahadally7227 5 жыл бұрын
Rock City Native sad thing... Hez gone may he rest in peace!
@aliame4180
@aliame4180 4 жыл бұрын
Tanganyika inapiga vta uislam lkn wakae wajitambue uislam ataulinnda mwenyewe Allah haufiii
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 2 жыл бұрын
@@aliame4180 😂🤣😀
@sadamunyamuki2529
@sadamunyamuki2529 8 жыл бұрын
kweli wazazibari wanazulumiwa sana
@bakarimuniru6826
@bakarimuniru6826 6 жыл бұрын
innaalillahi wainnaailaihi raajiuuna
@nuramoboy
@nuramoboy 11 жыл бұрын
Huu ni ukweli mtupuu nakumbuka kipindi kile hata TV hamna Tanzania Bara 1996 tunapeleka kuuza TV Dar es Salaam na Arusha sisi ni watu wa mwanzo kuuza TV Arusha ndio kwanza ITV zinaingia ingia,tunatoa Muzammil kwenda Arusha dahh huu ni ukweli mtupuuu
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Kweli kabsa uislamu haupo zanzibar tanganyika wameharibu kila kitu kiukweli nyerere mungu amzidishie adhabu uko alipo na karume laana tu wallah kutuunganisha na tanganyika ndo kutumaliza wazanzibar
@aminamashaallahsaid9893
@aminamashaallahsaid9893 4 жыл бұрын
Karume hakujua
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Nyerere ameamuru mjeshi yake kuvsmia zanzibari stini NA tatu NA kua elfu ishirini waaslamu NA zanzibari ona Google mwenywe
@mwendwamumburya7333
@mwendwamumburya7333 10 ай бұрын
Nimemwita mwanangu Ilungu ili kumuenzi.
@fedoaliyomari1112
@fedoaliyomari1112 5 жыл бұрын
huyu aliesema sheikh akachomwe ni kafiri au na kama ni muislam bc kalaaniwa na kila kilichomo ardhini na mbinguni
@artistpalliatars9754
@artistpalliatars9754 7 жыл бұрын
rahimahullaah
@songarashidy6410
@songarashidy6410 7 жыл бұрын
Rahima hu lwaah
@alexrukundo6048
@alexrukundo6048 6 жыл бұрын
Jamani mmesahau kabisa uovu wa sultani na waarabu ?
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 2 жыл бұрын
Amiin
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 Ай бұрын
Muungano haufaui hata kusifiwa ni waukandamizaji upande moja!? Embu uruhusiwe kujadiliwa,
@muhammadnnacho7425
@muhammadnnacho7425 8 жыл бұрын
swadakta
@rashid.mwenyezimunguakurin2968
@rashid.mwenyezimunguakurin2968 5 жыл бұрын
tanzania imepereka ukafiri zanzibar
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
unajua maana ya Tanzania ni nini!!!?? au unaropoka tu
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 6 жыл бұрын
sultan hakumtesa MTU ww kasome historian usihadithiwe
@narcissusmakenge7643
@narcissusmakenge7643 5 жыл бұрын
Aboubakar Hidad Huyu mzee alikuwa mchochezi mtoto wa mtumwa na muumini wa udini. mwenye akili anaelewa
@mwanakombabasi5960
@mwanakombabasi5960 7 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@mussazubery7375
@mussazubery7375 6 жыл бұрын
Malaika 2
@aliandrew3537
@aliandrew3537 6 жыл бұрын
Mashehe mfano wa kuiga huyo na ALLAH kuchukua ni mtihani kawapa Hawa walio baki
@yohanajoshua163
@yohanajoshua163 7 жыл бұрын
Mbona anakunywa pombe?
@ghuhiatessua9565
@ghuhiatessua9565 6 жыл бұрын
Yohana Joshua sio pombe kaka. Hiyo ni soda.
@jabirdesign5728
@jabirdesign5728 6 жыл бұрын
Huna macho hapo
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Anokunywa pombe ni nani ni wazazi wako??!! C hata kanisani kwenu ni ruksa kunywa.....
@haliluissa4136
@haliluissa4136 2 жыл бұрын
Pombe za bibi yako
@doemusa9977
@doemusa9977 6 жыл бұрын
Magendo yalikua mengi sasa hakuna
@alexrukundo6048
@alexrukundo6048 6 жыл бұрын
Oman sio kwao mnafiki wewe
@adamkatet274
@adamkatet274 6 жыл бұрын
Alex Rukundo unajua historia ya Zanzibar nguruwe wewe Zanzibar ndio ulikuwa mji mkuuu wa Omani nguruwe wewe
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Kwao wazazi wako punda we.....
