Jamani wimbo huu naomba Ukafanyike balaka kwa Kila Mwenye Mtoto kama Mimi likes kama Zote jamani Pia SUbscribe to comment Hapa
@DoreenKamtupe8 ай бұрын
Jamani Nawakaribisha tena kuitazama Video hii Iliyokuwa Imesubiliwa Sasa naomba Support Yenu ujumbe huu Tuusikilize Tuusambaze kwa Wengine Mimi kama Mtoto Doreen Natamani kuona Wimbo huu ukiwafikia Wengi Naomba Support comment Share like Kalibuni Wote🙏
@JuliethMagese7 ай бұрын
Amen..... Mungu akubariki sanaaa mdogo angu...❤❤...Uimbaji wako na uchezaji wako ni utukufu tosha kwa Mungu...🎉
@NdagireBetty-gw1rs8 ай бұрын
Asante Sanaa, watotto, Wangu,betinnah, Uganda
@Mggiecharleskui7 ай бұрын
💃💃💃💃Kanzi nzuri mtoto Doreen from Kenya twakupenda❤️❤️❤️. Mnaomba unipitie
@DoreenKamtupe7 ай бұрын
Sawa Mtumishi
@yohana_antony7 ай бұрын
Ongera Sana mtumishi wa MUNGU uinuliwe juuuuu zaidi
@DoreenKamtupe7 ай бұрын
Amina Babu Asante kwa Kunitia Moyo
@JuliethMagese7 ай бұрын
Possess another step in your talent as your singing talent not just for making money but it's holly and brings groly back to God....❤❤
@DoreenKamtupe7 ай бұрын
Asante
@MercyNjuguna-vw8gy8 ай бұрын
Waooh nice song baby girl, hongera sana,♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@DoreenKamtupe8 ай бұрын
Asanteeeee
@DoreenKamtupe8 ай бұрын
Waooo Thank you so much
@michaelkamtupe19708 ай бұрын
Ubarikiwe Mtoto Doreen hakika Video Na wimbo Vyote Umefanya Kwa Ukubwa Mungu Akubariki jamani like wapii Naomba Tumsaport Mtoto wetu
@DoreenKamtupe8 ай бұрын
Ameen thank you so much
@angelakidenya21917 ай бұрын
Ubarikiwe mtoto mzuri kazi yako ni njema, Mungu wa mbinguni azidi kukuinua.