Simba wa Allah ❤️❤️❤️ Nuru ya Allah ihusike katika kaburi lako tunakiri na kuthibitisha kwamba umefikisha na pepo iwe malipo yako ln Shaa Allah
@LuqmanAndrew-nu9rx8 ай бұрын
Allahumma Aamiin ❤🙏
@Bableeseyfu-y8zАй бұрын
Mungu akupe kauli thabit sheikh wetu Amiin ❤❤
@mohamedmkala2758Ай бұрын
Kwa kweli kizuri hakidumu,lakini alhamdulilah mawaidha yamebaki na ataye fuata atanusurika atakeye puuza atakhasarika duniani na akhera. Allah Atujalie tuwe na wenye kuidhika na Mawaidha ya almaruhoom Sheikh Nyundo.
@allymbarouk53622 ай бұрын
Rahimahu llahu Alaihi Ukweli mtupu
@marwanbakhamis92988 ай бұрын
Tunamuomba Allah akuridhie na akuoongize kweny pepo ya darja ya juu pamoja na mtu swa ..inshaalah
@MariamJuma-o9z9 ай бұрын
Swadakta mzee Nyundo ❤❤❤❤❤
@muftishaban.a.musamombasak65779 ай бұрын
ALLAAH akurahamu sheikh nyundo
@profesakiongozi393017 күн бұрын
MashaAllah
@LuqmanAndrew-nu9rx8 ай бұрын
Allah amrehemu Sheikh Nyundo ampe Jannat firdous Inshallah, Ama kwel ardhi imemeza wanaume, Allah Akbar Kabbiirra.
@athumanharuna95179 ай бұрын
Swadakta Sheikh Nyundo
@MwajumJumanney6 ай бұрын
Allah ampe pepo ya daraja la juu amkutanishe na waja wema aaaammiiin
@AbdallahSalum-vi3tw5 ай бұрын
Tunamuonba ALLAH azidi kukuweka peponi,na kila tusikiapo mawaidha yako azidi kukujalia thawabu kwa kazi hiyo ulioifanya tunaendelea kula matunda ya miti uiyopanda.
@MauBonde5 ай бұрын
Mungu amrehemu japo hajakua na elmu nyingi lakini ,huyu Jamaa alijitahidi Sana kuwaweka sawa watu wa visiwani.pengo lake bado lipo.barakah allah fiiq.
@OthmanMwai9 ай бұрын
Al Sheikh Hassan Hussein, Rahmahu Allah, al muswadiq,jundun Allah
@FeisalDoctor-wr8ws6 ай бұрын
Sheikh Allah amjaalie pepo njema
@mohamedmkala2758Ай бұрын
16:38
@LuqmanAndrew-nu9rx8 ай бұрын
Allah amrehemu Sheikh Nyundo ampe Jannat firdous Inshallah, Ama kwel ardhi imemeza wanaume, Allahu Akbar Kabbiirra.