@thomasduttu2919
@thomasduttu2919 2 жыл бұрын
kama wazanzibari wanazurumiwa na wewe na uislamu wako si uvunjwe huo mwungano kaa na hao waarabu wako mafirauni hufai wewe uislamu umepoteaje mshamba wewe hufai mchochezi wa dini wewe
@omariharuna7986
@omariharuna7986 3 жыл бұрын
Salatu naria
@alipolupasa2370
@alipolupasa2370 5 жыл бұрын
Sasa wewe mzee muungano ukivunjika utapata faida gani? Acha kuongea pumbaa
@aliandrew3537
@aliandrew3537 5 жыл бұрын
Hujijui wewe mwanzo wewe ni kafiri usiingilie haya shika lako.. Alipo lupasa
@haydarymkuraysh2235
@haydarymkuraysh2235 5 жыл бұрын
Kwani unavyoendelea we unapata nn?
@alexrukundo6048
@alexrukundo6048 6 жыл бұрын
Kwa kuuza watu watumwa kutoka bara utajiri wa Zanzibar chanzo chake bara wewe mzee
@dossaafrican9469
@dossaafrican9469 5 жыл бұрын
Laanatu allah hadith fil amali
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Kakudanganya nani?! We unajuaje historia ya znz huku c mwanza mwanaharamu we nyie wenyewe ukame mkali huko hamjielewi mkamtajirishe m2 wakat nyie wenyewe mmeshindwa kujitajirisha labda mmetutajirisha kwa ukimwi.....
@suleimanmwalimu3018
@suleimanmwalimu3018 5 жыл бұрын
Alex Rukundo nyinyi wakristo mbona mnatukana mashekhe
@gonzajasmin8294
@gonzajasmin8294 5 жыл бұрын
J
@pettermasika9120
@pettermasika9120 6 жыл бұрын
Naamini wewe ciyo Shehe ni shetani " Ila Mungu muweza wa kila kitu kakupumzisha Motoni Nathubutu kusema haki ya Mwenyezi Mungu uko Motoni unachomwa" shwetani bora
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 6 жыл бұрын
Dua yako haifiki kaka.. shekhe anaongea kweli kabisa ..sema kosa gani aloongea ..acha chuki na ndio maana shee alisema mwanzo waislam wanatakiwa kujiuliza kwann mkiristo hapendi kuelezewa mfumo.kristo na muungano sasa ndio nimeamini baada ya kuona koment yako hakika huyi mzee kasema kweli..
@adamkatet274
@adamkatet274 6 жыл бұрын
Petter Masika utachomwa wewe na wazeee wako nguruwe wewe
@selemaninahimani820
@selemaninahimani820 6 жыл бұрын
Pitter masika, sikushangai kusema hivyo,maana ya pitter ndani ya bible ni jiwe, sasa jiwe toka lini likajua kinachoendelea duniani?
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Shetani ww mwenyewe na mama yako na baba yako kafiri mkubwa we ulolaanika.....hayawani m1.
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
We alokwambia m2 anaitwa peter jina hilo wp na wp jina hilo mwenyewe nguruwe, mbwa na firauni........
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/2
35:21
Abd Binm
Рет қаралды 95 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 2/5
34:21
Abd Binm
Рет қаралды 195 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 1,6 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
VTS 01 2
40:41
Abd Binm
Рет қаралды 28 М.
KONGAMANO PEMBA 4 ~~ MFUMO KRISTO NA ZANZIBAR
32:05
Bin Seif
Рет қаралды 22 М.
VTS 01 4
39:04
Abd Binm
Рет қаралды 21 М.
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/4
35:24
Abd Binm
Рет қаралды 41 М.
VTS 01 3
40:40
Abd Binm
Рет қаралды 22 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Abd Binm
Рет қаралды 439 М.
VTS 01 1
40:39
Abd Binm
Рет қаралды 14 М.
Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 4
39:04
Abd Binm
Рет қаралды 91 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5
34:25
Abd Binm
Рет қаралды 261 М.
KONGAMANO PEMBA 2 ~~MFUMO KRISTO NA ZANZIBAR
32:04
Bin Seif
Рет қаралды 31 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 1,6 МЛН